MUHAMMAD IDDI HANA JIPYA | SITOACHA KUPAMBANA NA BAATWIL MTANDAONI - Sheikh Salim Barahiyan

  Рет қаралды 21,726

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Пікірлер: 284
@aminaosman3315
@aminaosman3315 5 ай бұрын
🎉,rudisha haki ya watoto marehemu janira kama unamuogopa allah kna kufa kuna kuulizwa sijui mtajibu nini mbele ya allah
@SaadIssa-c9o
@SaadIssa-c9o 6 ай бұрын
Mashallah sheikh Barahiyani mungu akulipe kila kheri kwa kuelimisha ummah,hakika wewe ni mmoja wa waasisi wa kututowa kwenye bid'aa mashallah baraka Allah fiyk
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 6 ай бұрын
Mambo kama haya yanasababisha kero hekma huna Shekh wangu Sasa hiyo kauli ya aluta continue kwa waislamu wanzako waliokuletea hoja Turudi Kwa Allah na Mtume Allah akuongoze
@khamisabdallah
@khamisabdallah 6 ай бұрын
Allah akuhifadhi uzidi kutupambania na Siku Moja ukweli utakuwa bayana.
@AbdulAlly-dr7bf
@AbdulAlly-dr7bf 6 ай бұрын
Masheh wetu sijui mmekutwa nanini Alha awafanyie wepes Dunia ipokatika shirik badala yakupambana na shirk mnapamban wenyewe kwawenyew inalilah wainnailah ragjiun
@yazidurashidi8443
@yazidurashidi8443 6 ай бұрын
Hv wewe yanayosemwa unayaelewa au we watizama mapicha tu
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 6 ай бұрын
kwani wewe hujui kua hii ni hakki na hii ni batil? tumia ubongo
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 6 ай бұрын
Wewe pambana nayo iyo shirki wap acha wapambane ...Hata wewe una haki ya kupambana na shirk ..mtu yoyote atakae potosha lazima arekebishwe.
@saidingoma5416
@saidingoma5416 6 ай бұрын
Ila ungemheshimu kwa kumwita Sheikh Muhammed Idd
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 6 ай бұрын
Mashallah allah akuhifadhi salim abdurahim barahiyani paka siku yakiyama kwenye hili bakwata wamepoteza wafasi wao wengi jamii yakiislam tananzaniya ukipita mtaani unasikiya wanasema answary wako sawa asili jambo linaitilafu lakini answar jamii inaikubali kwenye msimamo wakimataifa allahu alam?
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
MAASHAALLAAH ALLAH AKULIPE AKUPE AFYA UZIDI KUTUZINDUA HAKIKA UMETUTOA MBALI TULIKUWA VIPOFU HAWA BAKWATA WALITUPOTEZA SANA. NIMESIKIZA ALMOST CLIP NYINGI ZA KUMJIBU HUYU MZEE HAKIKA HAKUNA ALIEJIBU HOJA ZAIDI YA MATUSI ,KEJELI NA UONGO. ALLAH AZIDI KUKUPA NGUVU SHEKH WETU UZIDI KUPAMBANA NA WATU WA BAATWIL DUNIA YA SASA IMEBADILKA WATU HAWAPELEKWI PELEKWI TENA TUMEZINDUKA. NIWASHAURI WENGI WETU HUMU TUSIKIMBILIE KUCOMMENT KAMA HATUJAKUBALI KUSKIZA CLIP NA TUKAILEWA KULIKO KUJA NA MANENO YA HOVYO HUMU NDANI INADHIHIRISHA UFINYU WA UELEWA WAKO. KAMA MTU UNA HOJA JIBU HOJA TUACHE KUPELEKWA PELEKWA
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 6 ай бұрын
N,a Ba do muko kwenye kiza mpaka mujibu hojja za abuu idd
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 ай бұрын
Wewe uliwahi ona wapi Wahabi akubali kakosea au hajui jambo au asiwe na jaziba katika maongezi yake?
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Nyinyi Wahabi ibilisi amewavaa
@sports007tv4
@sports007tv4 6 ай бұрын
Sasa bakwata wanakupeleka na huyo sheikh wako anakufanyaje hpo kma sikukupeleka na mwez wenu wakalenda muliouandaa siku mukifanikiwa kwenda saudia nenden mukaulize kua sisi watanzania ni sawa kufata mwez wa Saudia muskie mutakavo jibiwa nyie munaburuzwa tu kujiita watu wa sunna na wala sunna hamna hya mtume alifata mwez wa kimataifa kma wakwenu mtume hakuugawanyisha waislam bali aliwaweka waislam wte kitu kimoja sasa nyie mukafata mwez wakimataifa kma sikugawa waislam ni nini embu litazamen hlo na wazee wenu huko nyuma walifungaje embu waulizen hawakua na barahiyan wao wakuwapeleka
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
@@sports007tv4NILISHAURI HAPO JUU KWENYE COMMENT YANGU KUWA USIJARIBU KUCOMMENT KAMA HUJASIKIZA ALICHOKIONGEA SHEKH BARAHIYAAN VIZURI ALLAH AMUHIFADHI. ALAFU UNAONEKANA HATA HISTORIA YA WATU WA SUNNA HUIJUI, HATA MWEZI USIPOONEKANA SAUDIS NA UKAONEKANA NCHI NYENGINE BASI AHLU SUNNA WANAFUNGA AMA KUFUNGUA KUTOKANA NA MWEZI KUONEKANA. ACHENI FITNA NA MAJUNGU NYINYI WATU WA BAATWIL HILI NDIO TATIZO LENU MNAPENDA KUKURUPUKA BILA KUSKILIZA ALICHOKIONGEA SHEKH BARAHIYAN . NA TUMEOMBA MASHEKH WENU WA BIDAA WAJIBU HOJA KIELIMU SIO MANENO YA MIPASHO MNADHIMMA KUBWA KWA MOLA ENDAPO MUKAIJUWA HAQI LAKINI BADO KWALETA UBISHI BASI MUUTUU BIGHAYDHWIKUM( kufeni kwa chuki zenu ila haqi itazidi kusemwa ila muache baatwil mufate njia ya sawa.
@ShayfUmande
@ShayfUmande 6 ай бұрын
Jaazaka allah khayra kwa busara ilipotumia
@khatibumsekeni322
@khatibumsekeni322 6 ай бұрын
Masheikh mkae mpatanene wote sisi ni ndugu
@SamirKaba-u1c
@SamirKaba-u1c 6 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu muelimishe Muhammad idi ujinga nake uyo ana mapia ulimwengu wote siku ni moja
@MgeniSaid-fp3wg
@MgeniSaid-fp3wg 6 ай бұрын
Kweli nawe ni miongoni mwa wajinga nani kakwambia dunia nzima siku ni moja
@KomboAli-p1l
@KomboAli-p1l 6 ай бұрын
Hata Mimi naamini siku ni moja duniani, hivi nikuulize tokea ianzishwe hii kalenda ya kizungu ulishawahi kusikia Tanzania na marekani na nchi nyengine duniani Kuna siku tofauti?
@jumanamgugu2337
@jumanamgugu2337 6 ай бұрын
​@@MgeniSaid-fp3wghahahaha hii sasa Kali ya mwaka kwahyo Kuna siku mbili tofaut
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 ай бұрын
@@KomboAli-p1l Kasome elimu jiografia utaelewa achana na kalenda, Soma ujue mabara yote na tabia zake na kisha anza kufuatilia masaa kila nchi na kanda zao utaondokana na ujinga huo. Dunia ni moja na mwezi ni mmoja lakini wakati unaandama kwetu kunawengine kwao ni mchana na wengine wamelala na wengine ni asubui kwani hata hilo bado hamjui shida yenu sijui ni nini bandugu, Au mpaka tuanze kuwapa mifano ya nchi,na tofauti ya masaa au siku na tarehe pengine mnaweza kutoka usingizini.
@HemedSerious
@HemedSerious 6 ай бұрын
Wewe mm nakuona juha sana shida sio siku moja Tatizo usiku na mchana ukiwa tofauti tu watu hawawezi kufunga sawa acha ujinga ww mwehu iyo hoja itakudhalilisheni mamwehu😊
@mkude
@mkude 6 ай бұрын
ALLAH akupe AFYA NA UMRI MREFU
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 6 ай бұрын
Jazaka llahu khaira
@uledihassan6065
@uledihassan6065 6 ай бұрын
Allah akulipe kheri sheikh Salim Barahiyyani
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,àllah atawazalilisha kila aliyehusika kuwadhulumu yatima na kumshtaki mwezi a ramadhani Hakim WA haki NI Allah atawazalilisha wote walioshiriki katika zulma ishaallah
@NuryaMusa
@NuryaMusa 3 күн бұрын
Masufi naghurafi matwariqa mnataab😂 wallah
@ramosjohn3793
@ramosjohn3793 6 ай бұрын
Allah akupe afya na umri mrefu inshaallah
@Adamubwango
@Adamubwango 6 ай бұрын
Shekhe tunakushukulu kwa kutetea haki ya wislamu tunakuombea kwa mung akupe Maisha marefu Dunian na Maisha mema kesho akhela aamii
@osos9073
@osos9073 6 ай бұрын
Mwezi ukipatwa saudia tukapigiwa simu inajuzu kuswali
@mohamedkhamishamad
@mohamedkhamishamad 6 ай бұрын
Mashaallah shekhe mungu akulind
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie 6 ай бұрын
Shukran sheikh wetu Allah akuhifadh
@jumanneally4180
@jumanneally4180 6 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akupe nguvu na akulipe,INSHAALLAH ALLAH atuongoze wote
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Ili azidi kuwapotosha Waislamu
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- 6 ай бұрын
Waopotosha ni hao watu wa bidaa wakata viuno, wasiofuata mafundisho ya mtume s.a.s​@@athumanimahunda6541
@mohamedmuya4965
@mohamedmuya4965 6 ай бұрын
Viongozi wa dini ya kiislamu wengine wana elimu kubwa ya dini, lakini inaonekana wazi elimu haikuwazidishia kitu isipokuwa kibri na kuwagawa wafuasi wa dini. Suala la mwezi si jambo la kukaa na kuleta mgogoro kila mwaka, na kufikia kuwagawa waislam katika nchi moja. Masheikh wana watu wao, Bakwata wana wao na Hawa nao wana wao. Ikiwa nyinyi kweli ni waislam mnaoweza kushikamana na kamba ya Mwenyezi Mungu, iweje ishindikane kukaa pamoja Kwa jambo hili ili kuwaunganisha waislam? Mbaya zaidi wafuasi pia wamekubali kugawika huku kila likitetea sheikh wao. Hii ni mbaya sana. Nakumbusha tu Kushikamana na Kamba ya Allah ya! " La ilaha illa Allah" Sote tumepewa akili lkn tuweke dhima Kwa viongozi wetu na kudumiaha kujadiliana katika khitilafu na kutoa fatwa". Masheikh najua mnapambania pepo lakini kibri cha elimu kitawakosesha pepo.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 ай бұрын
Hakuna mwezi wa mataifa katika uislam wala sio suna ya mtume MUHAMMAD S. A. W, wala maswahaba zake hawakuwai kufunga swaumu zao kutegemea mwezi uandame Tanzania ndio wafunge, Hata nchi ya Saudia wao hawafuati mwezi wa Tanzania hata ukiandama Tanzania wao hawana habari nao, Anae bisha atoe ushahidi lini Saudia wamepiga simu kuuliza ikiwa huku kwetu mwezi umeandama ili wao wafunge, Pili Saudia sio nchi inayofuata sheria za kiislam, Sema hawajamaa mawahabi na uongozi Wa Saudia ndio asili yao na wale ndio wafadhili wao na ndio maana wanawafuata tu kibubusa bila ushahidi Wa aya au hadithi.
@masjidhamzainstitute8890
@masjidhamzainstitute8890 6 ай бұрын
Wewe uliye Na ilimu Pana tweke sawa
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 6 ай бұрын
Kwani wewe ndo unae toa Pepo soma dini uelimike
@Bombwejr18
@Bombwejr18 6 ай бұрын
@@abdullahmasakata170 kwani wao saudia nani? Unafata sheria ya dini inavosema au unafata dini inahitaji nn hao saudia ndo watu wa hovyo kwa sasa dini kama ikitaka hvo Acha iwe saudia wao ndo nani wao s watu kama watu wengne na wana mahaba yao sio kila muda wako sahihi ikiongeleka haki tuifate hoja ujibiwa kwa hoja sio maneno matupu sio wao kama hawafati sisi tuwafate wao tutafata vile dini inasema baasi
@sports007tv4
@sports007tv4 6 ай бұрын
​@@abdullahmasakata170umeongea vzur sana kaka hao sio mwez wa Tanzania ukiandama Yemen tu hawaufati
@jumadinya3796
@jumadinya3796 6 ай бұрын
Mashaallah ALLAH akuhifadhi
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 6 ай бұрын
insha'Allah akhy
@MwajumaRamadhan-qi4wi
@MwajumaRamadhan-qi4wi 6 ай бұрын
mashaallah shekh kwa kututoa togotogo
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 6 ай бұрын
Mashallah Allah amuhifadh sheikh barahiyan
@AllyAmini-ny9pv
@AllyAmini-ny9pv 6 ай бұрын
Allaahumma Aamiin
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 6 ай бұрын
Allah akulipe kheyri
@msarama5406
@msarama5406 6 ай бұрын
1:17 Allah akuhifadhi sheikh salim
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 6 ай бұрын
Jazaaka Allaahu Khyra
@MbanoMrage
@MbanoMrage 6 ай бұрын
Maashallah safi sana tutatangaza bila shaka
@ashrafbunu2371
@ashrafbunu2371 6 ай бұрын
Allah akihifadhi
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw 6 ай бұрын
Shukrani sana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
ALLAH AkBAR
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 6 ай бұрын
Wallahi huyu sheikh barhiyaan mungu amuongoze kwa sababuanasema Muhammad did hjui jggrafia ilhali yeye ndie hajui jografia anajichanganya kwa kusema mwezi ukionekana hapa Tanzania marking ni asubuhi tarehe 28 kwahivyo wamaurekani hawawezi kufunga mwanzohuo ni urongo unasema wamarekani watakuwa ni mchana wa 29 shabbat na swaum ni mchana na kwa mtazamo wenu mwezi unapo one kana hukmu yake inaenea ulimwengu mzima kwa hivyowamarekani wafunge mchana wa 29 shaaban ambapo ramadhan imeshaingiya amawafanye nini ukisemawaendelee kula watakuwa wanakula mchana wa ramadhan ukisema wajizuilie kula itabidi wake walipe jee hii ni sheria gani unyoilta kwenye dini ya mwenye ezi mungu huku ni kuitiauzito uislamu kwa sheriaisiyo tekelezeka na ilhali mwenye ezi mungu ameifanya nyepesi kwa hivyo Muhammad idd anajua jografia vizuri hata kuliko wewe na mwisho ukasema wazuoni wanasema sikuu ni ile ile ni wanazuoni gani hao unaosema wewe walisema hivyoina maana hawajui muundo wa dunia ulivyo huu ni kuurudisha nyuma Sacha kuropokwa jibu hojja za abuu idd
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/nWTRmY1soJt1qrssi=HeXDXmW45AXNM5kQ
@Dachboy-f3v
@Dachboy-f3v 6 ай бұрын
Masha Allah
@abdallahal-khaify
@abdallahal-khaify 6 ай бұрын
Muhammed Iddi hana hoja za kisheria na tulishamzoea, daima anapambana na haki kwa hoja za kiakili na kamwe hakuna mwenye nguvu za kuiangusha haki ambayo imejaa ushahidi wa hoja za kielimu kwa hoja zake za kiakili .
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 6 ай бұрын
maa shaa Allah piga kazi mzee acha vodomo domo vipige kelele
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 6 ай бұрын
Mashaallha Allha akulipe shekhe wetu
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 6 ай бұрын
Haki ni neno la kiarabu, kwa kiswahili ni KWERI . ASILIMIA KUBWA ya wengi katika Mashehe wame hajjiru fi haki ( wameuhama UKWERI na sio ukweri tu ila wamemuhama pia na Mola wao. Insha Allah nitakuja Tanga Ana salimu min salimu falam min ahadullah. Tukutane waislamu tuongee.
@NanahHassan-cd2vl
@NanahHassan-cd2vl 6 ай бұрын
Allah Akuhifadhi Sheikh wetu
@mohamedkhamishamad
@mohamedkhamishamad 6 ай бұрын
Asalam alekum shekhe una busar san maneno yako mtamu san mashaallah
@musarashid7873
@musarashid7873 6 ай бұрын
Maneno Matamu Kwa kuangalia mwezi wa Saudia tu Vp Wa Oman Au Indonesia au Tz ,Siku Moja mfatilie na mwezi wa Oman au Morocco 😂
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
@@musarashid7873ndugu unaonekana umekurupuka kujibu bila kufanya research ya tuhuma zako. Jaribu kufatilia jambo kabla hujaingia kwenye dhambi ya uongo. Shekh Saalim barahiyan msimamo wao wanafata mwezi wa kimataifa haijalishi utokee nchi gani basi watu wa sunna watafunga na kufungua hata utoke oman tu basi watautangaza. No RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK. Tutafute elimu ndugu
@user-xf9or5cv1d
@user-xf9or5cv1d 6 ай бұрын
Mashekh hivo mnavyo fanya kubishana si vizuri mnashe kwa na madini mengine
@sulemanealisaide217
@sulemanealisaide217 6 ай бұрын
Mashallah
@AliHassan-fy6zk
@AliHassan-fy6zk 6 ай бұрын
Sote waislam kaeni chini mujadiliane kwa kauli moja
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 6 ай бұрын
Tatizo SI siku tatizo ni Nyakati za ibada .. ikiwa wakati ya swala haijafika huwezi kufata wakati wa msikiti mwengine mpaka ya kwako ifike ndio Aqimi swalat
@baraka1237
@baraka1237 6 ай бұрын
Kuwenii na Mungu ANAYEJIPAMBANIA na so WAKUPAMBANIA .
@AhmedAhmed-ff6dp
@AhmedAhmed-ff6dp 6 ай бұрын
Ustadh umeulizwa swali jibu mwezi ukishikwa america sisi Tanzania twaeza swali swalah ya mwezi kushikwa mchana
@khamismaulid8347
@khamismaulid8347 6 ай бұрын
Sheikh amesema point ni kutangaza mwezi Na jibu tutangaza.
@ShawwalSRamadhan
@ShawwalSRamadhan 6 ай бұрын
Ewe Allah usie shindwa na chochote tuonyeshe haki kwa uwaz ifike siku tuuone mwez watanzania wote kabla ya kalenda
@huseinomary808
@huseinomary808 6 ай бұрын
Alhamdulilah Allah akuhifadhi Alm
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 6 ай бұрын
Ukosawa sheikh
@alhabibymasoud3445
@alhabibymasoud3445 6 ай бұрын
سبحان الله
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 6 ай бұрын
Sheikh allah akulipe na akupe afya njema uzidi kutupa faida
@malongoisack5811
@malongoisack5811 6 ай бұрын
Maashallah Napenda namna anavyoongea kwa utulivu
@mrafm7285
@mrafm7285 6 ай бұрын
Shekhe pambania Sunna na sisi tuko pamoja nawe
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 6 ай бұрын
Na pia sheikh Barahiyani Sema kwa Dalili?
@hamisiramadhani3538
@hamisiramadhani3538 6 ай бұрын
Shekh naomba kufahamu je? Mwezi ukionekana Tanzania wakapewa taarifa wasaudi wata ufuata
@othmanabeidy4460
@othmanabeidy4460 6 ай бұрын
Kweli shekh Mimi ni kijana Lakini nakubaliana na wewe
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm 6 ай бұрын
Msikilize mwenzako Kassim mafuta
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
Umesoma kichwa habari na anayoyaongea shekh? Sasa mafuta kafata nini hapa?
@mohamedswaleh6778
@mohamedswaleh6778 6 ай бұрын
MsIkize ww ss atuuxu
@hasanseif7130
@hasanseif7130 6 ай бұрын
Endelea kukandamiza mwisho wao upo karibu
@rajabawadh1635
@rajabawadh1635 6 ай бұрын
Shekh piga nyundo anae ona anaumia afe
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 6 ай бұрын
Naam kabisa akhy
@mohamedkhamishamad
@mohamedkhamishamad 6 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah
@mahimbiomary6597
@mahimbiomary6597 6 ай бұрын
Allah akujazie mema ck yako yamalipo Inshaallah
@OmaryBakariOmary-ts3mf
@OmaryBakariOmary-ts3mf 6 ай бұрын
Allah akuhifadh shekh
@abdallahally7205
@abdallahally7205 6 ай бұрын
Wewe sheikh pole sana elimu ya dini huna
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 6 ай бұрын
Mnamatatizo sana..kwnz sikiliza vzr anacho kiongea kwnz licha ya elim kuongea tu kwake unajua km huyu ni elmu mkubwa nyinyi mnababaisha maneno ata kuongea awajui yn kwny kupangilia maneno
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 ай бұрын
Muulizeni shekh wenu kwamba Saudi Arabia nao hufuata mwezi wa mataifa? Mfano ukiandama Tanzania wao Saudi Arabia watafunga? Vipi kuhusu enzi za mtume MUHAMMAD S .A. W jee walikuwa wanafunga kufuata mwezi wa mataifa Mfano mwezi ukiandama Hispania wao Maka na Madina walikuwa wanafunga? Au jee huu mwezi wa mataifa ni suna ya nani? Tuambieni ili tusiwe watu wa bidaa kama ninyi bandugu.
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 6 ай бұрын
Siku ni Moja ila Ibada Inaingia kwa wakati wake
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 6 ай бұрын
Saudia time ni mmoja ila kama wakati wa Ibada haijafika...tunasubiri ifike....hatuwezi kutegemea Ibada ya msikiti mwengine wakati sisi Ibada ya wakati haijafika....kwa ivoo tatizo SI siku tatizo ni Nyakati za ibada
@hassanmakata2274
@hassanmakata2274 6 ай бұрын
Maashaallah jazaaka llahu khaira
@fabimbilinyi2529
@fabimbilinyi2529 6 ай бұрын
Gd
@majidiabdi424
@majidiabdi424 6 ай бұрын
Sheikh Uko SWAHIHI Mwandamo ni Mmoja tu - Usiku wacheo Ni Mmoja - Vituo Vya Mwezi Ni 28 Vikimalizika Unarudi ktk kituo chake CHA KWANZA - funga yaingia Mara Moja kama Mimba - Na inakatika Mara Moja kama kuzaliwa kwa Mtoto - JONGEZENI
@AliJussa
@AliJussa 6 ай бұрын
Tumepewa vipawa vya ufahamu ili tutafakari na kupima jema na ovu, hapa aliposema tofauti kuanza kufunga inatia shaka kuona haiwezekani waislam wote kufunga siku moja, kuna habari za mwezi nyingi sana na utekelezaji wake sio kwa pamoja, mfano mwezi kupatwa eneo dogo tu je dunia nzima isali sala ya kupatwa kwa mwezi?
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
Labda nikuulize wew ndyo mwez ni mmoja je mwandamo wewe mzee unataka kuleta vurugu katka nchi hii uislam ni Amani jua kuwa huna mamlaka ya kutangaza mwezi katka nchi ya Tanzania kisheria na hata kiserikali ngoja utiwe mbaroni wew usijivunie umaarufu ulonao watakusweka ndani na huku upo katika baatwil Babu we hembu tulia acha visirani elezea hojjah syo kushindana huna hojjah ya kisheria hata moja Sasa mzee mche Allaah una umri mkubwa San saiv usije ukaharibu Amal zako mwishoni
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
​@@AliJussandyo hyo ni hoja kubwa mno katika haya mas'ala maana swala khusuufulqamar inategemea mwez Kama vile kufunga na kufungua na dhulhijjah hizi ni Ibadah zinzotegemea mwezi na zote mtume kazitangaza Sasa je mfano mwezi ulipopatwa Madina akatangaza watu waswali swala ya khusuuf alikusudia dunia nzima iswali swala hyo au alikusudia sehemu ile ilipotokea sababu ya swala hyo ?
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
​@@AliJussakwahyo ni lazima tufaham maana ya mwandamo vzuri ukiandama sehemu waliokaribu na mwandamo huo ndyo hupaswa kufuata Kama vilevile kweny swala ya kupatwa kwa mwezi sema tunachohtaji kujua ni masafa yapi kisheria mwezi ukiandama tunakuw tumo au tunakuwa hatumo bc
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
​@@AliJussaSaudia Arabia syo wajinga kwann wao hawafungi kwa mwezi wa nje ya Saudia vilevile Yemen Oman mwezi huuhuu tulonao juzi Yemen na Saudi Arabia wamefunga tofauti inamaana sisi Tanzania niwaelewa Zaid ya Mambo ya mwez kuliko Saudia na Yemen? Huyo aache kuwazuga watu na mijitu nayo imekaza tu Yan we Tanzania ni Answarusunnah kuliko Saudia😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@yusufubashiriyusufubashiri2849
@yusufubashiriyusufubashiri2849 6 ай бұрын
Ww mzee mujiga sana unatuaribia ndini
@NasibuAlban
@NasibuAlban 6 ай бұрын
Hujui dini wewe
@omarymohamedi-ex8mw
@omarymohamedi-ex8mw 6 ай бұрын
Hta kuandik awezi kwanz
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
Kweli muislamu anaweza mtukana mzee kama huyo mjinga? Subhaanallah hii inadhihirisha wewe Yusuph huna adabu na pia hujasoma dini. Shida yenu nyinyi watu wa bidaa mumeendekeza matumbo mbele badala ya dini ya Allah. Shekh endelea kuwachapa bakora tuko nyuma yako.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Shekh tuko pamoja sana
@shukurually8769
@shukurually8769 6 ай бұрын
Kwanini sisi tunaufata mwezi unaonekana saudia nawakati saudia hawafati mwezi wa nje ya kwao?
@r.m.a7570
@r.m.a7570 6 ай бұрын
Kwel dunia n sku moja na imeumbwa sku moja je hatulion hl
@AbrahamanSaidi
@AbrahamanSaidi 6 ай бұрын
Ni kweli hana jipya ni yale yale aliyojibiwa na Shekh Qasimu Mafuta
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 6 ай бұрын
KWAJIRI ya Allah pambana sema wakuogopwa Allah Hawa bakwata wapo KWAJIRI ya uganga na matumbo Yao JAMBO LINGI KWANI KUFUNGA ANALAZIMISHWA anae taka yafunge atapo tangaziwa na yule asie taka KUFUNGA hafungwi kwamba Wala hapigwi shida Hawa bakwata wao ndio hutangaza batrii Kila siku
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 6 ай бұрын
Sahiha tan akhy
@costerhoshan6755
@costerhoshan6755 6 ай бұрын
Swaddaqta yaa sheikh
@harithmwinyi799
@harithmwinyi799 6 ай бұрын
Sheikhe allah azidi kukupa ujasiri namsimamo huohuo mana sijui wanatafuta nini hawa bakwata
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 6 ай бұрын
Sisi tunataka Shekhe ajibu hoja zilizotolewa kwenye vitabu alivyotoa Shekhe Abuu Iddy
@yusufubashiriyusufubashiri2849
@yusufubashiriyusufubashiri2849 6 ай бұрын
Ww mzee mm nakushagaa
@NasibuAlban
@NasibuAlban 6 ай бұрын
Shangaa nn soma dini
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
Allah akuongoze bwana yusuphu sote tumetoka huko huko kwenye kutetea maulidi na visomo ila leo tumeijuwa haqi Allah atakuongoza na wewe.
@GadafiRashidi
@GadafiRashidi 6 ай бұрын
ALUTA CONTINUE FULL STOP
@AdijaTunda-c8u
@AdijaTunda-c8u 6 ай бұрын
Shukran
@shabanimussa4269
@shabanimussa4269 6 ай бұрын
tunasikia ulkula ml 200 za msikiti wapongwe angalia sana
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 6 ай бұрын
Hivi issue ya Mil200 aliyosema Kassim Mafuta ni kwel?
@Omar_Abdulrahim
@Omar_Abdulrahim 6 ай бұрын
Mpka sasa hajaleta ushahidi wowote ni mtu wakuzulia mashekh uwongo
@NasibuAlban
@NasibuAlban 6 ай бұрын
Soma dini acha fitna
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 6 ай бұрын
@@Omar_Abdulrahim nijulishe kama kwel au la
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 6 ай бұрын
@@NasibuAlban kwaio nan fitna au hujui iyo kazia Mafuta kaisemea sasa nani ni fitna
@Mwendeshi-su1yh
@Mwendeshi-su1yh 6 ай бұрын
Nasi tunakupa wasiha sheikh wetu alie kufa haitwi marehem
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 6 ай бұрын
Anaitwaje maana neno marehemu linatokana naneno kiarabu twambie weweanaitwaje
@NasibuAlban
@NasibuAlban 6 ай бұрын
Soma dini acha ujuaji na uchambuzi
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 6 ай бұрын
Shekhe mpira na mwezi wapi na wapi
@haddgome4682
@haddgome4682 6 ай бұрын
Tupo pamoja shekhe
@muddycantona6286
@muddycantona6286 6 ай бұрын
Shekh huwezi kumjibu coz unajua unapotosha watu
@RamadhaniShemweta
@RamadhaniShemweta 6 ай бұрын
Sheikh allah akulipe kwenye haki usimuogope mtu hao niviumbe usiogope mtu yoyote wakuogopwa ni allah wao akina nani kwani
@nassermohamed6174
@nassermohamed6174 6 ай бұрын
Ukiangalia hapa unajua kuna utoto tu...
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGWWf5qeZZl9d8ksi=wrwmXucGRWFS92MK SERIKALI IINGILIE KATI SUALA LA MWEZI
@MuhammadHamisi
@MuhammadHamisi 6 ай бұрын
Wewe mzee unamshahara unaopewa si bure acha ujinga
@farhathassan7178
@farhathassan7178 6 ай бұрын
😂😂😂😂masufi wamepata kiboko yao sasa, aluta continua
@SharifRashid-g1j
@SharifRashid-g1j 6 ай бұрын
WEWE NIHANISI BARIYANI
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 6 ай бұрын
Soma dini ya Allah uijue huu sio mpira ustukane
@ahlusunna8932
@ahlusunna8932 6 ай бұрын
@@hassanmsumari1200shekhe watu kama hawa wajinga tuwaombee kwa Allah awaongoze maana ujinga wao unaweza wafikisha pabaya Allah awazindue akili zao. Watu wa bidaa hawana hoja zaidi ya matusi sasa hapa katukana ndo inadhihirisha hawa watu wameshindwa kuelemika ila hatutoacha kuwaelimisha mpaka waelewe sisi pia tumetoka huko huko.
@mussajuma9281
@mussajuma9281 6 ай бұрын
Huyu shehe anajua anachokifanya. Anaenda kiilm zaid , hakika haki ikija batili huondoka. Wanaoendelea kushikilia bida'a mwisho wa siku wasiseme hawakuambiwa
@suleimanissa1019
@suleimanissa1019 6 ай бұрын
Mtajuana wenye hamushikubisha hasaa
@jumaajunior7914
@jumaajunior7914 6 ай бұрын
Huyo ndio sheghe Abdarahim mikate
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 6 ай бұрын
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU. kzbin.info/www/bejne/eJ-1mpWQac5-hKMsi=29NLMGK22NsBklh9
@fakifaki5246
@fakifaki5246 6 ай бұрын
Ni vyema kama ungejibu hoja, hatutaki longolongo!
@kingofthefamily
@kingofthefamily 6 ай бұрын
Watoa comment tuna shida saana
@mababa-tv..s.z.b.4905
@mababa-tv..s.z.b.4905 6 ай бұрын
Kuna watu wengne akili ni finyu pengne mpaka wanakufa watua hivohvo ila tunawaombea mungu awape mwanga huyu mzeee anaongea madin sana hata mm nisiye kuwa na kundi na sijasoma namuelewa anachomaanisha vzur mnoooo
@majidiabdi424
@majidiabdi424 6 ай бұрын
Mimi Nilimwelewa Tangu 1998 Nkifundisha ktk shule yake ya ARAFAH msambweni Pamoja Na Huyu MAFUTA anae SAHAU alipotolewa Na huyo Sheikh BARAHIANi - Allah wetu Mlezi alitukataza kusahau Fadhila Tunazo fanyiwa - WEWE MAFUTA ifate hio AYA - acha zako
@mohamedkhamishamad
@mohamedkhamishamad 6 ай бұрын
Nikweli
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
Hakuna anachoongea huyo ni mpotoshaj kwa kukosa ufahm wa kisheria ikiwa Saudia wenyewe wanafunga kwa kutofautiana inamaana Answarusunnah wa Tanzania niwaelewa Zaid kuliko Answarusunnah wa Saudia😂😂😂😂😂😂😂 hyo ni hojjah kubwa saaaan kilicho Baki ni ushabik tu Allaah atuongoze Ameeeeen
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 6 ай бұрын
​@@majidiabdi424lazma tufaham hojjah mezan kwann Saudia wenyew hawafuati mwez mpka wauone katika zone zao tukijua sababu utata utakuwa umeisha
@msarama5406
@msarama5406 6 ай бұрын
​@@Zuwenamachela tambua huyu ni msomi wa sheria sio mjinga kama unavyodhani
@is-haqomar968
@is-haqomar968 6 ай бұрын
Kuwa na viongozi kama mohd iddy ni janga kwa ummah
@AbdulkarimShosi
@AbdulkarimShosi 6 ай бұрын
Jibuni hoja acheni porojo
@mbaroukkhalfani9244
@mbaroukkhalfani9244 6 ай бұрын
Unafiki mwingi kazi kutugawa waislamu badala ya kuwaunganisha
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 6 ай бұрын
Hata anaevuta bangi tuunganishwe nae??
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 ай бұрын
@@hassanmsumari1200 Poleni kama huu ndio uislam wenu, Kasoma ujue uhalisia wa dini sio itikadi za watu na maneno yao. Mtume MUHAMMAD S. A. W hakuwai kuwa hivi.
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 6 ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Asante
Chanzo cha Madhehebu katika Uislamu - Sheikh Salim Barahiyan
14:33
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 24 М.
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 6 М.
SHK ABDULQADIR ALIPOULIZWA KUHUSU ARAFA NI MOJA AU KILA NCHI NA ARAFA YAKE
8:24
SEHEMU YA 8 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
58:00
MAS'ALA TOFAUTI NDANI YA RAMADHAN
1:02:29
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 18 М.
JE MAWAHABI NDIO WALIOWAGAWA? - Sheikh Muhammad Is'haqa
7:38