Kweli kabisa yupo Bwana.... Kenya mombasa nakufuatilia
@vincentmusalia20 күн бұрын
Kwakweli yupo much love from kenya wapi like za wakenya
@henrylukosy490820 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Ameeeeeeeeeh San Barikiwaaa Sanaaa mtumishi wa MUNGU Paschal cassia yupo BWANA
@Pendopasilika20 күн бұрын
Yupo yupo yupo mtetezi wetu halali asinzii BWANA yupo hatuogopi lolote kwa sababu tunae BWANA
@Rashid-vm1fk20 күн бұрын
Hapa safi sana ubarikiwe sana
@muhudumudieudonne264520 күн бұрын
Nakufa sana mtumishi wa Mungu kutokeya marekani
@wasongaedina795220 күн бұрын
Yupo Bwana Amen Amen
@JulietShamala19 күн бұрын
You baba hatutaokopa
@ruthmwamburi75620 күн бұрын
Amen! Kweli Mungu na hatuhabatishi.
@ruthmwamburi75620 күн бұрын
I mean hatubahatishi.
@FhDg-mg1gn20 күн бұрын
Amen
@user-ii1qk9xn9z20 күн бұрын
Yupo Bwana wa kabila la Yuda asiye shindwa jambo. Aliacha enzi yake akaja kapata mateso na kufa kwa ajili yetu. Pokea sifa Bwana milele. Keep going mtumishi