hii interview kama fupi hivi kuna mambo mengi sana tungejifunza kutoka kwakwe ila mda ndo hautoshi....big up Master J
@valenakomba92182 жыл бұрын
Hiyo siyo interview, ni conversation.
@husseinibnuhassan12722 жыл бұрын
I believe the only thing u can do to your life is spending quality time with the people u love hii line katika interview yako master jay nimeielewa sana na nitaishi nayo milele
@christinenyamu16452 жыл бұрын
I like how you switch the tempo in all interviews Salama
@mkuuhapingwi8 ай бұрын
Tuletee Bi Awena Sanani Mke wa Marehemu Maalim Seif.
@sumayasumaya64552 жыл бұрын
Wamekutana Machale ambao ni wakweli na straight forward.! Big up
@aboually76562 жыл бұрын
One of the best interviewer of all time
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Tumepata madini ya kutosha, shukran sana salama kwa kipindi kizuri.
@joshuamacha87518 ай бұрын
One of the best interview
@nancykimaro38452 жыл бұрын
My best interview and the shortest🥺🥰🥰
@abdulnuruhassan86112 жыл бұрын
Salam, nimependa mahojiano yenu sister salama na mast so cool 👍
@salehmasoud78162 жыл бұрын
This interview is amazing
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Amazing interview 👌🏽💃
@khadijahali4837 Жыл бұрын
🔥🔥
@msafirikiswaga88832 жыл бұрын
Love this
@EdwinAdAstra2 жыл бұрын
This dude is smart af
@wisemelodytz5892 жыл бұрын
Combination 🔥🔥
@ingabireritha37402 жыл бұрын
Big up kwa Salama I just like everything
@eusebiuskamamba6679 Жыл бұрын
uwe balozi wa neno vijana jiajiri
@bish_daddiyao2 жыл бұрын
Nice Advice Legend Living Alive🙌🏾❤️🇰🇪❤️
@leaherasto9292 жыл бұрын
Namkubali Sana Master jay
@zawadilutufyo2312 жыл бұрын
P funk pia tunamuhitajo
@edmundrutahiwa2 жыл бұрын
Interview nzuuri lakini ungekulaa kwanza au kusubiri kuliko kuongea huku unajitafuna
@richarddominick31722 жыл бұрын
Nimeisubiri saana hii
@nwntz Жыл бұрын
Ushaanza kumtongoza nigg
@adaman4tv8082 жыл бұрын
Nice
@kazkaz19432 жыл бұрын
Mastee kama master ila salama hako kakofia kama nikubusu
@mrfashion16872 жыл бұрын
Nasubiri SALAMA NA MCHOMVU, SALAMA NA MILLARD AYO, SALAMA NA B12, SALAMA NA JONIJOO, SALAMA NA MWIJAKU,
@oyay28212 жыл бұрын
Salama na P funk jee?
@christiannyamamba90892 жыл бұрын
Kitu pekee nnachopenda kutoka kwa master j yupo open sana na anavyoongea ni vya msingi na ana vingi but time haitoshi kuongea kila kitu
@nathanndagile36912 жыл бұрын
Salama jabil
@silvestermwambungu25792 жыл бұрын
Sawa
@chunanachu25292 жыл бұрын
Vichwa viwili navyovikubali
@nicnic62692 жыл бұрын
wanadis kifala harmoniz ana maish yak n anapt fedha kwa njia zak kil mtu na maish yak over (kupiga show mtwara na cd )
@nemestesha77842 жыл бұрын
👍
@diolindanativo72682 жыл бұрын
Maste uzee una msumbua sana.
@evelinemsaki20572 жыл бұрын
Bado hajazeeka huyoo wewee uzee unaujua mwenye pesa hazeeki
@diolindanativo72682 жыл бұрын
@@evelinemsaki2057 hana pesa yoyote ana danda danda tu mjini hapo dsm,kachoka ile mbaya
@evelinemsaki20572 жыл бұрын
@@diolindanativo7268 si kweli bwanaa
@bernadetamodest6170 Жыл бұрын
@@diolindanativo7268 Sijaelewa,vp ulishawah kuingia kwenye mifuko yake?