Рет қаралды 1,871
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imesema ujenzi wa uwanja cha ndege cha kimataifa wa Msalato unaojengwa jijini Dodoma umefikia asilimia 54 katika miundombinu ya barabara na asilimia 21 katika miundombinu ya ujenzi huku ukitarajiwa kufanyiwa majaribio ya urushaji ndege mwezi Oktoba 2024 na ujenzi wake ukitarajiwa kukamilika mwaka 2025.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Mussa Mbura ameyasema hayo wakati wa ziara ya Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege (TAA) ya kukagua utekelezaji wa ujenzi wa uwanja huo.
Imeandaliwa na Ahmad Ally || Mhariri @moseskwindi