TAARIFA MPYA KUHUSU PAUL MAKONDA, TUMETUMIWA PICHA YUKO DUBAI ANAKULA BATA

  Рет қаралды 23,430

seto tv

seto tv

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@عبداللهباحميد-ن4ق
@عبداللهباحميد-ن4ق 2 ай бұрын
Sotee Tumefuraaahiiii Kwa Habari Hizi Asante Kwa Habari Hizi Zuurii Sana
@Dorka12-n7b
@Dorka12-n7b 2 ай бұрын
Mungu akulinde makonda wewe ni mchapa kazi mtetezi wa wanyonge na kipenzi cha wengi tunakuombea mema but tunataka uongee wewe mwenyewe
@AmanJackson-io3pp
@AmanJackson-io3pp 2 ай бұрын
Baba Makonda njoo bac Arusha na uko salama baba
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Km yuko salama, Namshukuru Mungu🙏
@AlexNjelekela-e6e
@AlexNjelekela-e6e 2 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,Mungu alikuwa anamaana gani hasa ktk andiko hili.Hatujui kusoma hata picha hatuoni.Godbless Tanzanian people
@MagrethAdam
@MagrethAdam 2 ай бұрын
Asa jaman Kwan Dubai ndo netwk ya internet haishiki si aongee mwenyeweee
@LeonardmatiasWiliamu
@LeonardmatiasWiliamu 2 ай бұрын
Ukidaganya.watanzania.wew.utajibika.makoda.tunampenda.tumeachiwa.namagufuri.mtetezi.wawanyonge.kwa.watanzania
@RukiaTanzania
@RukiaTanzania 2 ай бұрын
Alhhamdulillah sihaba Allah amlinde
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Waongo waongo acheni kubumba hizo picha c kweli hata kidogo Mungu anawaona
@MafoleGlady
@MafoleGlady 2 ай бұрын
Mungu ndo ajuwe apoo sis atuna mengi tumesema Sana Ila ss tuna niachia mungu ndomuweza wa yotee
@Zubaiba
@Zubaiba 2 ай бұрын
Kwann yy haogei ,Hadi ww umuogelee?
@erastoshirima
@erastoshirima 2 ай бұрын
hii ni edit
@ChandeMaulid
@ChandeMaulid 2 ай бұрын
Nijambo zuri sana kwetu kusikia hivyo pia kimeleta amani yamoyo lakini hadi tumuone ndy tupate raha ya arusha tulizani wametufanyia kimyakimya kama kawaida yao sisi tunashukuru sana mungu amlinde huko alipo asatee
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Daah hakuna c kweli jamani angalieni vzuri hizo picha duuuh enu mwachieni mtoto wa mwanamke na familia yake mmeificha isiseme kitu ereh mungu simamia hili
@AnatoriaRwabatwa
@AnatoriaRwabatwa 2 ай бұрын
Acha kutudanganya sisi watu wazima tuna akili zetu yeye aongee mwenyewe
@NgassaSupila
@NgassaSupila 2 ай бұрын
😮
@saidalmarjibi6112
@saidalmarjibi6112 2 ай бұрын
Ukimya ni hekma/: hizo picha sio mpya /
@mvunge7108
@mvunge7108 2 ай бұрын
Ni kweli itakua kupewa mwaliko rasmi ku settle deal ya ngorongoro huko
@clauschaula2050
@clauschaula2050 2 ай бұрын
Acheni kutuchanganya.Kuna picha inaonekana anaendesha boti ya starehe Mwanza na nyingine inaonekana yupo Dubai na viongozi.Tuamini lipi?
@johnmalale3860
@johnmalale3860 2 ай бұрын
Watu wenyewe ni sanamu;!? Mbona hata kutikisika, na kuongea hamna,?! Hii danganya toto;!
@AsiaasiaAsiaasia123
@AsiaasiaAsiaasia123 2 ай бұрын
Arud bas mana hatuna imani sana na hizo habari tulilizwa sana Kwa maguful
@FrancoisElesambo
@FrancoisElesambo 2 ай бұрын
Bongo yabo izi picha niza zamani sana, tunazijuwa
@FrancoisElesambo
@FrancoisElesambo 2 ай бұрын
Mimi siamini kwa picha, ndaamini kwa sauti yake Yeye mwenyewe akiongea kutwambia kama ipo tusiulizi, ndo ndaitika, Ndugu zangu politique iko ngufu sana
@christophershuma623
@christophershuma623 2 ай бұрын
Yuko aliko anafanya kazi binafsi?
@rukiawagaba2080
@rukiawagaba2080 2 ай бұрын
Mungu mkumbwa Amina
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph 2 ай бұрын
@@rukiawagaba2080 mh, mi nashindwa nisemeje jamani 😭
@HalimaAbdallah-zb2qr
@HalimaAbdallah-zb2qr 2 ай бұрын
aseme mwenyewe tumsikie kamanda wetu
@RukiaTanzania
@RukiaTanzania 2 ай бұрын
Yaleo lakini
@DianaUlomi-n4r
@DianaUlomi-n4r 2 ай бұрын
Asant mungu baba wa mbingun zidikumtunza mtetezi wawanyonge
@estambuya3901
@estambuya3901 2 ай бұрын
Unaupenda sana unyonge! Umekwisha.
@devothachitamu1528
@devothachitamu1528 2 ай бұрын
Acheni hayosi kweli😂
@songeza
@songeza 2 ай бұрын
Pia kama unaushahidi kamili ongea nae mpigie we mwandishi acha hizo umesinevu nini
@samuelchiumia9054
@samuelchiumia9054 2 ай бұрын
People worries ni kwasababu amekaa kimya sana,watu wanavyomjua Makonda nakutaka sifa na kazi zake nzuri ,tungesikia.Ni jambo zuri sana hilo analofanya huko.People want to see Makonda.
@djfaraji
@djfaraji 2 ай бұрын
Mnazingua mala yupo visiwani mala sijui wapi tumechoka hatutaki picha mbona amtuelewi acheni ujinga mjue
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 2 ай бұрын
Jamani Ccm raha Mkuu wa mkoa kaendaughaibuni likizo. Huenda analipwa kuhakikisha Dubai inamiliki Ngorngoro
@JacklinSwai
@JacklinSwai 2 ай бұрын
Sasa jamani, kwanini mnamsemea,wananchi wanataka aseme mwenyewe ili waamini kuwa kiongozi wao yupo salama,sasa mkimsemea bado unawapa mashaka.
@DavidKagulu
@DavidKagulu 2 ай бұрын
Yupo Dubai anakula nae mgao wa kuuza ngorongoro, Ili akirudi akawahadae vizuri wananchi wa Arusha,na jinsi mijitu baadhi ya Arusha inamshangiia makonda makonda atafanya Nini Sasa
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 2 ай бұрын
Acheni uwongo mbona munapinda pinda tu hamsemi ukwel kama makufuli
@PreciuosFundikira
@PreciuosFundikira 2 ай бұрын
Binafsi siamini mpaka nimuone hamjui nijinsi gani tunaumia watanzania makonda ongea badi jamani wengine hatujawahi kukuona ila utendaji wako uliotukuka ndy unaotufanya tukupende sana
@ThomasSankara-bj4lk
@ThomasSankara-bj4lk 2 ай бұрын
Ndugu mtangazaji, please uwe unazisoma posti za wasikilizaji please bwana
@estambuya3901
@estambuya3901 2 ай бұрын
Makonda na waarabu! Mnategemea nini, makonda kashapewa asali mtajua hamujui! Anasema nini kuhusu bandari zetu. Tumieni akili jamani.
@mvunge7108
@mvunge7108 2 ай бұрын
Alienda kuuza mbuga zetu huko
@OsiaMwakapalila
@OsiaMwakapalila 2 ай бұрын
Makonda ndiye angesema Kwa kututoa wasiwasi kuliko kumsemea
@MagdalenaKitoma-md3kp
@MagdalenaKitoma-md3kp 2 ай бұрын
Bado kweli mmetuambia yupo sawa famyen mpango hata tumsikie akiongea kwamba yupo Dubai aseme mwenyew
@soltv8268
@soltv8268 2 ай бұрын
Usiingize uongo kwenye issue ambayo ni serious🤔🤔🤔, baadhi ya picha ni za zamani na nyingine ni Editing, acha ujinga
@lilymunanka764
@lilymunanka764 2 ай бұрын
Hivi visima hivyo visingechimbwa vinginevyo? Mmmmhhhh
@RachelKinasha
@RachelKinasha 2 ай бұрын
Kinatuumadan makonda atu muon msipende kumuukumu mtu kwani aukuna anaye juwa azabuyake itakuwaj
@mvunge7108
@mvunge7108 2 ай бұрын
Viongoz wetu hovyo kabisa..njaa utauzaje raslimali kwa waarabu.
@RachelKinasha
@RachelKinasha 2 ай бұрын
Tunataka tusikie sauti yake mwenyew
@djfaraji
@djfaraji 2 ай бұрын
Mnajialibia lindeni blandi yenu
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 2 ай бұрын
Uongo huo. Kaimu wake anadai yuko likizo, wewe unasema haya. Kaeni kimya mpaka tumwone live.
@johnmalale3860
@johnmalale3860 2 ай бұрын
Mbona hizi picha hata hazitikisiki;! Wala kuongea,
@PreciuosFundikira
@PreciuosFundikira 2 ай бұрын
Kama nikweli mbona haonekani kwenye midia nasio tabia yake kuwa kimya
@MukhtarBurah
@MukhtarBurah 2 ай бұрын
KUMBE HUYU MAKONDA NI FISADI KUMBE SIO MZALENDO YUPO PAMOJA NA WARABU KUUZA NCHI YETU KUMBE NAE KIBARAKA KAMA VIBARAKA WENGINE TUU KUMBE UNATULA KISONGO YANI PESA KIDOGO TUU MNAUUZA NCHI YETU PUMBAVU ZAKO SISI WARABU WA NINI WARABU NI VIBARAKA WA MAREKANI SISI HAWA WARABU NI NJAA KALI K...KWA NINI MMEMUZIA MBUGA YETU HUYU MWARABU ANAENDELEA KUIBA MADINI YETU HAPO NGORONGORO KWELI SISI WATANZANIA HATUNA AKILI KUNABABAIKA SANA NA HIZI RANGI ZA USHOGA ...TUMBUMBULUKE BASI VIONGOZI WETU PESA AINA MWISHO HUTU NA UZALENDO KWANZA....
@ymohammed963
@ymohammed963 2 ай бұрын
We mungo sana wewe
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 ай бұрын
Editing
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 2 ай бұрын
Sio kweli acha kutudanganya weee umetumwa wewe. Makonda sio wa kukaa kimya hivyo stop fulling people
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 108 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 41 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 9 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 94 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН