Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako

  Рет қаралды 66,898

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 198
@alawyjr4741
@alawyjr4741 3 жыл бұрын
Ndo naelekea ofisini for the first time af nakutana na video hii....thank you brother
@joantestimony4775
@joantestimony4775 3 жыл бұрын
Young and intelligent, blessings upon ur life sir.
@MajuvaMajuva
@MajuvaMajuva Ай бұрын
Kweli moja ktk yahaya liliwahi kunitokea nashukuru sana kwakutujuza mungu akibariki uzidi kutuelemisha
@edwardnatharyblessed7067
@edwardnatharyblessed7067 3 жыл бұрын
God bless you, You have been so much a blessing to me through all your Advise and inspirations
@gabrielpaschal5768
@gabrielpaschal5768 3 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa Elimu unayonipa najivunia kua naww Nanauka, Mungu akuzidishie Hekima na Maarifa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen🙏🙏
@mariamually9502
@mariamually9502 3 жыл бұрын
@@joelnanauka Nakupenda San jamani
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Ahsante sana. *Sir* kwa kuendelea kutujuza watanzaniaaa
@naylahobra
@naylahobra 2 ай бұрын
Ni kweli mm nafanya kazi za ndani na nambiwa hadi gar nioshe na sio jukum langu lakin nafanya mana ndio jumla ya kazi mana nalipwa
@danielmirasano9213
@danielmirasano9213 3 жыл бұрын
For sure nimeipenda hii Sana'a you do real inspire me brother keep moving for our young and elder brother's be blessed
@dicksonmwanji3408
@dicksonmwanji3408 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. Upo kwa wakati sahihi. Naamini ni kusudi kamili la Mungu. Barikiwa nduguyangu.
@agnesmwangama2553
@agnesmwangama2553 3 жыл бұрын
Ahsante Joel umenisaidia sana kwa somo hili ni msaada mkubwa kwangu.
@ruthmwakyusa705
@ruthmwakyusa705 3 жыл бұрын
Uko vizuri Sana Kaka,Mungu azidi kukupa Welevu na Maarifa zaidi,uendelee kuifundisha jamiii.hakika nimejifunza Sana.
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa Maarifa haya pia nami anisaidie kuweka kwenye MATENDO.
@pascalkasandakasela4541
@pascalkasandakasela4541 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa kufikisha 100k
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kasanda.Nawe umekuwa unasapoti tangu Day 1
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
MUNGU ni mwema asante kwa Elimu adhimu Sana kama HII katika maisha yangu
@jacklinejoseph4060
@jacklinejoseph4060 3 жыл бұрын
Nimekuelew kaka ang. God bless you
@eliaslukumayemanuel7929
@eliaslukumayemanuel7929 3 жыл бұрын
Ndio kwangu Mimi limesha nitokea
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 жыл бұрын
Wow..!! Nimekuelewa boss
@fadhilikibanti3402
@fadhilikibanti3402 3 жыл бұрын
Brother Asante sana... mungu akutendee Mema
@chapmansalva8524
@chapmansalva8524 3 жыл бұрын
uko sawa sana kiongozi! maneno yako sio point, ni kilogram...
@jmonlinetv1803
@jmonlinetv1803 3 жыл бұрын
Namimi ninawafanyakazi was Tania hizo, kwa hiyo huwa naanda mfanyakazi mwingine kabla hajaathiri my organization. Uko vizuri umeniongezea nondo zaidi.
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 3 жыл бұрын
Tafadhali naomba unisaidie kazi
@MilajiBaton-cw2vt
@MilajiBaton-cw2vt 22 күн бұрын
😂😂😂😂
@dronanordelectronics8491
@dronanordelectronics8491 Жыл бұрын
Io ya kusema ni nje ya majukumu asee ni tatizo sana JN you got contents
@frolanjelekela1006
@frolanjelekela1006 3 жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwa elimu, samahani kak joel nilikuwa nashida ya kuongea na wew naomb no yako.
@kabinakodaniel6370
@kabinakodaniel6370 3 жыл бұрын
Ahsante sana joel nimekuelewa Mungu akupe mwanga zaidi
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Nimejifunz kaka shukran, tusaidie zaidi tuliopo nje maana hizi rang tofauti kidg
@saidsirya6716
@saidsirya6716 3 жыл бұрын
Shukran sanaa bro, yaani hapo mambo takribani yote nimeyafanya. Ila nashkuru kwamba sijajipata pabaya. Ila nitajirekebisha
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Pole sana kijana... Inabidi usome ethics
@nataliasr3013
@nataliasr3013 6 ай бұрын
Asante sana kwa mada hii iliyotukuka mno
@kelvinmpinga5703
@kelvinmpinga5703 3 жыл бұрын
Nimekupata sana kaka, hilo neno "Sijui Lakini." Nilikuwa nalo, ila nimeanza kilikataa, ni baya kumbe, nashukuru sana.
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
dah!...unanikumbusha boss wangu mzungu muengereza alinielewa basi kila kitu alipenda kuniuliza kutaka mawazo kwangu.
@ayubuabdallah6984
@ayubuabdallah6984 2 жыл бұрын
Hiyo ni kweli mungu akubariki sana
@najatahmed2066
@najatahmed2066 3 жыл бұрын
Uko vizuri sana mungu akupe maisha marefu
@neemamcharo3797
@neemamcharo3797 3 жыл бұрын
Well said brother big up!
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
90% ya uliyozungumza yamenikuta dhidi ya Mch. Wangu.
@geniousjustin3424
@geniousjustin3424 3 жыл бұрын
Tunamshukru mungu subscriber wamefuka 1k elimu yako ni mhimu mno inatakiwa ungekuwa na 10m
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen 🙏 ahsante pia kwa sapoti yako.Tuendelee kuwaalika wengine wajifunze pia.
@MasijaBahati
@MasijaBahati 3 ай бұрын
Shukran sana kaka mungu akujalie zaid❤😂😂🎉😮😅
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 2 жыл бұрын
Hiii imenifungua kabisa,nilikuwa Sijui kabisa asante Sana.
@furahasarakikya5676
@furahasarakikya5676 3 жыл бұрын
Thank so much brother.... Be blessed
@fredgomes8639
@fredgomes8639 3 жыл бұрын
Mawaidha mazuri sana kaka pongera maranyingi tunapo kasirishwa kazini tunatupa maneno mwisho tunajuta badaye.
@ErickAMinja
@ErickAMinja 3 жыл бұрын
Aisee asante sana kaka Joel. Hio ni elimu kubwa sana inasaidia hata kuepusha kutokuelewana na mabosi wetu na pia kusaidia katika kusecure our jobs but also helps to enforce discipline. Thank you very much.
@alicekatsutsu6345
@alicekatsutsu6345 Жыл бұрын
7667
@alicekatsutsu6345
@alicekatsutsu6345 Жыл бұрын
T7
@alicekatsutsu6345
@alicekatsutsu6345 Жыл бұрын
Y
@alicekatsutsu6345
@alicekatsutsu6345 Жыл бұрын
Y⅞7
@barakacharo5967
@barakacharo5967 2 жыл бұрын
Talented, thank you so much bro
@awadhlema5859
@awadhlema5859 3 жыл бұрын
Super........big up my young brother
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
See you at the top....🏋️🏋️
@merykabogo7636
@merykabogo7636 3 жыл бұрын
Ni kweli kaka Joel wenge kutokana na kauli za midomo yao wamejikuta wanapoteza kazi pasipo kjua na kujtia maixhia yao !!!
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni kweli Mery,inabidi kuwa makini
@nurdin.mndeme3447
@nurdin.mndeme3447 3 жыл бұрын
thnx kaka Nanauka tunajifunza sana
@blaisenkanira5300
@blaisenkanira5300 3 жыл бұрын
Nafikiri ya kuwa bwana Joel uko sahihi kabisa kwa huyo muelezo piya na huyo ushauri wote umekao towa, ningependa tuu, watakoa kusikiliza waufanyiye kazi ili waweze kuwa vizuri na ma boss wao half wa weze kupiga hatuwa mbele
@farajagabriel4953
@farajagabriel4953 3 жыл бұрын
Very well kept Sir 👌
@jmonlinetv1803
@jmonlinetv1803 3 жыл бұрын
Nimewahi kuwa na mfanyakazi nikampa kazi ya kufanya usafi akiwa na wenzake, yy alikuwa mlinzi akaniambi mm sijaja kufagia nimekuja kulinda. Nikamtoa kwa kukosa la kutojihusisha kwenye team work. Leo anaikumbuka Kaz ile.
@doreenmsangi7441
@doreenmsangi7441 3 жыл бұрын
Splendid Work Joel
@renfridaflorence4380
@renfridaflorence4380 3 жыл бұрын
Thank Mimi Nilishawahi kutana nayo... Barikiwa
@davidkazoya8629
@davidkazoya8629 3 жыл бұрын
Aseeee bro ahsante
@achiamwenda8788
@achiamwenda8788 Жыл бұрын
ASANTE sana kaka joel
@josephinemuyona7670
@josephinemuyona7670 3 жыл бұрын
Nimewahi kutana nayo mimi. Mwalimu asante kwa mafunzo yako. Masuri
@benjaminesekon8074
@benjaminesekon8074 Жыл бұрын
Thanks for your powerful information.
@brownpatrickkaduma7106
@brownpatrickkaduma7106 3 жыл бұрын
Asante kwa darasa JN
@gilbertgodfrey.offical7807
@gilbertgodfrey.offical7807 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishe kaka
@perpetuagodfrey7050
@perpetuagodfrey7050 3 жыл бұрын
Asante kaka Joel
@samwelchemu1523
@samwelchemu1523 3 жыл бұрын
Be blessed broo
@farajisureman9925
@farajisureman9925 3 жыл бұрын
Nimekupata sana
@mohdfoum218
@mohdfoum218 3 жыл бұрын
Umepatia hongera.
@nurudaud3993
@nurudaud3993 3 жыл бұрын
Asante sana 😢 da yaani mi ndio nafanyaga hivo kabisa thanks nimejifunza
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Tuko pamoja sana
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 3 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka upo vizuly sana
@ricoteyzricoteyz494
@ricoteyzricoteyz494 3 жыл бұрын
Nilitaqa kuona Video kama hiyo kiongozi...Ongera SaNa Bro
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Safii tuendelee kujifunza
@jmonlinetv1803
@jmonlinetv1803 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@nicksonimsamba1859
@nicksonimsamba1859 3 жыл бұрын
Daaa kaka wanena vema tunakosa kazi kwa njia hizi
@samuelngogo5572
@samuelngogo5572 3 жыл бұрын
Thanks bro your light
@yusuphmwaigomole3104
@yusuphmwaigomole3104 Жыл бұрын
Sijui lakini . Naona kama ni mimi vile imekuwa ikinitawala hata nikiwa najua wakati mwingine siwezi kusema moja kwa moja ,lakini naendelea kujifunza asante kwa elimu hii muhimu
@jumankoba6191
@jumankoba6191 3 жыл бұрын
Yes mm nimesha wahi kuona kuna rafiki angu alikuwa vile kazini
@iteboahadi15
@iteboahadi15 7 ай бұрын
Apo ni kweli kabisa mukubwa ishawayi kunitokeya mukazi namb 2
@hoseapeter8803
@hoseapeter8803 3 жыл бұрын
Nimeipenda Sana hii
@thomvision1914
@thomvision1914 3 жыл бұрын
What u talked is quit ...true ...true and Trueeee!!!
@rosevictorlive6184
@rosevictorlive6184 3 жыл бұрын
Hongera kwa 100k subscribers #seeyouatthetop....
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana.Hongera kwetu sote na ahsante sana kuwa sapoti yako
@yusuphmwaigomole3104
@yusuphmwaigomole3104 Жыл бұрын
Hapo kwenye haiwezekani brother ni mtihani sometimes you speak automatically but thank you a lot for this knowledge ,too educative
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Asante sana..
@zaisule9533
@zaisule9533 3 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@gospelgarden1846
@gospelgarden1846 3 жыл бұрын
Kaka… thank you so much.
@ahmedmachano7971
@ahmedmachano7971 2 жыл бұрын
Asante sana kaka mimi binafsi imenitkezea
@georgeoberlin4667
@georgeoberlin4667 3 жыл бұрын
Very very interesting
@heko-dclinic5206
@heko-dclinic5206 3 жыл бұрын
Safi
@barakadavidhaule3611
@barakadavidhaule3611 3 жыл бұрын
Nakuelewa san kiongozi wang
@radigideon9798
@radigideon9798 3 жыл бұрын
Ahsanteeee
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Ni kweli unachosema.. Watu ambao huwa wanafanya hivyo huwa wana mambo ya kitoto.
@ibrahimrojala8421
@ibrahimrojala8421 3 жыл бұрын
Always nimekuwa nikifuatilia mafunzo yako lakini hili limenifanya nijione namna nilivyojichelesha kufikia malengo yangu kutokana na baadhi ya tabia na misimsmo yangu binafsi katika baadhi ya ofisi nilizopitia.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Haujachelewa Ibra,tuendelee kujifunza na kufanyia kazi
@hassankambwili957
@hassankambwili957 3 жыл бұрын
Nimepata maarifa hapa
@mussakubari3920
@mussakubari3920 Жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@mathewemanuel4749
@mathewemanuel4749 3 жыл бұрын
Kiukweli bro,yote yamesha kuniyokea,ila nimejifunza zaidi,xanks
@georgemahunda3818
@georgemahunda3818 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka,na Vipi kwa maboss wanaotunyonya pale tunaporeact kwa kuonyesha tunahitaji kutendewa haki
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Tumia hekima zaidi kuliko hasira
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Tafuta pia video niliyoelezea Mabosi 6 wakorofi na Jinsi ya Kuhusiana nao
@georgemahunda3818
@georgemahunda3818 3 жыл бұрын
@@joelnanauka ahsante
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel.
@user-pb8rk8yw7u
@user-pb8rk8yw7u 9 ай бұрын
Umepita mle mle,watu wengi hawajui hiki lakini tulionao katika sekta zetu hasa za serikali,
@kicheleibasso5382
@kicheleibasso5382 3 жыл бұрын
Mr uko vizuri Sana kwa elimu yatosha
@mariamually9502
@mariamually9502 3 жыл бұрын
Masha Allah sante
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 3 жыл бұрын
Well said
@khalifanoti6974
@khalifanoti6974 3 жыл бұрын
Hayo ni kweli yanatokea sana
@user-dm6gu5jr6s
@user-dm6gu5jr6s 11 ай бұрын
Kuna Boss wangu ambaye aliniamini sana nilikuwa na jituma sana ktk kazi sasa kuna siku nilifanya kazi ambayo ilikuwa ime chelewa kisha nika pata asara sim yangu ika aribika alipo niuliza sim iko wapi mbona nakupigia aipiti nika mwabia iliaribika wakati nilikuwa kazini jibu yake ilikuwa ulikuwa umelewa nilijisikia vibaya sana
@augustinekuyela2186
@augustinekuyela2186 3 жыл бұрын
Kweli nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako asante
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 3 жыл бұрын
Yea kweli mimi imewai kutokea kwangu mimi mwenyewe kazini. Ila sasa nimepata mawazo mpya na njia mpya yakufanya kazi. Mungu akubariki naanibariki na mimi pia.
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 жыл бұрын
Asante sana kaka
@kidemimsuya4198
@kidemimsuya4198 3 жыл бұрын
Habar kaka nauka mm ni campany nimeajiri watu hayo mambo nimekutana nayo .... Tena ilo jibu la mm sio jukumu langu ndio sanaaaa .... Nimeshampikiria kuachana na uyo staff kwenye kazi.. na kazi mda ukiisha anaondoka hata kama kuna wateja... Anasema mda imekwisha. .. na pia sitolipwa pesa yA mda unsongezeka..... Wakati kuja kazini kachelewa nusu saa nzimaa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Sawa sawa, inawezekana hayuko sehemu sahihi usiendelee kumngangania
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 жыл бұрын
Ntumie no yk plz
@rogersabisai9970
@rogersabisai9970 3 жыл бұрын
Asante saaana
@piuswilson2502
@piuswilson2502 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@rafaelmwanyila6134
@rafaelmwanyila6134 3 жыл бұрын
Haya unayofundishaa ni muhimu sanaa,
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante Rafael,tuyafanyie kazi
@arboghastkayanda561
@arboghastkayanda561 3 жыл бұрын
Absolutely your lesson it's enchanting for me and be blessed in Jesus name
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen🙏
@dr.mikeeliabumasakimd3264
@dr.mikeeliabumasakimd3264 3 жыл бұрын
Great
Aina 6 Za Boss Wakorofi Na Jinsi Ya Kuwakabili
14:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 260 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 39 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,4 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Njia Saba (7) Za Kugundua Kipaji Chako - Joel Nanauka.
13:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 43 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 127 М.
NJIA 4 ZA KUPATA REFERRALS HADI KUPATA WATEJA WENGI ZAIDI
5:50
Amani Longishu
Рет қаралды 31
FAHAMU MADHARA YA UBINAFSI. MR KALUNGU
14:16
Chomoza Tv
Рет қаралды 245
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 152 М.
Tabia 4 Zinazoleta Fursa Kubwa
6:36
Joel Nanauka
Рет қаралды 86 М.
UNAPOSAIDIA WATU - JOEL NANAUKA
7:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 52 М.
Njia Sita (6) Za Kuboresha Mahusiano Yako  - Joel Nanauka
6:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 39 МЛН