No video

PAT 2 NABII MKUU NI NABII WA UONGO SIO NABII WA KWELI EV PASCHAL CASSIAN AZIDI KUFAFANUWA

  Рет қаралды 72,331

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Жыл бұрын

#call0688199370 #0766998994 #0788871769#

Пікірлер: 545
@jamesnyarubandwa4639
@jamesnyarubandwa4639 Жыл бұрын
Sikujua Kama unamaneneno mazuri Sana kutoka kwa Mungu kiasi hiki,,Mungu akubariki
@mangapastortee3038
@mangapastortee3038 Жыл бұрын
KUNA UMUHIMU MKUBWA WA KUKUOMBEA maana umeamua kuisema kweli!😭 MUNGU AKULINDE HATA MWISHO
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Wasema ukweli mungu,atusaidiya🏃🤔
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Жыл бұрын
@@millicentakinyi5504 ni kweli kabisa ana sitahili kuombewa sanaa
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
@@adamufundikira7878 nikweli Huyu Mwamba Aombewe saana
@mawazomarceline899
@mawazomarceline899 Жыл бұрын
Mungu azidi kumlinda mtumishi wake anasema kweli tena ni amina
@leonidangimbwa1526
@leonidangimbwa1526 Жыл бұрын
MUNGU atamlinda na hatamuacha maana yeye ndiye aliyemsimaisha kuusema ukweli kwa nyakati hizi
@minahkasindi474
@minahkasindi474 Жыл бұрын
Napo msahau Mungu na nikakutana na habari za Yesu kupitia ww najikuta natamani niwe na Yesu na ni nihubiri habari njema za Yesu kwa mataifa Ee Roho Mtakatifu Nisaidie nikujue ww
@micheniharoni9867
@micheniharoni9867 Жыл бұрын
Ameen
@dhahabubola7290
@dhahabubola7290 Жыл бұрын
Mwana wa mungu unikumbuke ju nisiku nyng nmekaa bila kusikia neno lko lkn kupitia mutumish hyu nimebarkiwa sana mngu amkumbuke pia
@elifurahajoel2725
@elifurahajoel2725 Жыл бұрын
Hii ni Injili isiyoghoshiwa. Mungu akubariki sana Paschal Casian.
@elizabethkisawa3407
@elizabethkisawa3407 Жыл бұрын
Mungu akutunze Na akuzidishe.
@milcentachando1142
@milcentachando1142 Жыл бұрын
Fear no man,toboa siri watumishi wanapotosha watu sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda sana
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Жыл бұрын
mimi mahubiri yako huwa na download na kuwasikizisha watu kwa sipika kubwa watu wanapokea vizuri
@barakayekonia7468
@barakayekonia7468 Жыл бұрын
🤓🤓🤓🤓🤓🤓 bora aendelee kuwaaibisha hawa manabii wa uongo.
@neemamatiko3745
@neemamatiko3745 Жыл бұрын
Samahani pastor unawasikilizisha watu wewe kazi yako nini unawaogopa hao wasikupe sadaka au unawaogopa bora ufute hy coment yako inakuonyesha ulivyo dhaifu
@doskalunguofficial3057
@doskalunguofficial3057 Жыл бұрын
Mkono wa Mungu uwe juu yako 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kentlubinda729
@kentlubinda729 Жыл бұрын
Tuambie tupone asante mtumishi mungu akupe maisha marefu
@barakakasamia5036
@barakakasamia5036 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu wa kweli, amini aupo peke Yako wewe unaakilisha huduma na watumishi wote wa Mungu tunakuombea kila siku, Mungu akuongezee ulinzi katika jina la Yesu
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Ni KWELI kabisa na MUNGU amulinde
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 Жыл бұрын
Mimi ni muislamu lakini nakupongeza kwa uongea ukweli ndugu yangu mungu akulinde sababu ukweli utabaki kuwa ukweli tuu God bless 🙌
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 Жыл бұрын
Bado Mungu amejisazia watumishi wake wa kweli. Mkono wa Mungu uko juu yako mtu wa Mungu. Tuko nyuma yako kwa yote
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Wasome matendo 9,25 ukweli kabisa
@eliambuyamauki7380
@eliambuyamauki7380 Жыл бұрын
Ukisoma Amos 5:23 utaelewa Mungu hapendezwi na nyimbo za kidunia....
@ellytech9757
@ellytech9757 Жыл бұрын
Nakushauri usome hiyo sura kutoka mwanzo mpaka hapo uliposema. Utajifunza jambo
@christerkilamlilo7013
@christerkilamlilo7013 Жыл бұрын
Amina Baba ubarikiwe sana mwenye masikio na asikie
@anjelomofugaubarikiwenabwa4261
@anjelomofugaubarikiwenabwa4261 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana mtumishi wa Bwana songa mbele tupo nyuma yako.
@amishambar3418
@amishambar3418 Жыл бұрын
Hi ni sauti ya mtu alie nyikani❤
@CholethaMathias-vo4ow
@CholethaMathias-vo4ow Жыл бұрын
Yeye mungu wa mbinguni mungu wa Elia achunguzaye miyo anakujua ukweli wako Mimi cwez kukuhukum maana bado cjaona kibaya katika Isaya mungu anasema usiogope maana mm Niko pamoja nawe hata wakikuua Kama una mungu wa BWANA wetu YESU kirsto utaishi Tena nakushaur fanya kwa zamu yako usije ukadaiwa na hao wanao kutukana cku hiyo wasje wakasema hatukusikia🙏🙏🙏,
@rebeccamukonyi3489
@rebeccamukonyi3489 Жыл бұрын
Mungu akulinde.yes wasubiri uongo.hawataki ukweli.wambie wasikie.mungu alie mpiga farao kwa mapigo makali awapike..mutumishi Paschal yesu kristo akufunike kwa damu yake.unasema ukweli.
@HabilyTech
@HabilyTech Жыл бұрын
Mungu akulinde muda wote kwa jina la Yesu
@jeanettemsaamba4767
@jeanettemsaamba4767 Жыл бұрын
Mungu aku linde milele . Endelea kupaza sauti dunia mzima na Amani ya Mungu popote utakapo kuwa itakuwa nawewe Na Mungu awe nawe🙏🙏
@HansMoses-ml7oh
@HansMoses-ml7oh Жыл бұрын
Nataman sana kumpokea Mungu wa kweli ila kila nkiwaza manabii wa uongo kwakweli napata wakati mgumu naomba Mungu aniongoze njia sahihi
@oscarzeze6452
@oscarzeze6452 Жыл бұрын
Ahsante sana kwaneno laMungu Lakweli Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu
@neemamhongole2801
@neemamhongole2801 Жыл бұрын
Ameen MTUMISHI!!DAMU YA YESU IKUFUNIKE!!ULINDWEEEEEEEE MILELE KAKA YANGU!!
@jacklinevosevwa9859
@jacklinevosevwa9859 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏na uwe na maisha marefu
@mcgb5725
@mcgb5725 Жыл бұрын
Amen Jackline
@murefufiston4199
@murefufiston4199 Жыл бұрын
Mungu akubariki mutumishi wa Mungu nîmeshangaa n'a uyu nabii
@loishookimetuyani1189
@loishookimetuyani1189 Жыл бұрын
Naiwe nuru kwako na kwetuu piaa,,,,, mbarikiwe nyote mkeshao kuchunga kondoo wa bwana sikuzote za maisha yenu🙏🙏
@lameckjerady
@lameckjerady Жыл бұрын
Wewe nimuongo PASCHAL acha kupotosha watu
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 Жыл бұрын
Mungu atusamehe nakutuonyesha njia iliyosahii
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp Жыл бұрын
Safi sana Mtumishi!!Unavyosema ni kweli kabisa...Mungu wa Israel akupiganie kwa jina la Lord Jesus...Ubarikiwe Mtumishi!!
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Yes na MUNGU wa mbingu na NCHI amulinde HUYU MTU wa MUNGU
@merymbaga4838
@merymbaga4838 Жыл бұрын
Nilikua najiuliza nilini mwenyezi mungu atatuletea mtumishi wake wa ukwel nilikua naumua sana nikiangalia manabii wengi wanavyopotosha watu. Alafu Mimi Sina hata sauti kubwa ya kuwaambia Naongea na watu ninaokutana nao
@peninanganzu2883
@peninanganzu2883 Жыл бұрын
Mungu wetu Ahishi Mungu akubariki kwa fungula siri Kwa Mutumishi wake tunakuombea Mungu awe nawe.
@peteryohana891
@peteryohana891 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi was Mungu,SEMA watu tuende mbinguni
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Жыл бұрын
nalia machozi mbele ya moyo wangu baba Mungu akusaidie sanatupo pamoja nakuombea uzima
@Vivituma
@Vivituma Жыл бұрын
Wewe ni mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sana 🙏
@jonasmuna4885
@jonasmuna4885 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@ElishaMwamlima-tz3it
@ElishaMwamlima-tz3it Жыл бұрын
Kazi yako ninjema mtumishi MUNGU atakutetea ingawa utatafutwa lkn MUNGU uliehatarisha maisha yako kwakumtangaza atakustawisha Sana tupo nyuma yako
@annastaziamasaka3595
@annastaziamasaka3595 Жыл бұрын
Usiogope, Mkono wa MUNGU uko upande wako Mtumishi.
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
Ameeeeen,,,and truuee,GOD BLESS YOU 🙌 🙏 Man of GOD,
@wilkisteregesa4845
@wilkisteregesa4845 Жыл бұрын
I real love your spirit our Lord Jesus christ protect you man of God
@maryfeddy2798
@maryfeddy2798 Жыл бұрын
Amen
@faithmueni9020
@faithmueni9020 Жыл бұрын
Amen and amen may the lord bless your tell the truth although truth hurts good job,God will reward yu let pple know the truth as they perish they acknowledge truth🙏I love these glory be back to God brother.
@johnyusuph5264
@johnyusuph5264 Жыл бұрын
Oooooooh halle luhya ,, hakika ni ujumbe kutoka kwa Bwana, Mungu akutetee man of God
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Mtumishi sio KILA madhabau ni ya Mungu, nyingi za shetani
@tulimwaipopo5183
@tulimwaipopo5183 Жыл бұрын
Baba yangu Mkono wa Mungu uko juu yako
@sinkalamfukwe
@sinkalamfukwe Жыл бұрын
Waambie wakikuuwa mungu anawatu ambao amewaandaa
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo Жыл бұрын
Amina Amina mtumishi wa kristo lazima atambulike kwa matendo, ata mimi nikiwa katika nchi ya Moçambique pemba mueda maandiko yaniambia mkristo wa ukweli lazima atambulike kwa matendo.
@josehkibona7565
@josehkibona7565 Жыл бұрын
Mungu akulinde maana km naiona vita kali dhidi yako kwa unavyoponya baadhi ya nafsi za watu kwa jumbe zako
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Soma maandiko acha uongo,Nabii Eliya naye alijidhania kuwa alibakia peke yake nabii wa Bwana,lakini Mungu alimkemea palepale kuwa Yeye amejisazia watumishi wake.hivyo nashauri useme huyu ni miongoni mwa watumishialiojisazia Mungu.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mh,kwa maneno haya ungekuwa Kanisani ,waumini wangelia leo, mungu anachuja wateule Sasa,,
@Geofrey-Martin-Kaputa
@Geofrey-Martin-Kaputa Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@annadaudi5260
@annadaudi5260 Жыл бұрын
Mungu akulinde.akuzingile kwa ukigo wa moto kama alivyomzingira mtumishi wake ayubu.
@tulimwaipopo5183
@tulimwaipopo5183 Жыл бұрын
Hakika Mungu amejisazia watu wake
@raharaha1631
@raharaha1631 Жыл бұрын
nashukur kwa mahubiri yako,maana siku naumwa nilisikia kwenye tv,gusa mgu wako kwenye tv ikanguka nakuvunjika
@MrbillgospelKenyamusic
@MrbillgospelKenyamusic Жыл бұрын
Ukweli Mungu amemtuma mtu sasa nabii wa uwongo lazima wajulikane Mungu akulinde.
@adamjulius9782
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Casiani mm ninawewe tu maana ulicho kibeba ni ukweli usiopingika💪🙏
@happinessnjita1121
@happinessnjita1121 Жыл бұрын
Nakufunika kwa damu ya YESU kila mitego inayotumwa juu yako haitakufikia ni kwa mamlaka ya jina lipitalo majina yote jina la YESU Kristo 🙏
@judithbett420
@judithbett420 Жыл бұрын
Inahuzunisha kabisa. Manabii wa uongo wanaongoza watu jihanamu. Asante sana paschal kwa kusema ukweli. Mungu aendelee kukutumia katika Jina la yesu
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 11 ай бұрын
Napenda mafundisho yako na mahubiri pia..mungu akutangulie kwenye huduma yako
@utawalarecordstudiosnairob5929
@utawalarecordstudiosnairob5929 Жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni MUNGU kuu akufunike kwa damu YESU. Sema tupone
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor mungu akulinde ukuifadhi sema mtumishi
@Shangwe-yr2op
@Shangwe-yr2op Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wambie watu waelewe watoke huko coz wengi sasa wanaangamia kwa kukosa maarifa
@saranzunda158
@saranzunda158 Жыл бұрын
Ubariki na Bwana mtunishi wa Mungu, hizi n nyakati za mwisho kaka.
@moureenkemunto4611
@moureenkemunto4611 Жыл бұрын
Amen mtumishi ambia watu ukweli .
@AnnaEmanuel-ko5ie
@AnnaEmanuel-ko5ie Жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu akutunze azid kukutumia kuokoa roho zetu
@danielilengai
@danielilengai Жыл бұрын
Mchungaji hatajimbo za kimasai sasa haipendezi jamii kweli leo nyimbo za nchili sasamani ndiyo afadhali waelese ukweli namungu awenawe amen
@imeldamduda4694
@imeldamduda4694 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia na akupiganie na awe upande wako katika kila hatua..
@trizafrances4304
@trizafrances4304 11 ай бұрын
Wa pewe ukweli wa natu changanya hawa waambie wa mrudie mungu triza from mombasa
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
Hii ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Naamini roho ya Yohana Mbatizaji iko ndani ya kijana/Mtumishi huyu wa Mungu; Tuitengeneze njia ya BWANA, Tuyanyooshe mapito yake!! Yesu yu karibu kurudi
@leticialupembe6956
@leticialupembe6956 Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu endelea kusema ukweli uliotumwa na Mungu naye yupo pamoja nawe
@noeleliasi8401
@noeleliasi8401 Жыл бұрын
Ongea baba, kuna kizazi kinapona kwa kusikia hayo. Be blessed
@godfreymuruda8136
@godfreymuruda8136 Жыл бұрын
Be blessed,may the spirit of God direct you always,shalom
@FREDYNOTA7715
@FREDYNOTA7715 Жыл бұрын
mtumishi piga kaziiiiiiiiiiiiiiii MUNGU AKUTUNZE
@albertshayo2433
@albertshayo2433 Жыл бұрын
Unaonaje mtumishi, umhubiri yesu badala ya kuhubiri watu... hiyo kazi ni yesu mwenyewe tu
@aloycefelix1925
@aloycefelix1925 Жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana Mungu akuzidishe na kukulinda
@fanuelrichard2049
@fanuelrichard2049 Жыл бұрын
Upo sawa Kaka piga kazi yako Ni njema sana
@jennysabina8696
@jennysabina8696 Жыл бұрын
Mungu akutiye nguvu amen
@gamaneliphaz7716
@gamaneliphaz7716 Жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa maana unayoasema unaongozwa na roho mtakatifu
@rosemtamakaya6400
@rosemtamakaya6400 Жыл бұрын
Nimeshindwa kusem chochot ila mungu akulindee miakaaa 10000000000
@mosimasatu8942
@mosimasatu8942 Жыл бұрын
Mungu anasema niondoleeni nyimbo za kelele. Ni kwa sababu ya dhambi hawa walizuiliwa wasimsifu Mungu
@edwardnamakonde156
@edwardnamakonde156 Жыл бұрын
Sema tu, lakini watu wengi hawaelewi, manabii gani Hawa wanataka kuwa juu ya YESU KRISTO.
@nationrazalo8551
@nationrazalo8551 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish wa mungu, Hakika utalipwa na bwana
@emmanuelpangani6122
@emmanuelpangani6122 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mungu akubariki Sana pastor Emanuel .
@joycemwitore4375
@joycemwitore4375 Жыл бұрын
Ubarikiwe dana mtumishi mungu akupe ulizii
@joycemwitore4375
@joycemwitore4375 Жыл бұрын
Amina amina sema sema 🙋🙏
@baya7067
@baya7067 Жыл бұрын
Njili yako niyaukweli yesu akulinde
@lovegodmunisi1006
@lovegodmunisi1006 Жыл бұрын
Pasco fanya mambo yako, muhubiri Yesu kama huwez nyamaza, acha kuwahubiri watu. Tena nisisikie unaongelea kuhusu nabii Mkuu, acha umaskini. Muhubiri Mungu kama wakikusikia wachague yupi anamuhubiri MUNGU wa kweli. Usitafute kiki kupitia brand za watu. Tutakuona mpuuz wa mwisho. Watu wanamwaga jasho kutengeneza brand zao koma. Ongelea habari zako
@helenkahema2636
@helenkahema2636 Жыл бұрын
Mungu akuinue viwango vya juuu ktk uinjilist jamani uwiiiiiiii Yesuuuuuuuuuu wangu Rudi tu Baba
@samwelmakongo3345
@samwelmakongo3345 Жыл бұрын
Unanibariki sana mtumishi wa MUNGU
@annakaminyoge9292
@annakaminyoge9292 Жыл бұрын
Umesema yote baba, taarabu zimehamia kanisani, wengine wanadiriki kusema yesu amewapa mahaba inaumiza sana, hakika turejee kwa Bwana, its so painful, hakuna anayekemea chochote. Sema baba kuna watu tunapona, usikate tamaa kabisa
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Жыл бұрын
Wakati flan Yesu alisema , watu wasipomsifu atainua hata mawe yamsifu.....nataka kujua haya mawe yanamtumikia Mungu gani na yana dini gan....
@jamesnyarubandwa4639
@jamesnyarubandwa4639 Жыл бұрын
Usemacho ni kweli kabsa Wala hamna ata uongo ata chembe,, Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu ili ukweli uzidi kuuweka wazi.
@danieljoseph6016
@danieljoseph6016 Жыл бұрын
Kaka angu Mungu Akulinde maana msema kwel hua anavita kubwa
@videos-drole23
@videos-drole23 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia kwa maneno haya,injili hii ni chache sana.
@jonasphilemon6956
@jonasphilemon6956 Жыл бұрын
Kumbekeni juu habr ya koronelio hakua myahudi Wala ila sadaka zake zilifka mbele za Mungu na Mungu akajifunua mbele zake Sasa Kama sadaka zilimufanya Mungu ajifunua na amtume mtumishi wake je hamuoni Mungu ni wetu sote ndio maana hajatukatia tamaa ivo kwaa upande wangu na uwelea wangu Mimi nakuombea mtumishi upate kujua neno Zaidi na zaidi
@robbyproduction7491
@robbyproduction7491 Жыл бұрын
Amen following live with Israel the servant from Nairobi Kenya
@yohanamsovela5935
@yohanamsovela5935 Жыл бұрын
Nakuunga mkono mtumishi wa Mungu, Mungu akulinde na aongezw sauti Yako isikike vizuri, I wonder where are other pastors ??? Why are they quite??? Kweli Mungu atusaidie vizazi vina angamia
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Jodevi aliweka wimbo wa harmonize kanisani kwake na kuucheza!
@daudijacob7377
@daudijacob7377 Жыл бұрын
Tutawatambua kwa matendo yao
@jamescornel5391
@jamescornel5391 Жыл бұрын
Umeanza kuchanganyikiwa sasa Pascal, umeshindwa kutambua hata nafasi ya nabii mkuu Dr Geordavie
@kumekuchaonlinetv
@kumekuchaonlinetv Жыл бұрын
Mtumishi Paschal Cassian ubarikiwe sana kwa huduma yako lkn kumbuka kuwa hata Harmonize ni mwana wa Mungu Jehovah SHAMMAH kama wewe ulivyo-usimhukumu sana kuwa;eti yeye ni mwenye dhambi!! Kama ameimba wimbo wa kumtukuza Mungu,endelea kumuombea ili na yeye aokoke kama wewe!! Usiwe kama Mafarisayo/Masadukayo waliokuwa wanajihesabia haki sana kuliko wengine!!
@dorcusamisi2926
@dorcusamisi2926 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Utukuvu kwa yesu
@aliaalia
@aliaalia Жыл бұрын
Amen, eee Mungu wa binguni nakusii katika jina la Yesu Kristo ulinzi wako uwe juu ya mtumishi wako na nguvu zako zimulinde🙏, nabarikiwa mpaka nashindwa kuongeya, Mungu akupe mwisho mwema
@masindemagee9603
@masindemagee9603 Жыл бұрын
Uyo nabii mkuu ni mwongo nakundi lake analowapoteza
@user-zl4ws9zw5v
@user-zl4ws9zw5v 4 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
What I believe EV .Casian :Geordevi and Hermonize both of them are devil worshippers, so what Geordevi did is to support the same work.He did several times in different ways.
@judithmapendo
@judithmapendo Жыл бұрын
Kweli kweli hii ni alama yakutambua kwamba huyu nabii ni wa Dunia siyo wa Mungu hâta kama anatowa sana mais tunashakia wito wake, kongo .
@dionisiabaynit2916
@dionisiabaynit2916 Жыл бұрын
Not only that but also what they want is to change mind of people to think that those they did are right because people they already believe him
@RashidMwasiposya-rf6jh
@RashidMwasiposya-rf6jh Жыл бұрын
Ubili abali za mungu na usijiesabie haki we nani ww mhuni tu
@isayasangija8587
@isayasangija8587 Жыл бұрын
🙏🇹🇿🙏 Mungu akutienguvu kaka yangu
@danielvitalis1457
@danielvitalis1457 Жыл бұрын
Broo watu hawana muda wa kumtafuta mungu wakobize kutafuta maisha watayajuaje maadiko? Wakati wa yesu watu walikuwa na torati lakini hawakuijua yesu alipoiweka wazi hata walimu wenye watorati hizo walimchukia, safi sana hiki ndicho alichokifanya yesu na akaagiza tufanye pia Mungu azidi kukutia nguvu 🤝🤝
@jenishungu9079
@jenishungu9079 Жыл бұрын
Sawa baba ubalikiwe sana
@longututitajiri1426
@longututitajiri1426 Жыл бұрын
Aiii kuna watu wanateseka ju ya my Prophet #GEODAVIE popote ulipo MUNGU akubariki Sana 🙏🙏
@liliankhaemba9063
@liliankhaemba9063 Жыл бұрын
Ninapo sikiza mahubiri Yako nabarikiwa sanaaaa 🙏🙏🙏 ,ACHA Mungu akubariki na hazidishe neema kwako.
@deogratiusboniphace37
@deogratiusboniphace37 Жыл бұрын
Yani nasema hivi wewe kweli ni mtu ulotumwa na Mungu kutufingua macho na roho zetu.. natamani ufungue kanisa mbeya mjin nitakuwa wa kwanza kuanza kusali kwako mana ww ni mwana wa Mungu unayesimamamia kweli kazi ya Mungu na Mungu akutetee.
HIZI NDIO SIRI NA UKWELI KILA MKRSTO AKAE AKIJUWA AJIHADHARI SIKU ZA MWISHO EV PASCHAL CASSIAN
47:08
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 66 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 43 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 23 МЛН
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 137 М.
ZUMALIDI NA NABII SUGUYE NI IMANI MOJA BABA MMOJA  EV PASCHAL CASSIAN
42:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 7 М.
Paschal Cassian ASIMULIA ALIVYO JIUNGA NA FREEMASONI SEHEM YA  01
17:16
SYLASS TV ONLINE
Рет қаралды 254 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 63 М.
CASSIAN  NA NABII MKUU VITA YA PAMBA MOTO MADHABAHUNI EV PASCHAL CASSINA
1:10:46
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 64 М.
PAT1WANDISHI HABARI WAMIMINIKIA PASCHAL KUHUSU JODEVI NABII MKUU  MWAMPOSA
13:23
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 31 М.
CHEO KIKUU ALICHO NACHO KUZIM  ANAMILIKI PEPO ZA UTAMBUZI EV PASCHAL
47:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 52 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 420 М.
NABII TB JOSHUWA NI MBAKAJI? EV PASCHAL CASSIAN
1:21:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 172 М.
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 43 МЛН