SIMULIZI: APEWA KESI YA UBAKAJI "WALITAKA NIOE MTOTO WAO, UKUTA WA JELA ULINILIZA"

  Рет қаралды 37,917

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu nakumbuka ustadh mmanga baba yako alikufa baharini ustadh wetu wa muhajirina kinondoni dar Allah ampe kauli thabit
@hammerQ954
@hammerQ954 2 жыл бұрын
Pole dogo yote mitihani ya maisha jifunze kutokana na makosa nauandamane na marafiki walio sahihi pambania kipaji chako acha michezo michezo na Mungu atakusimamia ❤🙌
@shamzone388
@shamzone388 2 жыл бұрын
Pole sana ... huyo aliyekupa hayo ya mashtaka atayakuta au atapata hukumu kutoka kwa allah...hapa hapa dunian mchinba kabur na yeye ataingia... Kaweka mwanae kama biashara
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 жыл бұрын
Pole sana mdogo angu kwa mitihani ilio kukumba Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila jambo amiiin
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Wow unaimba vizuri daah wewe ni bonge la mwanamuziki yani
@aloycemathew3926
@aloycemathew3926 Жыл бұрын
Mungu atusaidie ee yapo sanaaa
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 2 жыл бұрын
sio mzima tena!!! mtangazaji nae eti confidence unapatia wapi kweli!!!!
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 жыл бұрын
Hii interview sijaielewa Muuliza maswali hajui kupangilia maswali la MWISHO na lakwanza yeye anaumganisha tu .. kapoteza uhondo wa story
@roseneilally7919
@roseneilally7919 2 жыл бұрын
Pole Sana broo Allah Ata kulipia
@sampachino5184
@sampachino5184 2 жыл бұрын
pole kwa mitihani ndio maisha m mungu yupo pamoja na wewe ishaallhwa
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 жыл бұрын
Hivi unamsingizia mtoto wa mwenzio unadhani wewe mzazi wa Binti utabaki salama? Mungu anakuona ujue
@aashdimosso587
@aashdimosso587 2 жыл бұрын
Pole sana aiseeeee
@MickeEdward
@MickeEdward Жыл бұрын
Aiseee kuweni makini na hawa watoto wadogo ni hatari tarehe9 ishu kama hiii imenikuta ila nashukur mungu mtaaa ninaotoka ulipinga vikali dai Hilo😟😔😔😔😔😔😥😢😢😢
@geofreyhilmary9450
@geofreyhilmary9450 2 жыл бұрын
Story ni nzuri ila mtangazaji anazingua anamchanganya hajaweka mtiririko mzuri wa maswali
@ramazanidjanirajabu999
@ramazanidjanirajabu999 2 жыл бұрын
yani uyu mtangazaji ana bowa sana
@petermchomvu1317
@petermchomvu1317 2 жыл бұрын
Pole mdogo wangu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Zenj mnapenda kuonesha wtt bd wadogo
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 жыл бұрын
daah dogo ana jiamini sana
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 2 жыл бұрын
Yaani iyo mitoto inakua imekubuhu wazazi wao wanakua wameshashindwa nayo ndio wanawatafta watoto wa watu kuwapeleka police yarabby stara pole mdogoangu kwa yalokukuta
@issayarashid9845
@issayarashid9845 2 жыл бұрын
Hiii kesi imewakuta wengi sana
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 жыл бұрын
Pole mdogo angu
@daisythetech
@daisythetech 2 жыл бұрын
wanaokwenda jera siyo wote wenye hatia , wengine wapo kwa ajili ya kesi za kusingiziwa
@mtemi
@mtemi 2 жыл бұрын
Counter sue the plaintiff. Teach them a lesson
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Dah! Pole sana
@gladtenges7906
@gladtenges7906 2 жыл бұрын
Mtangazaji anaharibu stori
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
pole sana mwanangu
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 2 жыл бұрын
Hizi kesi nyingi znz wazazi wakiona wamemchoka mtoto wao wa kike wanafanya kesi kama hizi, imemkuta mtu wangu wa karibu kabisa kabla ya miaka 30 nyuma..
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
pole kaka
@salmamohammed4904
@salmamohammed4904 2 жыл бұрын
Well don
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 2 жыл бұрын
Mtangazaji unafaa vizur tu kwa mahojiano ila punguza maneno kidogo najua ni ugeni to ila jifunze kutokana na wale wenzako wa Bara (pole Sana kijana)
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
Pole sana
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Zanzibar matukio ya Ubakaji yamekithiri Sana Kwahiyo watajua wenyewe ukweli.
@asmaameir491
@asmaameir491 2 жыл бұрын
Zanzibar ubakaji na Tanzania bara mauwaji
@hajiali9300
@hajiali9300 2 жыл бұрын
Kwasasa zanzibar nikawaida kusingizianauongo tena maeneoyote uongo ndio milainayotawala lakini kinachotupamoyo kuwepo siku ya malipo Allah ndie hakimu muadilifu na madhalimu ndio sikuyao watakayoionangumu isiyo mfano
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 жыл бұрын
Nyie mnaomlalamikia huyo mtangazi ebu katangazen nyinyi kama kitu rahis pumbavu muachen afanye kazi yake
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 2 жыл бұрын
Sio kumchoka huyo mtoto wazazi Kuna mudaa wahafikirii yani walijua we ndio ulimuharibu itabidi umuoe ndio mila yetu vzur mwanamume aliekuharibu ndio akuoe
@deogratiusmnanka6030
@deogratiusmnanka6030 2 жыл бұрын
Mtangazaji unazingua unapoteza mtiririko wa story, maneno mengi , maswali yanayopoteza .. So unprofessional
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 2 жыл бұрын
Du wazazi wanakuchoka mpaka wanakulazimishia kwa mwanaume hatari sana
@abduljuma7734
@abduljuma7734 2 жыл бұрын
Unasauti mbaya
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Familia zingine Zina laa na kubwa Sana ndio hapo wanapofariki watoto Wanaanza kufatwa nahixo laana
@theresiapastory9637
@theresiapastory9637 2 жыл бұрын
Jmn wazanzibar mtusaidie maana ya neno"papatua"
@fathmaoman1186
@fathmaoman1186 2 жыл бұрын
Kupapatua ni kama kupigania jambo ili lifanikiwe
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 жыл бұрын
Suluhisho ama kutatuwa matatizo.🇰🇪🇰🇪
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Punguza maneno bwana unaharifu kwa heri
@deogratiusmnanka6030
@deogratiusmnanka6030 2 жыл бұрын
Millard huyo mtangazaji anakuharibia brand
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Waallah umenichekesha sana2 tuu bro
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Umeonaee
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Wanaokwenda jela sio wote wana hatia ndy maana ya hii kesi. Hiyo familia ya huyo bint walikuwa wanatengeneza hela kwahy kila kona bint yao kachafua sasa wakumuoa nani wakawa wanakamatwa watu hovyo ili astirike huyo bint maana ni aibu kwa Zanzibar bint kutolewa bikra bila yakuolewa
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Kwa dunia ya sasa humpati mschana akiwa bikra
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@aishaomarry6996 kwaiyo mpaka weye huna😂😂😂
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
@@Saidkhel Nimeshailia chipsi zamani☺
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@aishaomarry6996 😂😂
@Saidkhel
@Saidkhel 2 жыл бұрын
@@aishaomarry6996 kwel weye noma
@maseiafricano1250
@maseiafricano1250 2 жыл бұрын
Nawewe pia ungewa staki kwa kuku singiziya kesi ya kubaka na wemekupotezeya mda yako ukiwa rumande wakulipe pesa unao itaji
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 жыл бұрын
Mtangazi upo vizr Ila sijui bado mgeni unaogopa ogopa Mana dizain Kama unatetemeka hiv. Relax pangilia maswali yako vyema
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Ila kwa huko wamezoea rafiki yangu mdogo wake miaka 14 hadi leo amefungwa miaka 14
@polycarpykavishe9001
@polycarpykavishe9001 2 жыл бұрын
Hayo mambo magum Sana ukikutana nayo kama unanafasi ya kupotea potea tu unaweza enda jela bila sababu
@aliaboud9202
@aliaboud9202 2 жыл бұрын
Yakikufika ndio utaelewa kama halbadiri ni uganga au ni moja ya dua
@bakarininga4100
@bakarininga4100 2 жыл бұрын
Bwana mtangazajii
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
😀😀
@albassambakili3757
@albassambakili3757 2 жыл бұрын
huku kwetu znz mtihani hususan saiv dah😪
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 2 жыл бұрын
Mdogo Ang wewe ulimpakua Binti bwana usituzuge
@johnjinasa5540
@johnjinasa5540 2 жыл бұрын
😳😳😳😀😀😀😳😳😳😀😀
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 2 жыл бұрын
Inamana police nao walikula mchongo?
@levinamaico7064
@levinamaico7064 2 жыл бұрын
Mtangazaji punguza maneno
@DurahRich
@DurahRich 2 жыл бұрын
Anayejua jina analotumia jamaa asa an Artist ni lipi mazee?????
@fedyrunya1
@fedyrunya1 21 күн бұрын
ila dogo anaonekana kuliwa ulodha jera
@wizy_liker9035
@wizy_liker9035 2 жыл бұрын
unaongea sanaa nawewe repoter
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
Linaboa
@dubaidubai9807
@dubaidubai9807 2 жыл бұрын
Vip mbona huyo muandishi au muuliza maswali wenu hayuko nadhifu yupo simple sana mavazi jitahidin kuwaweka nadhifu kama vidox
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 жыл бұрын
Wazanzibari walikua lini wasafi😁
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 жыл бұрын
wazazi Kama wanamuchoka mutoto wa tafanya nguvu paka umuchukuwe
@mayaltv9441
@mayaltv9441 2 жыл бұрын
Mtangazaji ni mbususu
@bandolatztrump2470
@bandolatztrump2470 2 жыл бұрын
Maongezi mengi haf mtangazaji ananata kama anatembea kwenye tope
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mbona Wana kusukumia huyo msichana au ako na shida
@hajiali9300
@hajiali9300 2 жыл бұрын
Mtoto wa mw mmanga faki tafuta kazi nyengine ya halali babaako alikua anajitahidi kufanya kazi ya kujenga mpaka umauti umemfika hajafanya kazi za haram
@jovinjulius9852
@jovinjulius9852 2 жыл бұрын
Kupapatua ndio kufanyeje?
@bodiboy7166
@bodiboy7166 2 жыл бұрын
Mtangazaji unaznguwa ungetulia t boraa dogo aendelee na stori unaboa.
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
🤣
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Hamna chochote atakuwa mbakaji tu
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 жыл бұрын
Unauhakika
@linkcareeracademy
@linkcareeracademy 2 жыл бұрын
PAINFUL
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 2 жыл бұрын
Mtangazaji una maneno mengi utafkiri yamekukuta wewe,
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 2 жыл бұрын
wazanzibari maneno lazma yawe mengi'
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
@@valentinetesha8536 haha
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
@@valentinetesha8536 si ndio waimba taarabu
@graceatilio1386
@graceatilio1386 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@lizaizack877
@lizaizack877 2 жыл бұрын
😀😀
@johnjinasa5540
@johnjinasa5540 2 жыл бұрын
🤣🤣😁😁😁
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 2 жыл бұрын
Duuh
Elewa Sheria: Suala la ubakaji
18:52
KTN News Kenya
Рет қаралды 413
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Murotal Anak Surat Yasin (x10) - Riko The Series Quran Recitation for Kids
3:08:40