Makalla Acharuka, Adai Watu Wanapotosha Hotuba ya Rais Samia Kuhusu Sakata la Mauaji, Utekaji

  Рет қаралды 4,543

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa hotuba yake aliyoitoa Mkoani Kilimanjaro ya kukemea vitendo vya utekaji na mauaji huku akiliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina kubaini wale wanao husika na vitendo hivyo.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 78
@edwardwatson7552
@edwardwatson7552 4 сағат бұрын
Hutuba yenyewe ilijaa taalabu Sasa hotiba gani hiyo
@NikasiMbuya
@NikasiMbuya 4 сағат бұрын
Tulisikia wenyewe Huna, haja ya kurudia
@navarangaabdalah9632
@navarangaabdalah9632 3 сағат бұрын
uchunguzi ufanyike na apelekewe taarifa, swali ni nani anajukumu la kulinda raia? na nani atafanya uchunguzi? usitutoe kwenye njia mzee.
@AbrahamSekuze
@AbrahamSekuze 4 сағат бұрын
Siwalaumu mna maisha mazuri sana teteeni tuu ni muda tuu ukifika utajulikana uwongo ukweli utajulikana
@wisdomfolks
@wisdomfolks 3 сағат бұрын
Hotuba na yenyewe inahotubiwa aliyo yasema kashayasema
@ellyjeremia9401
@ellyjeremia9401 4 сағат бұрын
Mbona unatumia nguvu kutwambia kwani hatuna akili
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Ndio hamna akili
@petromahava865
@petromahava865 3 сағат бұрын
ugali huu utatutoa roho😂....watetea ugali ..
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 сағат бұрын
Hii nchi hata sielewi inakoelekea kwasababu hotuba aliyoitoa rais kule kilimanjaro ilikuwa hotoba iliyojaa maneno ya ovyo sana hotuba iliyokuwa imejaa maneno ya ovyo yaliyokuwa yanawapa nguvu watekaji na wauaji waendelee kuteka na kuua
@neemanziku5403
@neemanziku5403 37 минут бұрын
Et tumeota mikia
@josephfrank4446
@josephfrank4446 4 сағат бұрын
Mama aliongea ila amekosea kusema alicho kisema amekosea Mimi sio mwanasiasa ila mama kakosea
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Hajakosea ni uelewa tu huwezi raisi kakosea haya sema wewe basi mmelishwa matango pori na mbowe mpaka hamuelewi
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o 4 сағат бұрын
Lazima useme ivo kwa7b yatumbo lako kwa huo utajiri mliojizolea majumba na ma-apartments mliojenga mbweni, sarasara ,madale masaki na ununio unawezaje kumkosoa boss wako
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Acha wivu wewe ukipata madaraka hutajenga?
@kichachu6391
@kichachu6391 3 сағат бұрын
Kuimani ccm ni sawa na kuamuamini shetani
@neemanziku5403
@neemanziku5403 38 минут бұрын
🤣🤣🤣🤣 Tena zimwi Bora shetani
@HezroniJonh
@HezroniJonh 3 сағат бұрын
Yani unaona hawo CCM wenzako mazombi awaelewi lolote unawadanganya tu
@kwisa4899
@kwisa4899 2 сағат бұрын
Kumbe nanyie mumetiwa aibu😂😂😂😂
@KingBoy-tu6pu
@KingBoy-tu6pu 4 сағат бұрын
Unaongea mpaka unajionea aibu kwenda
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 4 сағат бұрын
Una maana makala watu wajinga wewe na genge lenu la watekaji ndio werevu wa kutuchambulia hiyo hotuba ya bosi weenu.
@saiditasher8362
@saiditasher8362 3 сағат бұрын
Wewe mzee kaisikirize tena utuba yenyewe arafu ujiulize anapaswa kiongozi kumzungumza vile ovyo ovyo amnahata ahibu nyie
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 4 сағат бұрын
MMESHIBA
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Kashiba nn au ww ndio umevimbiwa
@waziriismail7595
@waziriismail7595 3 сағат бұрын
Maisha ya kupe yanategemea uhai wa ng'ombe,hivyo ni vigumu sana kupe kumlaani ng'ombe!
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 сағат бұрын
Mbona wewee unamsaidia lisu ukiwa tayari kufa unafikiri wewe ni nani kwa lisu, ni kupe lililo kaa kwenye njia ya lisu akipita umdande. Nyokolive
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 4 сағат бұрын
Hatukutegemea useme tofauti na haya. uliyosema
@KingBoy-tu6pu
@KingBoy-tu6pu 3 сағат бұрын
Unatuona watanzania ninyumbu sindio tutakutana 2025 mtatujua
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Kwenda utamjua nani
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 4 сағат бұрын
Hamna sera wala jipya.ccm ilishakufa mda sana😊nikama tissue paper
@AbrahamSekuze
@AbrahamSekuze 4 сағат бұрын
Tubadilike kama afrika ya kusini Zuma kamati kuu ili mtoa baada ya kufanya ndivyo sivyo
@saidiekela6349
@saidiekela6349 3 сағат бұрын
Tena alituita maulukutabu
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 4 сағат бұрын
Makala wewe usione huko mbinguni kwamba haya hayakuhusu ipo siku utaachia hiyo nafasi
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml 3 сағат бұрын
CCM MUST GO
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Chadema kifutwe kila leta fujo
@ShalomPictures
@ShalomPictures Сағат бұрын
​@@mussamapesa8863angetekwa baba Ako ndy ungeelewa
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 сағат бұрын
Nyie matekaji tu hakuna mwema hapo
@dasadremandad9208
@dasadremandad9208 Сағат бұрын
Esse tipos de pessoas são perigosas dentro do país
@yohanakateko
@yohanakateko 3 сағат бұрын
Mama bhana hanajielewa mwenyewe
@BarakaWiliam-hx9nk
@BarakaWiliam-hx9nk 4 сағат бұрын
Yaaan ngurue akishiba kazi kunya tuu wewe ni ngurue
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 2 сағат бұрын
Yaani makara anajitahidi afunike Rais Ni aibu sana raisi akisikika serikali yake Ina interegensia kubwa yakujua vyama vya siasa zinataka kuihujumu serikali yake, Ila interegensia ya watu kutekwa na kuuwawa ndo haipo?? Maana aliwakazia sana wapinzani, kitu ambacho sisi watanzania tumeisha muogopa Rais yaani ametutisha sana wengine tupo chini ya uvungu saa hii
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 36 минут бұрын
Makonda upo wap mtetezi ulobaki mbona sijakusikia kusema kitu
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 3 сағат бұрын
kusifiasifia huwa sijajaliwa hata kama unachezea kwenye dining table yako
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 4 сағат бұрын
Chawa
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz 4 сағат бұрын
Weni kada lazima umsifie mkuuwako
@danielmwanjali2449
@danielmwanjali2449 3 сағат бұрын
Chawa huyu
@abnermailos8043
@abnermailos8043 4 сағат бұрын
Ujinga
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 сағат бұрын
Mmechafuka sana ccm wala hamtakasiki
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 4 сағат бұрын
Kila kitu kupongeza 😢😢
@HonestMchau
@HonestMchau 26 минут бұрын
Daaaa nimechoka had kucha
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 3 сағат бұрын
PUMBAVU SANA,BOSS WENU KASHAONGEA KUFA NI KUFA TU,YAWAPENDEZA KUUWA ULICHOKIUMBA ,KAMA MUNGU YUPO NA MNAJUA YUPO ENDELEENI KUCHUKUA NAFASI YAKE NA MWISHO WAKE UTAFAHAMIKA WASHENZI SANA.
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 30 минут бұрын
Wa Tz tunaelewa na tunaakili kumsikilizisha kama ulivoelewa wewe ni ngumu sana km Kuna Mahali alitumia maneno yaliyoleta taharuki km mkia fafanua maana yake kuondoa lilivotafusiliwa vibaya naye ni mwanadamu anaweza kukosea mungu tusaidie
@georgewambura7695
@georgewambura7695 4 сағат бұрын
Kazaneni tu mtafika tu kwenye nchi ya Hadi Kufa kupo tu mheshimiwa
@RajabuMussa-h5n
@RajabuMussa-h5n 57 минут бұрын
Mbona sativa alitekwa na aliwataja waliomteka hawajakamatwa hadi leo na kwa lisu mbona hakuna alio kamatwa au uchunguz ni miaka mingapi
@samwelmkufya3694
@samwelmkufya3694 3 сағат бұрын
Kwanza ndg waandishi wetu naomba mnieleze nini maana neno KUCHARUKA ndipo nitoe maoni
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 52 минут бұрын
Msindanganye toto SOKA na kijana wa Mbeya upo apo Nyonyo
@greyuhagile5051
@greyuhagile5051 3 сағат бұрын
Rasta zinafuga chawa hatuwezi kuacha kula nyama..
@djunction4127
@djunction4127 4 сағат бұрын
Hatuwatak wekeni akili hilo
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Ww akutake nani
@danielkanso
@danielkanso Сағат бұрын
Tetea baba nafasi mnayo maana wengi wenu mlimshauri rais vibaya
@yassinmchekwa
@yassinmchekwa 3 минут бұрын
Ugali tu
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 2 сағат бұрын
Sijakuelewa mheshimiwa naomba urudie tena
@issahmwakinyuke9506
@issahmwakinyuke9506 2 сағат бұрын
Acha ujinga unaisi kuwa watanzania hawajui lugha?
@Michaelmollel-bv7qw
@Michaelmollel-bv7qw 2 сағат бұрын
Nyie tuna fyeka wote
@meckgodfrey7334
@meckgodfrey7334 4 сағат бұрын
😇
@barakabusima
@barakabusima 2 сағат бұрын
😂 jamani Dunia
@rejobu9723
@rejobu9723 4 сағат бұрын
Mmh! 😅😅
@JumanneGibson
@JumanneGibson 3 сағат бұрын
Makala koma baba uchawi inalipa xana
@ashtube1333
@ashtube1333 3 сағат бұрын
Uchochezi tu hotuba haina ubaya watu ndio wabaya Mungu atalipa
@JemisKileto-k6e
@JemisKileto-k6e 4 сағат бұрын
Watanzani sasahifi sio wajigaa viongozi wa ccm acheni madharau hats matamushi yenyu bado mbaya sana sisi vijana hatuna Tena imani na ccm wamefeli sana
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 3 сағат бұрын
Ww ndio huna imani na ccm
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 сағат бұрын
Makala.sio.wajinga.kama.unavyo.fikili.
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 3 сағат бұрын
Mipasho
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Сағат бұрын
Afadhali
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@IvanRaphael-hh6zz
@IvanRaphael-hh6zz Сағат бұрын
😂
@happymrema7487
@happymrema7487 Сағат бұрын
Tetea ugali wako
@neemanziku5403
@neemanziku5403 40 минут бұрын
Mheshimiwa makala yan bado unatudanganya wakati hotuba tumeisikia wenyewe
Mbarikiwa amlipukia vikali makonda kwa kauli yake ya kubeza mapadri na wachungaji.
25:51
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,1 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 68 М.
HELA ZIKO HUKU RAFIKI ZANGU/MASANJA AWEKA WAZI HATUA ZOTE
27:16
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 255 М.
MIPANGO YA KUMUUA MAMA SAMIA NA GWAJIMA.
34:11
huduma ya kristo
Рет қаралды 8 М.