NEW VIDEO)(UKO WAPI MUNGU WANGU) (EVA MLWATI) (FT PASCHAL CASSIAN ) (

  Рет қаралды 1,692

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

22 күн бұрын

Пікірлер: 23
@JulietShamala
@JulietShamala 19 күн бұрын
Sifa kwa yesu hallelujah
@NakoliKidasi
@NakoliKidasi 17 күн бұрын
Mungu yupo mwana wa Mungu...
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 18 күн бұрын
Kabisa sijaelewa. Huyo dada kavaa Kama Yuko Baar. Chagua watu wakuimbanao. Maana kwakubadirisha mwanadamu ningumu. Ukikosa Bora uimbe mwenyewetu yaaan huyo dada nainjiri yako. Kaharibu Sana aibu🧐
@MamaBambala
@MamaBambala 19 күн бұрын
Wewe pascal ni msanii ulianza vizuri lkn ni walewale,wewe tafuta pesa na ukiendelea hivyo mungu akukemee.
@yekoniatv5466
@yekoniatv5466 18 күн бұрын
Afadhali kavaa vizuri kwa nyakati hizi Uyo mama kajitaid kuvaa kwa heshima👏👏👏
@MamaBambala
@MamaBambala 19 күн бұрын
Nikwa nini unakataza kucheza wakati ww mwenyewe unanengua na kucheza pamoja na hao waliojipamba.,nilikuamini sana lkn muuuuuh
@Pendopasilika
@Pendopasilika 19 күн бұрын
Jamani ku wapi huko kunengua kwa mtumishi mbona kacheza kawaida sana Tena wote wamecheza vizur
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 19 күн бұрын
@@Pendopasilika ukihubili Neno liishi
@DavidKey-cw8pg
@DavidKey-cw8pg 20 күн бұрын
Mungu akutienguvu
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 20 күн бұрын
Atakuonaje na hilo wig kichwani?
@GoodMusic-hn4nu
@GoodMusic-hn4nu 19 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila nyie watu
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 20 күн бұрын
Ijapokuwa ulisema kwamba tunakurupuka kuongea, ila ukisema kitu ambacho hukiishi ni sawa na bure,umekemea sana mapambo pamoja na mavazi ya kujisitiri lakini cha kushangaza unakubari kuingia studio na mwanamke ambaye amevaa kama anakwenda bar,sasa unatuonyesha tujifunze nini sasa,muonye kwanza huyo aacha hayo makolokolo
@SuzyMuhando-yf8do
@SuzyMuhando-yf8do 20 күн бұрын
Kaka paschal umeniangusha sana kwa huu wimbo hujanibariki kabisa unapotea hubiri na ishi unachotufundisha na sio inafundisha usicho ishi huyo mwanamke na mawigi rangi midomo yani nimeishia kulia tu kwa uchungu
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf 20 күн бұрын
Ndugu ,SHIDA sio kufundisha SHIDA ni kuyaishi.Mungu amlinde MTUMISHI wake anafundisha sana ,AMPE KUYAISHI ANAYOYAKEMEA .
@barakamwasumbi1646
@barakamwasumbi1646 20 күн бұрын
Njaaa ni mbaya , wengi wanashindwa kuyasimamia hayoo SABABU ya tumbo
@wasongaedina7952
@wasongaedina7952 20 күн бұрын
Samahani Naomba nikujibu Uwezi kumwendea Mwenye dhambi pasipo kumpenda na kuanza tu kumkemea hawezi kamwe kusikia ni lazima umpende kwanza ndiyo umwonye mapambo ni mbaya na Wokovu aulazimishwi Wasipo badilika Uwezi ni Mungu tu
@charleserasto3749
@charleserasto3749 20 күн бұрын
Mbona nguo nzuri tu hazina shida , wanadamu bwana Mungu atusaidie. Barikiwa mtumishi
CASSIAN AWA WEKA WAZI WACHUNGAJI WANAO POTOSHA KANISA EV PASCHALCASSIAN
1:00:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
Paschal Cassian  Ona WanavyoMwabudu Official Music Video 2017
9:10
Nellson Chimfweta
Рет қаралды 187 М.
WIMBO NAMBA 666 ALAMA YA KISHETANI  VIDEO OFFICILY EV PASCHAL CASSIAN
9:40
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 36 М.
TAZAMA MCHUNGAJI NA MTOA USHUHUDA WAMEJICHANGANYA UTACHEKA
1:14
Annoint Amani - Msizike bado yuko hai ( official music video )
8:54
Annoint Amani
Рет қаралды 122 М.
NACHOTAKA NIWE / NIKIWA NAWE NITASHINDA/ MUNGU MWENYE ENZI/USINIPITE MWOKOZI #subscribe #GuzaTv,
1:01:53
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 124 М.
KUTANA NA MUNGU KWANZA( Official video)  By Emmnuel Mgogo.
9:43
EMMANUEL MGOGO Official Tz
Рет қаралды 116 М.
ANASTAZIA MKABWA HUO NI UMARAYA  UNAFANYA EV PASCHAL AMJIA JUU
1:14:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 5 М.
MWISHOE WAIMABAJI WAMTOA MACHOZI PASCHAL  KUHUSU MZIKI WA INJILI EV PASCHAL CASSIAN
1:24:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4 М.
Joyness Kileo - NITAMSHANGILIA BWANA official music video
5:29
Joyness Kileo official
Рет қаралды 47 М.
Слепой парень помог раскрыть тайну 😱
0:45
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 2,3 МЛН
Не плавайте тут! 🏊🚫
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 2 МЛН
Ужасное свидание🤯 #стальноймужик #жиза #еда
0:50
SteelMan XXL | Стальной мужик
Рет қаралды 2,9 МЛН