Live ▶|| Ibada Ya Lunch Hour | 26 - 06 - 2024

  Рет қаралды 428

Azania frontTv

Azania frontTv

14 күн бұрын

karibu katika Ibada ya mchana ( lunch Hour )
▶ Somo: JIFUNZE KUYAAMBIA MAPITO YAKO JUU YA UAMINIFU WA MUNGU WAKO.
.............
MWANZO 22: 1 - 3
1. Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Abrahamu, akamwambia, Ee Abrahamu! Naye akasema, Mimi hapa.
2. Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.
3. Abrahamu akaondoka alfajiri, akatandika punda wake, akachukua vijana wawili pamoja naye, na Isaka mwanawe, akachanja kuni kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa, akaondoka, akaenda mpaka mahali alipoambiwa na Mungu.
MITHALI 12: 22
22. Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
DANIELI 3: 15 - 18
15. Basi sasa, kama mkiwa tayari wakati mtakapoisikia sauti ya panda, na filimbi, na kinubi, na zeze, na santuri, na zumari, na namna zote za ngoma, kuanguka na kuisujudia sanamu niliyoisimamisha, ni vema; bali msipoisujudia, mtatupwa saa iyo hiyo katika tanuri liwakalo moto; naye ni nani Mungu yule atakayewaokoa ninyi mikononi mwangu?
16. Ndipo Shadraka, na Meshaki, na Abednego, wakajibu, wakamwambia mfalme, Ee Nebukadneza, hamna haja kukujibu katika neno hili.
17. Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuri liwakalo moto; naye atatuokoa mkononi mwako, Ee mfalme.
18. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.
▶ Mhubiri: Mwl.Witto Mwasakifwa
.............
👇👇👇
// NAMBA ZA SADAKA //
▶ LIPA KWA [ M-PESA ] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174
JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL
▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL
TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:
/ kkkt_azaniafront_cathedral
Website: www.azaniafront.org/
Facebook:
/ kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079
#azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour #morningglory #sundayservice #lutheran

Пікірлер
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 693 М.
Live ▶|| Ibada Ya Morning Glory  |    02 - 07 - 2024
1:17:28
Azania frontTv
Рет қаралды 509
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 18 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Γέροντας Εφραίμ Βατοπαιδινός | «Η Βασιλεία του Θεού εντός υμών εστί» - Ομιλία Πέμπτης 27/06/2024
53:59
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,4 МЛН
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
LIVE  ▶ |  IBADA YA  TATU | JUMAPILI  | 30 / 06 / 2024
1:59:47
Azania frontTv
Рет қаралды 323
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 184 М.
ROMAN CATHOLICS
18:34
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 73 М.
#MUNGU DHIDI YA MIUNGU |PR.DAVID MMBAGA| SIRI ZA AJABU
1:10:33
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 18 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 13 МЛН