KAULI TATA 5 ZA MAGUFULI KWA WATANZANIA KABLA HAJAFARIKI

  Рет қаралды 269,067

Jicholauswazi

Jicholauswazi

3 жыл бұрын

SUBSCRIBE BOFYA HAPA / @jicholauswazitv

Пікірлер: 148
@alakhyissa1469
@alakhyissa1469 4 ай бұрын
Innallahi wainna ilaihi rajiuni.. Mungu akujaalie kauli thabiti na akuhifadhi pahala panapostahili. Hakika ulitenda na ulinena, yaliyondani ya Moyo ajuaye ni Mungu pekee.
@petromwalongo3458
@petromwalongo3458 3 жыл бұрын
Hakika tutakukumbuka milele na daima pindi tuwapo hapa duniani ee mwenyezi mungu tunakuomba umpumzishe mahali pepa peponi amina
@theresiandomba3547
@theresiandomba3547 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima baba,,wengi wenye akili,hufanya mambo makubwa sana kwa muda mfupi,watu wema,,pumzika kamanda,serious pain
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 Ай бұрын
Omuyango,...omuzila nkende.😭😭😭.KIFO CHAKO ni utata mtupu.Pumzika Kwa Amani Mpendwa wetu.
@humphreykarua5241
@humphreykarua5241 2 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli ulifqnya maendeleo mengi kwa miaka 5tu ,aliye na macho aambiwi tazama
@jacksonkadwela3369
@jacksonkadwela3369 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwa kazi yako nzuri hapa tanzania R. I. P.
@Worldunite
@Worldunite 3 жыл бұрын
Daah, JPM kweli ulikuwa mtu wa imani, rip my beloved president
@kessymohamed1322
@kessymohamed1322 Жыл бұрын
Mungu akurehemu baba, yale uliyoyatabili leo tunayaona, hali ya mfuko wa bei ni hatari Tanzania
@mirajalawe-xe5ns
@mirajalawe-xe5ns 7 ай бұрын
Allahuma ghufirlahu warahmhu waskinhu fil janna
@funnyprank3098
@funnyprank3098 4 ай бұрын
🤲🏻🤲🏻
@ashaomari-rb1uu
@ashaomari-rb1uu Жыл бұрын
Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi mpendwa wetu ameen
@brysonkamoja3742
@brysonkamoja3742 3 жыл бұрын
Mungu Akulinde Kwenye Safari Yako Mtetezi Wawanyonge
@ZainaHashimu-bm7tn
@ZainaHashimu-bm7tn Жыл бұрын
Punzika kwaamani baba etu tulikupenda sana tutakukumbuka daima
@utumishich4575
@utumishich4575 Жыл бұрын
Hakika Jembe letu tutakukumbuka Baba ulikuwa NGUZO IMARA Kwa watanzania hakika
@user-od8zb5df6l
@user-od8zb5df6l 4 ай бұрын
Baba asante , pumzika.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mathiasrumanyika7841
@mathiasrumanyika7841 3 жыл бұрын
Pumzika Kwa Amani Jembe Kutoka Chato
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 3 жыл бұрын
Mungu akulaze pema peponi 😭😭😭😭 R. I P 💔💔Raising Jonh pombe magufuri
@cudoplatnumz5618
@cudoplatnumz5618 3 жыл бұрын
Hutakiwi kusema ivy Rey
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 3 жыл бұрын
@@cudoplatnumz5618 Inauma sana tena sana mungu amlaze pema peponi yani huyu baba kaumiza nyoyo za watu tunamuombea kwa mungu amlaze kwa amani alale kwa amani kwenye nyumba yake ya milele
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
@@rehemaaithumani3076 wanao ingia peponi ni wale walio mafuta mtume mohamed mtume wa mwisho NA dini ya kiislaam tu sasa huo magufuli anamua mini mtume mohamed
@RaymondMahundi
@RaymondMahundi 7 ай бұрын
Umelala baba..lkn hakika ya moyo wangu umelala mikononi mwa Mungu ulijitoa sana kwa taifa lako.wapigaji wote wa taifa walikimbia.maendeleo ya kweli kwa taifa langu mama Tanzania nilianza kuyaona kwenye kipindi chako.baba na ule wimbo wako ulikua unaimba kua Tanzania ni tajiri.ambao sikuwahi kuusikia katika kipindi cha kiongozi yeyote wa taifa hili.nashangaa sana baada ya wewe kuondoka wanaita Tena Tanzania ni nchi maskini
@kawingamashaka8749
@kawingamashaka8749 Жыл бұрын
Ulikuwa kipenzi Cha watu.Tutakukumbuka sana
@user-hy8nj3nj6i
@user-hy8nj3nj6i 9 ай бұрын
❤❤❤❤magufuli jembe
@kimarioedifesta4161
@kimarioedifesta4161 2 жыл бұрын
Tunakukumbuka baba
@user-ps4jt6gi9k
@user-ps4jt6gi9k 10 ай бұрын
Tulikupenda baba yetu kipenzi ila Mungu kakupnda zaidi pumzika kipenzi chetu pumzika kwa amani mungu akupe pziko la mile ameni
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
mtanikumbuka na tunakukumbuka kweri ile nchi ipo mikononi mwa majambazi wanao jali masilah yao utafikili hawata kufa
@qimramaa668
@qimramaa668 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa Allah Akbar
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 3 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Ай бұрын
Ulinena thabiti na ukatenda mazuri na ukaipenda Tanzania
@gracewanjiku9097
@gracewanjiku9097 10 ай бұрын
Tunakukubuka kwa mengi sana❤baba mungu akubaliki uko🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-mt2jp8ug4n
@user-mt2jp8ug4n 10 ай бұрын
Hakika hatutapa kiongozi shujaa na mkweli kama ww, vita umevipiga, mwendo umeumaliza, hakika mungu akufanye miongoni mwa malaika zake, ila endelea kutuombea.
@withongelenge997
@withongelenge997 10 ай бұрын
True leader,,,,,true driver,,,,,dady of africans----->R.I.P
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Ni miaka miwili Sasa ,endelea kupumzika kwa amani. Huwa nawaza huwa uliuguaje aje Ivo ukawa serious Hadi hatua ya kufa😭😭😭
@BethaniaChaula
@BethaniaChaula 8 ай бұрын
Tunakuku mbuka baba jpm kwayoteulio2tendeababa munguakurehemu sikwahila niukwelikutokamoyonimwangu munguakupokeebab yangu
@user-nh1nn2xo2b
@user-nh1nn2xo2b 6 ай бұрын
Nikweli baba mungu akupe kita Huko mbinguni we uko peke yako Africa inzima
@amoniTv1148
@amoniTv1148 3 ай бұрын
Nenda jembe umemaliza mwedo mimi nitakuja huko uliko AMENI
@JumaMusa-qr9gd
@JumaMusa-qr9gd 2 ай бұрын
Dan pumzika kwa amany
@MATWETWEOGORO
@MATWETWEOGORO 10 ай бұрын
We will still engrave you in our hearts.Because He is the Hero.we loved you papa Mgufuli
@stivininjingo504
@stivininjingo504 4 ай бұрын
To God be the glory
@reubenraphaelndelema6232
@reubenraphaelndelema6232 Жыл бұрын
Lala salama mzee wetu ulifanya kazi kubwa mno
@mariamjackson9256
@mariamjackson9256 3 жыл бұрын
💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭sawa baba umeenda zako💔💔💔💔😭😭
@livinusmugisha5469
@livinusmugisha5469 Жыл бұрын
Dha tulikua tumepata kiongozi kwakweli
@boscomakela2228
@boscomakela2228 8 ай бұрын
There is no leader like a John Magufuli
@user-ld9sr3ws7p
@user-ld9sr3ws7p 5 ай бұрын
Ameen
@user-zu9jg8hx5l
@user-zu9jg8hx5l 4 ай бұрын
R.I.P BABA YETU MUNGU AKUPE KHERI YA MAISHA YA MILELE MBINGUNI .
@mariamjackson9256
@mariamjackson9256 3 жыл бұрын
Najua uko peponi💔💔😭😭😭😭😭🙏
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Baada ya kuja mtume mohamed hamna dini etakubaliwa usipo muamini mohamed utaingia motoni hamna cha peponi kwa makafiri
@natupe123
@natupe123 Жыл бұрын
Eti Mudi😃😃😃😃😃
@moshintagata100
@moshintagata100 Жыл бұрын
Mungu akupunguzie azapu tulishajuta
@boniphacezephrine3496
@boniphacezephrine3496 2 жыл бұрын
Daaaah hiii saut itokayoooo nyikan n ya wachache love sanaaa always in my mind
@HappinessAko-gu5dz
@HappinessAko-gu5dz 4 ай бұрын
Mungu akuweke pema peponi baba
@geoffreyibrahim7438
@geoffreyibrahim7438 3 жыл бұрын
No one like you uncle magu Rip
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Ni kweli aliuwawa rais wetu jpm, mbona hakutangaza wakati anaumwa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Walimuuwa
@kisiwaumwitakt1334
@kisiwaumwitakt1334 2 жыл бұрын
yaa god be award u
@gemadominic3976
@gemadominic3976 3 жыл бұрын
Tayari tushakukumbuka Baba
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Leo atuko na sauti hii tena ktk dunia hii ni swali la kujiuliza kwa mzalendo yeyote tulimkosea mungu wapi mpk tukapoteza aman kama hii kwa kizazi hiki cha sasa rip jpm
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 Жыл бұрын
Hivyoo hizi pesa viongozi wa Temeke wamezirudisha au bado maana hata Rc Makalla naye kapigia sana kelele..
@user-gy1jk1dq3x
@user-gy1jk1dq3x 10 ай бұрын
Hotuba za magufuli
@victorodinga7722
@victorodinga7722 5 ай бұрын
Endelea kupumzika kwa amani
@NasimaSaidi-zm4mi
@NasimaSaidi-zm4mi Жыл бұрын
Daaah alikua shujaaa sana mungu ampe kauli thabithi uko alipo
@JumanneMahenda-bk1js
@JumanneMahenda-bk1js 4 ай бұрын
Baba jaman
@eliudjamess4231
@eliudjamess4231 Жыл бұрын
RIP papaa umetuacha tunaungua
@amosimsanjiramvaila9045
@amosimsanjiramvaila9045 2 жыл бұрын
baba nikweli hatuta pata rais wakweli kama wewe daima sasahivi tunako elekea nipabaya zaidi mtwara teyali kimesha nuka
@jamilajuma4458
@jamilajuma4458 Жыл бұрын
Nampenda sana raisi wetu
@mustafahassan1837
@mustafahassan1837 2 жыл бұрын
Ulikua mfariji na RAISI wakweli mungu akuweke mahali pema amin
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Lazima kuamini mtume mohamed bila ya hio hakuna cha kulaza mahali pema dini kwa mungu ni uslaam bas
@jemedarikalimasi5754
@jemedarikalimasi5754 2 жыл бұрын
Amina amina baba.
@zenamshamu8834
@zenamshamu8834 3 жыл бұрын
Hili ni jembe letu mungu alazee mahal pema
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Mungu anamlaza pema ule aliyo muamini mtu mohamed
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Жыл бұрын
Magufulinmwinginenatapatikana baada ya mama kutokaa
@nelsonantonio5834
@nelsonantonio5834 2 жыл бұрын
ameen
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Samia upo wp uharibifu unao endelea wiz rushwa panda Road mauwaji nini hii mama simama imara ihimiza kumtegemea mungu sana sana
@godfreyshirima1480
@godfreyshirima1480 Жыл бұрын
Usia wa baba kweli tunakukumbuka kwa mazur wala si mabaya
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Leo Bandali akuna Baba .Mama wamemujumu Ludi Baba wakina nape ndo miungu sasa
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 9 ай бұрын
Daah!!!😭😭😭
@johnsonmeduwa6634
@johnsonmeduwa6634 Жыл бұрын
The only one in the twenty first century
@elizabethjacob9656
@elizabethjacob9656 Жыл бұрын
It's break my heart into pieces 💔💔
@sharifasaidy6399
@sharifasaidy6399 10 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@johnsonmeduwa6634
@johnsonmeduwa6634 Жыл бұрын
How I wish your a Kenyan to lead us for just five years
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 Жыл бұрын
U av Ruto but u have started to insult him like some Tanzanians did for JPM. He is passing through his footstep but u r putting him down through that cursed raila every time people dies through his mandamano
@user-dw3vs4ff1b
@user-dw3vs4ff1b 10 ай бұрын
Great loss to the Africans unity,Vita vya kiuchumi ni mbaya sana and that is what led to his death
@AnastaziaKundi-mv8mr
@AnastaziaKundi-mv8mr 10 ай бұрын
Dhaaa!!
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Tena walipe sio sababu raisi ameondoka walipe
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
Namu namu watanzania masikini jamani
@kombozimbwilo4289
@kombozimbwilo4289 3 жыл бұрын
DA COMMANDO WETU WAMEKUALAKISHA ILO TUNAJUA KWA AJILI YA WANAICHI WAKO SABABU YA MAENDELEO YA KASI
@johnsmollel
@johnsmollel Жыл бұрын
Hakika tunakukumbuka sana
@frankpius3028
@frankpius3028 2 жыл бұрын
Good bless lema
@alfonsimwalongo9164
@alfonsimwalongo9164 Жыл бұрын
Najiona rahisi wa baadae mimi😢
@safinamdingi2338
@safinamdingi2338 3 жыл бұрын
Pumzika baba wetu najua uko mbinguni tayari
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Wewe ni muslm mbona unawaombea makafiri asiemuani mohamed haingi peponi
@innocentcleophace8583
@innocentcleophace8583 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢
@BornnyyMwankejela-sp9rq
@BornnyyMwankejela-sp9rq 10 ай бұрын
Tume miss
@KiditaSostenes-mt7fp
@KiditaSostenes-mt7fp 11 ай бұрын
Magnet milango
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 3 жыл бұрын
Sawa baba Jpm
@user-gy1jk1dq3x
@user-gy1jk1dq3x 10 ай бұрын
Mungu alitupa wewe Kama zawdi na ameichukua yeye ndo muweza wa yote pimzika kwa amani .achozi yetu
@AllanOmery
@AllanOmery Жыл бұрын
Nice 😢🎉
@happysanga6846
@happysanga6846 10 ай бұрын
Daima tutakukumbuka mile yote
@sandalathobias5015
@sandalathobias5015 2 жыл бұрын
Hiviiiiii jaman ni kwel mm ad waleo c elew
@cristianagero
@cristianagero Жыл бұрын
Upumuzike kwa amani
@user-ix2bh6be4k
@user-ix2bh6be4k Жыл бұрын
❤hm😢
@ntegrity277
@ntegrity277 2 жыл бұрын
Mziki huo Ni mkubwa mno! Hauna maana
@floramwanja7860
@floramwanja7860 Жыл бұрын
Kikundi cha msoga hatukitaki ,majambazi wote wamerudishwa n hili limama,mikataba inasainiwa nje ya nchi,masafari kila siku nje ya nchi😫😫😫
@ramadhanikidoga3599
@ramadhanikidoga3599 Жыл бұрын
Huna adabu
@kimarioedifesta4161
@kimarioedifesta4161 2 жыл бұрын
Jamani baba
@jacksonchiwalanga4817
@jacksonchiwalanga4817 2 жыл бұрын
Rest In Peace our hero 😭
@jumamusa4252
@jumamusa4252 Жыл бұрын
Dua nene
@zakariampompo953
@zakariampompo953 2 жыл бұрын
Tunakukumbuka sass
@user-nh6gg7zj4q
@user-nh6gg7zj4q 7 ай бұрын
Tutakukumbuka
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Inaumasana
@timboxlee919
@timboxlee919 3 жыл бұрын
Wana ha ha ha ha tu uchumi umeshuka sana
@Annual_classic_offecial
@Annual_classic_offecial Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa uyu
@twariburashidi4907
@twariburashidi4907 3 жыл бұрын
Pumzika Salam baba yetu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Dini kwa mungu ni uslaam NA asiemuani mtume mohamed amapotea
@abasisulle948
@abasisulle948 2 жыл бұрын
Tanzania aita kusaau baba
@jeremiahrukubo7728
@jeremiahrukubo7728 Жыл бұрын
achaa.tuu.inaumiza
Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI
11:36
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
Maneno ya mwisho ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli  Jemedari wa Afrika
2:12
Holy Melody Singers - Tanzania
Рет қаралды 1 МЛН
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН
ToRung short film: the robber pretended to be a statue😬
0:30
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,1 МЛН
Утонуть НЕВОЗМОЖНО 😱 #Shorts
0:19
ФАКТОГРАФ
Рет қаралды 3,6 МЛН
Gymrat CAT is a CHEATER?! 🙀 #kitten #cat #cute #aicat
0:45
Stunning Cat Stories
Рет қаралды 10 МЛН