Uyu ndo rais muzuli mungu akubaliko mnipe like kwawo mnakubali
@hashakatv3 жыл бұрын
Mimi ni mkenya, lakini daima sitamsahau hayati Mzee john pombe Magufuli. Mwenyezi mungu ailaze roho yako mahala pema
@mwangangi.martha71213 жыл бұрын
Alikuwa mwema sana
@Wakio2313 жыл бұрын
Me too
@mimahally13883 жыл бұрын
Atutoweza msahai daim😓😓😓
@taturajabukhalfani79533 жыл бұрын
Amin
@hashakatv3 жыл бұрын
@@mwangangi.martha7121 Sana tena
@sk-wj9or5 жыл бұрын
Muheshimiwa Rais Magufuli. I salute you from my heart.
@monicasteven75663 жыл бұрын
Baba wawa nyonge umetuacha wanyonge tunaumia baba baba baba amka amka baba
@rehemaoyier558710 ай бұрын
Kwakweli Mungu amlaze Rais John Pombe Magufuli mahala pema. Nitamkumbuka daima alivyotutetea waking mama katika haki zetu.
@niimasinan3 жыл бұрын
I have never seen a president in this world like him may almighty have mercy on you 😭😭😭😭
@Wakio2313 жыл бұрын
Hayasahuliki, hayafutiki JPM we love you even though you are not here with us. Am a Kenyan but it's hard for me to say goodbye to this hero an ordinary man with extraordinary wisdom. ❤️❤️❤️❤️Our hearts will take time to heal from this loss.
@dennisjuma61243 жыл бұрын
Ooooh my God, TZ you are blessed. Kua na kiongozi mtetezi wa wanyonge sio jambo la kawaida
@mellenondieki63295 жыл бұрын
The president of Tanzania, you are the best,be blessed magufuli,kwakumsandia, huyo mama,mungu hakupe maisha,marefu. I in USA.
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔😭😭😭😭
@boombasticjoseph11053 жыл бұрын
This guy... have never seen a leader like him, and i dont think if there will be any. RIP Mr. President. Much love from Kenya
@omaniallybakari23725 жыл бұрын
Asante rais nataman ungedumu miaka yote mungu akupe nguvu na moyo wa huruma zaidi
@halimahamadi75925 жыл бұрын
Baba magu mungu akuzidishie imani iyo iyo na moyo uwo uwo kuseidia wangonge
@nabintukadende23885 жыл бұрын
Ubaba ananitowa machozi. Be blessed Mr President 👏👌🙏🙏 wewe ni Musa wawa Tanzania.
@michelinemapendo66523 жыл бұрын
😭💔Kabisa
@marcelndaye223 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Mpendwa Raisi, watanzania mumebarikiwaka kumpata Raisi kama uyu, ila kazi ya Mungu ahina makosa, Africa nzima tumepoteza, namlia Raisi tokea 😭😭😭🇨🇩🇨🇩
@HappynessJapheth8 ай бұрын
Hatutapata kamwe
@mamayaoharistar45995 жыл бұрын
I LIKE IT BIG UP .WE WANT LEADERS WITH EXAMPLE👏👏👏👏
@deboraevaristo46015 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu...mtetezi wa wanyonge rais wetu..
@humbleben25 жыл бұрын
Rais ambaye ni bora Afrika mashariki.... endelea kutetea wanyonge mob love from Kenya
@beatricekamengekamenge55435 жыл бұрын
Dah magufuli nakupenda baba yangu wewe mungu akutunze sana
@ericsaman45663 жыл бұрын
He was a True Definition of a True HERO...R.I. P Magufuli
@funsimple_ke30343 жыл бұрын
Ameniliza
@rashidathman48315 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde rais #JPM
@eliaspeter40175 жыл бұрын
u made it our lovely President Honorable JPM, wanyonge tunakuombea daily yaan, move on....
@halimamshami32795 жыл бұрын
Am watching this as a KENYAN from Qatar, he's such a leader to be followed by example, much respect to your president my Tanzanian neighbours. ..take this president back he deserves you
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
Hapo ndio naposemaga anaekuchukia ni mchawi jaman, yaani sijutii kura yangu na inshallah 2020 Nakupaaa
@michellewangoe22443 жыл бұрын
Hayupo tena rais wa wanyonge katangullia mbele za haki 😭😑😭😭rest in peace rais wetu ...kkutoka Kenya nashindwa kuzuia machozi😭😭😭😭😭😭💔💔
@francistunakwishabilakujua88263 жыл бұрын
Mateso hayarud tena jaman?
@mwangangi.martha71213 жыл бұрын
Ata mim nalilia
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Ni MUUGIZA Duniani kupata mtu kama magufuli TULIISHI na mdogo wake yesu bila kujielewa 😭😭😭 duuuh magufuli Ana umaa kama kishu mungu tusaidie kusudi lako ni Nini?
@georgeochieng83113 жыл бұрын
More videos
@bettykarume56193 жыл бұрын
😭😭😭😭🇹🇿
@nasryathabit68635 жыл бұрын
magufuli oyeeeeeeeeee😘😘😘😘
@victoriamwende27283 жыл бұрын
Love this raisi wa wanainji na wakusikiza Kila mwanainchi. Kenya ingekua hivi tugekua mbali.
@ceciliaonyango3015 жыл бұрын
Hadi nimelia asante Mungu akupe maisha marefu raisi wetu
@hamissahamissa1053 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani baba yetu mtetezi wa wanyongo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mealemalika75655 жыл бұрын
I wish kenya tungekuwa na rais kama Mafuli
@bintysayd17635 жыл бұрын
Ebhana we
@leilainnocent65325 жыл бұрын
Hamia Tanzania uje ujidai na Magufuli wetu.
@mercyjepkosgei82673 жыл бұрын
Wish pia raisi wetu pia afuate huyu raisi magufuli,,,,,, you'll remain in my history
@DottRoBroc3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
@tunemannu5 жыл бұрын
Kenya twamuenzi Sana Rais Magufuli
@khadijaomar32995 жыл бұрын
Kabisa
@hezrongaston49635 жыл бұрын
Maombi yenu nimuhim kwani ana adui wengi sana kutokana na moyo wake wakupenda kufanya haki
@leokamil20755 жыл бұрын
Dah nimelia sana pole mwanamke mwenzangu dah
@levinanickson65095 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nimelia .
@lucykilonzo27495 жыл бұрын
Duuuu aseee mam wwt jmn adi hurum kweli dunia haina hurma yan saivi watu tu naixhi km wanym jmnn
@marymutua57383 жыл бұрын
If its true there is God in heaven, , may you change MAGUFULI into an angel and continue taking care of his Tanzanian people, , 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭rip mtetezi wa wanyonge
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Chalamila mnafiki yuko hapo nani amemwona agonge like
@robertsimba50813 жыл бұрын
Tanzania has been lucky to get good leaders atleast...Kenya I can't speak...tribalism imetumaliza...Rest in peace best president 🇰🇪2021
@gracekaniki7895 жыл бұрын
Jmni nimejikuta tu machozi yananitoka makufuli kiongozi wa kipekee mungu akupe afya njema baba
@melau_tz5 жыл бұрын
Grace Kaniki inauma sana nashindwa kuzuia mchoz pia
@gracekaniki7895 жыл бұрын
@@melau_tz sana kiuhasilia inaumiza umeona hyo mama amuamini yoyote kumpa documents kashahangaika kutafuta haki lakini imeshindikana. Ila makufuli mungu amuweke
@jackjudy91825 жыл бұрын
Kwakweli Rais wangu anamapungufu yake ila kwenye swala la haki anajitahidi sana Nimefurahi sana alichofanya hakika uyu ni Rais wa wanyonge .I love my country
@johnonkoba13903 жыл бұрын
Asante baba magufuli tutafwata mfano wako daima Tanzania hoyeeee👍👍👍👍👍👍👍
@blasidajulius22403 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman baba umefanya Mambo meng sana yenye kutia moyo katika hii dunia Mungu akupokee😭😭😭
@elizabethnafunamakhanu89423 жыл бұрын
Our president bobi wine much thanks
@vicentjackson65383 жыл бұрын
Amina
@ramadhansharjah80655 жыл бұрын
Hapo nime mwelewa RAISI WA WA NYONGEEEEEEEEEE MAGUFULI OYEEEEEEEEEEEEEE HAPA KAZI OYEEEEEEEEEEEEEEEE AHSANTE SANA
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔💔😭😭
@andreashayo62665 жыл бұрын
asante rais wa nchi yangu God bless you
@adelaidemghase76005 жыл бұрын
Mungu awabariki kazi za mikono yako. Nikawaza nakuwazua kuwa kama huyo mama mbele ya Mkuu wa Nchi anazuiwa namna hiyo je akiwa huko peke yake inakuwaje? Jamani kunauonevu mkubwa sana na hatujui kabisa. Si watafute scanner za kumchunguza mtu kama ana kitu kibaya watakiona kuliko hiyo kuvutana naye namna hiyo😭
@Jakaugagi5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ambariki mzee MAGUFULI na kizazi kilichomzaa huyu mheshimiwa.
@salarytz69115 жыл бұрын
Dad let me call you dad cz we una umri like ma dad congratulate for every thing dad & nlimpa lowasa Leo najutia kura yangu let me love you forever
@parizadraji90695 жыл бұрын
I have ultimate RESPECT FOR HONORABLE MAGUFULI BIG UP!!
@elinahdaudi81955 жыл бұрын
Rais yetu Mungu aendelee kukupigania kwa kazi yako unayofanya
@ashazaharan17505 жыл бұрын
Nimejikuta nacheka peke yangu pole saana mama.mungu ampe umri mrefu rais wetu
@azeezaa5195 жыл бұрын
Kama mm 😂
@alicejames8933 жыл бұрын
@@azeezaa519 gfds
@alicejames8933 жыл бұрын
@@azeezaa519 ffgfsfh
@alicejames8933 жыл бұрын
@@azeezaa519 lgglkk
@estheruthnjuguna39305 жыл бұрын
Wish all leader could see this...humble n loving president......+254
@stellaloves98793 жыл бұрын
Kizuri akiishi na Sasa ametuacha 💔💔💔😭😭
@kassimumikidadi74965 жыл бұрын
Mungu akusimamie Mh.Rais Magufuri..... Kipindi cha nyuma sikuwahi kuwa mpenz wa siasa lakni umenifanya nikipende chama cha ccm, na sera zake za ujenz wa Taifa...kutokana na moyo wako wa kipekee wa huruma.....Ulichokifanya kwa huyu mama Mungu naamini Mungu hatokuacha kama ulivyo sasa...atakupa viwango vya juu zaidi ulimwenguni aamin. Kwakipindi hichi ambacho wale wanachuo waliohamishwa UDOM kuja vyuo vya kati wote wameshamaliza mitihani yao ya diploma ningetamani muheshimiwa Rais, katika Mkutano wako ufuatao ulizungumzie na hili maana na mimi ni mmoja wa wahusika hao....Kwasasa nimeamini baadhi ya kauli zinazosema kwamba usipoelewa leo utaelewa kesho.....Mwanzoni kitendo cha kuondoka UDOM niliona kama uonevu hasa ukizingatia maneno ya uchochezi wa baadhi ya wanasiasa lakini kiukweli ukweli na uhalisia nimekuja kuuona mwishoni kabisa mwa hii course yetu....Kimsingi waliostahili kuitwa special diploma ni wale waliochagilowa kusomea diploma ya sekondari maana kule ndio kuna masomo ya sayansi kama vile BAIOLOGY,CHEMISTRY,PHYSICS NA MATHEMATICS huku kwetu shule za Msingi tunaamini Mwalimu anauwezo wa kufundisha somo hata zaidi ya moja ili kutimiza wajibu wa mwanafunzi na kumpa haki yake ya kufundishwa na kupata Elimu hasa kwetu sisi walimu wa diploma. Sisi wa msingi yamkini ni siasa tu na yamkini watu walifanya hilba za kupiga pesa tu.....walipaswa kutupeleka mahali husika kwakuwa nasisi tulikua ni miongoni mwa waliofaulu kuanzia GPA 2.0,GPA 1.9 na kuendelea.......kimsingi hao ndio wametupotezea mwelekeo na muda wetu lakini kwa huruma wako Mh.Rais umeona bora ukubali lawama lakin utafute namna ya kutusaidia ili tufikie lengo letu salama.....Tunashukuru tumefikia hatima yetu salama...kwa uvumilivu na unyenyekevu wa hali ya juu.....na uzalendo mkubwa sana.....haijalishi ni miaka mingapi imepita tunahangaika na hii diploma maana tangu tumalize kidato cha nne 2014 mpaka sasa ni miaka mingi sana imepita bado tunakomaa na diploma tu....ila naamini kukaa miaka mitatu kusomea hii diploma imetufanya tumeiva ipasavyo na tunautayari wa dhati wa kuendana na kauli mbiu yako Mh.Rais ya HAPA KAZI TU tupo tayari kupiga kazi tusaidie Wadogo zetu ambao nao wanamalengo yao na wanahitaji kuyatimiza na lakini pia tusaidie Taifa kupata wasomi wa kutosha sisi kama walimu....Tunaamini kama umeweza kutuzingatia ukatusimamia mpka tumeikamilisha course hii basi utaendelea kutuzingatia hata katika ajira za 2018-2019 ili kwa hari tunayotoka nayo vyuoni sasa tuende tukaionyeshe kwenye vituo vya kazi bila kupumzika bila kupoa.....KAULI MBIU YETU SISI KAMA VIJANA WAKO WA TAIFA HILI.....AJIRA NI ZETU NA MAZINGIRA NI YETU.....Tukiwa tunamaanisha kuwa kama tunazitaka ajira basi tunakubaliana hata na mazingira yoyote ambayo ajira hizo zitaelekeza tukapige kazi. Naomba ujumbe huu umfikie Mh.Rais maana nimuhim sana kuusoma kama ulivyo na sio kuhadithiwa. Asante, By MWALIMU TARAJALI, KASSIMU MWINYI MIKIDADI...Kutoka chuo cha ualimu Marangu.... Kada wa ccm.
@nkundwanayoaziz82145 жыл бұрын
Mungu angetupa magufuli akatutawala Africa zima
@lucywilson58753 жыл бұрын
Oh! my God i cried , Rest In Peace our Man Of God, Real President!!!!!!!
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Nani amekata vitunguu machoni mwangu uwiii Tanzania nchi yangu Magufuli Rais wangu
@haskao775 жыл бұрын
😭😭😭
@oresterhaule26455 жыл бұрын
Magufuli tumwombee Dua
@nataliaassenga80985 жыл бұрын
Baba nakuelewa sana kwa kweli hivi ulikuwaga wapi eee mtetezi? Hakuna raisi yeyote niliyewahi kumuona akiongea Na wananchi live kama wewe baba mungu akupiganie usiku na mchana anima 👊👊👍👍👍👏👏👏
@Daudimoll8609 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Rest in peace Baba wawanyonge Dr John POMBE Magufuli Tutakukumba daima sichoki kusikiliza hotuba zako
@hijahsaidy15623 жыл бұрын
Mungu atakulipa raisi magufuli
@derkelvin4913 жыл бұрын
Tulikupenda Mungu ameupenda zaidi lala salama
@khadijaomar32995 жыл бұрын
Mwanzo nimecheka bt alipofika kwa rais nimejiskia mnyonge
@zaituniamiri81813 жыл бұрын
R.IP mtetezi wanyongeee tunakulilia sisi wanyongeee mungu mpokeee
@chrisgraphics.Graphics5 жыл бұрын
i have ever see the president like you Gog bless you
@alvismumkaranja33605 жыл бұрын
God not that way you write..
@chrisgraphics.Graphics5 жыл бұрын
sorry it,s God, you know we use chines phones
@elizabethnafunamakhanu89423 жыл бұрын
Mtu kama huyo atapatikana wapi Tena jamani Tanzania mumepoteza mtu WA maana sana 😭😭😭lala salama magafuli
@ibrahimsimiyuwafula54873 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Magufli Baba Mungu akuchukuwe😭😭😭😭
@thadeynyenza49485 жыл бұрын
Umefanya maamuzi ya kiongozi bora! Hutasahaurika Rais wetu. Be blessed President.
@dianacornely86665 жыл бұрын
Mungu akuongoze na kukupa ujasiri Rais wetu
@mimaakenirram14055 жыл бұрын
masikini me ndomana na mpenda magu mungu akuweke rais wetu
@fidesbenard27015 жыл бұрын
Mungu akulinde kiongozi wetu...
@joycejohn1025 жыл бұрын
Ubatikiwe baba yetu. Na MUNGU akutie nguvu kwemye kazi uliyonayo. KAZI ngumu
@marthamasue40095 жыл бұрын
Haleluuuuuuuuya. Mungu akutunze Mh. Rais wetu mpendwa
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Wawanyonge wawanyonge atunae teena sijui wanyonge watakimbilia wapi 😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔 r.i.p magufuli wetu hakika uliacha alama ambayo haita futika kwenye nyoyo za binadamu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤦
@HappynessJapheth8 ай бұрын
Jaman machozi yananitoka
@rhinakiza3 жыл бұрын
RIP Rain Magufuli I really missed you 💔baba 💔😢
@RD-ml7pi3 жыл бұрын
Dah jaman mungu mpokee mzee wetu umuifadhi sehem salaama ,na mm uyu sijui yuko kwenye ali gan sahv lazima sahv ataishi kwa ofu sanaa 😭😭😭
@shizaarfred40593 жыл бұрын
Mh mm nimeumia kiasi hik najikuta nawaza kwa nguvu hivi kwa mfano huyu mama na wengine walio Wahi kusaidiwa kwa namna hii sijui huu msiba wameupokeaje
@johnpauloumah5298 Жыл бұрын
For Sure Pombe was a leader who defied odds and broke protocols to reach the vulnerable in the society. Not once, but numerous. Tutakukumbuka Baba lao.
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Jamani nipo hii hii Tanzania lakini sikujua watu wana nyanyasika hivi, nimelia sana. Wamama hoyeee, Raisi Mungu azidi kukubariki sanaaaa
@priscachrispin48755 жыл бұрын
Umenifulaisha saana tunajivunia rais wetu anajua kuwa sikiliza wanyonge kura yangu akupotea wala aijaenda bule
@TeamKRX3 жыл бұрын
Daah naumia
@nasororaamadhani44703 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema peponi rais wetu
@mcdrsuperrwanda8153 жыл бұрын
This late JPM was the gift and servant of God
@abeladmin93335 жыл бұрын
That s my President
@annastaciarhoda47833 жыл бұрын
Eee Mungu sina la kusema ila kushukuru,aki mlipoteza kiongozi,oooh God ulileta kiongozi mzuri kiukweli,na umemtwaa yote twashukuru,wacha waliobaki waige mfano wako,poleni sana majirani zetu
@hawahabibu6613 жыл бұрын
Tutapata tena wapi mtu kama ww ni zawad Mungu alitupa na sasa kamchukua😚😚
@samighsuleiman79732 жыл бұрын
Mm. Binafsi nampongeza Sana magufuli
@wazirisimon45025 жыл бұрын
Mungu akulinde bba rais
@loner_wolf5 жыл бұрын
Kama umemuona mjeda anapeleka umbea kwa mama Janet baada yakuona mkwanja GONGA like HAPA
@chaeyoungpark15423 жыл бұрын
Daaah tanzaniaaa tumekwishaa tume poteza kiongozi wa wanyongee😭😭
@rsm33673 жыл бұрын
Inauma sana da
@johnpascal14645 жыл бұрын
Mungu akubariki rais uliochaguliwa na Mungu
@kagajujedidja36413 жыл бұрын
Magufuli a true Hero
@mohamedmatogoro40673 жыл бұрын
Nimekuja humu baada ya rais wetu kufariki kipenzi Cha wanyonge
@happybigupmarima43983 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 day inauma
@enriquebalome70533 жыл бұрын
😭😭😭
@dennisjuma61243 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@alfredkirui73123 жыл бұрын
True hero nimeona tu nikadondokwa na machozi RIP JPM from Kenya
@hamidsoud24365 жыл бұрын
Mola akuzidishie roho ya Iman Rais wa Tanzania na akupe afya na umri mrefu
@fatmatillar19043 жыл бұрын
Daaah mungu akulaze pema
@alimaselemani41375 жыл бұрын
Mungu amlinde rais wetu na ampe urasiri maisha yake yote
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔💔😭
@michelinemapendo66523 жыл бұрын
😭😭😭🙏💔💔Watu wako watakimbiliya kwanani eee Mungu 😭 😭
@nadiashawne62485 жыл бұрын
That was really nice of him....we can see now contry is succeeding
@changbenjamin43073 жыл бұрын
He was sent from Above ❤️❤️❤️..#RIP😭😭
@ceciliakitonga86793 жыл бұрын
Wah. This made me cry. May he rest i9n eternal peace
@boombasticjoseph11053 жыл бұрын
Tanzanians had the BEST President ever on Earth! Sorry guys for your loss
@karirekinyana97593 жыл бұрын
Mimihapa natamani kulia kwasababu yaflaha Magufuli Mungu akusimamie
@loveme60565 жыл бұрын
Mungu Azidi Kukubariki Rais wetu
@ameniameni6175 жыл бұрын
Kweli kabisa kunawatu wengi wananyanyasika sauti zao azisikiki
@gidionseleman73185 жыл бұрын
"When a perfect man shows his perfection in front of those who think he's not perfect".... ##nimeandika
@aishanishar88973 жыл бұрын
Rip magufuli🙏🙏🙏🙏🙏🙋❤❤❤
@mnomahboybright47435 жыл бұрын
Dah Tz bado tunanyanyasana sana aisee haya mambo sjui yataisha lini