Mbarikiwa amwaga mboga na ugali. Aweka hadharani nyaraka za SERIKALI, aeleza "rafu" kusajili kanisa.

  Рет қаралды 64,151

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 261
@malyondanga4635
@malyondanga4635 Жыл бұрын
mtumishii nakuerewaga mno hasaa nyimbo zako za ujumbee munguatakushindia
@mburujamburuja548
@mburujamburuja548 2 жыл бұрын
Pole kwa kadhia hii. Mlilie Mungu aliyekupa utumishi atakutetea.
@bettymwano7011
@bettymwano7011 2 жыл бұрын
Pole sana,Msemaji wa mwisho ni Mungu pekee
@stevennjalika449
@stevennjalika449 2 жыл бұрын
Amen mpaka hapo baba mbarikiwa nihuwakika yakuwa Sana haki yatuongoza naneema ya mungu yatuongoza camooon sitaacha kuabudu lije lolote !!!!!
@emmanuelmbinga4901
@emmanuelmbinga4901 Жыл бұрын
Pole sana mchungaji mungu yu pamoja na wewe usikate taamaa endelea kupambananao
@machendetv
@machendetv 2 жыл бұрын
Kwanza Pole Sana mtumish pili Mungu hatawaacha salama hata hao viongozi wa makanisa Mungu hatawaacha pia Naomba Mungu akutie Nguvu Mtumishi
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 Жыл бұрын
Pole sana. Hivyo ndivyo wafanyavyo Watu wasio na hofu ya Mungu. Mimi binafsi nimepitia hayo hata kusingiziwa kuwa kinyume na serikali. Utashinda
@mestonianatori7254
@mestonianatori7254 2 жыл бұрын
La!! Mchungaji Umenyooka kama Chuma Cha puwa!!. Yaani iwe iwavyo wewe na HAKIIIiii!!! DU!! 🧐kweli unatufundisha kwa vitendo. Baba Asante saaanaaaaaaa👏👏👏👏👏
@mariammidesko128
@mariammidesko128 2 жыл бұрын
Nimekusikiliza mwanzo had mwisho Mtumishi wa Mung. Pole kwa yote uliyopitia Mungu yupo atafanya njia pasipo na njia m naamini mambo yatakuwa sawa tu Mungu yupo. Pole sana Baba
@mestonianatori7254
@mestonianatori7254 2 жыл бұрын
La!! Baba kweli (MAFALISAYO) Mungu Anawaoma. Kumbe wao ndio chanzo Cha vikwazo vyote hivi unavyo vipitia-la!!... Moyo unaniuma😭😭😭. Ndio MAANA YESU alijitenga na Hawa viumbe pole saanaa baba Ila hekima ya Kuyaweka wazi NI njema saaanaaaa, inaweza ikawa na matokeo chanya. 💪
@billmkushi849
@billmkushi849 2 жыл бұрын
Hamna adui hatarii Kwa mwokovu kama masadukayo na mafarisayo wa sasa. Hatarii mno Kwa maisha ya kimwili Bali hawatofanikiwa kamwe.
@mussamanumbu3718
@mussamanumbu3718 2 жыл бұрын
Dah mpaka nimetoa machozi pole sanaaaa mtumishi
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa 2 жыл бұрын
Kweli watumishi wa kweli hawapendwi Mungu yupo pamoja na wewe
@eliamanigolitagolitamsengi9348
@eliamanigolitagolitamsengi9348 Жыл бұрын
Pole sana, una maono makubwa ndo maana visa vingi. Ushauri Wangu Tuliza dhoruba za Moyo wako na utafika Mbali( By Pastor, Tony Kapokola)
@cathelinematondo3992
@cathelinematondo3992 2 жыл бұрын
Mungu mtie nguvu sana Baba yangu.ametufanya tuimarike Sana kiimani kutokana na mfumo wa Ibada.
@muhamedhussein2629
@muhamedhussein2629 Жыл бұрын
Huyu ni muongo kwann unawadanganya hao unaowaongoza kanisani
@elbashilhussein3904
@elbashilhussein3904 2 жыл бұрын
Pole baba mtendaji huyo nishetani kabisa nahatuko ivi binadamu
@davinesfarm2178
@davinesfarm2178 2 жыл бұрын
Ameeeen Baba,, kwa haya yote kuna bazi watakosa pakujificha yaani haowote nikama umechoza myuki ila umefichua vificho vyao hathalani wewe hakika ni mwana mapinduzi Shuja wa Mungu.
@anitasimchimba4693
@anitasimchimba4693 2 жыл бұрын
Usikate tamaa Mtumishi wa Mungu acha mwenye kazi yake alisimamie hili Mungu mwenye haki aingilie kati
@deusmasalyuka7683
@deusmasalyuka7683 2 жыл бұрын
Dah! Ni machungu sana! Pole baba , Mungu akusimamie!
@evainnocent9520
@evainnocent9520 2 жыл бұрын
Jaman angalien msiingie mgogolo Na Mungu muachen MTU Wa Mungu afanye kusudi aliloitiwa imeandikwa ashindanae Na Bwana Atapondwa kabisa.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Serikali mnaonyesha udhaifu mkubwa katika hili
@sofianafasi6285
@sofianafasi6285 2 жыл бұрын
Baba Mbarikiwa usemayo NI kweli tupu umekuwa adui kwakusema ukweli kama aishivyo YEHOVA ukweli utabaki kuwa ukweli mkono wa BWANA uwe juu yako✋✋✋
@lastbornwamhimbili6810
@lastbornwamhimbili6810 2 жыл бұрын
Serikali yetu kweli hofu ya Mungu imepungua,,,,,, najiuliza maswali mengi sanaaaa, kwakwelii mbarikiwa umetuonyesha namna shetani anavyopinga kazi za MUNGU
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Duuuuuuh kweri kazi ya Mungu inachangamoto sana nami nimekuelewa sana
@Valentinomichael367
@Valentinomichael367 2 жыл бұрын
Aisee pole sanaa mtumish
@KhairatkSarah
@KhairatkSarah 2 жыл бұрын
Baba mungu akutie nguvu nvyote bitaisha katika Jina layesu
@neemaedward4567
@neemaedward4567 2 жыл бұрын
Eeehhuu,sijui nisemeje hapa.Mungu simama na mtumishi huyu kwa lolote jema analolifanya mpiganie bwana maana wewe ni MWANZO NA MWISHO barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@sayunimkongwa9830
@sayunimkongwa9830 2 жыл бұрын
Viongozi wa Tanzania Kuna maisha mengine baada ya maisha haya tumuogope Mungu jamani kwa nini kuwa sumbua watu wa Mungu kiasi hiki ,Mtumishi huyu ana moyo Kama watu wengine jamani. Baba mchungaji dua yangu kwa Mungu akulinde.
@billmkushi849
@billmkushi849 2 жыл бұрын
Mungu ameruhusu haya. Ili akupe thawabu baada ya haya. Amini Kuna, MAZURI. Kwanza kanisa la Mungu CHINI ya huyu mchungaji, linakwenda kukua Kwa Kasi maana Shetani amelitangaza vya kutosha, ata sehemu ambazo KIKOSI KAZI WASINGEWEZA FIKA, SHETANI KAPELEKA HABARI ZA KAZI ZAKE NA JINSI ZILIVYOHATARI KWA UFALME WA GIZA.
@veronicakiganga4547
@veronicakiganga4547 2 жыл бұрын
Ama kweli kikulacho ki nguoni mwako. Mungu ndiye mwamuzi wa haki. Bwana ataimua mmoja arakayekutetea.
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Жыл бұрын
pole sana mbarikiwa. hata huu usajili wa makanisa n ushetan tu. wap yesu alienda kusajili huduma. unampa shetan akusajilie kanisa.
@levidavid1156
@levidavid1156 2 жыл бұрын
mtumishi waMUNGU hakika wew umeitwa naMUNGU kabisaa binafsi umefungua saana akili yanguu
@billmkushi849
@billmkushi849 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukufungua, utaona na utashangaa ila vita si vyako Bali vya master Yesu
@pendonkoswe2194
@pendonkoswe2194 2 жыл бұрын
Mungu ajitwalie utukufu kwa jambo hili mtumidhi
@emmanuelmtumishi9454
@emmanuelmtumishi9454 2 жыл бұрын
Pia YAWEZEKANA ATA WATUMISHI na manabii wa uongo wamehusika katika hili lkn mtumishi wa Mungu mungu akuongoze Sana Kuna watu n wapumbavu Sana kwenye hii dunia mungu akuongoze Sana pia ktk uendeshaji maana nyakati zijazo n mbaya Sana mungu akulinde wasije kutumia na njia nyingine mbadala kuua huduma
@antoniafundikira7408
@antoniafundikira7408 2 жыл бұрын
so sad jamani pole mtumishi, umepitia magum nno
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
Apo kwenye mavazi nimekuelewa sana,wakristo hasa wanawake wanadhalilisha sana ukristo kwa mavaz yao wawapo kanisani kw kisingizio cha kusema et Mungu anaangalia moyo wa mtu,nataman niwe muumin wako
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmh mavazi pia humutambulisha mtu alivyo. Huwezi KUWA mlokole kwelikweli alafu uvae kimini unakuwa unataka NN fahamu zegu huwa zinatekwa ndo mama tunafanya Mambo ya ajabu alafu tunadingizia eti MUNGU anaangalia moyo mmmh uvae NGUO ya kuonyesha UTUPU mmmmh na MUNGU atusaidie kujikana
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
@@geitandelwa299 sio vimin2 ata nguo zao hizo Zinazobana makalio kw Mimi bado hazifai
@emmyjoseph9037
@emmyjoseph9037 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu nguvu uliyonayo sio ya kawaida na ndio maana unapitia mateso makali, ila baba baada ya dhiki ni faraja. Piga kazi mbingu zote zinakulinda. Natamani sana kuabudu kwako ila umbali ndio tatizo unahuburi injili iliyonyooka. Simama baba hata ungeachiwa na wanadamu wote Mungu hata kuacha. Ni suala la muda tu Mungu ataonyesha ukuu wote. Pole sana kwa magumu unayopitia
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Naendelea kuelewa sio wanaosema BWANA sio wote waendao mbinguni
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 жыл бұрын
Aiseee watu humu duniani 🙌🙌🙌 Hakika sio Kila asemae Bwana Bwana atauona ufalme wa Mungu! Mungu akusaidie sana
@evangelistpetropiason6202
@evangelistpetropiason6202 2 жыл бұрын
Duuuh i nchi hii Au kwamba mateso ya mwenye haki Ni mengi mno ndo maana yake hii Mungu akutie nguvu endelea kumtetea YESU Mtu wa mbinguni Mwakipesile Mbarikiwa.
@veronicamwenda7449
@veronicamwenda7449 2 жыл бұрын
Mungu akufunike na kukushindia maana bila yeye ni Bure.
@emmanuelmtumishi9454
@emmanuelmtumishi9454 2 жыл бұрын
Vita vyako n vikubwa mtumishi wa Mungu unashindana na kundi kubwa la maadui Sasa hapo inabidi roho wa Mungu akuongoze maana kinacho weza kutokea hapo n Kama kilicho mpata yesu kristo nisinge penda kuona unapata matatzo Kama hayo mtumishi wa mungu
@adamsonkyando682
@adamsonkyando682 2 жыл бұрын
Jamani viongozi wa Selikali mlio akiriwa hapo mnashindana na Mungu mtapata madhara ambayo yatawagharimu maisha Yenu yote kazi ya Mungu msizuie mbona Mtumishi wa Mungu huyu anasaidia sana jamii hamuon kweli !!!!!? Huyu ni mtumishi wa Mungu kweli ebu msajilie watu waambikizwe kitu chema alicho kibeba Cha Kimungu
@wokovunikupona3558
@wokovunikupona3558 2 жыл бұрын
Selikari na hapa bado TU msikilizeni HUYU MTU wa MUNGU
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 жыл бұрын
Baba kwenye clip hii umejilipua sana ,ila namuomba sana Mungu akushike mkono sana na kukutia nguvu sana.
@elijiusdaniel9817
@elijiusdaniel9817 2 жыл бұрын
Hapa kweli baba mh.
@kapusitv
@kapusitv Жыл бұрын
Wachungaji nawahurumia Sana sio kwa visa na Mikasa mnavyovifanya.... Tubuni
@termankalendo1439
@termankalendo1439 2 жыл бұрын
Pole mtumish uyo ni shetani anamtumia hajui chochote.mungu amsamehee.. l feel ur pain😪
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Mungu msaidie Mtumishi wako wewe ndie utendae haki peke yako.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 жыл бұрын
Kumbe umetoka mbali sana baba yetu..
@macklinakabyazi3036
@macklinakabyazi3036 2 жыл бұрын
Hii dunia Mungu atusaidie, watu wanaweka ugumu ili neno la Mungu lisihubiriwe, jamani Mungu atatuhukumu siku ya Mwisho.
@ibrahimumwatwambo1058
@ibrahimumwatwambo1058 2 жыл бұрын
Thawabu ipo kwaajil yako baba Mungu akukumbuke
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
Pole sana kumbe ndo ivo duuh? apo umeeleka
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 2 жыл бұрын
Duuu pole sana, kweri dunia kuna matatizo
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 жыл бұрын
Nami hapo mbele nimeulizaa wa hubiri wa chungaji wako wapi ? Kwa kweli mungu onekana kwa hili 🙏🙏
@isackmichael5306
@isackmichael5306 Жыл бұрын
Mungu akupe nguvu hao ote wanayo sababisha neno la mungu kwenda mbele watahukumiwa na mungu pekeyake ubarikiwe baba
@chilembmayond9927
@chilembmayond9927 2 жыл бұрын
Dunia imefika mwisho hawapendezwe na watu wenye wa na muabudu Mungu kwakweli na haki shetani ametawala Dunia Omba sana fungal sana Mungu atakupiganiya usiogope
@shukranimpomwa7460
@shukranimpomwa7460 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Baba
@jastinejackson974
@jastinejackson974 2 жыл бұрын
Ama kweli viongozi wetu Wakumbuke kuwa yupo mhukumu wa haki wacjisahau hilo kisa wao ndo wameshika upini, Dunia co yao hilo walijue
@dianamwalongo9732
@dianamwalongo9732 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie kweli kabisa.
@zephanialuangwa618
@zephanialuangwa618 Жыл бұрын
pole sana mtumishi kiukweli nimtihani mkubwa
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 2 жыл бұрын
Paulo wewe umebeba kusudi la mungu ,,makanisa ya kuzimu yenye maagano na lusifa yanasajiliwa anaye tafutwa uliye naye ndani yako ,mungu asimame mwenyewe
@evajaily924
@evajaily924 Жыл бұрын
Mungu cmama na mtumishi wako kwa hayo anayopitia wewe ni mtoa haki basi Mungu jidhihilishe mwenyewe
@mambazimalube8994
@mambazimalube8994 2 жыл бұрын
Mungu atende muujiza juuyahayo na atusamehe sana
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 жыл бұрын
Kweli baba ni heri adui ajitokezae hadharani kuliko rafiki mnafiki alie nyamaza akisubili ajitokeze mambo yakitulia.. Yohana alichinjwa akiwa anamtetea mtu hata wewe uko hatarini kwa sababu ya kutetea utu na haki duniani.
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
Ok dada e2 mdogo e2 Sifa wa yesu mwana harkati mpigania uhuru mtetezi wa taifa letu la tanzania, maneno yako mazuri jinsi gani unaijua biblia. jinsi gani una huruma kwa binadam wenzako, basi MUNGU akutie nguvu katika hilo Aamen
@catenzoka2003
@catenzoka2003 2 жыл бұрын
Roho ya mafarisayo hinaishi Katika ulimwe ngu Wa roho kuwatumikisha kuwatesa na kuwangadamiza watakatifu Wa Kristo Yesu Dunia ni kwote Yesu twakuomba simama uitetee kazi yako.amina.sisi tafadhali hatuko chini ya Sheria Bali tuko chini ya Neema Licha ya kuwa tunaishi ndani ya Sheria.
@billmkushi849
@billmkushi849 2 жыл бұрын
Nitatuma utisho wangu utangulie mbele yako, nami nitawafadhaisha watu wote utakaowafikilia, nami nitawafanya hao adui zako wote wakuonyeshe maungo yao. Kutoka 23:27 Mpaka sasa madui zako wanaumbuliwa mbele zako. Kazaneni kuomba sana.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Wataaibika sana
@PASTOR_SHITINDI
@PASTOR_SHITINDI Жыл бұрын
BABA Asante kwa kusema uliyo yapitia japo unaumizwa sana
@patrickkarokola7454
@patrickkarokola7454 2 жыл бұрын
In bora umeweka wazi,jitihada umefanya ila umekwamishwa
@Kamandapendo
@Kamandapendo 2 жыл бұрын
serikali yetu haiko sawa hao viongozi wahuni wahuni washugulikiwe
@musajulias3392
@musajulias3392 2 жыл бұрын
Kweli baba wewe nikomando hakuna muhubili anayeweza kujifyatua kiasihiki AMENI
@estershenene8787
@estershenene8787 2 жыл бұрын
Mung wat mbiguni akupiganie na akuepushe na hawa wat wasiotaka kuamin
@elbashilhussein3904
@elbashilhussein3904 2 жыл бұрын
Kaza buti baba hao wanajilisha upepo wapi umesikia mungu anafungiwa
@francoshibili2243
@francoshibili2243 2 жыл бұрын
Mbaliwa Mungu hatanyamaza kwa hivi hata kama wahubili watanyamaza ila mimi nimejua utu haki na kweli ni adui wa dunia lakini huu ni wakati wa kusimama katika utu haki na kweli tu hata kama kifo kinakuja Isaya 62:1.Maranatha
@brianshomi722
@brianshomi722 2 жыл бұрын
Point
@devotasanga9239
@devotasanga9239 2 жыл бұрын
Ni heri adui anaeongea, kuliko rafiki aliyenyamaza. Hata wasipo ijua historia ya Baba yetu lkn watoto wake tunaijua kweli kweli, tutasimama kuitangaza mahali popote. Baba wewe ni shujaaaaaàaaa!
@helenkahema2636
@helenkahema2636 2 жыл бұрын
Naiona fimbo ya Mungu juu Yao weww kaa kimya Mungu atakufuta machozi na kukuondolea maumivu😭😭😭
@petermwenda6470
@petermwenda6470 2 жыл бұрын
Ili apotezwe jumla? Cowardly advice
@mshamyusuf6332
@mshamyusuf6332 Жыл бұрын
Pole
@gdesiandimbo5363
@gdesiandimbo5363 2 жыл бұрын
Serikali acheni kumtesa mtumishi wa Mungu
@prudencesumbane2886
@prudencesumbane2886 Жыл бұрын
Iyo nimapito injili ya kweli ni must. Ipìngwe, kunakitu ndanimwako ambayo inatuma usumbuliwe, hawata faulu, Yesu wetu aliye hai, atakuteteya, nauta patatena ushuuda ,ishi tu kumagoti, hawana mamulaka
@rehematarimo9962
@rehematarimo9962 Жыл бұрын
Pole sana kaka tuliasali pamoja Kwa Ramsey ngwejela ila niliondoka nikakuacha bado unasali,rehema condacta wa sumry na mwimbaji wa injili
@rajabuwiliam5854
@rajabuwiliam5854 2 жыл бұрын
Baba mbalikiwa naitaji maombi yako plz naomba namba zako
@adamjulius9782
@adamjulius9782 2 жыл бұрын
Na kwasabaabu ya kuongezeka maasi upendo wa wengi utapoa
@yamunguwistone6371
@yamunguwistone6371 2 жыл бұрын
Baba ilo kweli bom Zaid ya nyukilia ad masikio yanawasha, najua limeshawafikia
@christophermwanjoka7406
@christophermwanjoka7406 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema,linapita tu
@evangelistpetropiason6202
@evangelistpetropiason6202 2 жыл бұрын
Wanachopambana nacho Ni hatima uliyoibeba Basi wakuhumu Sasa kwa kuwafundisha watu kuwa wenye haki na kuwa wema Kuacha bangi ,madawa ya kulevya,umalaya ,ukabaji Tuone wanakupa hukumu gani .
@zawadikikosikazi3887
@zawadikikosikazi3887 2 жыл бұрын
Kuhusu kusajili kanisa kweli baba umepambana na hii inaonyesha kuwa hapo tatizo siyo usajili bali kuna lingine wanalolitafuta kwako. Wameona wewe siyo mnafiki kama wengine, umenyoka kama lura wala haupindishi mambo na wewe ni muwazi hauna michanganyo. Kilichobakia ni kuonyesha msimamo, wahukumu wao wenyewe kama ni hasara wametulisha na wala hakuna hasara itakayo kuwa kubwa zaidi ya hiyo iliyosababisha kifo cha shujaa Wokovu.Ameen
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Motto wa mungu umeshuka juu ya walaaaniwa wote wanaompinga nabi wa mungu sisi tuna tuma maombi sasa shika ndarba kuria
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
daah ahsante sana mameno yako mazuri
@joshuajastin.
@joshuajastin. 2 жыл бұрын
Du!!!!!! Hadi Kichwa kinauma
@robertmbwilo8850
@robertmbwilo8850 2 жыл бұрын
Hapo kunajambo jingene sio usajiri
@macklinakabyazi3036
@macklinakabyazi3036 2 жыл бұрын
Mungu atakupigania, hakuna linalomshinda Mungu.
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 2 жыл бұрын
Unatufumbua sana
@rebekamoshi2623
@rebekamoshi2623 2 жыл бұрын
Hapa baba
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Mungu akubariki Mbarikiwa kwa sababu wewe umekuwa adui kwa sababu huungi mkono uovu wa CCM na watawala wake. Kwani dini ya Kikiristo kwa nini CCM inaingilia? Kwani wakristo wanatakiwa kuwa inatakiwa kuwa kama ya serikali jamani?
@neemajoseph6018
@neemajoseph6018 2 жыл бұрын
Heri kuambatana na mwenye haki mmoja duniani kuliko na wenye dhambi bilioni tano wenye kumuonea YESU aibu. Wewe baba yetu ni Simba na sisi ni Simba watoto. Mtoto wa Simba halelewi na mbwa. Kwa kufa au kuishi bado wewe ni baba yangu.
@neemajoseph6018
@neemajoseph6018 2 жыл бұрын
Rose bedda
@hopemrutu3740
@hopemrutu3740 2 жыл бұрын
Mungu ananipigania ,nyamaza fanya kazi aliyokutuma tu, safari ya wokovu ni ngumu na inaitaji hekima sio nguvu ndio mana sulemani aliomba hekima
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 жыл бұрын
Kweli
@annajoseph2387
@annajoseph2387 2 жыл бұрын
Baba mwakipesile haoviongozi wamebeba rohoyampingakristo MUNGU wambinguni anawaona
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Жыл бұрын
Mbarikiwa upo vema Sana!! Jitahidi utuokowe kwa shida zote za kidini hasa kisiasa viongozi wetu ni shida!! Twende tupo nyuma yako tunakuombea
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Itabidi tusome bibilia tusome wenye vyeti vya uchungaji mana Wenye vieti wanashinda wanauza maji na keki wenye roho Wa kweli mnasumbuliwa
@eliudimsyani127
@eliudimsyani127 2 жыл бұрын
A! KWELI KWA TAABU YOTE HIYO KOSA LIKO WAPI JAMANI MBONA WANATAFUTIZA TUMAKOSA MAKOSA AMBATO HATUPO MWE!
@frejascompany6094
@frejascompany6094 2 жыл бұрын
Kwanza nichukue nafasi hii kukupa Pole baba mchungaji,, nakufahamu vizuri sana ..kuna kazi kubwa hapo ,,unafanyiwa na kuonewa sana ..ingawa unatumisimamo tugumu ambato sio rahisi kusaidiwa ,, hujaonyesha unyenyekevu kwa maeneo yote uliyopitia ni kazi sana kukusaidia kiserikali . Maana unajaribu kuyaendesha mambo vile unavyojua tu na sivyo inavyotakiwa...kweli ni ipi , nadhani mtazamo wako ni mgumu mnoo
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 2 жыл бұрын
Kiukweli hata mimi najua kuwa misimamo yangu ni migumu na ni vigumu mtu kuniunga mkono hadharani. Kiukweli hapo nyuma nilikuwa na kaunyenyekevu sana kwa wenye mamlaka nako hakakusaidia bali kalikuwa kanataka kuambatana NA KARUSHWA KIDOGO. Kwa sasa sitegemei huruma ya mwenye mamlaka ku move. Bali nategemea mambo mawili 1. Mtu huyu ajaliwe na Mungu kujua kiwango cha jinsi nilivyoonewa na haki niliyonayo katika misimamo hiyo au 2. Nguvu ya Mungu itakayoambatana na kisasi chake juu ya wote waliohusika kuniumiza kwa namna yoyote. Nimeelewa sana ulichomaanisha.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Serikali inaongozwa na shetani mkuu kabisa. Wanaheshimu waganga kuliko watumishi wa Mungu jamani.
@helenkahema2636
@helenkahema2636 2 жыл бұрын
Wachungaji hawa sijui mimi sitaki kuhukumu😭😭😭😭
@amashapatrick211
@amashapatrick211 2 жыл бұрын
Tangia Ukristo umeanza hapa Tanzania serikali naviongozi wake wanaona kuwa Mungu hana nguvu na ndiyo maana wanatoa maneno ya dhihaka na kejeri Huu ni wakati Ambao Mungu anaenda kutukuzwa Tanzania na serikali lazima imuogope Huu ni wakati ambao viongozi wa kiserikali kiujumla watashikishwa adabu na Mungu mwenyewe Wasidhanie kuwa MUNGU ULiyenaye ni mungu zumaridi aaah hapana MUNGU uliye naye ni MUNGU kisasi na atawafanya wawatii watu wa Mungu
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb Жыл бұрын
Kuanzia leo mtu yeyote anaye muonea mch mbalikiwa laana iambatane naye waanze kufa lli nawengine wajifunze kuonea wenzao nikosa Mungu shughulika na wote Piga kundi lao Mungu angamiza kundi lao Mungu wote angamiza Mungu filisi afya zao mali zao pia wote wafe kuanzia Sasa Mungu msadie mtumishi wako huyu Kama Mungu uishivyo tenda
@emmanuelmanga3478
@emmanuelmanga3478 2 жыл бұрын
Mungu atatenda tu!
Mbarikiwa apinga uwepo wa uchaguzi. Asema hautabadili chochote
30:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,9 М.
Awamu hii CCM mtaondoka bila hata ya vyama vya upinzani. machief vs Mungu!
28:41
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 167 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 4,5 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 57 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 25 МЛН
CHADEMA INAWEZA KUISHINDA CCM 2025 WAKIZINGATIA HAYA
3:02
THE NEWS ARENA
Рет қаралды 1,6 М.
Mbarikiwa amrukia vibaya IPM. Umetoka kwenye Uislamu kuja kuchafua Ukristo?
38:26
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 33 М.
Wanaosema CCM inatakiwa kuondolewa 2025 NI CCM "B" Ama ni wanufaika wa asali ya CCM.
1:00:12
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 4,5 МЛН