Asalamu aleyekumu je shekh mimi nimeota gari imepaa juuuu alafuirudi ikaangu nini maana yake
@MTAVASSYTv20 күн бұрын
maisha mazuri utaishi inshallah, mtegemee Allah kwenye kila jambo na usifuate nja za washirikina utanishukuru baadae
@NyamweruAlex3 ай бұрын
Je kuota umeuza vyuma chakavu na kununua gari nyeupee sana yaani ya kifahari ila ukawa unaiendesha kwenye mteremko nipo kigoma nisha ota hivo ila nina maisha magumu kinoma yani.
@DulaYanga2 ай бұрын
Mm nmeota mamangu anaendesha gari taratibu kheri InshaAllah 🙏🙏
@ravilmohamed20942 жыл бұрын
Kwenye Rangi nyeusi hapo haujafafanua vizuri shkher
@janetmangapaul7985 Жыл бұрын
Mimi nimeota nimeona magari mazuri tu kama sita mashallah yalikuwa tu yamepakiwa
@freekfrigo22124 жыл бұрын
Samahn sheikh.kuku ina ashiria nini ntotoni.maan nimeon napewa kuku nyeusi.na wakt huy nilikua nakula na ndugu yangu aliefariki.nin maana yake sheikh.nimo ndoani .nafany ibad .mim ni mke.shukran
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Sheikh Jafarry kwa kuendelea kutujuza. Masha Allah hongera sana kwa tafsiri ya kingereza.♥️👌👍
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Maashaaa Allahu Baaraka LLAAHU fiiki kila mwenye shukran na kufahamu kuwa hapa katendewa wema au laa huyo ni mja hasa mbele ya Mola wake ndio maana katika majina yake moja ni mwenye shukran, Ahsante kwa kufahamu kuwa huu ni wema
@alleysalum72743 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv shekhe mm huwa naota mara nying nimebeba mtoto wa kike mgongon mara ya mwisho kuota alikua mzuri sana
@alraiyannasheed68912 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv A alaykum mimi niliota naendesha gari lkn nakiumbe ambae sio ktk binadamu
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku maana yake nini
@AbasiAruna6 ай бұрын
Asaramu araykumu warahu maturahi wabarakatu shekhe ukiota ume chuma uyoga na ukachukua kitabu pembeni yake uka uweka kwenye mufuko na kwenda ina mana gani
@MTAVASSYTv5 ай бұрын
maashaallaah maashaallaah, Wa ,alaykumus salaamu warahmatullahi wabarakaatuh, hii ni ndoto iliyotajwa na wanazuoni wa fani hii kwamba huashiria baraka na kheri kwa kumuonaji au habari nzuri
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku maana yake nini
@RashidiRamadhani-fo6qf2 ай бұрын
Ukiota umeibiwa gar 4:28
@salehrwigemagisa814 жыл бұрын
-Cheikh,nimeota ndoto niko sehemu ninayoifahamu ila kuna kundi la ng'ombe wazuri,wamenona tena wenye rangi nzuri. Nitafsirie ndoto yangu in shaa Allah. -Halafu nikaota ndoto nyingine,nimesimama sehemu na watu,akaja jamaa mmoja simfahamu kwenye pikipiki,akanikabidhi mkoba umejaa pesa,na alipoanza kutoa zingine mfukoni mwake...nikawa nimeshtuka kutoka usingizini.Ila pesa zenyewe zilikiwa dola.
@fadhiliftsyug11333 жыл бұрын
Ndoto za Ng,ombe ni mizimu ya kwenu kaka
@Mnyaruge4 жыл бұрын
Na sheikh kuota unanunua gari nzuri aina ya prado na kuliendesha kidogo nasimama nilkuwa sjui kuendesha nakisia t
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Maisha mazuri unayaelekea inshaallaah
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ndoto ya kuvuka barabara usiku nini maana yake
@winnienicole78724 жыл бұрын
Waaileuk salaam sheik mm nimeota kua nakimbilia Gari ndani yake ilikua na MTU mmoja namjua kisha mwenye Gari akasema Gari haiendi huko tukawekwa kwa Gari lengine na watu pia si wengi kisha najikuta nimeachwa
@oman1oman1797 ай бұрын
❤❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh shekhe mimi nimeota gari aina ya hiace la kini ilikuwa inafanana na rangi ya bleu
@venerandamasunga67893 жыл бұрын
Asalam alykum shehe nimeota nilikuwa nipo njiani nasubili gari tukiwa nawengine nisio wajua ikaja gari ambayo ikowazi lakini imebeba magunia yamkaa waliposhusha mkaa huwo watu wakapanda lkn mm nikakataliwa kupanda sababu sikuwa na pesa ya nauli ikabodi nisubili basi ili nirudi nyumbani na lilipofika pia nikakataliwa kupanda ttz ni nauli ikabidi nitembee kwa miguu nikakutana na nyoka pamoja na paka nikagombana navyo pakaakashidwa akaondoka nikabaki na nyoka nikamuuwa kwakumchana chana nikamtandaza juu ya mti kama ngozi ya mbuzi nn maana ya ndoto hiyo naomba unisaidie pls
@kelvinvitalis2965 Жыл бұрын
Asaalam alekhum , nimeota Kama Mara mbili naongea na boss wangu wazamani niliko kua nafanya kazi Nini maanake
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Mulikuwa munaongea kuhusu nini?
@kelvinvitalis2965 Жыл бұрын
Sikumbuki tulichokua tu naongea sheikh
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine nini maana yake
@zuhuramuhanga54004 жыл бұрын
Mie ni liota ninasafiri nimepanda ndege nikapelekwa mji una mabustani na myumba nzuri sana nilipokelewa namwenye nyumba akani peleka nandi kanikaguza nyumba nilikuta ndani mna walimu wakike na kiume akaniambia nichague mwalim wakunisomesha qraan nilichagua mwana ume ni mtu mzima ana madevu nikashituka inamaana gani hii shekh
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Unamipango mzuri ila haitatumia utashangaa mipango inakata tu pole sana yakuhitaji kumuomba Mola wako mlezi usijiingize kwenye shirk
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na gari iko karibu imewasha mataa mimi na baba tunavuka, nilikuwa naogopa tusije kugongwa nini maana yake. Ila tulivuka bila kugongwa ila gari ilikuwa karibu sana
@HawaShijaАй бұрын
Doktar mm nimeota nimepanga gari kubwa la mizingo nimepanda nyuma harafu magari yote ni makubwa yaani yamizingo magari yenyewe sio mazuri
@MTAVASSYTv28 күн бұрын
Utapitia chamgamoto ya kimaisha pole sana
@aishgodestaraah71794 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh ninaswali nimeota nimepanda basi na marehemu kakaangu tumesafiri mdaamrefu tulipofika siteji tukashuka akanishika mkono yukawa twatembea twapishana na wanahume wamevaa kanzu nyeupe na kofia wasikana mikono
@jameskabalega60033 жыл бұрын
Habari shekh! Nimekuwa nikiota Mara kwa Mara nakimbizwa na ndege (aeroplane) ikiwa juu mm chini kila nitakako kimbilia ina nifuata hadi nachoka kukimbia na nikisimama ina simama mbele yangu na dereva akishuka hanifanyi lolote kisha inaondoka, nikiamka mapigo ya moyo huenda mbio sanaa nn maana yake, nimekuwa naogopa sanaaa
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Pole wewe unasumbuliwa na jinni shihaaqa fanya haraka unusurike nae maana inaonyesha unae muda mrefu sana
@jameskabalega60033 жыл бұрын
Ndo jini gani na lengo lake nn
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine. Wakati wa kuvuka gari ilikuwa iko karibu sana na imewasha mataa nikawa naogopa isije kutugonga tusipovuka upesi, lakini tukavuka na tukaendelea na safari nini maana yake
@AbasiAruna6 ай бұрын
Shekhe asarmu araykum warahu matu rahi wabarakatu ukimuota baba na mama ina mana gani
@MTAVASSYTv5 ай бұрын
wamesema wanazuoni kwamba baba ananafasi ya taffsiri kadhaa katika ndoto ikiwemo maana ya Mungu, yani akiona mtu ndotoni wazazi huambiwa kamuona Mungu na mara zingine hufasiriwa kama wazazi hivyohivyo n.k
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara maana yake nini
@MichelleMobasaАй бұрын
Mm nmeotaa nilikua naenda safari lakin ghafla nilijiona nmeteleza mwenyew na nmeangukia sehem nyingine gari limeniacha yan sjafika ile safari yangu nmeishia njian
@MTAVASSYTv20 күн бұрын
kuna malengo yako hayaotimia, kagua na uanze harakati upya au kuboresha mambo yako
@MugiranezaSabrina6 ай бұрын
Naomba fafanuzi shekhe mi nimemuota mme wangu amekuja kapendeza alafu anaongea na simu kua anakwenda kuchukua pesa pesa pahala! Baadae pia nilipanda gari mi na rafki zangu kumbe lile gari anaendesha yeye!! Alikokua anatupeleka sijui ila tulikua wengi.
@MTAVASSYTv5 ай бұрын
utaelekea kwenye maisha mapya wewe tu ama na hao uliowaona katika hii ndoto, kwa upama wa ndoto za gari inalazimisha nikujibu kwa points muhimu tu, maana kuna memgi hujayasema lakini mfasiri ndiye anayaona hivyo nielewe
@MTAVASSYTv5 ай бұрын
mara nyingi ndoto za gari huashiria mabadiliko pia ya hali za maisha ya siku kwa muonaji
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine. Wakati unavuka gari ilikuwa karibu sana na imewasha mataa nikawa naogopa isije kutugonga. Lakini tukavuka salama na tukaendelea na safari nini maana yake
@maimyahkassim42993 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeona gari nyeusi,limepaki kwenye mti mkubwa,zamani.sasa hilo hilo gari linaenda lenyewe lakini halina taa (limeng'olewa)na nembo ya gari (nembo ilikuwa jeep)
@nasraabdi15293 жыл бұрын
Asc ustadhi mm Nimeota nafukuzwa na mtu nikawa nipo mwenye gari na mkimbia lkn kwenye barabara nikawa na ona mtu kalala anamkwepa lkn bado tu namuona mtu kalala chini ya barabara
@RoseMurigi-s9w Жыл бұрын
Asalam aleykum sheikh >nliota nkiendesha gari n tulikuwa n friends zangu za oshago nkasahao 4ne nlikuwa n puppy ikaniletea inamaanisha
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
Kuwa utapata pumziko lakini hii ndoto mara zingine ikionwa huwa ni ishara ya maradhi kwa muonaji Allah akulinde
@happynesshawanga82012 жыл бұрын
Habari mm nimeota naendesha gari zuri jeupe na la kifahari sana kila mtu ananiuliza. Unagari ya kifahari sana we binti ila kulikotroo siwezi mpaka kuna kaka kaja kunisaidia kasema twende nitakufundisha
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Unanafasi nzuri au uwezo wa kuishi maisha mazuri ila hujui utayapataje maisha mazuri inakuhiyaji msaada ili kujua uishije ili upate mafanikio
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine, na gari iko karibu sana na imewasha mataa nikawa naogopa isije kutugonga, lakini haikutugonga tukawa tunaendelea na safari nini maana yake
@rizikahmad6930 Жыл бұрын
shekhe mm nimeota nakimbizwa na mwanaume nikakimbia nikaingia kwenye nyumba ila ile nyumba skumkuta mtu nipoingia ndani nilipita mlango wa nyuma ila nilipoingia ndani mlango wa mbele umefungwa
@suleimankhamis5588 Жыл бұрын
Shekhe naomba unijibu mm nmeota nmewafukuza wizi wawili mmoja nmemkamata mmoja nkamnadia akafukuzwa na akagongwa na gari na akafa ila mmoja nlimkamata
@ahshbsbx29914 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota Mamba ananiangalia nikakimbia pia nimeota nimengoa meno ya chini na pia nikaota mpenz wangu kabeba ngarii kichwanii naomba unisaidie
@MuasitiAboBakri-ew5mu4 ай бұрын
Nimeota nipo na boss wangu kwenye gari ya kifahar na familia ya boss wangu akatugea wote siliva mbili mbili nyeusi wote tukashuka wenzangu walienda kununua mishikaki, ila mim nilienda dukani kununua vocha nikatoa noti mpya kiujumla inamaana gani shekhe
@Dil-nawadhFt3 ай бұрын
Mimi mmeona nipo kwenye gari naelekea chuoni chakujifunza mmbo yahoteli nawenzangu ila tulichelewa kidgo
@MTAVASSYTv3 ай бұрын
Umechelewa au unachelewa mno kupanga mipango yako kiuchumi au kuna namna unafeli jitathmini na uweke sawa mambo yako
@Dil-nawadhFt3 ай бұрын
@@MTAVASSYTv ilo kweli so uwongo
@iqrahiqrah377 Жыл бұрын
Assalam aleikhm. Kwenye reality mie hata kuendesha gari sijui ila nimeota naendesha gari nikiwa na furaha kuona naendesha ila pembeni nilikuwa na mchumba wangu basi nikuchukua sim nipige selfie mchumba akanikataza akasema leta mie nikupige wewe uendelee kuendesha
@muhsininatv20923 жыл бұрын
A/alaykum shekh nimeota kiongoz mkubwa aliefariki Tunaongea yeye Yupo ktk gari
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Kuwa makini mipango itafeli kama haujazongatia
@muhsininatv20923 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv Asante shekh nitapambana inshaallah mungu anisaidie
@djyondergigi10273 жыл бұрын
A aleikum Na Kama umeota mtu yuko kwenye gari mzuri amekaaa tuu hapeleki gari
@jfjgxcv58592 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmaturullah wabarakatuh sheikh naomba unitafsiliy ndoto iy ukiota baba yako anafariki unaliya sana pia unapo shituka kweny ndoto unajikuta umeliya kwlkwli
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Kama haitotokea msiba basi hakika ndoto inkubashiria furaha Allaah ajaalie hili la pili Allaahumma aamiyn
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine. Wakati unavuka gari ilikuwa karibu sana na imewasha mataa nikawa naogopa isije kutugonga nini maana yake. Lakini tukavuka salama na tukaendelea na safari
@msemo-ku8qb2 ай бұрын
Nimeota babangu marehemu kaja na gari mpya ya bei
@yahayasimba42273 жыл бұрын
Assalam aleykum,,nmeota simu yangu imeharibiwa na mtu ninayemfahamu na nikakasirika nikataka kuipeleka kwa fundi,,,nini maana yake
@lilianmwinuka.Mwinuka9 ай бұрын
Sheeh me nimepta gar nyeusi inapta mbele yangu harafu watu waliomo walikuwag Wana niangalia sana
@jfjgxcv58592 жыл бұрын
assalam alaykum sheikh rafiki yang akanioteya nabeba gari na mubeba yeye manayak nn kish naomba unitafsiliy sheikh wng🙏🙏🙏
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Umebeba gari au umeendesha gari? maana hapa kuna mambo tofauti
@jfjgxcv58592 жыл бұрын
Sheikh nitawez kupat number zak?🙏
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Mimi nimeota natembeza gari langu ninalo,ila wakati nataka ku stop kwenye red light,gari ikatereza nikataka kugonga iliyokuwa mbele yangu ilikuwa nyeupe,ila gari lika stop sikuifikia kuigonga.
@lovehawa47582 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota nilikua kwenye gari ya pikapu yenye siti mbili ya dereva na ya kwangu kuna mtu alikua anataka lifti baba akamwambia siti hakuna ikabidi tuondoke lakin nilivyogeuka nyuma kumwangalia yule mtu alikua anaikimbiza gari yetu na amekasirika sana tulivyokata kona gari yetu ikapinduka baba akawahi kutoka mimi kuna mtu alikua amebeba mtoto alaja kuniokoa lakin nilivyotoka nje ya gari ile gari ikawaka moto...maana yake nin shekhe
@careenayubu95943 жыл бұрын
Sheikh Mimi nimeota nipo ndani ya bus kubwa mfano wa mabasi haya ya mkoani sit ya kwanza akiwa dereva sit yapili alikaa konda na rafiki yangu mmoja ambaye tuliosoma naye na sit ya tatu nilikaa Mimi na watu wengine gari likawa linaondoka Ila mlango haujafungwa
@joanithaedsoni69872 жыл бұрын
Mimi nimeota napanda kweny gari lkn nilikutana na kijana ckumfaham tukawa tunazungumza watu walijua mim ni mke wake kiukweli tuliendana gafra akatokea kaka mmoja kwenye gari akaanza kugombana na mim tulipigana vya kutosha ila baadae ugomvi uliisha na tukaahuka cjui maan yake nin iyo
@djyondergigi10273 жыл бұрын
A aleikum Na Kama alikuwa amekaaa tuu ndani ya gari hapeleki gari Na gari yake ni mzuri
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Hiyo ni maisha yake tu usikhofie
@neemakadii2419 Жыл бұрын
Mm sijui kupeleka gari shekhe ila n mara ya tatu sasa naota napeleka gari nyeupe maana yake ndio nn
@Marry-arm2 жыл бұрын
Slm alkm warahmatullahi wabarakatuhu mm nliota gari nyekundi ikiwa mbali ilikua mpya na nzuri ikakaribia nlikua nabebwa eti na driver wangu ikakua ndogo hata sitoshea ndani nkajifinya adi nkatoshea nlikua na rafiki amenda msalani alikawia kkuja tulikua tunafa kumbeba tuondoke alikawia kkuja hatuondoka na gari nkamka kwa usingizi
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Hayo ni mahusiano utaachananayo au utaondokana na maisha ya dhiki
@harerimanafundi59673 жыл бұрын
Ndoto niliota gari inaenda resi na mvuwa kunyesha nyingi kweli nakupishana na gari zingine zipo resi
@Hidaya-e7x2 ай бұрын
Mm nmeota nmegongwa na roli watu wanaona nmekufa lkn nikanyanyuka
@nzeyimanaanassi35854 жыл бұрын
Nimeota natak kupanda bus nikakumbuk sijabeba pesa nikarudi nyuma kutafya pesa nikakosa nikamuomba mama angu na tayari ashaga kufa akanipa.nikakut gari imeniaca nikaifat sikuiona akini nilipokuwa napita pote ndo gari lilipokuw linapita.akini paka mwisho sikuwaona weny nilikuw nafata
@CatherineB-h6w Жыл бұрын
Mimi nimeota nimepanda gari laki gari nililo panda sio sehemu nilikuwa nataka kwenda then nikawauliza mbona igari inaenda huku mimi siendi huku jaman wakanishusha naikaishia hapo hapo
@raiskamarais41214 жыл бұрын
Nimeota naendesha gari aina ya fuso Napandisha mlima kufika katikati ya mlima balabala imechimbwa shimo gari Yetu kufika Pale imenasa ikabidi nichukue Tukasawazisha balabala vizuri kaka yg akanipa kigogo yeye akapanda kuendesha gari Gari lilipanda Mbaka juu mm wakaniacha Pale katikati ya mlima Wakati Napandisha mlima mdogo mdogo kwa mguu nikaamka Ss Sijajua tafasili yk.
@greatiq46494 жыл бұрын
Asalaam alaykum, Maallim! Nimeota dada yangu amepigwa kofi na paka. Baada ya kitendo hicho ghafla mimi nikapandisha majini na kuanza kukemea na kushutumu viumbe nisio waona. Maana yake nini?
@Saumumsongo2 жыл бұрын
Mm nimeazia gari wakati nalijaribu nakaendesha vzuri.mbele nakaona trafiki nikageza baada yakugeuza gari aliendi Mara likageuka kitu kigo Sana Kama kiatu nikakivaa mguun nikutana nawamama nianza kupiga stor
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
rizki inshaallaah au neema hiyo
@AzizaGogo-gi7mt11 ай бұрын
Shekhe naomba nitafsirie ndoto hii nimemuona mdada amatokwa na damu usoni nikamuliza umefanyaje hakunijibu nikasema mmepigana kimya mara akaja mwanangu nae nikauliza mmep8ganq
@GloryKomba7 ай бұрын
Nimeota nimepanda gari tunaenda safar alfu nikashuka na mwenzangu alfu nikawa nwambia twnd gari litatuacha hii inamaan gani
@SalimHiribae-dp4ml7 ай бұрын
Asalam alequm shehe nmeota marafiki zangu wa 2 ywaendesha gar na kwo amejenga nyumba ya kifahar na nilipo ulizia nmeambiwa yye n bodyguard
@SalimHiribae-dp4ml7 ай бұрын
Huyu mmoja katika ndoto hiyo hiyo yeye ywaendesha tu gari nyingine
@Raya-em8wz4 жыл бұрын
Je ukiota unaendesha baskeli
@RANGO02942 жыл бұрын
shekh nimeota naendesha gari lakin linaenda kasi sana na gari hilo ji jeusi pia nilikwepa ajali kwenye ndoto nikamudu kuruka na kuliacha gari liende zake na likatoka barabani nilikiangali tayari nineruka likagonga pembeni huko na likawaka moto
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Hapo wazi ni kwamba utamaliza msimu wa hali inshaallaah kuwa na subira nakuona kwenye ndoto hii kwamba maisha yako yanaenda enda tu kikubwa mtegemee Allah atakufanyia wepesi ndugu yangu
@FurahaAugustin8 ай бұрын
Kumbe? Nimeota na iendesha mwenyewe halafu nawatu walikuwemo Nika ifikisha sehemu husika halafu Nika shuka ilikuwa gari kubwa nyeusi si nyeusi kijivu si kijivu
@sadikijuma76722 жыл бұрын
Mm nimeota nimenunuliwa garirangi yasiliva ninimaana yake
@mwanaidimuhindi66714 жыл бұрын
Asalam aleykum nimeota tupo kwenye gari halafu gari likagonga trekta ila hakuna alieumia tukashuka salama
@HarunSaid-w5h10 ай бұрын
Aslm alkm, vp je ukiota unafunzwa kuendesha gari. Ukaliendesha mara ukakwama. Je inamaanisha nn?
@MTAVASSYTv10 ай бұрын
Wewe unfunzwa maisha na kujitegemea lakini bado haujaweza kujitegemea hivyo lazima utegemee wengine kwanza
@mobellamobenimpenda70553 жыл бұрын
Jmn tuwekee nomba yako
@ayshaibrahim32244 жыл бұрын
Asalam aleykum sheikh.. naomba kujua kua ndoto za asubuh zinamaana au hazna maana, yan ushaamka ukafanya shuhul zako afu ukarud tena kulala afu uote
@ibrahimshirazi46794 жыл бұрын
Waleykumsalamu mimi nimeota naendesha gari ila taili likaingia mferejini nikatoa na kuendelea na safar
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Kuna khitilafu itaingia katika maisha yako kisha itakuondoka hali hiyo baada ya muda,ila nakushauri kujiombea maana mambo haya huchelewi kusikia inachukua miaka hali hiyo
@ibrahimshirazi46794 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv asante sana shekhe wangu
@alialwahibi49443 жыл бұрын
Nimeikubali
@alisanze96823 жыл бұрын
Shekhe assalam alykum ndoto nyingne pia nayootaa yaan iyo n miaka nenda rud nikiota lazma niotee nimevaa nguo za shule na naota nipo shule yamsing nilipotoka na kunamsichana tulikuwa tunasoma naee lazmaa kwenye ndoto zangu awepoo kiiiila nikiota iyoo inamaana gani
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
wa, salaam warahmatullaahi wabarakaatuh nakila ukiota chunguza utagundua haya kutokea, (1) kupata migogoro na mwenzako (2)kuyumba kiuchumi (3)kupoteza mali moja ya haya inatakiwa likukabili mara baada yakuona ndoto hii na ispokutokea hayo basi chukuwa namba yangu nitafute
@RamaRama-pr7rk3 жыл бұрын
asalam alaykum warahma tulihii wavarakatuh ,shekhe vip ukiota unapishan na magar mengi barabaran
@GgVv-os5yq12 күн бұрын
Kama umekoswa na kugongwa na gari barabarani inamaana gani
@freekfrigo22124 жыл бұрын
Waalaikum salam sheikh.mim nimeona njozini utupu wa kiume umevaa .mfuko wa kiume.
@mussamuhanzi7048 Жыл бұрын
Ukiotaa mtu anadeshaa gali ndani inamchangaa inamaana gani hiyo ndoto shekhe wng
@djyondergigi10273 жыл бұрын
Ukiota umenunuwa gari . Ama umenunuwa gari mpiya Lakini pesa inasemekana amejepa pesa zenyewe . Za kununuwa gari .
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Sijaelewa ndugu hii
@saphinaibrahim7254 жыл бұрын
Shekh naomba kuuliza kuhsu ndoto hii ukiota unamuona mpenzi wako na unakuwa unahtji kumwambia kitu lkn kunatokea msongomano wa watu mpk unaksa nafasi ya kumwambia na anavyokuona anakuwa na wasiwasi kama vile yy hataki kuonana pia hii ndo inajirdia rdia mara kwa mara inakuwa hivhiv, plz naomba kujua kuhsu hii
@maimunakassim882 жыл бұрын
Mwendelezo wa ndoto za gar
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
inshaallaah musijari tutalifanyia kazi maapema hili
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine, na gari iko karibu sanaa na imewasha mataa nikawa naogopa lakini haikunigonga tukavuka salama nini maana yake
@AminaOmar-u6t Жыл бұрын
Je uote uko mbali sana na nyumbani lkn uote imenda nyumbani
@MTAVASSYTv11 ай бұрын
sijakuelewa hata
@bonifacemboka24584 жыл бұрын
Asalaam aleykum shekh nimeota naendesha gari kuna sehem tunaenda ila tupo wawili nakila mtu anagari yake mwingine ni mwanamke lakn gari yang iliingia kwenye kamtaro kadogo nikawa namwambia yule tuiache gari yangu twende na yake akawa hatak ikabid niangaike kuitoa iy yang ili niendelee na safari . Nn maana yake shekhe
@mahijamhini1807 Жыл бұрын
Salam aleykum shekhe wangu Mimi nimeota nimepanda BASI LIMEANDIKWA RALEO LEO Natokanalo safari yambali mume wangu akashuka kwetu tunapo shukia Mimi sikuahikushuka gaikanzakuondoka nikagonga gari Ili wanishushe hawakunishusha walipokubalikunisha nikagonga kushuka maanahaikua sehemu salama safari ikawainaendelea wakanitelemsha sehemu ambayo Kuna asikali polisi BASI etinikafurahi mama nipona usalama gari ikaondoka sijuimaanayake Nini namba ufafanuzi wahiindoto
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
Pole sana hii sio nzuri kuona famya ibada sana M/Mungu akufanyie wepesi
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
0656606014 whatsap hebu nione wewe
@mariamselemani13662 жыл бұрын
Aslamu alykum shehe nimeota naona nipo Nawatoto wabasi wangu wazamani tukawa tunapanda gari mara nikakutana gari limeja nikaw sina pakuika nikashuka wakaenda zao namimi inabindi niedeleye nakwenda namungu penye alikuw wameenda kwasababu nilihisi siyo bari hata kwamungu nikawa nina mutoto mugogoni jinani nikakutana na mama anashuhuli zake akaw amemwanga majivu yamoto nikayakanyaga akaniuliza kama nimeunguwa nikamwambia apa nikaendeleya nasafari zangu napishana nawatu inashiriya nini sheh
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Wewe uliamua kuacha kazi kwao na kutafuta pengine?
@yasriharoub11654 жыл бұрын
Asalam aleykum shekhe nimeota naingia msikitini nikakuta kuna mtu anasoma Qur'an halafu kuna watu tafauti wingi sana tofauti wana siliza nikawa natamani na Mimi nika some yule msomaji alipo maliza kuna mtu akauliza mwengine anae taka kusoma Mimi nikaenda kwa naraka sana nikanza kusoma nika soma Suratul mulku lakini nika soma kama aya tano ama nne wakani Zuia halafu waka sema kwamba Sina pumzi lakini Mimi nilitamani kuendelea kusoma
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Wewe hauna mtaji wa biashara au nyenzo muhimu katika kufanya maisha yako yaendelee ila nakuhusia fanya ibada na pia kama uliishia aya ya tano basi utapata hasara inajulisha kama haitasema badilika kitabia
@aminaibrahim9814 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv na jee alieishia aya ya 2
@kimsaid58592 жыл бұрын
mimi nimeota namzawadia kangi lugola gari nyeupe aina ya subaru na pia mbunge Mpina namzawadia gari kama hilo maana yake nn
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
je wewe katika uhalisia unaenda na hiloo kiuchumi? ikiwa sio basi rekebisha kauli zako na watu auunajuzwa kwamba umefanya jambo jema
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
lakini pia hii hujuzaga mapenzi
@zabibuseleman26443 жыл бұрын
Shukran Shekh
@shadyachriss23142 жыл бұрын
Shekhe mimi nimeota tulikua tunaenda arusini njiani tukapata lifti ya gari nyeusi anae endesha nimwanamke kabla ya kufika arusin akatushusha tukatembea kdgo tukakuta watu wengi sana wapo kwenye folen ya chakula
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Huo ni msiba
@samsonpeter54074 жыл бұрын
Shekh Mimi niliota naendesha gari isiyokua ma breki mjini lakini nikaepuka ajali
@pendomsangi29364 жыл бұрын
Shekhe Mimi nmeota tuko safarin kwa mda mrefu tukafka sehemu tukashuka kwenye gar na kwenda kula na baada ya hapo tukarud tena kwenye gar na baada ya kurudi mm nkawa kiongoz wa lile gar kwamba usukan ulikua nyuma na dereva alikua akinitegemea mm nmwongoze ndio aendeshe
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Mawili kama sio baada ya msiba mkubwa kutokea utakuwa kiongozi wa familia kwa vile atakavyo kujaalia Allah basi utapata nafasi kwa watu fulani
@salimahlokoh96993 жыл бұрын
Nmeota ndege nyingi angani na magari ziko rangi zote zafanana zote ziko angani
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Rangi gani sasa?
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine, lakini gari iko karibu saaana na imewasha mataa unaogopa isikugonge, lakini tukavuka bila kugongwa nini maana yake
@khadijaacute2 ай бұрын
@@Catherine-mh8swhuyu dada jamn siwamjibu jmn😢😢😢
@elizabethjackson38654 жыл бұрын
Mimi nina ndoto ambayo inanisumbua sana inajirudia kila mara naota nimejenga nyumba msasani nimeanza kuota tangu kiwanja hadi pagala hadi nyumba imekamilika ina maana gani hii ndoto? Naomba msaada please maana inaniumiza kichwa sana
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Hebu nipigie wewe 🤔🤔
@saidybinally56463 жыл бұрын
Shekhe mm nimeota naendeshwa nipo na dereva na MTT wangu na mizigo yetu nani gari kuubwaa sana
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Angalia maisha yasikuoeleke puta ukafanya dhulma
@judithfred2366 Жыл бұрын
kuota ndg yko napanda gar kisha nikaanz kufungua moto niazima kwa maji ni
@natepam44864 жыл бұрын
Mara nyingi huwa naota napanda gari/basi ikifika sehem inasimama aidha kwajil ya watu kujisaidia au vingine lkn inasimama af badae inaondoka inaniacha, nini maana yake ?
@rashidkidungwe63584 жыл бұрын
Je ukiota unaendesha gari kubwa la bruu
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
maashaallaah neema hiyo kama tu gari halikuwa bovu
@Catherine-mh8sw5 ай бұрын
@@MTAVASSYTvshekh ukiota unavuka barabara usiku na baba yako na watu wengine. Wakati unavuka gari ilikuwa karibu sana na imewasha mataa nikawa naogopa isije kutugonga. Lakini tukavuka salama na tukaendelea na safari nini maana yake.
@faithandati32292 жыл бұрын
Mimi niliota Nissan limejaa mm nkiwa ndani na watoto wangu na mume wangu alafu hiyo gari ikainuka n kama inataka kuanguka alafu ikarudi chini ikasimama Tena 😲😲nisaidie
@MTAVASSYTv2 жыл бұрын
Maisha yako yanayumba ila yatasimama sawasawa inshallah
@greatiq46494 жыл бұрын
Asalaam alaykum, Sheikh na wote munao mfuatilia! Kuota unaomba kibali kwa askari kupita ngome yao(ambayo ndo njia rahisi) ila wakakataa vile sina kitambulisho cha Uraia. Nikapata nafasi nikaiba sare ya askari mmoja nikavaa. Ila wakanibamba vile sikuwa na viatu(nilikuwa peku) wala kofia. Askari kanzu akataka kunishtaki. Nilipo jieleza na kumuomba anisameh nisiingie matatizoni akakubali na kunisaidia kupita na kutokea upande mwengine (nchi nyengine). Ndoto ya kumpiga mbwa na akawa mpole na kama ananishangaa kwanini nimempiga!
@venerandapeter55652 жыл бұрын
Asalam aleykum shehe mm nimeota nilikuwa ndani ya basi na watu nisiowajua na seem tulipokuwa sipafaham badae tukashuka ili tupate kununua chakula wenzangu walinunua kwa sh 40000 lakini mm jilinunua kwa 1000 wakawa wananiuliza ww umewezaje kununua kwa bei hiyo nikawaambia mm nilienda kununua kibanda vya nnje nn maana yake
@dorismbise29274 жыл бұрын
Shee me niliota nna gar kubwa nyeupe lko kwenye eneo la biashara ,ilikuwa inafanana gar ya kubebea dawa imeandikwa msd, na rang blue , lakin ilikuwa ya kwangu Mara mama yangu mzaz akanita maana nilikuwa na kaka yangu,lakin kaka ataki kuona na mama ,ndo maana hata akaniita mbali, nkamfata kurud nkaiona inaenda enyewe nkafungua niliacha hela lak NNE nkazkuta zote ,maana nilimucha kaka yangu nikawa nahs ameniibia ,lakin she ukweli mtaj wangu lak NNE,na kumhusu kaka ana miaka kumi sasa ajafka nyumba mpka tumesahau atuna mawasiliano nae kabsa
@ziadaharuna36413 жыл бұрын
Sheikh nauliza kuhusu ndoto yanyumba kubomboka kwa Ajri y'a mtikisiko wa Ardhi nakukimbia napesa zangu nyingi nahali yakuwa sina pesa .
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Huko ni kibunjika ndoa kama upo kwenye ndoa au mahusiano, ila yaweza julisha kupitia kipindi kigumu cha maisha
@balotelingalundangalunda13384 жыл бұрын
Sheikh nmeota tumekodi gar kubwa nawatu wamtaan kwetu ila sijui tunakwenda wap ila imejaa sana hadi mama yangu akanpakata nn maana yake
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Dunia utaiona nzuri baadae ama unajulishwa maisha yako ya sasa ji magumu na ili utoboe kimaisha egamia kwa wazazi wako vyema
@balotelingalundangalunda13384 жыл бұрын
Shukrani yaasheikh
@fadhilarashid63964 жыл бұрын
Nimeota nimepanda gari halafu I'll gari Lima mgonjwa baadae likapata ajali Mimi na wenzangu tulitoka tukiwa wazima tukamwacha mgonjwa kwenye gari halafu Yukawa tunacheka sana ina maana ganii
@MTAVASSYTv4 жыл бұрын
Itakuwa umemuacha mwanamke hali bado anakupenda ila utajutia
@AhmadiAbdallah-l4n2 ай бұрын
Ukiota bosi anakwambia anataka akununulie gali
@nurujei71513 жыл бұрын
Sheikh mi niko safari niliota jirani yangu yupo kwenye gari jekundu alipotaka tu kuendesha akapata ajali gari ilipinduka mara tatu wakaja watu kumtoa akapelekwa hospitalini aliumia kichwa inamaana gani
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Atapata mitikisiko mitatu katika maidh yake ila muongozo au kugombana au kugarikiana na mtu fulani kutasababisha hali iwe mbaya zaidi kwani atakosa nguzo
@nibigiramwajuma79253 жыл бұрын
Asalam alaykum nimeota leo hiyi mchan nimembanda gari nilikuwa na kaka yangu na mjomba wangu na majirani wengine na ndugu wengine ila wengine ilo gari ikawaacha
@MTAVASSYTv3 жыл бұрын
Utapata utulivu inshaallaah wa maisha japo hii inatafsiri pana kidogo