Huyu dogo niliona taarifa yake muda ni genius sanaa
@nurasam54754 ай бұрын
Kama hujawahi pand ndege kama mimi nyosha mkono juu😂😂😂
@user-qs2vy8zd8t4 ай бұрын
Issue Vyuo vya Bongo ratiba hazielewek ,ma ovyo ovyo muda wowote yanaweza tokeaaaa😅😅😅
@husseinhamis14284 ай бұрын
😂😂😂
@Ibrah2874 ай бұрын
Quiz na Assignments za kustukiza zitaua mtu 😅 kibongo bongo
@deneagrofarms58844 ай бұрын
@@Ibrah287😂😂😂😂
@sharifamahamudu1824 ай бұрын
Kabisa
@kemmypius20354 ай бұрын
😂😂😂
@binmasoud41504 ай бұрын
Ni mara mbili kwa wiki na sio kila siku😊
@redtk29714 ай бұрын
Duh mzee millard yani hii habari ndio mnaipata leo😅😂
@bluealharthy4 ай бұрын
Sio kila siku bwanaa Ni mara mbili kwa wiki😅
@lh50474 ай бұрын
It's reported 8 times a month, thus 2 times a week.
@Mbuli1004 ай бұрын
1 bedroom aptmnt inaweza fika hadi 3200$ Studio appartment inasoma 2200-2700$ Karibuni to the VERY expensive city VANCOUVER
@kekiplus1andonly4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂hery yake,anajua afu anajua tena,
@khadijabakari29324 ай бұрын
So kwetu huku mara mtasikia mmeitwa kufanya usafi chuon na hyo ndo qz aiseee utajirogaa
@sharifamahamudu1824 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sharifamahamudu1824 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti jamani kha
@ilakizarichard34114 ай бұрын
Kwenye pita pita zangu nilikutana na dogo. Yaani huko na determination hatari😅
@user-xg9sw8ox9b4 ай бұрын
❤❤❤
@ashurajengela39264 ай бұрын
Ndo mmetuletea leo jamani millard mmekua wazembe sana
@highvoltages41694 ай бұрын
NITAFUATA USHAURI WA HUYU KIJANA, KWAKUA HAPA TZ NASISI NDEGE TUNAZO
@paulinamaingu74604 ай бұрын
😂😂😂😂mjini Law School pale
@jbtechnixtv4 ай бұрын
Ni hatari
@muslimhamza50444 ай бұрын
Noma akili tu mjini
@SiahShayo-mx5gt4 ай бұрын
Haya Sasa jmn wenzake tujuane
@user-mb2ek2ds1h4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@BIGBOSS-hl3bu4 ай бұрын
Hiyo pesa mnailipa nyinyi wambea mnaoangalia video na content zake😅😅😅
@eng.kivuyo124 ай бұрын
Bongo lecture zipo kila siku, bado quiz za kushtukiza..tena lecture akijua unakujaga na ndege jihesabie usha disco
@joycemahenge14264 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kawivu kakali analeta
@mayraamon89654 ай бұрын
Hahhahahha😅😅😅😅 nimecheka mm khee
@GeradinaJohn-xh8pw4 ай бұрын
Mimi pia nimecheka mno@@mayraamon8965
@yapellyapel4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ndukulusudikucho_4 ай бұрын
Mungu ambarik amalize masomo yake, Canada ni nchi nzuri lakini wanayoifaidi ni watu wanaoishi nyumba moja wengi hasa miji mikubwa Toronto au BC, wengi huchukua nyumba moja alafu huchangia kodi, Wafilipino, wahindi, Mexicans na waafrica wengi hufanya hivyo, kinyume na hivyo lazima uhamie miji mingine yenye nafuu kama Winnipeg , Saskatchewan au Alberta
@GeradinaJohn-xh8pw4 ай бұрын
Haya sasa walio huko watwambie wanaishi mji gani na ni Kwa gharama ipi
@salmabasil3854 ай бұрын
Bongo ufanye hivyo ya nini kila sehemu kuna chumba elfu 50 kwa mwezi
@TALLUBOY4 ай бұрын
Nyinyi stori munazitoa wapi Kimaisabu bado zinazid iyo 283000×30 kitu kama milon 8 na! Ameokoa nin hapo
@Virtual.Vortex4 ай бұрын
Umeambiwa anaenda mara mbili kwa wiki 283000 x 8=?
@user-yr7lm3wy3g4 ай бұрын
Anaenda mara 8 kwa mwezi mara2 kwa wiki
@martinngenzi62764 ай бұрын
Anaenda mara mbili kwa wiki
@TALLUBOY4 ай бұрын
OK
@vibetz99914 ай бұрын
Umeona bukoba ndo mkoa wa kutolea mfano😂😂😮😅kwani wahaya ndo wenye masifa hayo?? 🤒😷😷
@fdizzo4 ай бұрын
😂😂😂
@user-yy9jp3ll8p4 ай бұрын
Hapana cyo wenye Masifa ayo ila ndo wenye uwezo huo😂😂😂
@GeradinaJohn-xh8pw4 ай бұрын
Ni mfano tu kwani mbona dar imetajwa. 🙌🙌
@ramadhanimtetu36564 ай бұрын
Wahaya Wana hela Wewe 😂😂😂
@evermayala58174 ай бұрын
Amefanya calculation nzur
@hallin95614 ай бұрын
Headline inasema kilasiku, kitovu kinasema kila wiki.