Nape amvaa Tundu Lissu Bungeni kuhusu kumwita Rais Samia Mzanzibari

  Рет қаралды 39,090

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Ай бұрын

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amemvaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kwa kukosoa baadhi ya mambo akkisema kkwamba mambo hayo yamefanywa na Rais Samia kwasababu ni Mzanzibari.
Waziri Nape ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 29, 2024 wakati akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ambapo ameeleza kuwa alitegemea chama chake kimkemee.
Akizungumza Mkoani Manyara siku chache zilizopita Tundu Lissu alisema kama kusingekuwa na muungano Rais Samia Suluhu Hassan asingekuwa Rais wa Tanzania.
"Bila miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Samia Suluhu Hassan asingekuwa anafukuza Wamasai, anafukuza sababu ya kuwa na muungano" ameongeza

Пікірлер: 497
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 Ай бұрын
Jamani watanzania wanauelewa,tukubari katiba ya Zanzibar inamapungufu,lisu amefafanua katiba ya Zanzibar,Mheshimiwa Nape Msikilize lisu vizuri,Ukishindwa kumuelewa basi
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Nape ni Chawa wa Samia
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t Ай бұрын
Ameni na ndivyo ilivyo ukweri ni mchungu
@oscarmsigala6548
@oscarmsigala6548 Ай бұрын
Huyu Jamaa huwa anakurupukaga na KUPAYAUKA PAYUKA tu,CCM imemkemea yule aliyesema TUKIWAPOTEZA Police msiwatafute ? Yule aliyewaripoti Mawaziri kuwa wanalipa Watu kumtukana Rais Chama chake kimekemea ? Atuambbie kwanza hatua ambazo Chama chake kimechukua.Kuandamana na kufanya Mikutano ni Haki ya Vyama vya Siasa iliyposainiwa na vyama vyote siyo CCM peke yake.Kama anadhani Lisu amekosea AENDE MHAKAMANI KUMSHTAKI AONE atakavyopigwa KUMBO ya mita milion 10.Hana Hoja ya Msingi.
@kisasichona7065
@kisasichona7065 Ай бұрын
😅😅😅😅​@@joezeno8
@richimuniko3578
@richimuniko3578 Ай бұрын
Nape Wewe ni shida ktk taifa letu unaweza kusikilizwa na wapuuzi wasiokua na akili. Goli la mkono.
@Darian2550
@Darian2550 Ай бұрын
Alietaka twende Zanzibar kwa passport siyo mbaguzi?
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu Ай бұрын
Zanzibar ina passpot yake muungano tu ndio umeiondosha sio jambo geni
@Darian2550
@Darian2550 Ай бұрын
@@TwoBrother-tc2cu tumeshaungana, sasa passport ya nini ndg? Kurudisha passport ni kuvunja muungano.(japo muungano wenyewe siupendi kbx)
@TwoBrother-tc2cu
@TwoBrother-tc2cu Ай бұрын
@@Darian2550 kuungana sio sababu yakutokuwepo passport ,ikiwa ni nchi mbili basi kila moja ibaki na utambulisho wake na utaifa wake ikiwepo na hiyo serikali shirikishi kama zilivyo nchi nyengine zilivyoungana
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 Ай бұрын
@@Darian2550kaka Acha tu Mimi Siupendi Kabisa Muungano hawa wazanzibar kuna namna niwabaguzi sana bana
@ustawiwetu
@ustawiwetu Ай бұрын
​@@TwoBrother-tc2cuMuungano una faida kwenu Wazanzibari
@user-xt3pq4hb2r
@user-xt3pq4hb2r Ай бұрын
Mwizi akiibiwa anakuwa mkali kwelikweli
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Huyu nape tatizo ni elimu ndogo maana ndiyo shida ya kuteuliwa kwa kazi usiyoijua, anasema mtu kaitwa mzanzibari kwani siyo mzanzibari, nchi hii tuombeane sana maana karibu yote wanayosema chadema ni kweli na upande wa pili wantetea uovu hii ni mbaya sana, haki huinua taifa.
@laupetpet7779
@laupetpet7779 Ай бұрын
Tundu lisu tunampenda chadema tunaipenda wewe piga kelele CCM tumeichoka bandari yetu iko wapi😊
@hafidhsaid2011
@hafidhsaid2011 19 күн бұрын
Ipo magogoni...inaonesha wewe hata Dar huijui. Hebu panda basi ufike DAR kidogo ndio uulize masuali ya kama mlevi
@vicentdaud2632
@vicentdaud2632 Ай бұрын
Nape naona anabwabwaja tu badala ya kwenda kwenye hoja ya msingi....acha uchawa mzee...infact mzee lisu yupo sawa
@SimbaNaali-fw3zz
@SimbaNaali-fw3zz Ай бұрын
Yupo sahihi tundu lissu hata baba wa taifa aliyasema
@polloz77
@polloz77 Ай бұрын
Hayupo sahihi kabisa kosa lake ni kutaja huyu mzanzibar ni ubaguzi kabisa.Mana Samia ni president wa Tanzania kiwa na heshima
@Fred-Ma
@Fred-Ma 27 күн бұрын
​@@polloz77Nataka nikutumie Video Mama akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Wazanzibari hawautaki Muungano, huu sio Muungano ni Tanganyika kuitawala Zanzibar kwa mabavu.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Ай бұрын
insha ALLAH utafika mwisho. tatizo waislamu ni wengi wengekua wachache kama sudani saizi umekwisha na usingekuwepo.
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel Ай бұрын
We mbona unataka kuweka hudini wakati wenzio wanataka maliziano ya kueshimuana Hacha huo hupumbavu wa hudini
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Ай бұрын
Nape bana, naona unapiga kelele tu, Mbona Lissu ameongea point sana. Tunakulaani wewe natutakutenga wewe si Lissu. Eti kwa uungwana!
@richimuniko3578
@richimuniko3578 Ай бұрын
Nape Mungu akuzime Wewe nakizazi chako chote mchonganishi wa kwanza ktk taifa letu ni Wewe . Sasa msikie msomi alivyo kujibu unahisi hukwenda shule umejibiwa kisayansi Domo limekushuka mchonganishi mkubwa goli la mkono tumekuchoka nape
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 Ай бұрын
Ni mzanzibari ndio kwani uongo? Watanganyika, tunanufaika vipi na huo muungano? Mbona ukinunua bidhaa Zanzibar kuleta Tanganyika unatozwa kodi? 2. mbona mtanganyika hawezi kununua ardhi Zanzibar? 3. mbona hakuna Mtanganyika aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar? TUNATAKA KATIBA MPYA msituchanganye
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y Ай бұрын
Nape Nnauye anatetea Tumbo lake Kubwa hakuna lingine Tundu Lissu anatetea nchi na Tanganyika yetu inayouzwa huku tukiangalia kwa mcho kwa kisngizio cha jinamizi la muungano.
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Ай бұрын
Homa za kipumbavu kabisa. Nyerere hajasema kama alivyosema Lissu ambae ni kilema mkimbizi. Wazanzibar hawakutaka kuiondoa nchi yao ndani ya muungano huu tofauti na Nyerere aliyekubali kuiua Tanganyika. Sasa unamuungaje mkono Nyerere ambae ndie chanzo cha kuididimiza Tanganyika??
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t Ай бұрын
Jamani watanganyika tudai katiba yetu km sisi watanganyika,na katiba ya muungano wetu wa kati wa hizi nchi mbili Tanganyika na Zanzibar hapo haki itakuwa imetendeka
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Ni kweli yeye ni Mzanzibari,lkn pia ana nafasi ya Utanzania pia, sasa je tuambie huo Utanganyika uko wapi?
@user-qo7uv2zc3g
@user-qo7uv2zc3g Ай бұрын
Aiseee tumbo linaangamiza taifa hili hii takataka hata hijawahi kuchaguliwa kuwa mbunge ilpoka kwa nguvu inaongea utumbo huu unaouma hivi jamani ndo kilichompeleka bungeni? Bora ile bastola ingefetuka afe kuliko kuwa lichawa kiasi hiki
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Nape msijifanye mnawapenda wazanzibari mbona kwenye uchaguzi karume anasema mnaiba kura na ccm haijawahi kushinda.Tendeni haki acheni unafiki.Samia ni mtanzania na ni rais wetu.
@user-uq5vm2ge4q
@user-uq5vm2ge4q Ай бұрын
Sasa tundu lisu kakosea wapi mbona wazir ana paniki 🤪🤪🤪
@oscarmsigala6548
@oscarmsigala6548 Ай бұрын
Anabweka kwelikweli anajua hana uwezo wa kumchallenge Lisu,na hilo ndilo linamuuma kwelikweli,sasa amebaki kupiga MAYOWE tu hata wenzie wanamuna huyu jamaa vipi ?
@polloz77
@polloz77 Ай бұрын
Kitaja huyu ni mzanzibar at least angesema Raisi Samia suluhu au Raisi wa Tanzania not mzanzibar next time hataleta ukabila
@Fred-Ma
@Fred-Ma 27 күн бұрын
​@@polloz77mama anajitambulisha hivyo mwenyewe... Kaangalie KZbin channel ya SK Media umsikie mama akijitambulisha kuwa yeye ni Mzanzibar
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Ukweli unauma Hamtaki kukosolewa Unachotetea ni tumbo lako tuu Acha kutudanganya chawa wewe
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Tujiulize watz raisi wa kutoka bara ana uwezo wa kutoa hata kiwanja cha 20 kwa 20 pale zanzibar sasa huo muungano ni upi yaani bara ni cha wote znz ni changu ni changu
@kirariwilanya1850
@kirariwilanya1850 Ай бұрын
Hatimae Ccm wameanza kulia,hapo kwa nape sijaona hoja Bali kelele tu.alafu ningependa wote wanao mshambulia Lisu waseme Lisu ni muongo na watupe ukweli wao
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Lissu you are right!!!!!!!
@teddysanga1840
@teddysanga1840 Ай бұрын
mnafiki mkubwa wewe huna lolote alikunyosha mjomba magu
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Ай бұрын
Lisu oyee Wape vidonge vyao, hawapendi kukosolewa, ukiwakosoa umewatukana😅
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox Ай бұрын
Nyinyi mnagongantu meza utekelezaji hakuna ukweli unauma lisu anasema ukweli99%
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Ай бұрын
Nape usifikiri unaongea na wajinga!!!
@profs.a5412
@profs.a5412 Ай бұрын
Kwanza cc tunaitaka Tanganyika yetuuuuu, mbona unakuwa mkaliii . 😂
@munongomeshili7612
@munongomeshili7612 Ай бұрын
Je kuwafukusa wamaasai ngorongoro ndiyo Rais wa Tanganyika!!!
@felixmluge3211
@felixmluge3211 Ай бұрын
Nape suti ya bure tu.....chujio lako la kusikiliza na kuelewa bado ni tatizo....Nina wasi wasi na na ww kwenye eneo la kusikiliza na kumuelewa mtu kama Lissu...😇
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi Ай бұрын
Zanzibar inaishi, Tanganyika ilikufaje?
@bakarikombo6279
@bakarikombo6279 27 күн бұрын
Safi waziri Nape
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Nape ni Chawa wa Samia
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Ай бұрын
Yawezekana nappe ni chawa 😂
@alexmahenge9408
@alexmahenge9408 Ай бұрын
Chadema wanawekeza sana kwenye elimu. Yaani utagundua tofauti kubwa sana katika hoja za pande tofauti😊
@salimualmasi7944
@salimualmasi7944 Ай бұрын
We Nape Kwani Kwani CC Kuna Mzanzbari na Mtanzani Mpemba Mmakonde Tunamakabila Kibao Kumuita Raisi Wetu Ni Mzanzibari liko Wapi kosa?
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 29 күн бұрын
Hapana tafakari kwa mapana mm ni mzaram,ila kwa mfano raisi mchaga halafu mm nisimame kwa sababu raisi ni mchaga sio WA pwani ndio maana amefanya hili,hapa Kuna tafakuri Pana msichukulie kishabiki kwa mwenye akili Pana Hana maana sehem aliyotoka tuu Kuna mpaka udini na ukanda lkn amelidhihirisha kwa kificho
@shukurukwake7447
@shukurukwake7447 21 күн бұрын
Huyu Nape Anamatatizo ya Akili kati yako na Lissu Nani Mpuuzi wa Kupuuzwa 😅😅😅
@user-ie3lw9eb6p
@user-ie3lw9eb6p Ай бұрын
Jinga la mwanaume lenye halina shukran
@AmosSniper
@AmosSniper Ай бұрын
Kwan Samiya siyo Mzanzibar
@user-fg6xi3xu6t
@user-fg6xi3xu6t Ай бұрын
Toka wew nape hatukutak kabisa fisad
@masoudsalum
@masoudsalum Ай бұрын
Lissu amenukuu katiba ww unapiga domo tu hilo ndio tatizo la ccm hata mstaafu Devid msuya amewamaliza chadema ni wazuri kwa hoja
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Ай бұрын
Huna mvuto
@NathanChuma-cz2vb
@NathanChuma-cz2vb Ай бұрын
😂😂😂😂😂Me nachekaga tu hii nchi bana dah😀😀
@kaswahilijrtz4680
@kaswahilijrtz4680 Ай бұрын
Jaman nape ivi umemwelewa lisu? Lisu kanukuu katiba katiba ndo inasema na siyo lisu.mtanganyika hawezi kumiliki mali za zanzibar
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b Ай бұрын
Nyinyi kama mnaheshimu katiba mngeuza bandari kwa lazima?
@profs.a5412
@profs.a5412 Ай бұрын
Hunaaa akiliiiii weweee😅
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 Ай бұрын
Kweli nape ni ropo ropo😅
@mvuvikinda
@mvuvikinda Ай бұрын
Amesema ukweli katiba mpya
@victaboy7273
@victaboy7273 Ай бұрын
Kwan Tundu lissu aliruhusiwa na nani kuongea? Kwani siyo haki kuongea? Sisi mnatuambia tukitenge chama! C mtuulize kwanza nini Maoni yetu? Lissu tumemuelewa sana
@HafidhiHaji-ip7vw
@HafidhiHaji-ip7vw Ай бұрын
Uko sawa Sana Mh nape
@olelaizer2012
@olelaizer2012 Ай бұрын
Sioni hoja ila kelele,mjibuni Lissu kwa hoja sio kwa votiso na dharau.uwezo wake wa kuelezea jambo ni wa juu sana na ameongelea swala hilo kwa mifano hai
@user-sy2mp7mm8u
@user-sy2mp7mm8u Ай бұрын
Elimu ni bora kuliko hoja ya bila Elimu!
@SuleimanGhaduwe
@SuleimanGhaduwe Ай бұрын
Nakubaliana na alicjokizungumza nape kuhusu lisu sio sawa kabisaa lisu kuzungumza hayo wakati yeye amerudi na kulipwa kwa uongoz wa mama
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Ай бұрын
Zanzibar wala hatutaki Muungano ila hawa CCM jamani kwann munatulazimisha duh 😢 Wazanzibari tunataka nchi yetu ❤
@user-ku3cx6yj7m
@user-ku3cx6yj7m Ай бұрын
Tulia wakufundishe teteya tumbo baba Ila tundulisu atakufundisha katiba
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 Ай бұрын
Hivi viongozi wetu hamwezi kujibu hoja kwa uelewa mnapiga porojo tu Nilitegemea level ya Waziri angeweza kujibu vitu kwa uelewa Hivi Nape ulimsikiliza Lissu vizuri kweli Katoa na ushahidi wa Katiba ww unajibu porojo Kwani hakuna mzanzibari kweli nchi hii Bora niiache tu CCCM toka 1977 kunapoelekea sioni mwanga Ni ubabw tu
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t Ай бұрын
Nape bwege kweli nani ana kwelewa na kelele zako
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 Ай бұрын
Usilinde kiti kaka kizazi chako hakitakuwa bungeni sema ukweli mzee
@LucasMarau
@LucasMarau Ай бұрын
Ww amuna kitu unacho sema Bora ata uondolewe bungeni uache kelele sawa
@jovinusrwegoshora3206
@jovinusrwegoshora3206 Ай бұрын
Nape tambua tunaakili kwa hiyo mh siyo mzanzibar
@polloz77
@polloz77 Ай бұрын
Humekosea Bro hapo hahupo sawa kabisa we need Africa united siyo utengano Tanzania ni mfano kwa Africa Next time utasema mbona viongozi wengi ni Wachagga? Neno la kusema ni mzanzibari ni wrong at least useme Raisi wa Tanzania kafanya hivi na hivi siyo kisema ni mzanziba wewe ni kiongozi We love mama yetu Samia suluhu Love my country Tanzania
@user-ut2fo1hi9i
@user-ut2fo1hi9i Ай бұрын
Wew huna hoja kwanin Samia siyo mzanzibar, unasiasa za kizamani, huwezi kuwa na mapya
@user-be6yx1ck8c
@user-be6yx1ck8c Ай бұрын
Jamani ukweri ni kwamba watanika wananyanyaswa zambari
@sidachomela7871
@sidachomela7871 Ай бұрын
Nape Ongea ukweli
@williamdonald9185
@williamdonald9185 Ай бұрын
Yaani nape huwezi kujibu hoja zaidi ya kupiga kelele
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
Huyu nape vip?!kwan rais mtanganyika?!dah!siasa zetu bana!
@petermkumbo5094
@petermkumbo5094 Ай бұрын
Kelele nyingi kuliko hoja.
@user-dz2lv6en3z
@user-dz2lv6en3z Ай бұрын
Peoplessssss power🤛🏿
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Ай бұрын
Huyu hata hoja hana daaah..!!😂😂😂
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale Ай бұрын
mbona Lissu anaongea kwa hoja kwann nape nae asijibu kwa hoja?!bongo bna!
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Ай бұрын
Ukweli unauma Lissu umepigaje hapo 👍
@evancengoi5429
@evancengoi5429 Ай бұрын
MH Nape chama chake mbona nichama kama chama chako ambacho wanachama wenu wanasema wawapoteze wanachi wanao unga mkono upinzani mbona hujaliongelea hili mkuu? jambo jingine sio kuzika cha chaupinzani issue hapa ni je? Muungano unamanufaa pande zote mbili? jingine kwani Mama Samia sio mzanzibari? Mbona nimesikia Spika akitaja au wasidizi wakisema mbunge kutoka zanziba uliza swali la nyongeza?
@thomassenguo3851
@thomassenguo3851 Ай бұрын
Tunaiyona Zanzibar inavyo endelea kainch kadogo lakini tunagawana pesa za misaada sawa na pesa zinazoka t bala ni akili hiyo mali zetu zinauzwa zao haziuzwi niakili hiyo mtu akisema mbaguzi pumbavu hawa tumesha wachoka mwisho wao ndio huu
@kingj9606
@kingj9606 Ай бұрын
Lissu kasema ukweli lakini. Na kuandamana sio uungwana wa rais, ni haki ya kila Mtanzania.
@geraldbabu-oy9rj
@geraldbabu-oy9rj Ай бұрын
Hongera sana waziri nape haya maneno wenye masikio tusikie
@omanbarka1588
@omanbarka1588 Ай бұрын
Kumbe na wewe ni chawa tu
@user-bl1tx8fc9v
@user-bl1tx8fc9v Ай бұрын
Mi ntatumia nguvu zangu kumpongeza bwana lissu,,, lissue ongeza sauti wakusikie vzr
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 Ай бұрын
Kufanya mikutano ni matakwa ya katiba sio samia,kemea ufisadi wa ccm sio lisu
@davidchihimba9489
@davidchihimba9489 Ай бұрын
Lisu unatufaa sana sana mungu akupe maisha marefu
@danielndam5997
@danielndam5997 Ай бұрын
Viva tundulisu ✌✌
@habinezaabubakar4200
@habinezaabubakar4200 27 күн бұрын
Muungano hauna faida yoyote
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q Ай бұрын
Kwakua amelipwa pesa zake ndio akiona mambo hayaendi sawa anyamaze kimya!! Hivi kama sisi wanajimbo la mtama tuesabu tuna mbunge!! Hi nchi ngumu sana
@ramajuma5620
@ramajuma5620 Ай бұрын
Nape sisi watanzania tunaakili ww huwez kutuongopea ukweli unauma eeee 😂😂
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p 20 күн бұрын
Hiii kwa raisi samia ni mmakonde
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 Ай бұрын
Kwahy Nape anataka kusema unapofadhiriwa na mkuu wa nchi cheo huwez kumkosoa ht kama kuna makosa huo sio utaratibu km kuna makosa lazima yazungumzwe ninyi ndio wale tunawaita wachumia tumbo
@hawakazimoto2949
@hawakazimoto2949 Ай бұрын
Rais Samia mstaarabu sana kiukweli kumtukana ni dhambi. Kukosoa ni sawa sio kutukana tuu kutwa nzima jamani
@kendry_rix1899
@kendry_rix1899 Ай бұрын
Basi amsamehe alikosea sio mzenji ni mkenya
@GodfreyTarimo-je4xo
@GodfreyTarimo-je4xo Ай бұрын
Katiba mpya ndo Jambo la kwanz tunatak katiba mpya nape una jipy
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Some time lisu kwa hili yupo sw jibun hoja sio porojo
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Ай бұрын
Lissu yupo sahih kwan rais ni Mzanzibar au Mtanganyika? Katiba ibadilishwe raia wa kawaida wafaidi muungano na syo watawala pekee
@JumanneRamadhan-pg8qm
@JumanneRamadhan-pg8qm Ай бұрын
Dose zake za kila siku zimemlewesha
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Ай бұрын
Hawa dawa yao ni kwenye box 📦 la kupigia kula watanganyika wote safari hii ndio chansi yetu pekee futa CCM kula zote kwa CHADEMA au vyama vyote vya siasa Tanganyika viungane na watashinda mchana kweupee 😂😂😂
@williamkeko9244
@williamkeko9244 Ай бұрын
Mh.Nape Mama ni Mzanzibari huwezi pinga Kwa lolote Kwa sababu wazanzibari hawataki muumgano na ili ujidhihirishe mbona yule mbunge aliyetaka passport za kuingia Zanzibar hakuonesha mgawanyo ,acha ulevi wew Kwa sababu ni kwamba anayoyafanya huyo Rais hayajakukuta Kwa sababu mnafanya wote
@genesmnganya5744
@genesmnganya5744 Ай бұрын
Comments zinaongea mambo mengi. Timizeni wajibu wenu!
@innocentkamuntu8041
@innocentkamuntu8041 Ай бұрын
kwani alisema uongo ameuza Bandar zetu,naona nape ujieliwi kabisa
@ramamjema8391
@ramamjema8391 Ай бұрын
Police kulinda wananchi sio hisani ni wajibu wao kwa mujibu wa katiba.
@justinennko8378
@justinennko8378 Ай бұрын
Ahaaaaa
@AbdulqadirChamakope
@AbdulqadirChamakope Ай бұрын
Huyo Tundu Lisu, inafaa Akamatwe !
@user-tl1nz7qx2l
@user-tl1nz7qx2l Ай бұрын
Mambo mazuri hampigi makofi kunavitu mnalazimisha
@ramamjema8391
@ramamjema8391 Ай бұрын
Sio kwamba wanaompinga lisu sio wote ambao hawajui ukweli,Lisu amesema ukweli bali kuna watu wamezoea uongo na wanaufanya ukweli.
@user-rf5jg2xd6t
@user-rf5jg2xd6t Ай бұрын
Nape huna Hoja,
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 Ай бұрын
Kwani haki ya mtu kikatiba ni msaada? Nape tunajua kama upo sio lazima useme yasiyofaa
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Ай бұрын
Sawaa
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Ай бұрын
Kwendraaaaaa huko we ndo mpuuuuuzzzz
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Ай бұрын
Inachekesha 😅😅😂
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Ай бұрын
We kuja kua na akili bado sana
@AmosSniper
@AmosSniper Ай бұрын
Ww huna uwelewa wa Nnchi hii kumzid Lissu
@gasparkimati545
@gasparkimati545 Ай бұрын
Nape kwni kuandamana sio haki? Bado hujamjibu lisu
@peterantony5890
@peterantony5890 Ай бұрын
Sindano ya Lissu imeanza kufanya kazi.
Ndando na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
WHY IS A CAR MORE EXPENSIVE THAN A GIRL?
00:37
Levsob
Рет қаралды 18 МЛН
Watermelon Cat?! 🙀 #cat #cute #kitten
00:56
Stocat
Рет қаралды 12 МЛН
Ninja asimulia jinsi alivyopigwa Congo na walinzi kisa picha ya Hersi
24:42
KUMEKUCHA TUNDU LISSU ANAMJIBU NAPE NNAUYE
12:51
Tifu Tv
Рет қаралды 31 М.
WAJUMBE WA BODI SIMBA WAMSHUKIA MO USIKU HUU/ AMEDAI HELA ZAKE!!"
13:26
Maximum Tv Online
Рет қаралды 6 М.
BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU
12:23
Millard Ayo
Рет қаралды 297 М.
MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"
11:04
Global TV Online
Рет қаралды 99 М.
WHY IS A CAR MORE EXPENSIVE THAN A GIRL?
00:37
Levsob
Рет қаралды 18 МЛН