No video

NABII ROLINGA ANENA MAZITO JUU YA KIMBUNGA JOBO | MPANGO WA SHETANI KUWATENGENEZEA HOFU WATANZANIA

  Рет қаралды 108,884

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 369
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 3 жыл бұрын
Nabii wa Mungu piga kazi tunakupenda sana na Mungu azidi kukuinua, na siku zote Nabii wa kweli hupingwa sana, Tunabarikiwa sana.
@florenceanasingodaaahubari5131
@florenceanasingodaaahubari5131 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@salhamohamed1358
@salhamohamed1358 3 жыл бұрын
Kujifanya unayajua mambo ya mungu yote ndio anakupa hayo ni shetani na kama unajua kweli tuambie wewe utakufa lini utaishi miaka mingapi na unakula chakula kiasi gani mpaka utakapo kufa
@veronicananyaro5512
@veronicananyaro5512 3 жыл бұрын
Amiinaaaa
@massym9813
@massym9813 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gladysmueni8143
@gladysmueni8143 3 жыл бұрын
This is so powerful, may GOD bless you man of GOD, may HE hide you under HIS wings as you continue serving HIM and destroying the works of the enemy, we are behide you,indeed you are a true prophet,I can't wait to meet you hapa kwetu kenya,may GOD bless you!!
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 3 жыл бұрын
Amen my Tanzanian people trust in God 🙏🙏 from Kenya with love
@marthamahule3346
@marthamahule3346 3 жыл бұрын
Amen!! True Man of God .Mungu hatatuacha kamwe bali atatupigania.
@annnyaga3536
@annnyaga3536 3 жыл бұрын
Hapa Kenya,2020 na 2021 hatukusherehekea Easter kwa sababu makanisa yaliamrishwa kufungwa. God have mercy on our country Kenya.🇰🇪
@benjaminjoseph1747
@benjaminjoseph1747 3 жыл бұрын
Pole sana. Tunawaombea ndugu zetu
@pennystang6065
@pennystang6065 3 жыл бұрын
Sio kenya tu ara europe na america
@nancynancy1802
@nancynancy1802 3 жыл бұрын
Watching while am in Bahrain am kenyan plz pray for me financially breakthrough ya maombi pia uombee watoto wangu also my mum ni mgonjwa muombee plz
@zawadjose5440
@zawadjose5440 3 жыл бұрын
Na aponywe kwa jina LA bwana and ure financial risen up
@lilianwamalwa9433
@lilianwamalwa9433 3 жыл бұрын
Amen niombea sana
@augustinokaungo9473
@augustinokaungo9473 3 жыл бұрын
🙏
@agneskabaka9908
@agneskabaka9908 3 жыл бұрын
Yesu anaweza
@faza4023
@faza4023 3 жыл бұрын
Yesu Kristo ni BWANA
@sharonnasambu6753
@sharonnasambu6753 3 жыл бұрын
Munguu nifundishe kunyamaza kimia na kusikiza neno lako na kufanya vile inipasavyoo... 🙏🙏 Amen
@eddydauson7525
@eddydauson7525 3 жыл бұрын
Kuna watumishi wengi, lakini huyu ninamuelewa. Barikiwa sana mtumishi, asante kwa huduma. Niombee niko mbali lakini neno la Mungu halina umbali linafika popote
@suzanakamala3615
@suzanakamala3615 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye hai, Mungu azidi kukutumia. Mwana wa Mungu.
@rosemarymagomere4322
@rosemarymagomere4322 3 жыл бұрын
My tanzanian people trust in the lord he is above all 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukuongezea baba
@mercywanza5410
@mercywanza5410 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu nitakupata aje ?
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi maneno yako yametimiaaaa!Nabii Rolinga Oyeeeeeee! Rolinga Safiiiiiii
@simonkariuki6926
@simonkariuki6926 3 жыл бұрын
Blessings to all! Watching from Kenya.
@phylismwihaki4706
@phylismwihaki4706 3 жыл бұрын
Saimon kariuki nitafute
@lazaropedrocalcaocalcao8000
@lazaropedrocalcaocalcao8000 3 жыл бұрын
AHSANTE sana mtumishi wa MUNGU tunakufuatilia sana hapa msumbiji
@Lucy-nr2sm
@Lucy-nr2sm 3 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 Baba Mungu Yuko na wewe mtumishi wa Mungu...hata Yesu kristo alisemwa....am Phanice Okongo na barikiwa nikiwa Saudi 🇸🇦
@Asali901
@Asali901 3 жыл бұрын
Prophet keep the kingdom flag high and higher son of God. Amen
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
Eeeeee bwana jesu..kila agenda za kuzimu juu ya maisha yangu na familia yangu na ndoa yangu na kazi...moto wa mungu wa Elijah ukaanze kuteketeza huko baharini kunako pangiwa uharibifu...fireeeeeeeeeeeeeeee kwa jina jesu AMEN
@TinatanaJoseph
@TinatanaJoseph 3 жыл бұрын
Àmen God bless you in Jesus name
@cosmasmakalo4846
@cosmasmakalo4846 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
@@TinatanaJoseph AMEN
@elizabethngina5456
@elizabethngina5456 3 жыл бұрын
Wa Tanzania heko kwenu, those who know there God will be strong like mountain Zion. I salute you brothers
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 3 жыл бұрын
Hila zote za shetani juu ya Tanzania zika teketeee kwa jina la YESU 💪💪🔥 hukohuko baharini
@sarahnoeljames8357
@sarahnoeljames8357 3 жыл бұрын
Na zmeshaanza kutejetea
@neemaprecious2308
@neemaprecious2308 3 жыл бұрын
Haijalishi adui anapanga nn juu ya Tanzania,, Mungu yuko upande wetu 🇹🇿 milele. Amen 🙏
@eunicechambo1958
@eunicechambo1958 3 жыл бұрын
Amen baba asante sana mm ni mfanyakazi naungana na wewe niombee tuu kuna vita Sana kazn kwangu
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 жыл бұрын
Acha kazi
@fridahmwawasi4171
@fridahmwawasi4171 3 жыл бұрын
This man is God's Own Instrument. God protect you and Bless You coz unaosema ni ukweli,tusikubali hofu
@nyangigenyabitwano1180
@nyangigenyabitwano1180 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu wa Elia, Abraham na Yakobo, yeye ndie anaeujua mwisho wetu, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@fridahsamuel7894
@fridahsamuel7894 3 жыл бұрын
True prophesy man of God may the almighty God continue lifting you up we praise the living God God hallelujah
@mwanaoshutman7275
@mwanaoshutman7275 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie na akutie nguvu nabii Rolinga
@lucynyambura2425
@lucynyambura2425 3 жыл бұрын
Amen, my future will answer my enemies hallelujah
@jenifrans8962
@jenifrans8962 3 жыл бұрын
Mung u. Akubaliki. Mutumishi
@reginakimani2649
@reginakimani2649 3 жыл бұрын
Amen ! Remember me and my family for unity love and care !! Watching from Egypt
@rukiaswalleh801
@rukiaswalleh801 3 жыл бұрын
May God continue to use Prophet Rolinga pray for africa we really need prayers pray for corona to go away i Jesus name
@margritkraeuchi8723
@margritkraeuchi8723 3 жыл бұрын
Tunakupenda sana prophet Rollinga nibariki na maombi kwa family yangu i like this word say's. I leave it to GOD more nd more blessing a man of GOD. AMEN
@floranceh5333
@floranceh5333 3 жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen, barikiwa xawa mtumishi wa Mungu
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 3 жыл бұрын
Hapo Sasa , Mungu asingeweza kuwajulisha manabii wake Hadi tupate taarifa kutoka nje. Umenena vema Prophet, wachache Sana wataelewa
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 жыл бұрын
Amina Mchungaji 🇹🇿 Mungu aendelee kukutunza ktk Taifa letu la Tanzania
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 3 жыл бұрын
Prophet Mungu azid kukulinda sana..... Hakika nabarikiwa na neno lako Mungu akutumie
@marianajohn6167
@marianajohn6167 3 жыл бұрын
Watching from Cairo Egypt
@mariamnzai3497
@mariamnzai3497 3 жыл бұрын
Hello sister mariana please I need to talk more with you if you can
@vaylianmecha3369
@vaylianmecha3369 3 жыл бұрын
Mungu Akubariki xana mtumishi wangu, mim apa ni mgeni lkn nimependa mahubiri yako
@wilkistermorningstar406
@wilkistermorningstar406 3 жыл бұрын
God is in control of everything, let us not Give satan space. Be blessed man of God
@rehemaissah8715
@rehemaissah8715 3 жыл бұрын
Eimen
@veronicananyaro5512
@veronicananyaro5512 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mtumishi nnaposikiliza mahubir yko naendelea kuyaelewa sana
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
Kwetu kenya Kuna jicho la mungu African...nakubaliana na wewe man of God..
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Amen
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
@@estherwambuies1782 AMEN
@mutiesyombua9955
@mutiesyombua9955 3 жыл бұрын
Amen... Mbarikiwa Sana mtumishi wa Mungu 🇰🇪 4rom 🇦🇪
@susanndanshau1185
@susanndanshau1185 3 жыл бұрын
Namshukuru sana Mungu kutupa nabii huyu wa kweli
@bernicewanjiku4558
@bernicewanjiku4558 3 жыл бұрын
Thnx so much prophecy Rolliga a kind man of God, As u hv said let's asured the devil that's he is powerless nd wicked nothing will separate pple of God to turn back Neno la Yesu Christo ni lazima liiendelee tuko pamoja kwa maobi na tumo na neema na damu yake takatifu tuta endelea mbele shetani hana mamlaka kwa watu wa Mungu we humble ourselves before thy nd he will guide us through this difficult time he is holy"in heaven and earth 📖👌🤲🤲❤️🙏🙏👍
@michaelaloyce8918
@michaelaloyce8918 3 жыл бұрын
I'm a new visitor in this prophet I like too
@waluleambuto1400
@waluleambuto1400 3 жыл бұрын
Mimi nachoamini ni kwamba Halitatokea kitu kwa jina la Yesu.
@happybakari643
@happybakari643 3 жыл бұрын
Mungu baba wasaidie viongoz wetu waweze kuku tii na kutii saito yako
@hanamuthoni4225
@hanamuthoni4225 3 жыл бұрын
Mungu wetu hawamuwezi by 🔥🔥🔥 u bless me ,may GOD continue blessing de work unafanya,tuned gulf
@francislovemore3858
@francislovemore3858 3 жыл бұрын
Nime kuelewa sana nabii mungu akubariki.mungu tusaidie watanzania.
@asedybandamunguamlazemahal4148
@asedybandamunguamlazemahal4148 3 жыл бұрын
Unanibariki sn mtumishi wa Mungu amani iwe juu yako from zambia
@brendaingato5920
@brendaingato5920 3 жыл бұрын
Na Mungu akupe nguvu na akufunulie zaidi mjumbe wa mungu
@lucynyambura2425
@lucynyambura2425 3 жыл бұрын
God is faithful to his true people God bless you man of God 🇰🇪
@rosebuluma5204
@rosebuluma5204 3 жыл бұрын
A men
@0ttiliwiliam317
@0ttiliwiliam317 3 жыл бұрын
Ameen mtumishi Mungu wambingunu Akubaliki san tunakuombea zaidi Mungu Azidi kuku funulia zaidi 🙏🙏
@mariamedard6982
@mariamedard6982 3 жыл бұрын
Amen prophet ubarikiw na mungu na azd kukutumia katika nafsi ykooo ya ukombziii , ombea pia familia yangu kwa changamoto wazipitiazoo na wakaoneshwe mahali pema
@ignaskazole2665
@ignaskazole2665 3 жыл бұрын
God bless you the servant of GOD !!!STILL PREACHING THE TRUTH OF GOD
@munyanachantal5549
@munyanachantal5549 3 жыл бұрын
Amen. Ubalikie sana. 🇷🇼🇷🇼tuko pamojya kwamaombi tutawasaidia maombi ahsante sanaaaaaa
@salamaumulisa6112
@salamaumulisa6112 3 жыл бұрын
That’s true Man of God ... stay blessed always 👏👏👏Mungu akuzidishie kwa yote🙏
@bethherman9779
@bethherman9779 3 жыл бұрын
Kwel tupo nyakat za mwisho .....Mungu atujalie mioyo yakumjua na kumuabudu yeye
@anngachacha1393
@anngachacha1393 3 жыл бұрын
Praise Jesus,God bless you man of God..
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 3 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu,
@usisahaunahii6501
@usisahaunahii6501 3 жыл бұрын
Ufunuo 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wore, sehemu yao ni katika like ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili. ( Kama Nabbi wa Mungu anavyo sema aminini watanzania we zangu maana hata Mungu hapatani na waoga na wasioamini) Natamani nikutane nawe siku 1 Mtumshi wa Bwana wewe asiye ogopa kutowa unabi wakweli kutoka KWA BWANA.🙏🙏
@mariaernest9324
@mariaernest9324 3 жыл бұрын
Mtumishi endelea kutujulisha baba mungu akulinde aendelee kukutumia Nawe mtumikie niombee baba nina mtt mgojwa nilimzaa mzima alipofikia umli miaka 7 akawa mlemavu mpaka sasa ana miaka 14 muombee mwanangu mtumishi
@cicilymanyara1752
@cicilymanyara1752 3 жыл бұрын
OCOAN ...SCOAN... Am with you prophet of God
@ambrosemtena1112
@ambrosemtena1112 3 жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU hakika Bwana yu pamoja nawe!! Upara ya hali ya hewa imeshatangaza kimbunga Jobo kimekutana na ukinzani na kimepunguzwa mwendo na sasa kimekuwa cha kawaida tu!!! 🙏🙏
@sarahnoeljames8357
@sarahnoeljames8357 3 жыл бұрын
Hii nchi n ya ahadi kla kinachopangwa MUNGU anatutetea
@marylogedi105
@marylogedi105 3 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏 Mungu akumbariki prophet wa Mungu ♥
@elwynochieng1170
@elwynochieng1170 3 жыл бұрын
Pray, Man of God, for leadership in Africa to listen to your word
@justusomukuba9445
@justusomukuba9445 3 жыл бұрын
Tafadhali niombee juu ya maisha yangu mungu anifulie maisha yangu
@rozyjohn3444
@rozyjohn3444 3 жыл бұрын
Nataman ugombee urais 2025
@dianamasiza8895
@dianamasiza8895 3 жыл бұрын
Amen watching from 🇰🇪
@salomemueni100
@salomemueni100 3 жыл бұрын
Mungu wa Elijah yuhai leo..naamini na nyinyi watanzania kuwa jina la jesu ni kuu... AMEN AMEN AMEN
@saidibaruti1632
@saidibaruti1632 3 жыл бұрын
Mimi ni muislam Ila namuelewa saana
@winfridathomas7710
@winfridathomas7710 3 жыл бұрын
Blessed 🙏🏼
@rukiaissa5225
@rukiaissa5225 3 жыл бұрын
Toroka uje,usiogope.
@eddydauson7525
@eddydauson7525 3 жыл бұрын
Haleluya tv iko king'amuzi gani?
@rosemarylamsy3230
@rosemarylamsy3230 3 жыл бұрын
Mungu akutunze kupitia yeye Mungu tufunuliwe na tuponywe! Amen.
@leahnaliaka5538
@leahnaliaka5538 3 жыл бұрын
We give glory to God thank you man of God may God bless you and your family
@elizabethbalibonera1467
@elizabethbalibonera1467 3 жыл бұрын
God will definitely sauve Tanzania
@celinahguru8326
@celinahguru8326 3 жыл бұрын
Mm nimgeni lakini nimependa mahubiri yako ombea familia yetu imepoteza upendo
@cathymuhonja929
@cathymuhonja929 3 жыл бұрын
May God continue to protect you from every harm big love from Kenya, watching from Bahrain,
@anithabenson7584
@anithabenson7584 3 жыл бұрын
Amen mtumishi MUNGU azidi kukutumia na Damu ya Yesu inene mema juu yako
@abigaeloyole9287
@abigaeloyole9287 3 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@imanikapoma1818
@imanikapoma1818 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie nabii kwani unamaona mazuri hakika nayapenda mahubiri yako
@christineamukoye9969
@christineamukoye9969 3 жыл бұрын
AMEEEEEN, may bless you man of GOD🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@esthermanupa3340
@esthermanupa3340 3 жыл бұрын
Amen Father be blessed may our Almighty Lord be wid u all over wat u do🙏🙏🙏
@lynnsyowai7722
@lynnsyowai7722 3 жыл бұрын
Hiyo ni kweli prophet
@sammyeziron694
@sammyeziron694 3 жыл бұрын
Amen n nyakati za mwisho
@phaustinmodson1692
@phaustinmodson1692 3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@martinikashililika5497
@martinikashililika5497 3 жыл бұрын
Habari
@mwamvuamumbe1677
@mwamvuamumbe1677 3 жыл бұрын
Shetani hatoweza taifa hili katika jina la yesu ubarikiwe mtumishi
@margritkraeuchi8723
@margritkraeuchi8723 3 жыл бұрын
Watching from swiss-land a man of GOD
@tameemothman8192
@tameemothman8192 3 жыл бұрын
Mungu tubaliki na utulinde for the Future
@zulfaoman7554
@zulfaoman7554 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu nakuelewa ukimtegemea mungu anakuonyesha kila kitu
@janechilendu1438
@janechilendu1438 3 жыл бұрын
Asante sana nakupata kutoka Oman.
@robinajohanssen697
@robinajohanssen697 3 жыл бұрын
Amen thanks in the name of Jesus Christ AMEN thanks
@sarahgustaph2710
@sarahgustaph2710 3 жыл бұрын
Mungu aku piganie Mtumishi Daima be blessed🙏
@violetbiketi6994
@violetbiketi6994 3 жыл бұрын
Amen and amen God bless you!
@veronicananyaro5512
@veronicananyaro5512 3 жыл бұрын
Namuelewa sana huyu mtumishi kuuuumbeeeee ndo maana raisi maguful alikataa chanjo MUNGU TUSAIDIE
@anitahmasechu5564
@anitahmasechu5564 3 жыл бұрын
Your the really man of God postar. Am blessed.
@marymutavi5446
@marymutavi5446 3 жыл бұрын
Glory n honour be to God,thankyou man of God
@reemamwangi9192
@reemamwangi9192 3 жыл бұрын
Mungu aliyetengeneza njia Katikati ya bahari bado yupo Hai na atatusaidia njinsi ya kuwakabidhi Hawa wazungu
@naomilovelead
@naomilovelead 3 жыл бұрын
More grace man of God
@waluleambuto1400
@waluleambuto1400 3 жыл бұрын
Baba Leo nimerudi kutoa ushuhuda juu ya maombi tulioomba kuhusu kimbunga Cha Job kuwa hakitatokea. Sasa ni kweli Mungu amesikia maombi yetu na Sasa Hali ni shwari kwa jina la Yesu. Utukufu kwa Mungu, tuko salama.
@waluleambuto1400
@waluleambuto1400 3 жыл бұрын
Nasimama na ww mtumishi wa Mungu kuliombea Taifa juu ya Jambo hilo. Nami naamini kuwa halitatokea kwa jina la Yesu Kristo. Narudia Tena, Halitatokea kimbunga wala dhoruba kwa jina la Yesu Kristo . Mungu you upande wetu, hakuna aliye juu yetu.. Amen.
@agnesskadi7114
@agnesskadi7114 3 жыл бұрын
We baba mungu akubaliki daaaaah ,
@adoniaceisaya700
@adoniaceisaya700 3 жыл бұрын
Nchi haiuzwi Katika Jina la YESU Kristo!! Tanzania inamilikiwa na mabalozi wa Mbinguni Let's pray!!
@bethmereso8357
@bethmereso8357 3 жыл бұрын
Amen.....be blessed man of God
@violetliani5308
@violetliani5308 3 жыл бұрын
Prophet stay bless. Praise God Amen.
@carolynejendeka970
@carolynejendeka970 3 жыл бұрын
Amen man of God am from kenya may God bless you currently in Saudi
@jackyjoshua8665
@jackyjoshua8665 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie kwa kweli
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Hakiji Dar, kimelekea Miji ya Lindi mpka Mtwara, Dar kuna wachungaji kimeshakemewa huko huko kwenye ulimwengu wa roho, habari zinasema kimeaanza huko Lindi, mpka Mtwara
@editarichard1967
@editarichard1967 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki Sana mtumishi
@priscasemwenda8154
@priscasemwenda8154 3 жыл бұрын
Amen mtumish wa mung 👏👏
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 3 жыл бұрын
Hakika Mungu hawezi Fanya neno lolote bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri zake Amos 3:7
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 81 МЛН
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 143 М.
JINSI YA KUOMBA UNAPOPUNGUKIWA NGUVU ZA ROHONI by Innocent Morris
9:54
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 34 М.
HUKUMU YA MUZIKI
19:37
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 130 М.
NDOTO CHAFU(  Nightmares)
1:04:14
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 66 М.
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН