PART 02: ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

  Рет қаралды 253,896

Tiki Tv

Tiki Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 967
@tikitvog
@tikitvog 5 ай бұрын
Kutazama Pat 01 bofya link hii 👇👇 kzbin.info/www/bejne/hoSlaKttispjorc
@emmanuelsalila1557
@emmanuelsalila1557 5 ай бұрын
O😅l
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 5 ай бұрын
​@@emmanuelsalila1557😂😂😂bwabwa tu huyu hamna kitu hapa
@EliseyMassawe-tc6ns
@EliseyMassawe-tc6ns 5 ай бұрын
Uyo anaekaa apo sio mtu ni mamba
@BushrifuKasseko
@BushrifuKasseko 5 ай бұрын
​ll
@magrethibrahim9636
@magrethibrahim9636 5 ай бұрын
Aan haki za watu haki huwa zinapotea bure kukosa ufuatiliaji
@josephinejoachim5847
@josephinejoachim5847 5 ай бұрын
Kwakuwa tumesha jua vizuri havidumu basi ndugu zangu watanzania wapenda haki, tuungane kwa pamoja tumuombee mh makonda mwenyezi mungu ampe maisha marefu.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 ай бұрын
Kweli anahitaji maombi...
@edwinlyimo5611
@edwinlyimo5611 5 ай бұрын
Tutazidi kukuombea Mungu akulinde na maadui zako, kweli unasaidia wanyonge,Wakati umefika upande cheo kuwa waziri wa Mambo ya ndani,wizara hiyo imepoa Sana tofauti na enzi za Mrema,Makonda chukua hiyo wizara Sasa,
@thomaslali705
@thomaslali705 5 ай бұрын
Zoezi hili liwe endelevu kwa mikoa yote
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 5 ай бұрын
Amuepushe na hila zote za shetani na asimame na wates wake na ampe kibali
@Benny318m
@Benny318m 5 ай бұрын
​@@thomaslali705 Ni kila mkoa wakuu wake wanahitaji kujifunza
@farusaimon3490
@farusaimon3490 5 ай бұрын
Huyo Mama ni kiboko yao! Hongera sana mwalimu Beatrice-Mwenyezi Mungu akulinde na urejeshewe haki yako! Viva Mr. Makonda!
@rabsonmichael9720
@rabsonmichael9720 5 ай бұрын
Mama yupo makini sana.
@rehemamollel9548
@rehemamollel9548 5 ай бұрын
Mwalimu wangu jmn nampenda njiro secondary moja
@rehemamollel9548
@rehemamollel9548 5 ай бұрын
Yupo makini hadi kwenye ufundishajii jmn njiro sec 2oo9 hadi 2012 tunamuelewa vizuriii
@farusaimon3490
@farusaimon3490 5 ай бұрын
@@rehemamollel9548 Hongereni sana kwa kuwa na Mwalimu makini. Ni wachache mno wenye ujasiri kama huu. Fuateni nyayo zake, kwa ajili ya kujitetea na kuwatetea wengine wanaodhrumiwa.
@Angelkilawe
@Angelkilawe 5 ай бұрын
Anaakili uyu mama anafaa kupewa uwana sheria❤❤❤
@BraisonMeela
@BraisonMeela 5 ай бұрын
Mhe. Makonda You deserve this position your excellence. Umekuja wakati muafaka ktk mkoa was Arusha. Mungu akubariki
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 5 ай бұрын
Huyo abarikiwe sn
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 5 ай бұрын
Mtetezi wa wayonge nchi zimama
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 5 ай бұрын
Makonda makonda Allah akuweke na kukulinda makonda 🇬🇷🇬🇷🇬🇷🇹🇿
@joelpreachingsmuiruri5188
@joelpreachingsmuiruri5188 5 ай бұрын
Mhesimiwa Makonda truly an ambassador of the kingdom of God.Much love from Kenya Bro
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 5 ай бұрын
Mama Samia ikikupendeza mpe mkoa mwalim beatrice. Yuko vizuri Sana anaejielewa vizur sana
@PendoMatemba-sn4zx
@PendoMatemba-sn4zx 5 ай бұрын
Hata Mimi narafiki Hilo, 🙏🙏
@winfridambwambo9830
@winfridambwambo9830 5 ай бұрын
Kabisaaaa
@missarepafra3973
@missarepafra3973 5 ай бұрын
Beatrice Sio mwalimu Kwa ustadi wake wa Ku handle issues anapaswa kuwa katika nafasi kubwa ili kuweza kuwasaidia na wananchi wengine wasiokuwa na sauti, uwezo wala ujasiri na utulivu kama wake yeye huyu mama. Nimempenda jinsi alivyo verry commited na pia yuko humble lkn powerful.
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 5 ай бұрын
Mwanaume anae mmiliki Beatrice amshukuru Mungu na amuombee sana kwa Mungu maana duh hata mm ni mwanamke ila nimempa saluti da Beatrice ❤❤❤
@aristidesvedasto7855
@aristidesvedasto7855 5 ай бұрын
Hakika kabisa
@emyfaustin7618
@emyfaustin7618 5 ай бұрын
Nakuunga mkono
@peninabernardo2504
@peninabernardo2504 5 ай бұрын
Yani ni ana akili sanaaaaaa🙌🙌🙌ualimu unaficha kipawa chake kwakwel
@HijiraHussein
@HijiraHussein 4 ай бұрын
Anajua anajua anajua anafaaaaaaa Huyu dada Beatrice mungu akupe maisha marefu
@JohnEleuter
@JohnEleuter 5 ай бұрын
Daaaahh RC makonda mungu akulinde Sana kwa Kaz nzuri na tamu unayoifanya
@HamidaHamisi-ej8kz
@HamidaHamisi-ej8kz 5 ай бұрын
Makonda Acha wasikupenda Tukikupenda sisi wanaichi Na Mungu Wetu inatosha Makonda wetu. Mungu wetu Akulinde kiongozi wetu
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 5 ай бұрын
Mpaka raha sana,hii kitu inanilia sana bundle lakn sijali ❤
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 5 ай бұрын
tupo wengi😂😂😂
@MariaIsaya-y2y
@MariaIsaya-y2y 5 ай бұрын
Hongera madam Sana kwa ujasiri mama angu
@MariaIsaya-y2y
@MariaIsaya-y2y 5 ай бұрын
Hongera madam Sana kwa ujasiri mama angu
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 5 ай бұрын
Wala hata MB haziumii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Usijali dear yajayo yanafurahisha
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 5 ай бұрын
Mwl. Beatrice tazama muujiza wa Mungu.Walikudhalilisha sana pindi ulipokuwa ukiwafuata maofisini kwao.Leo Mungu kawadhalilisha nawao mbele ya Dunia.Mpaka aibu kweli.
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 5 ай бұрын
Mungu ni mwema kwake.
@annamaronga5282
@annamaronga5282 5 ай бұрын
Mwalimu wangu wa physics jmn
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 5 ай бұрын
Mwalimu anafaa kuwa waziri wa elimu au katiba na sheria yuko vizuri sana. Ikiwa umewahi kufuatilia haki yako kwenye hizi manispaa utaelewa maumivu ambayo mwalimu B kapitia. Uwiii yaan dodoma mnispaa walichonifanyia Mungu anajua walichukua plot nba zangu wakampatia mwingine na offer ninazo mkononi na hati wamempa mwingine na kesi yangu wakaiamua ivo ivo wakanipa kiwanja kingine sehemu walio idharau wao
@CarolynoissoFamel
@CarolynoissoFamel 3 сағат бұрын
Mungu azidi kukulinda makonda
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 ай бұрын
Daah huyu mwalimu kiboko😂😂😂🙌🏼🙌🏼 MKUU WA MKOA unatakiwa umsogeze hapo ofisini nae atakusaidia kuwatatulia matatizo watu wengine ana Akili sana
@enockmaige8936
@enockmaige8936 5 ай бұрын
Mungu akutunze kwaajili yetu Makonda akulinde akupiganie akufiche katika mbawa zake ambapo wabaya hawawezi kukufikia.
@tabithasamson8123
@tabithasamson8123 5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mkuu wamkoa makonda uko vizuri mungu akutangulie endelea kutenda haki
@susananyasani6526
@susananyasani6526 5 ай бұрын
Super Mheshimiwa Makonda kwa kazi nzuri Arusha kutetea wanyonge asante
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 5 ай бұрын
Naona tabasamu kwa mbali kwa Mwl. Beatrice.Mungu kamuonesha mwanga.Zaidi ya watu wakatili wenye roho mbaya watesaji.
@ShrifaTnzani
@ShrifaTnzani 5 ай бұрын
Pole kaka makonda mungu akutangulie
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 5 ай бұрын
Star wangu mimi Tanzania 🇹🇿 ni makonda jaman Yarab mlinde huyu kijana mwenzangu kwa kazi kubwa anayo ifany🙏
@elisesiastephen1775
@elisesiastephen1775 5 ай бұрын
Mungu akubariki Kiongozi Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda Hakika Mungu akubariki sana kwa kusaidia wanyonge wanaoonewa na watumishi wa serikali Wanafanya Serikali itukanwe na usiaminike kwaajili yamatendo yao maovu Mana Samia amekuamini lakini Mungu ameruhusu uje utusaidieee Sinama na Mungu akubariki kwakusikiliza wanyonge Libarikiwe tumbo lililo kuzaaa Unezaliwa kwakusudi la Mungu Ubarikiwe kuingia kwako nakutoka kwako
@imranhassan9994
@imranhassan9994 5 ай бұрын
🌍🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕🌕 ⭐🌟 ✍️ Jamani kama hapa duniani haki ina thamani kiasi hiki kiukweli sijui huko twendako mbele ya MUNGU itakuwa na thamani kiasi gani... ✍️ Ila mimi kutoka kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 MAKONDA na Nimeipenda Kazi ya 🇹🇿 Mama SAMIA Na Mungu Awalinde popote walipo...
@SheillaJaffery
@SheillaJaffery 5 ай бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa mkuu wa mkoa kazi yako ni njema unatenda haki
@ambrosealbogast792
@ambrosealbogast792 5 ай бұрын
The Great Makonda! Hakika u mtetezi wa Wanyonge. Big up sana
@annahngururi6595
@annahngururi6595 5 ай бұрын
Habari mr.makonda.Mungu akupiganie katika kutetea haki za watumishi. Mimi pia nina shida za kiutumishi naomba unisaidie na mimi........wuuuuuiiiiiii
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 5 ай бұрын
Mungu akulinde Mkuu wetu Arusha tunashukuru sana kwa kuletewa jembe kazi kazi tu Mungu akupe afya njema na maisha marefu asante sana.Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake.
@kilianamapunda3170
@kilianamapunda3170 5 ай бұрын
Makonda Makonda Mungu Akupe maisha
@AnnazachaZacha
@AnnazachaZacha 5 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa Paul Makonda Mwenyezi Mungu wakulinde daima
@happyfrank9919
@happyfrank9919 5 ай бұрын
Hongera sana Mh. Makonda kwa kujua na kutambua majukumu. Munngu azidi kukuweka.
@12322879
@12322879 5 ай бұрын
Mungu aendelee kumlinda brother Makonda…Kudos kiongozi.
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 5 ай бұрын
Pole mwalimu wangu makonda miaka mia baba
@ElishaKasambo-yu5jt
@ElishaKasambo-yu5jt 3 ай бұрын
Very advanced problems solving skills,be blessed by Almight
@lucymgeni2357
@lucymgeni2357 5 ай бұрын
🎉mamaa upewe uongoxi unakityuu.... Una fact zimeshina
@irynrobert7187
@irynrobert7187 5 ай бұрын
Hongera sana Mwl Beatrice.... na Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania Mkuu wa mkoa Makonda 🎉
@mussahancy6591
@mussahancy6591 5 ай бұрын
Nakushukuru sana Mh Rais Dr Samia mama yangu kwa kutuletea Makonda
@MoteswaLekwasa
@MoteswaLekwasa 5 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda salute kwako na viongozi wengine waige mfano wako. Mama Samia aksante kwa kumpa Makonda nafasi hii ni moja kt ya viongozi wanaokiheshimisha chama cha Mapinduzi pia wewe.
@MrKiwanjaupdates
@MrKiwanjaupdates 5 ай бұрын
Jamaa anaonekana anaroho mbaya sana aisee, just imagine pesa niyaselikali na mtu anaidai serikali, na ameshinda case ni issue ya kuidhinidha tu malipo ila mtu analukaluka tu
@williammary6782
@williammary6782 5 ай бұрын
Makonda mungu akulinde sana na akuepushe na mabaya
@JullyEdward
@JullyEdward 5 ай бұрын
Duuu,yaani Mimi naona Makonda anafaa awe raisi kabisa kazi anaiweza❤️❤️❤️
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz Ай бұрын
NINA HOFU WATAMFANYA KAMA JPM KUNA WAKONGWE HAWANA HOFU YA MUBGU
@happinessmsengi6408
@happinessmsengi6408 5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu sna,sisi tunakuombea sna.yn Mhe.hao waliomadarakani kunyanyasa watumishi wanyonge ndio zao sna,wapo watumishi kibao wamefukuzwa kaz kwa uonevu tu km wa mwl.Beatrice na wengine HD kuacha kazi kwa kuchoka na huo uonevu.Mungu akutunze sanasana
@sebastianmusyebi-yv1hm
@sebastianmusyebi-yv1hm 5 ай бұрын
Hakika makonda MUNGU akuongezee nguvu na maisha marefu
@YusuphuPaulo
@YusuphuPaulo 5 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde kaka Paulo makonda mungu itazame kilasiku ya mtotowako huyu
@goodluckndunguru995
@goodluckndunguru995 5 ай бұрын
KAZi ya mwalimu haiishii darasani Tu ,uwezo WA kujieleza NI nyongeza ya KAZi yake pia ,hongera sana mama yangu beatris
@RobartGidion
@RobartGidion 5 ай бұрын
Brother Makonda pambana haki za Wana Arusha Mungu akupe maisha marefu mno
@RobartGidion
@RobartGidion 5 ай бұрын
Bro Mungu azidi kukupa busara zaidi
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 5 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukuinua Makonda mhshmw
@EmanuelMalisa-c8n
@EmanuelMalisa-c8n 21 күн бұрын
Nimekuelewa sana brother wangu makonda natamani kukuona
@MeleaChiluka
@MeleaChiluka 5 ай бұрын
Mungu akulinde siku zote mheshimiwa mtenda haki ya wanyonge hakika mungu yupo pamoja nawe siku zote daima nakuombea siku zote utokapo na unavyoludi wewe ni mtetezi wa wanyonge by doctor Steve chihwalo
@Olafkaria123
@Olafkaria123 5 ай бұрын
Mh Makonda mungu akuzidishie miaka mingi ya uongozi kwa kweli wewe ni kiongozi wa kuigwa
@alphonceo3571
@alphonceo3571 5 ай бұрын
Hongera Jirani zetu kwa mfumo wenu kutatua maswala ya Uma kwa uwazi. muungano wa Afrika mashaki inastahili kuiga haya
@LittaMushi
@LittaMushi 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ Brother Makonda...Mtoto wa MUNGU ndani ya Arusha.... Barikiwa ushangae kaka
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 5 ай бұрын
Wanatiaga huruma hawa wapigaji wakibananishwa,,,Mungu amlinde Makonda for us
@estakapufi7582
@estakapufi7582 5 ай бұрын
Izo pesa za ml. Wameshagawana hao sasa wanajichanganya haki ya mtu haipotei itachelewa ila mungu halali kabisa, mungu mlinde makonda wetu.
@remtulanassary
@remtulanassary 5 ай бұрын
Pole sana hon MAKONDA.. kiukweli unapambana kimkoa ila pia inaonekana System ni mbaya hata ya watumish wa Kiserkal, na ndo wanaoharbia had Chama. Pambana MAKONDA
@GetrudaMamiro
@GetrudaMamiro 5 ай бұрын
Safiiiii mamaaaaaaa, matapeli wengi sana. Kazi kula vya wanyongeeee.
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 5 ай бұрын
Nilikuwa sikupendi ila sasa sina namna....Mungu akulinde mh Makonda
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 4 ай бұрын
Mimi pia,sasa wewe ni wa upande wangu.
@LeonardMussa-c4o
@LeonardMussa-c4o 4 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde dhidi ya maadui.Makonda Mungu akufunike na mbawa malaika wake.Makonda Mungu akulinde kwa jina la Yesu pamoja na damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani iwe pamoja nawe.Makonda Mungu akuepushe na ajali zote na aendelee kukupa afya njema ili uendelee kuwatumikia wananchi.Makonda Mungu akulinde kabisa kutoka pande zote za dunia hii mashariki, magharibi,kaskazini na kusini.Makonda Mungu akubariki sana pamoja na familia yako kwa ujumla?Aminaaaaaaaaaaaaaaaaa!
@JuliusLomanya
@JuliusLomanya 5 ай бұрын
Makonda sikuwa nakupenda but now nakupongeza Sana Kwa KAZI nzuri Sana unayo ifanya Arusha aisee mungu akubariki sana
@halimahemediwaziri2630
@halimahemediwaziri2630 5 ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Makonda Mungu akubariki sana
@nevistours
@nevistours 5 ай бұрын
Wasipokupenda wao tukikupenda sisi wanyonge na Mungu inatosha
@WaibiFrederick
@WaibiFrederick 5 ай бұрын
Very interesting indeed. Thank you for this grassroot participatory leadership programm of assisting the needy. Thank you very much.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Mwalimu Beatrice yupo vizuri sana hapo mmeyakanyaga,hongera Makonda
@mshukumangi
@mshukumangi 4 ай бұрын
Pole RC Makonda. Kazi ni ngumu ila Mungu akuongoze.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 ай бұрын
Makonda Alipelekwa Arusha kwa sababu yeye Anastahili😂❤
@Naw89
@Naw89 5 ай бұрын
Ni kweli kabisa yani hapa kafika mahali salama kabisa
@Naw89
@Naw89 5 ай бұрын
Huu mji ndio maana Allah anawapa mitihan kwa sababu wanadhulumiana mno
@FrumenceBoniphaceMasero
@FrumenceBoniphaceMasero 5 ай бұрын
Mungu Bariki makonda
@izrajoseph1406
@izrajoseph1406 5 ай бұрын
Very smart mwalimu Betris
@oam14l
@oam14l 5 ай бұрын
Hongera Mwalimu Beatrice!
@PendoP-t8g
@PendoP-t8g 5 ай бұрын
Mimi ni mchaga lakini nasema wasukuma mitano tena, I see magufuli spirit in makonda
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
❤❤❤
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 2 ай бұрын
Mweshimiwa MAKONDA una kazi ngumu sanaaaaa Mungu aku wezeshe tena na zaidi
@agnessmduma7581
@agnessmduma7581 5 ай бұрын
Usjali Mtumishi wa Mungu hata kama hawakupendi Mungu na sisi wanyonge tukikupenda inatosha. Wewe ni zaidi ya kiongozi ni Mtumishi wa Mungu
@hermenegildempawenayo279
@hermenegildempawenayo279 5 ай бұрын
Samia, mupe kazi Beatrice, makonda mungu akupe maisha malefu
@josephimbwambo
@josephimbwambo 5 ай бұрын
Makonda mungu akuongeze umri usaidie wanyonge njoo kwetu same
@joelpreachingsmuiruri5188
@joelpreachingsmuiruri5188 5 ай бұрын
Mhesimiwa Makonda,my favourite.Man of the people,to the people n of the people
@HumphreyKarua
@HumphreyKarua 5 ай бұрын
Hi Rc mako da ongera jwa utendaji wako Aruxha ni jiji la dhuruma sana sasa Zrusha inanyooka dhidi ya watu wachache kunyanyasa wanyonge
@AllberthaIgango
@AllberthaIgango 2 ай бұрын
Asante mwanasheria mungu akulinde kwa uaminifu
@leoniakimati3434
@leoniakimati3434 5 ай бұрын
May the power of Holy Spirit guide brother,Kwa akili za kibinadamu huwezi Fanya hii kazi
@silvanotongeni8450
@silvanotongeni8450 5 ай бұрын
Watanzania wanaonewa sana na hawana mtetezi na bahati mbaya wanaoteuliwa kuwatetea bado wanawakandamiza. Acha makonda afanye kazi yake kama kutenda haki ni kosa wana arusha tutasimama naye
@theonasmkoba6121
@theonasmkoba6121 5 ай бұрын
Damu ya Yesu ikulinde Makonda
@leonarddimdoy6237
@leonarddimdoy6237 5 ай бұрын
Huyu Mama ni Genious
@JosephYagodoka
@JosephYagodoka 5 ай бұрын
Jamani mheshimi wa makonda kwa kweli unapambania haki za wanyonge hongera sana mungu azidi kukuogoza katika mamuzi sahii piga kazi kaka makonda
@DionisiaBaynit
@DionisiaBaynit 5 ай бұрын
Nakupenda Sana makonda Mwenyezi Mungu akubariki sanaa na akutunze baba
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 5 ай бұрын
Hao ndo watumishi wanaumizana wenyewe kwa wenyewe mtu ana haki hamtaki kumlipa utafikiri anatoa mfukoni kwake Roho mbayaa tuu.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 ай бұрын
Saana watu wana Roho mbaya
@PendoPatrick-eo5ej
@PendoPatrick-eo5ej 5 ай бұрын
Hongera sana mh makonda baraka za mungu zikuzunguke kila wakati na popote unapo kuwa♥️♥️🙏
@shakaurembo477
@shakaurembo477 5 ай бұрын
Mwanafunzi wa magufuli Kazi nzuli 🎉🎉🎉❤
@selector728
@selector728 4 ай бұрын
Nzuri sio nzuli
@HabibaBb-d3s
@HabibaBb-d3s 4 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu sana kaka yangu
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ndio atakulipa Makonda
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 5 ай бұрын
Umefanya kazi nzuri ya kutatua shida za watu na huo ndio uongozi thabiti Na neno la Mungu lasema hiv 2wakoritho 9:6-7 Lakini nasema neno hili apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu Kila MTU na atende kama alivyokusududia moyoni mwake si kwa huzuni wala kwa lazima maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo mkunjufu.
@SelesiusGration-rq7sb
@SelesiusGration-rq7sb 5 ай бұрын
@makonda nguvu moja forever
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 2 ай бұрын
Mama ungepata Makonda ingawa moja ktk kila mkoa, dhuluma ingepungua, na Mungu angeshusha Baraka zake nyingi kwa nchi. MUNGU AKUBARIKI.
@Evanssimba-pi6mw
@Evanssimba-pi6mw 5 ай бұрын
Mkuu wa mkoa Wa Arusha mh; Makonda Mungu akulinde kwa kuwatete walinyimwa haki haki ya Mungu auna baya Duwa za wanyonge zitakulinda na mabaya
@stellarogath1876
@stellarogath1876 5 ай бұрын
😂😂😂pole sana kaka yangu Makonda, 😂😂😂 vitu vingine Hawa watumishi Mungu anawaona. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukutunza.
@yohananchimbi1756
@yohananchimbi1756 5 ай бұрын
Mkuu hao watu wa ELIMU ni tatizo Tanzania nzima,wanawanyanyasa sana walimu
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 5 ай бұрын
Yaaani kweli kbsaaa
@ellyitete938
@ellyitete938 5 ай бұрын
Kweli
@pastordenischanneltanzania5324
@pastordenischanneltanzania5324 5 ай бұрын
Wapatikane,akina, Mkuu kama Makonda, CCM itakate sana. acheni kumpiga vita Makonda
@rebeccabayo2988
@rebeccabayo2988 5 ай бұрын
Mungu akufiche
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 4 ай бұрын
very good Mr makonda
@benedictmillinga4297
@benedictmillinga4297 5 ай бұрын
Nitumie nafasi hii kumpongeza Rais kwa kumteua Makonda kurejea katika mfumo wa serikali. Na hii imeleta tumaini jipya ya kwamba Serikali sio shida, shida ni baadhi ya watendaji tu. Binafsi nisisahau kumshukuru Mungu kwa ajili ya kuwa na kijana kama Makonda. Naomba viongozi wengine hebu jaribuini kutamani kutenda kama makonda na ndani yenu muwe na hofu kidogo ya Mungu na Mungu atawafanikisha sana. Hivi fikiria ni watu wangapi wanamuombea heri makonda kwani anafanya yote si kwa aliopewa kwa ajili yetu sisi wananchi na sio kwa ajili yake. Tuige tu. Niombe viongozi wengine hakuna sababu ya kumpiga vita. Mtenda haki mmoja Mungu wa Mbinguni humlinda sana kuliko hata maelfu. Hivyo ieleweke hakuna mkamilifu manzuri yake mtembee naye na mshikamane naye. Kipo kitu cha thamani ndani ya Makonda kitumiwe kwa manufaaa ya Taifa letu.
@itzsnazzyjazzy472
@itzsnazzyjazzy472 5 ай бұрын
Madam Beatrice hoyeeeeee uko very madam inshallah utapata haki mwaya
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 5 ай бұрын
Makonda hakika nakutakia heri na baraka na Mungu azidi kukubariki. Sasa tunakuomgrzea jina linguine MPENDA HAKI
@HamisiGatuso
@HamisiGatuso 4 ай бұрын
Makinda upo sawa mungu akubarik
@ZuhuraHamadi-py4cu
@ZuhuraHamadi-py4cu 5 ай бұрын
Mwalimu Beatrice omba sana pepo na roho ya kudhurumiwa ikutoke ,kemea zuruma juuyako,wazurumu wasikuone
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 5 ай бұрын
Huyo dada angefika mbali,uzuri haki ya MTU haipotei inachelewa tu
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 5 ай бұрын
Mpaka hapo anaomba. We huogopi?? Huyu dada ana Mungu aiseee
@fatimahants1526
@fatimahants1526 5 ай бұрын
Pole kwako kazini mkubwa mheshimiwa makonda, haya ni majukumu makubwa sana
@abedysteven4930
@abedysteven4930 5 ай бұрын
Jaman 2liokuw 2nasubr part 2 kama mm gonga like mana huu mkasa mzur!!🤣🤣🤣🤣
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 4 ай бұрын
😂😂mimi natamani ingekuwa move iende mpaka part 20😂😂😂😂 Beatrice kìboko😂😂
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,7 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 17 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 2,9 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 81 М.