Jinsi ya kujilinda na maadui wa kimya kimya

  Рет қаралды 37,235

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 64
@samohazakwani6899
@samohazakwani6899 3 жыл бұрын
Natumai hamjambo. Ni kweli kabisa, wengi wasiopenda maendeleo ya wenzao hua na tabia km hizi. Hujifanya wazuri na maneno yao matamu kumbe hutega wenzao. Kuwagundua si jambo rahisi mpaka yakufike. Lkn Mungu hamfichi mnafiki. Asante sana brother kwa somo zuri sana.
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 3 жыл бұрын
Joeljoeljoeljoeljoeljoeljoeljoeljoeljoel Nakumwagia baraka zote Mungu akubariki
@lendobizzy1379
@lendobizzy1379 3 жыл бұрын
Ahsante Mr Joel maana malanyingi nilikuwa nikipuuzia sauti yangu ya ndani kwa watu wasio sahii katika maisha yangu Ahsante kwa kunikumbusha hili
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Shukran sana, mengi mawazo au nasaha zako zinatusaidia Ahsante sana
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg Жыл бұрын
Mimi Brother nimeshayapitia nabado ninaendelea kuyapitia. Kiukweli saivi nimejifunza mengi zaidi. Na nilichokiamua ni kupunguza saana mahusiano na mtu yeyote. Hata mkewangu pia simuamini tena.
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 3 жыл бұрын
I always get pain from those people now I understand how to live with them
@EK-kp2np
@EK-kp2np 3 жыл бұрын
Umenigusa sana kiongozi, 💯 %🙂
@piuspuka5071
@piuspuka5071 3 жыл бұрын
Thanks you ndugu. Kwa kutuongezea mwanga maishani endeleaa kutupa elimuuu
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka, mimi nina shida ya kumwamini haraka mtu ,nimejikuta nikitapeliwa,hata kwenye mahusiano nikiumizwa😢
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 Жыл бұрын
Asante kwa kunkumbusha kutowwamin watu kirahis maana,nna shida Sana katka hili,mwishowe naumia
@moviefightscenes3369
@moviefightscenes3369 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikisikiliza clip zako kaka JOEL NANAUKA bless sana
@mbaruksaid5775
@mbaruksaid5775 3 жыл бұрын
Niukweli kabisa mm naamini wote wanao nizunguka hawanipendi ila tu wanajifanya wapo karibu namm
@manenomfaume6032
@manenomfaume6032 3 жыл бұрын
Nimeshawahi Adi Kupoteza au niseme kuharibikiwa na kazi yangu kwahili lakumusmin mtu haraka shukrani sana mkuu
@jumamabruck7846
@jumamabruck7846 3 жыл бұрын
Asante sana
@humphreysteven602
@humphreysteven602 3 жыл бұрын
Joeli yamenikuta mara nyingi na yameniumiza sana nashukuru umenifungua masikio sîtosudia tena na mumgu anisaidie
@sophiamponi6666
@sophiamponi6666 10 ай бұрын
Dah nashukuru kaka kuna kitu umeniokoa
@eriantawumenya3257
@eriantawumenya3257 3 жыл бұрын
Som Nzuri san
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Ahsante sana
@tanzaniatourismboard8395
@tanzaniatourismboard8395 3 жыл бұрын
Ahsante Joel.
@speciozakaloli
@speciozakaloli Ай бұрын
Kweli
@janegeogre3234
@janegeogre3234 2 жыл бұрын
asante sana
@patrickapolinary2949
@patrickapolinary2949 3 жыл бұрын
See you at the top
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 3 жыл бұрын
Tunakushukuru kaka kwa elimu uitowayo mana unaigusa sna jamii yetu asiyefatilia kipindi chako kakosa mengi
@kivuquality242
@kivuquality242 3 жыл бұрын
Vraiment Powa sn
@fridaelly2870
@fridaelly2870 3 жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana na mafundisho yako,Mungu akubariki sana
@sharifarajabu7255
@sharifarajabu7255 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa shukurn kheri kwako
@kadrikhalfan3860
@kadrikhalfan3860 3 жыл бұрын
Dah kaka story ndefu sana umenikumbusha lakini juu ya yote umenisaidia mpaka hapa nilipo nibkwa kufuata muongozo wako nashukuru sana.
@alexalexander9237
@alexalexander9237 3 жыл бұрын
Joel katika mada zako zote ii mada imenugusa sana bro mung akubariki bro sina mengi najua maisha ni safari bor tuta fika
@aliyukagambo
@aliyukagambo Жыл бұрын
Kweli
@joycelaizer4600
@joycelaizer4600 3 жыл бұрын
Mungu akubariki
@suzanagerald9377
@suzanagerald9377 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana.
@josephatsimon6726
@josephatsimon6726 2 жыл бұрын
Kweli kabisa..... watu hao wapo ni kuwa makini zaidi
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 Жыл бұрын
Mkn
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Nimepata Somo kubwa ambalo sikuwahi kulijua maana yamenikuta Sana Joel mpaka nimeamua kuishi kivyanguvyangu
@shukuranirebecca4877
@shukuranirebecca4877 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@SKYVISUALS07
@SKYVISUALS07 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka dah mungu akubariki sana
@modrinmaufi233
@modrinmaufi233 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@manaseelias2351
@manaseelias2351 3 жыл бұрын
Asante
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Thanks bro
@veronicawoisso5332
@veronicawoisso5332 3 жыл бұрын
Asante sana kaka
@benfrancis8288
@benfrancis8288 3 жыл бұрын
Kweli nakubali maana nilimwamini mtu sana lakn leo alichonifanya siri yangu lakn kati ya maneno anayoyaswma wote anaowaeleza wanalinganosja matukio hayaendani na alichosema wanabaki kumdhalau tu
@juliethfrank6626
@juliethfrank6626 3 жыл бұрын
Asante kaka Joel ila natamani ungeendelea
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Bro nakuelewa sana sijawahi kujuta kutumia muda wangu tangu nianze kukufuatilia
@alisele5299
@alisele5299 3 жыл бұрын
Big up
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
You are the best Nanauka
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Somo Muhimu Sana
@kivuquality242
@kivuquality242 3 жыл бұрын
Nice sn
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Sawa kaka Joel
@emmanuelmtumbuka9213
@emmanuelmtumbuka9213 3 жыл бұрын
Hii ya leo Imenigusa san kaka joel
@innocentmajololo6270
@innocentmajololo6270 3 жыл бұрын
Nakubal xn bro
@josephsimpamba8528
@josephsimpamba8528 3 жыл бұрын
thanks for the good lesson
@user-bq2zh8go7t
@user-bq2zh8go7t 7 ай бұрын
Ata mimi kimenitokea kitu kibaya sana adi leo sina rafiki rafiki wakweli niwanangu tu na mimi mwenyewe
@zachariahexegesists7892
@zachariahexegesists7892 3 жыл бұрын
wengi sana ila wakija nawazingatia kisha najua niseme nini na niwajibu nini
@muznahmuznah8601
@muznahmuznah8601 3 жыл бұрын
Ukiwa rohoni mwako huna ubaya na mtu na ukawa unafanya ibada sauti ya ndani hua inaishi na ww na kukutahadharisha na kila litakaloleta hatar kwako
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 жыл бұрын
Yahani 😥😥😥 ili limeningusa sana
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@rehemambaga1285
@rehemambaga1285 3 жыл бұрын
Kuna vidéo ulituma,,,, Naomba nijue ni Kivipi "kujitanua kwa haraka Katika biashara kunaweza kuuwa biashara biashara "?
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 жыл бұрын
Nipo kigoma nahitaji vitabuu vyako""""?
@godlistenesau6019
@godlistenesau6019 3 жыл бұрын
ii Ni sindano yangu kabisa imeniingia kabisaa
@JosephMiwa
@JosephMiwa 3 жыл бұрын
Habari mkuu, kuna ujumbe unaendelea kutoa taarifa kwenye chanel yako ya ofa ya ebook kwamba unatuma 9,999 kwa namba 0756094875, jina Ipyana Mwangoka, kwamba ukituma unapata ebook 3 ndani ya saa 24 ofa hii ni hadi tar. 09/10/2020, hii huduma ni ya kweli au tuipuuze maana nimetuma tangia jana na 24hrs yamepita still ni kimya tu.
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Ni ya kweli.piga simu hiyo
@JosephMiwa
@JosephMiwa 3 жыл бұрын
Ilikuwa matatizo ya mtandao kwa upande wake, ila alishanitumia, Appreciate sana, tunasubiri offer nyingine .. !! Ubarikiwe sana
@devothatemu4082
@devothatemu4082 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako
9:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 52 МЛН
LIFE WISDOM : MWACHE AENDE - JOEL NANAUKA
12:25
Joel Nanauka
Рет қаралды 12 М.
UNAPOSAIDIA WATU - JOEL NANAUKA
7:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 52 М.
SIFA 8 ZA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA a.k.a Ma Genius 😊| FUNGUKA NA MIMI
8:13
JINSI YA KUISHI NA WATU WAKOROFI
42:25
Success Path Network
Рет қаралды 12 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 131 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 62 М.
NAMNA YA KUVUNJA URAFIKI NA MTU ULIYEGUNDUA SIO RAFIKI SAHIHI
11:25
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 156 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН