Bi Time bint Kombo Kiago alikuwa msimulizi mzuri wa hadithi za Paukwa Pakawa. Kitabu hiki ni kwa ajili ya kuzienzi kazi zake na kumtakia dua kwa wema aliotutendea kwenye udogo wetu kwa kutulea kupitia simulizi na utambaji wake.
Пікірлер: 3
@Masjidfirdous-onlinetv9 ай бұрын
Allah amrehem
@mtambileenglishmediumschoo1549 ай бұрын
Sheikh Mohammed jazakallahola amrwhemi bibi yetu bi time
@mohamedsalimaljahdhamy14369 ай бұрын
Asante sana Shekh Mohammed. Tunaisubiri kwa hamu hadithi hiyo "Riziki ya mwenzio......