This is a charissmatic leader! He is always opened minded!
@SAM_1633 жыл бұрын
Why the comments don't hits 3M?? Very Genius man 🌹
@luganomunuwavanu9369 Жыл бұрын
The Swahili people ignore the important matters
@habibnjowele7751 Жыл бұрын
Hazifiki COMMENTS 3m kwa SABABU anaongea VITU VYA MAANA ila INGEKUWA anaongelea upuuzi zingezidi ZAIDI ya 4m
@HashimuHashboy-bo2wl9 ай бұрын
Ww kishimba ni smart kweli kweli mungu akupe maisha marefu
@Shalom803 Жыл бұрын
Bravo mbunge Kishimba✌✌✌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. I wish ungekuwa mbunge wangu. Limebarikiwa jimbo lako😎
@mkambamaulid4473 жыл бұрын
Wazee kama ww ndio Ninawapenda Saaaaana Umeongea vzr Sana na nimekuelewa vzr Sana 🙏🏼 Safiiii Sana Mzee 👍
@BernadethaCharles-sv3oy7 ай бұрын
Very useful mind!
@isackdittu85063 жыл бұрын
Kishimba na msukuma uwa nawaelewa sana kwa hoja zao Big up sana kwa viongozi kama hawa
@zengomikomangwa92643 жыл бұрын
Kishimba huwa anafanya sana critical analysis. Hongera zake sana !
@hajingaa88353 жыл бұрын
Huyu jamaa Ni genius Sana na bara la afrika linatakiwa lijitafakari namna ipi wamtumie
@fadhililihinda6491 Жыл бұрын
Darasa la saba lakini akili kama profesa; tukiweka kumbukumbu sawa ni kwamba huyu ndio mwanzikishi wa biashara ya supermarket Tanzania. Kabla yake hakukuwahi kua na supermarket nchi hi. Long live brother J4; mzee wa Imalaseco supermarket pamba house
@heraldloshi1864 Жыл бұрын
Nilishangaa kuna kipindi niko Nairobi, nilikuta IMALASEKO walikuwa na tawi kule.Ilikuwa kwenye mtaa wa Haile Selasie.
@princemajinge22063 жыл бұрын
Mzee wangu kishimba unaakili sana,zaman nilikua naziruka clips zako,lakn nmekuja kukujua unaakili sana baba yangu.
@adamyusuphmsigala3 ай бұрын
Hakuna fomula ya maisha duniani ,, maisha nii pale ulipo ndo maisha haijalishi unafanya kazi
@ayoubmugeta45372 жыл бұрын
Wewe ndiye MAGUFULI wangu Mzee Kishimba nakupenda sana
@muhsiniissa8151 Жыл бұрын
Uyu mzee genius
@bapesampendwa6713 жыл бұрын
Hahahahaha kama naona wanavyoonaa siee hatujielewiii
@isaacvtv5473 жыл бұрын
Na mu admire sana
@mosesmbeke6137 Жыл бұрын
Very powerful ideas
@andrewmsunga94253 жыл бұрын
😀😀😀😀 Nimejikuta nacheka tu, kiukweli Mzee Kishimba unaelimu ya mtaani ya uhalisia
@YusufKhan-gm8re3 жыл бұрын
Genius
@allanmapamba47653 жыл бұрын
Mzee kishimba shikamoo
@davidbahati3748 Жыл бұрын
Bright mind, we sio mbishi mzee wng Bali Ni mdadis usieona haya kuuliza usichokijua
@anethchua40412 жыл бұрын
Asante sn baba yetu ubarkiwe san.
@godfreymrosso20513 жыл бұрын
He is very smart in his head
@nekiboychannel6783 жыл бұрын
Mze kishimba wew unastahili hata kuongoza nchii
@captainramadhan8674 Жыл бұрын
Kwa kweli MH kishimba angefaa KUWA muhadhiri wa kubadilaha mawazo dunibna KUWA bora ingawa njia ambayo Tunis ni ya mziba zaidi
@saadathassan44343 жыл бұрын
Heshima xna mzee kishimba
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Inafuranisha wafugaji wana mkakati hadi wanawakodisha nyumba wabunge wavaa suti
@khaliduhadi23363 жыл бұрын
Huyu mzee bwana huwa ananifurahisha sana huwa anapiga NONDO balaaaa
@chedielimrutu69553 жыл бұрын
Wewe ndio unastahili kupewa udaktari wa heshima
@blandinamwarabu50253 жыл бұрын
Huyu baba ni balaaa
@mhangwacastory87652 жыл бұрын
Shikamooo Mzee wangu
@dismasstanslaus59852 жыл бұрын
Jamaa anaakili vibaya mnooo
@georgebalele4978 Жыл бұрын
Nakubali sana
@simonmisri78243 жыл бұрын
Profeser kishimba huyo safi iseee!mawazo mapana
@Dr.ForexTz3 жыл бұрын
genius
@yassinhamza1969 Жыл бұрын
Akili kubwa
@josephjohn21143 жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili sana
@husnahassan21243 жыл бұрын
Nakupenda sana baba angu 🙏🙏🙏💖💖🇹🇿🇹🇿
@Hananja.r Жыл бұрын
Hujambo mwanangu mpendwa?.
@KALIKAWE3 жыл бұрын
Ukiwa na kitunguu na nyanya ni mboga tayari
@a4afrika Жыл бұрын
Hii ndio maana ya Kuitwa Profesa. Sio maporojo na ulaghai wa lundo la Vyeti. Huyu ni Waziri Mkuu au Waziri wa Elimu. Ajabu haonekani, sijui anaogopwa!
@HildaBayyo-mp5by Жыл бұрын
Naomba anzisha shule ya mfano Kila mkoa uwakomboe wa Tanzania
Huyu mzee ana akili sana namwomba mama ampe nafasi serikalini
@danielsamwel44323 жыл бұрын
Sijawahi acha kukuelewa Baba
@munirahmed77533 жыл бұрын
Mmmhh genius ?????
@thomasmolel37113 жыл бұрын
Kishimba Mungu akubariki mimi nimekukubali natamani nipate namba yako ya simu
@munirahmed77533 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃
@samwelipima3795 Жыл бұрын
Kishimba we jinias kwa Tanzania
@simonkasato76173 жыл бұрын
Kwann hawajamtunuku phd
@ferdinandemmanuel41672 жыл бұрын
Nyanya na kitunguu ni mboga tayar hahaha 😂🤣
@abineryantonykilulu954 Жыл бұрын
Huyu ndo anapaswa kupewa udaktari wa heshima
@thechosenone.9169 Жыл бұрын
Kishimba yupo sahihi kununua hiyo saa ila muisraeli ndiye mpuuzi ila hajijui.Anadhani kila mwafrika amechoka.Anamjua Kishimba kuwa ana miliki supermarket na biashara zingine?
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@isikesamike3 жыл бұрын
Huwa siruki post za professor Kishimba 😂😂
@macjode37893 жыл бұрын
Huyu mtu ana Uwezo Mkubwa sana
@carlosMoses Жыл бұрын
Munapoteza muda na komedi. Huyu mbona hasemi alivyopata pesa kupitia dhuluma za dhahabu kwa wasukuma wa kahama? Alikuwa muuzaji Mwanza akiaminiwa na nduguze, kabila yake, na akawapiga! Leo anasimulia bishara, ipi?
@faustinejemsi14883 жыл бұрын
Mupeni hata huyu uraisi ana tosha
@mekumeku24842 жыл бұрын
Biashara ni ajira sio utajiri hahahaha
@cascanicolnicol20083 жыл бұрын
dr mwingine huyu hapa
@pontiancharles32283 жыл бұрын
Mzee huyu anastahili uwaziri
@fatmamsiliwa84852 жыл бұрын
Mtu kama huyu hawampi mana wataona atafanya maendeleo wanawachagua mawazir vilaza
@simonkasato76173 жыл бұрын
Kongole
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
HIVI HAKUNA NAMNA YA KUMPA NAFASI YA UONGOZI MKUBWA HUYU MZEE? BINAFSI NINAMKUBALI SANA , YAANI ANATOA ELIMU SAHIHI KULIKO MIJITU MIFURANI. TUMIA PESA ILI IONGEZEKE SIYO IPUNGUE.
@mwankenjatv9330 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@geraldenos54163 жыл бұрын
Kwanini ng'ombe asifugwe kwa laptop
@ahz69073 жыл бұрын
nafikiri anachomaanisha pamoja na kutumia laptop inabidi ufanye vitendo na ujifunze kwa wafugaji ambao wan uzoefu wa kufuga sio nadharia tu.
@samwelmashamba8922 Жыл бұрын
Kununua vitu feki,hapana...vitu feki vinaumiza watu wengi sana,tukemee kupromote vitu feki