Hongera sana mkuu wa mkoa! Tanzania 🇹🇿 kuna mkuu wa mkoa mmoja tu Bw. Makonda na ndiye Rais wa nchi ya Arusha!
@asedimaketa86948 ай бұрын
Aseee huyu Makonda namuona mbali sana
@melanialeonard40318 ай бұрын
Mushapata Raisi wenu kwenye nchi ya Arusha hongereni sana😂😂😂😂
@AlexKinunda-j9l8 ай бұрын
Asante sana mheshimiwa Rais mama yetu ,Mama samia kwa kweli nakupa pongezi kubwa sana tu kwa kazi kubwa unayofanya kuiweka nchi yetu kimataifa. Kiukweli mama kweli unajicho linalo angaza sana tu.Nikimaanisha kuwa unajua kuwa nani nimuweka wapi ili afanikishe ndoto nzako.Mheshimiwa nakupa pongezi kubwa sana kumchagua mheshimiwa Makonda kuwa mkuu wa .Mkoa wa Arusha.Yaani makonda ni jembe lenye ncha kali sana .mheshimiwa ungekuwa na watumishi hata kumi tu nchi yetu kweli ingekuwa ni Dubai ndogo.yaani mheshimiwa Makonda ni mpiga kazi .Na jiji la Arusha litang'a sana tu .Huwa nafutilia sana kazi za mheshimiwa makonda kila siku.Naomba mwenyezi amlinde ili afanikishe majukumu yake.Huwa namwona tu kwenye mitandao ningekuwa nipo huko TZ ningejitahidi nimwone nimshike mkono wake .

@Masta84488 ай бұрын
Safari hii mtayanywa haswaa ...hongera mkuu wa mkoa
@johnmeshack44318 ай бұрын
Makonda mungu akubariki sana zaidi ya sana unafanya kazi poa ❤❤❤❤
@MezdDimoso8 ай бұрын
Safi sana mkuu chapa kazi nasisi tunakuombea kwa mungu akupatie ulinzi wake🎉
@MasterOil-qm6vw8 ай бұрын
Hongera sana makonda
@sarahdeograthias90978 ай бұрын
Viva Makonda vivaaaaa
@juliussamwel66068 ай бұрын
Big up makonda Mungu aendelee kukuinua
@Mima-cl2im8 ай бұрын
HONGERA BABA MAKONDA KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA. UMEWAPA SAUTI WATU WASIOKUWA NA SAUTI.
@kalangwapaschal7718Ай бұрын
I pray for you brother Makonda Long live.l will try to mention your name before God.
@adamshilinde25298 ай бұрын
Faida na hasara za utendaji wa connection. Watu wenye uwezo wanaachwa wasio na uwezo wanaingia kwenye mfumo wa serikali matokeo yake wanafanya kazi bila woga
@shamtenyambega29448 ай бұрын
MHESHIMIWA mkuu wa mkoa huko pembeni kuna Madudu mengi sana wananchi tunateseka sana
@NeemaMushi-wj1zn8 ай бұрын
Safi Sana tumechoka na Wala rushwa wa nchi
@MariumChristopher7 ай бұрын
Ndio ni mungu amekutuma mkuu wa mkoa makondo ndye yeyeye akulinde nakukufinikab
@Mima-cl2im8 ай бұрын
Tanzania bila ya watu Kama Makonda ni dhuruma tupu. Watu hawana haya kudhurumu wengine bila AIBU
Mungu akulinde kila silaha itakayoinuka ju yako haitafanikiwa
@octiminja52607 ай бұрын
DADA ZUUUUU 😮😊😊 HAPO IKULU UPOOO LIVE 😊 UNAYAONA MAMBO YA UTEUZI WAKO UKISHAURIANA NA MAMA YETU MKUU WA NCHI?????? Hapa MMEPIGA KWENYE MSHONO HONGERAAA SANAAAAA DADA ZUUU KATIBU MKUU IKULU❤
@jumaigoti754112 күн бұрын
Pole sana
@AbuodSeleman7 ай бұрын
makonda nmekukubali laaana.....ukikaa miaka10 arusha tutakua km ulayaaaa
@SadaKigwangala7 ай бұрын
Hahaaaaaa hongeren Wana arusha migogoro itaisha
@aminielimushi87098 ай бұрын
Hii nimeipenda
@KulwaFadhiri7 ай бұрын
Mungu akutuze meler
@HashimYahaya-hd3zm7 ай бұрын
Mku hongera
@zariadunia63287 ай бұрын
Haya mambo yapo nchi nzima sema viongozi wengi ni corrupt na waoga hawa watu wanao itwa watendaji ni hatari ni majambazi pamoja na wenyeviti wao wa vijiji
@unclegmihale4558 ай бұрын
Safi san mkuu
@RahabuSimba8 ай бұрын
Aiseeeee
@shamtenyambega29448 ай бұрын
hakika wewe ni mkuu wa mkoa kweli na raisi wa Mkoa wa ARUSHA
@AmerdaKavishe-pu3cf7 ай бұрын
Makonda kazi ipo nibora unge tumika kama mtumishi wakazi ya mungu mbona mungu alikuchagua mda kaka tukatae tukubali serikali ya jamuuri nawatumishi wake uto waweza kwani nitamaduni ya nchi kufaki watakushangaa nauto weza kuzibiti japo niaki na kweli
@njaujustin568 ай бұрын
Mh Makonda hili ni tatizo baada ya kusikiliza changamoto zote kaa na watendaj na watumishi katika ngazi zote piga brush kwa maana kufuata muhtasar wa utendaji kazi kuanzia upokeaji wa fedha za miradi and then fanya ukaguzi na hii ofanyike katika halmashaul zote ukipendekeza kwa maana wananchi wengi wanaumia sana na hawajui taratibu sheria na miongozo hivyo wasomi kutumia fursa kuwapiga wananchi
@devisshirima67807 ай бұрын
Magufuli is alive !! Hakika Mh. Magufuli bado yupo hai !! Huyo ni Mh. Makonda lakini ndani yake yupo Magufuli kabisa !!
@shamtenyambega29448 ай бұрын
kaka yangu Piga kazi
@PauloAlfayo-qi1gn7 ай бұрын
Mh mkuu wa mkoa Kuna kijiji Cha sekei Kuna uchauchafu mwingi mno kwa viongozi kuweka Saini mara mbilimbili
@eliasthomas15477 ай бұрын
Mambo ni moto Arusha kwa Makonda.
@zubedahussain21337 ай бұрын
Majitu yanyakati hizi wezi sana hawana hata uogaa na vitu vya serekali
@JumaLulanje-i2o8 ай бұрын
Mpaka wasemee
@IzackMasakiАй бұрын
Serikali ilipe wenyekiti ile uizi upunguwe maana hawalipwi lakini wana gombania nusu kufa kwani kama siyo mateso kwa wananchi
@laylayl51667 ай бұрын
Jamani nyie dhulma mbayaaa hamnahata khofu ya mungu wala huruma hamna
@sospeteralex3788 ай бұрын
Piga kazi
@zubedahussain21337 ай бұрын
Hata wanunuzi hamna Akili wewe unatoa hela bila kuwachunguza siungechunguza kwaza
Huyu mtendaji ni mwizi mkubwa anafaa afungwe miaka 30
@honoratusmodest2858 ай бұрын
Mama samia makonda akimaliza Arusha tuletee lindi huku
@thomaschengena63698 ай бұрын
utawaua wamwera
@MaulidyMadyo2 ай бұрын
Jembe letu la kaz kuliko raisi
@jumakilongo-qz1jb7 ай бұрын
Jizi hilo beba likapate haki yake kupapapake
@SephaniaMsigwa8 ай бұрын
Shida samia makonda chapa kanzi
@BarakaKayilla2 ай бұрын
Huyu ndiye raisi wa tz 2025
@nelsonnyamle7 ай бұрын
KULA KICHWA MKUU WA MKOA HAWA NDIYO WEZI NA WANAOSABABISHA MIGOGORO
@RASHIDMPUMU7 ай бұрын
Mzee wa spana kaza nati
@SwadakatYusuph23 күн бұрын
Wapige spana kabisa mueshimiwa
@MarthaMilajiАй бұрын
Alisikia unakuja ndomana akataka kukulipa pesa nusu
@RobsonEnock7 ай бұрын
Mh.makonda wewe ni magufuri wa Tanzania tunazidi kukuombea uje uwe rais wa nchi.
@RashidMadoti8 ай бұрын
Wapige supana tu mshua hata mimi nimekuluhusu wagonge subana wajinga kabisa
@KabikamjukuuInagamlyambelele7 ай бұрын
Niponipo
@ShamsiKasoma-fn4cl8 ай бұрын
Mtaanyooka Arusha mpaka mseme
@SephaniaMsigwa8 ай бұрын
Makonda upo injuries
@sfggf4688 ай бұрын
Matapeli ni wengi hii nchi sio Arusha tu
@SadaKigwangala7 ай бұрын
Namkumbuka alivyo kuwa mkuu wa .koa wa daresa Salam wewe walio terekeza watoto wailiipata😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ RC makonda
@snipershort69888 ай бұрын
Rais wa WADUDU umeiona hiyo barabara waliokupitisha utazani njia ya kuelekea shambani, huku ndo tunapokaa wananchi wako hata pakitokea mlipuko wa magonjwa kufika mjini ni masaa matatu tusaidie mkuu wetu barabara mbovu
@Esterkomba-ef7eb8 ай бұрын
Mbona shamba hammpi mpaka mnajengea pesa yake ofisi wezi nyie
@susananyasani65263 ай бұрын
Maskini inauma alionewa na Watendaji wa Serikali sorry