Millard ayo mnyenyekevu sana uyu kijana, Mungu akutunze sana millard ayo
@agraydanda76107 ай бұрын
Tunamshukuru Sana Mungu kwa maisha aliyopitia kijana huyu kwangumimi historia ya maisha yake Ni fundisho na mfano unaowatia vijana moyo kutokata tamaa.Hongera sana
@MariamLewis-t4x7 ай бұрын
Hongera class mate Akeri sec.
@nuruurio83197 ай бұрын
Wameru tumejaliwa unyenyekevu Mungu azidi kutupambania
@DaveEasy7 ай бұрын
@@nuruurio8319Hii ni uongo…wameru wanyenyekevu??🤣🤣 Acha kudanganya watu Wew
@muniraahmed6247 ай бұрын
Millard your the head kwenye mambo ya journalism
@josephlorri4317 ай бұрын
'....your the head...' you're/you are ..tutumie kiswahili
@apolnaryjohn927 ай бұрын
My best presenter ever 🎉🎉
@JusticeKayuni977 ай бұрын
Genius
@fidelotyeno7 ай бұрын
Like kwangu jmn
@banguha7 ай бұрын
Ni watu wachache sana ambao wamefanikiwa wanavaa viatu vya watu ambao wanajipambanua Millard ni mnyenyekevu sana
@eliaspallangyo35807 ай бұрын
Anajua Nini anafanya mnyenyekevu sana na atafika mbali sana god bless❤