No video

NDOTO YA KUTISHA, MAMA AANIKA MAMBO MAGUMU NA MAZITO, UCHAGUZI 2025/ AWATAJA MAWAZIRI HAWA

  Рет қаралды 71,400

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 433
@danielkanso
@danielkanso 3 ай бұрын
Mimi hata sipingi zaidi sana na muomba Mungu atuhepushe na yaliyo mabaya na uliyoyazungunza hata sikatai kwa sababu na jua kazi ya Mungu
@user-yz1xq8xo8s
@user-yz1xq8xo8s 3 ай бұрын
Maneno ya Imani huwa Yana puuzwa lakini mwisho wake ni huu Nuhu aliambiwa na mungu atengeneze safina watu wenye nguvu na dharau wakambeza sana lakini kilichotokea nisikwambie Mimi Bali jifunze.wote waliangamia
@user-my6iz5tg7x
@user-my6iz5tg7x 3 ай бұрын
Mama, usicheze na jina la mungu. Uongo ni jambo mbaya sana. Wewe unajaribu kuidanganya nchi nzima . Unaweza kupata laana kubwa. Usifanya mzaha na jina la Mungu. Waziri wa kilimo anapambana na wezi wanao wahangaisha wakulima. Kama umetumwa na hao wezi, basi omba msamaha kwa mola wako.
@jofreyfungo1112
@jofreyfungo1112 3 ай бұрын
Anapambana wakati wakati ananyang'anya Haki ya wakulima kushiriki anatengeza miradi ili apate 10%Kwa wakandalasi.Amenyang'anya Maonyesho ya wakulima anaweka yawe ya wizara Nako anataka kupiga Dili kwenye viwanja vya wakulima.(Amka)
@user-my6iz5tg7x
@user-my6iz5tg7x 3 ай бұрын
@@jofreyfungo1112 Jambo la kusikitisha Ni kwamba Sisi waafrika wengi wetu Ni watu ambao si wazalendo. Tuna wivu Na chuki ndani zetu. Mwanasiasa akijaribu kufanya kazi yake vizuri, anasingiziwa mambo za uongo za kumharibia Jina.
@karebukaminyoge
@karebukaminyoge 20 күн бұрын
Nambie sasa kwa leo mama yuko sawa au???
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 16 күн бұрын
Unataka ungeoteshwa wewe??? Mtu kaona yy wewe unasema ni laana je tuambie wewe sasa maana haya unayapinga??? Unapinga hata ndoto jamani ... no imani tu umeona yaliyomtokea makamba ... ulibisha nini .. na makonda yupo wapi sasa
@user-he1cr6cg2r
@user-he1cr6cg2r 15 сағат бұрын
Skilizen nyie mama yupo sahihi hata mim nlioteshwa kuwa nchi inaongozwa sio sahihi MUNGU washamba nyie mnayebisha ili Na uchaguz wa 2030 tutaongozwa na mtu so wanchi hii mjue hilo Kama tutakuwa wajinga iviivi
@norahfrank
@norahfrank 20 күн бұрын
Ninaamini Mungu huzungumza na watu. Maono yake kupitia huyu mama tukiyaangalia kwa upeo, yana kuja kupita. Asante kwa kuwa chombo cha kutumika na Mungu. Mungu Akubariki cna
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 ай бұрын
UKIWA MTU WA KUTII SAUTI YA MUNGU BASI UTASHUHUDIA MENGI SANA!!SAUTI HII NI YA WENYE IMANI TU
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 ай бұрын
Kabisa kabisa!!
@edisonemmanuel-
@edisonemmanuel- 3 ай бұрын
Umenena ni vile tu hofu ya Mungu inakufanya ushuhudie au lah kama ni uongo atajua mwenyewe
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 3 ай бұрын
Hata jiwe kuu la pembeni waashi walilikataa! Pengine ni ujumbe wa Mungu kweli
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 9 күн бұрын
Makamba tayari imetimia, makonda loading...., Bashe loading.....
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 3 ай бұрын
Huyu ana mahangaiko ya maisha yake na nafsi yake ina matundu ,yanayotokana maisha ya dhambi alizotenda , uchungu wa kuzaa hewa hupatikana katika ndoto baada ya kurudi kulala wakati jua limechomoza 😊
@FatmaChezo
@FatmaChezo 3 ай бұрын
Uwiii😅😅😅
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 3 ай бұрын
Mmm
@NasibuNasoro-ew3vw
@NasibuNasoro-ew3vw 3 ай бұрын
Mama uza sura upate foroaz wakutosha vta vipo urus na kongo we huja pigana vta mama ugesema unapata majaribu ya shetani sio vita ungekua unavita na wanadam basi we utakua upo ktk kundi la shetanie
@songeza
@songeza 22 күн бұрын
Ila we mama kiasi c mkweli Bwana Yesu Alikua anatafuta vilivyopotoka c mavazi hata hayo maneno Yako ya kinabii kiasi unatuchanganya, ebu muache Makonda, hakuchagua yeye awe mkuu wa mkoa Bali aliteuliwa basi utuambie kwamba aliteuliwa Ili akauwawe acha hizo. Huna hata vita vya aina yoyote, twambie unatoka wapi tupate Kuja kwako mbeba maono baada ya matokeo ungeyatoa hayo kabla ya yote ya akina makonda, makamba, nape. Unajinadi wewe akupe cheo eeebu soma bible vzuri kuhusu mwanamke
@JustusRwabukoba
@JustusRwabukoba 9 күн бұрын
Uko sahihi unabii uchangamfu maisha ya watu kwanza anahofu amesema mume wake alimwambia wanataka kumuua asome isaya 54:17ndo watumishi ambao awana wazazi leo kanisa hili kesho lile Joshua 1:9 Mungu akamwambia Joshua tuwe odari na moyo wa kishujaa barikiwa
@HusseinKurabu-b1i
@HusseinKurabu-b1i 24 күн бұрын
Mama ogopa mungu, hakuna malaika mwanamke, mungu awezi kuingea na mtu kama wewe umekaa uchi wacha kudanganya watu, shetani ni somii.
@stellahanssen1434
@stellahanssen1434 21 күн бұрын
Imani ya Kikristo kuna malaika wa kike.
@norahfrank
@norahfrank 20 күн бұрын
Mungu huwa hachagui wa kuongea nae.Ujumbe wake humpa yeyote bila kuangalia kabila,dini, au rangi ya mtu. Aliyoyaongea wkt huo ni nani atakaepinga ndiyo yanayotendeka toka mwezi June 2024 hadi leo August 4.??? Msikilizeni kwa makini cna
@ABBASIKANDULU-kl8zc
@ABBASIKANDULU-kl8zc 16 күн бұрын
We nae .Malaya kwelii. Ulitaka aoteshwe Naniiii ndio uwaminiii...?
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 3 ай бұрын
Ww ni wa maana Sana Mungu atakutumia Sana kwa kuwa umekubali na kutii mema yanakuja barikiwa sana
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 күн бұрын
Hovyoooo
@naturelle1097
@naturelle1097 3 ай бұрын
Mbona kila mtu anampinga huyu dada..what if she is right na yote anayoongelea yanatokea
@hadassahethel
@hadassahethel 3 ай бұрын
Unabii unapimwa kwa neno la Mungu hapo hakuna neno la Mungu mwanzo mwisho ni porojo
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 3 ай бұрын
Sio tatizo lako bali nitatozo la kutojua Mungu ni wanamna gani mungu akujie wewe kabisa aongee mambo ya wizara kwanza muogope Mungu wacha kumfanya kama kitu cha mchezo
@jenifasoka9031
@jenifasoka9031 11 күн бұрын
Mungu hutumia hata vitu dhaifu, Je.! Hayajaanza kutimia? Yuko wapi Makamba? Yuko wapi Makonda??
@user-ot1ff7yq2l
@user-ot1ff7yq2l Ай бұрын
Ninyi mnaopinga hayaaaa ya huyu dada hamjitmbui na msipende kupuuza kila kitu Jamn huyu dada sio mwehu
@Shalomstudiotz
@Shalomstudiotz 8 күн бұрын
Amina hakika Huo ni ujumbe wa MUNGU mungu azidi kukutumia Mama
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 3 ай бұрын
Duh! Tulikuwa na mfalme zumaridi, Sasa huyu ni malaika mwenye watoto. God heal this generation
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka kwa saut
@AmosAdam-n9v
@AmosAdam-n9v 2 күн бұрын
​@@ayshasaid1547😂😂😂😂😂😂😂😂
@JONAISMARTINESAM-vs4jy
@JONAISMARTINESAM-vs4jy 20 күн бұрын
Mama umuweke MUNGU daima moyoni mwako,,,,,pole kwa maono mazito n ni unabiii ,,,,,NAMUOMBA MUNGU ATUSAMEHE SOTE ,,,UNABII MARA NYINGI HUA SIO MZURI KWANI USIPOTIIWA HULETA MAAFA MAKUBWA ,,,MUNGU TUONGOZE JMN.
@AdamChambo-mf4ek
@AdamChambo-mf4ek Ай бұрын
Hata wakati wa Nuhu watu walimdhihaki,wakamkejeri nakumtukana,lakini mwisho wake wote mnafahamu kilichotokea
@zainabamour8616
@zainabamour8616 8 күн бұрын
Nenda ukoo mungu akujaalia uslimu kwakuwa kaa mh wetu samia mnafanya kila mburoo walivyoo kaa makafiri wenzenu hamuoteshwii kitu
@anastazialushika
@anastazialushika 3 ай бұрын
Mungu hanaga maneno mengi ivo!Acha kutuuzia mbuzi kwenye gunia! Acha Arusha ipae kimataifa ww acha makonda ainyooshe iwe kama uraya! Makonda oyeeeeee
@JofreyZacharia-zz7dy
@JofreyZacharia-zz7dy 3 ай бұрын
Oyeeeee
@FatmaChezo
@FatmaChezo 3 ай бұрын
Oyeeeeee, Arusha ng'araaaa
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 күн бұрын
Mbona wengi tu, sasa hv imekua wanatumwa na Mungu, kwani huko nchi zingine zinamatatizo ya kivita kwa mamiaka Mungu hasemi nao??? Au hakuna mitume wa mchongo?? We mama sema yote ya kisiasa lkn huwezi kumuona Mungu hata mitume hajamuona wanatumiwa ujumbe kutoka kwa malaika!!!
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 3 ай бұрын
Uzuri wa hii Nchi bana Hufi kwa Msongo Mawazo Ukiona Umezongwa tu Weka Bando lako kisha ingia Yu tube
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 lakini utakufa kwa njaa .
@hadassahethel
@hadassahethel 3 ай бұрын
Hakuna sehemu yoyote kwenye biblia inasema sauti ya watu ni sauti ya Mungu hii ni kauli ya kifalsafa
@ReticialThomas
@ReticialThomas 2 күн бұрын
Nimecheka kidogo
@marthajackie9034
@marthajackie9034 2 күн бұрын
Matendo ​12: 22 labda anaamanisha kuhusu andiki hilo . Asante. @@hadassahethel
@user-xp9dj1ow8d
@user-xp9dj1ow8d 19 күн бұрын
Nanukuu "mikono Michafu na amekumbatia vijana.... La mwanadam litakufa kama la Mungu litapita tuu na ni Amina....
@dassustephen731
@dassustephen731 3 ай бұрын
Apelekwe Milembe hospital akapimwe akili.It is a bunch of nonsense of the highest level.
@SamImma-qi8sb
@SamImma-qi8sb 4 күн бұрын
Rais samia awachie wakulima wa mbalali mbeya mashaba yao wananchi wateseka sana
@JustusRwabukoba
@JustusRwabukoba 9 күн бұрын
Siyo kwamba yeye kusema ni malaika apana yesu aliamuacha roho mtakatifu mitume na manabii siyeye ndo malaika turudi kwenye biblia Tusome utawala wa josefat 2nyakati 18:21-23 kama roho wa uongo aliwahingilia manabii mia nne, shetani anambinu nyingi sana kumuulewa ni kazi wapo mtumishi wametulia pastor mwakasege na wengi tu pastor josefat mwingila wengi ila manabii kichipikizi wachungaji tuombe
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l Ай бұрын
Huu ujumbe ni wa Mungu kweli
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 11 күн бұрын
CCM BILA YA KUWAWEKA AZARANI WAUAJI MTAONA NYINYI MMEUWA WENGI NA MNAENDELEA KUUA MWISHO WAKE UNAKUJA
@AlphaBukuku-f9j
@AlphaBukuku-f9j Ай бұрын
Ucipomtii mungu shetani atakupa kazi mungu hawez kukupa maono kama hayo mungu anatoa maono ya utume ulimwenguni
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 11 күн бұрын
WATANZANIA TUSIKUBARI WAMEUA WENGI IFIKE NA WAO WAFE KINYAMA
@zainabamour8616
@zainabamour8616 8 күн бұрын
Unatakiwa uslimu mama hiyo dini niuwongo mwanamkee kujistiri sihivyoo
@shadyaomary
@shadyaomary 18 күн бұрын
Hata kipindi cha nuhu watu waliambiwa wachonge safina lakini wakabeza , kuna wengine wakapata mpaka neema yakuingia ndani ya safina wakatoka na kwenda kula bata lakini wanyam wakaingia ndani ya safina ,mungu atusaidie
@DianaThomas-c2l
@DianaThomas-c2l 5 күн бұрын
Jamani msidharau ni kweri me naona kunamapambano ya kukatana mapanga wap Kwa wao
@castorymhonjwaj2469
@castorymhonjwaj2469 3 күн бұрын
Amina
@JustusRwabukoba
@JustusRwabukoba 9 күн бұрын
Ase tusipo angalia watumishi juu unabii awazungumzii dhambi maana zipo roho zidanganyazo siyo kila unabii unatoka kwa Mungu linafikiria na wazo yakibinadamu ase viongozi wa usalama kuweni macho unabii unatoka kwa mtu si adharani Mungu asema ovyo Mungu alimtumia isaya kwa Ezekia Mungu kamtuma muda kwafarao Mungu kamtuma Eliya kwa yezee heri Mungu kamtuma gaburieli kwa Maria mke Yusuf unabii niwamtu na mtu siyo kwenye mitandao na vyombo vya habari, wataleta ofu na mawazo mabaya juu ya jamii serikali ianze kufuatia hao manabii kichipikizi serikali wafuatilie usajiri wa makanisa yao watumishi mambo ya 2nyakati 18:21-23 jaman tuwe makini na unabii soma biblia maneno ya Mungu utapata majibu
@ProsperMwakasungura
@ProsperMwakasungura 3 ай бұрын
Anamchezea MUNGU. We subiri kitakachompata. MUNGU na wizara wapi na wapi. Huyu anakichaa.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 12 күн бұрын
Hi inawezekana kweli Bashe si mtu mzuri, kwa kitendo cha kuadimisha Sukari, kisha kuzuia mbolea ya Dodoma isipate soko la ndani ya Nchi , kisha kuwanyima kibali cha mbolea wanaushirika kina Mbunge charahani walivyoomba kibali cha kuingiza mbolea Moja kwa moja kutoka nje ya Nchi ambapo hata jamaa walipokwenda kwa Rais mpenzi wangu jamani kweli hakuweza kuwapa kibali.
@JacobJoel-cb3ni
@JacobJoel-cb3ni 3 ай бұрын
Mmhh sasa unasema Wew Ni Angel Mara kiumbe Zaidi sasa mume wako ana wasiwasi wakati umesema Ni Angry😃😃ila yote Kwa yote Mungu wangu WA mbinguni atukuzwe
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 3 ай бұрын
Hawezi kua raisi January yeye na Baba Yake wakafunge Kuhusu Makonda hapo umechemka unabii wako
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 11 күн бұрын
NI KWELI KABISA UNACHOSEMA MAKONDA ATARETA MACHAFUKO ASIPOONEKANA
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 4 күн бұрын
Hii hatari sana😊
@BarackntabindiEmoro-bo1xp
@BarackntabindiEmoro-bo1xp 3 ай бұрын
Je mungu hakukwambia wamasai wanateseka mama awahulumie au tusimchangue kwa kua ata mungu hajamchagua huu ni kuvizia uteuzi make
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 3 ай бұрын
Kwailo bado anafikiria
@blasiustibwakawa6258
@blasiustibwakawa6258 3 ай бұрын
Kuwa makini rafiki yangu
@arnoldkimaro407
@arnoldkimaro407 3 ай бұрын
---Taifa linaombewa na viongozi 12:42 wa dini kila siku pamoja na viongozi wake hivyo tunaamini kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na wa amani. Nchi haiwezi kuongozwa kwa watu kuoteshwa matukio au kusema ni maagizo ya mungu kwani maagizo ya mwenyenzi nungu yako kwenye vitabu vya dini ie Bibilia na misaafu pamoja na machapisho mengine .
@hawraamohamed
@hawraamohamed 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui 11 күн бұрын
MAKONDA ASIPOONEKANA TANZANIA ITAMWAGA DAMU
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 3 ай бұрын
Mungu anamwambia nenda kaonge na media😂😂😂😂😂😂😂😂bongo bongo kuhama itakua shida sana
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 3 ай бұрын
Yesu akasema nitakapo kuja nitaiona Imani kweli
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Huyu mama ni chizi tayari😅😅
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 3 ай бұрын
Mungu akusamehe tu
@joycemshana4028
@joycemshana4028 3 ай бұрын
You cant joke...with this name...
@user-kz5en5tq2z
@user-kz5en5tq2z 3 ай бұрын
Cheka Leo kesho Italian, bora kukaa kimya!!
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 10 күн бұрын
Maonyo yatatolewa kilakona nawatu. wataendelea kunywa nakufanya kila ainazastarehe kwakupitia ukwapuzi kwawananchi wanaolipa madeniyahizofedha wanazokwapua kulipia kupitia tozo mbalimbali .
@bonifacecredo3287
@bonifacecredo3287 24 күн бұрын
Hyu mama huenda utabiri wake ukatimia. Makamba tayari ametenguliwa, Bashe na makonda tunasubiri. Huyu mama huenda kweli alifunuliwa mda utaamua
@saluhilya8465
@saluhilya8465 3 ай бұрын
Timiza wajibu wako uliotumwa na mungu atakayebeza atakutana na adhabu ya mung
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 22 күн бұрын
Hi habari kweli niliifuatilia na kumbe ni kweli
@user-ch7fp4ve9s
@user-ch7fp4ve9s 22 күн бұрын
Mwambie uyo mama ni mjinga sana mwambieni izo ndoto zake akapeleke kwenye family yako nanyie wahandishi wa abari uwa amna mambo ya kulipoti au ya kusikiliza mbona mnasikiliza ujinga
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 21 күн бұрын
Ujumbe wa Mungu unaambatana na neno laki ili kulidhibitisha au kuzibitisha ujumbe alio tuma tunapaswa kupima ujumbe kwa njia ya mandiko ikumbukwe kuna mapepo ya utambuzi pia kwani shetani ni malaika wa giza na nuru hujua kucheza na akili na mawazo yatu tunapaswa kuchuja kila jumbe kwani sio zote zatoka kwa Mungu.
@user-vv5ck7zs9u
@user-vv5ck7zs9u 20 күн бұрын
Naamini huo ni ukweli kabisa usiopingika wapaswa uombe ufunuliwe zaid na zaidi hiyo ni karama ya MUNGU PEKEE kwako na talanta uliyopewa hongera sana kwa ww kuitumia talanta yako vyema.
@HanifaLenard
@HanifaLenard 7 күн бұрын
Mungu atusaidiee.
@stephenalmas4209
@stephenalmas4209 3 ай бұрын
Amen, ila sasa ndg yng sauti ya Mwenyezi MUNGU huwa hai-hitaji nguvu nyingi sana kufika mahala pake, neno moja tu latosha na kuponya nafsi zetu, maana hilo neno ni takatifu, wala halihitaji maelezo ya ziada kujipambanua.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 3 ай бұрын
Acheni utoto nyie wakristo kwann mnadanganyika fasta ivo
@user-gy2fb9vw9t
@user-gy2fb9vw9t 14 күн бұрын
Hata hivyo January Hana sifa ya kuwa rais
@talents7934
@talents7934 3 ай бұрын
Hata Mwenyezi Mungu hapa nahisi Kaangua kicheko😂 Nahisi huyo Mungu uliyongea Nae ni Wa chuga Ngarenaro
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 28 күн бұрын
waliokuja baada ya makonda kutoonekan makamba na nape kupigwa chini maomba 2juane hapa,,,
@pantaleokullaya4267
@pantaleokullaya4267 Ай бұрын
Jamila Neno tu kuhusu kutosuka nywele limekuwia gumu mie nikupimeje kukuamini?1Pt.3:3 na 1Tim.2:9.Ukilitii Neno la Mungu ni rahisi kukutumia kwa ajili ya watu wake.
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 16 күн бұрын
Haya yaliongelewa Miezi mitatu nyuma ujue ...
@allyomary4230
@allyomary4230 3 ай бұрын
Alhamdulillah ghala nighimatil islam.... Hii mambo ya Kufunuliwa eti ni MALAIKA, SIJUI ROHO MTAKATIFU na kutuletea Habari za KUTUMWA NA MUNGU, sijui kuona MAGOROFA MBINGUNI.... Huyu mama alee tu wanae aachane na hizi ndoto za ALINACHA.
@obednyagani506
@obednyagani506 15 күн бұрын
Mama ulitabiri wakakupinga mama oyeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@subirasimbeye5389
@subirasimbeye5389 3 ай бұрын
Amen Woman of God
@brownmtofole
@brownmtofole 20 күн бұрын
Mungu huwezi kumwona ktk mwili wa nyama .Nenda kaombe tena hayo ni mafunuo ya ibilisi.
@karebukaminyoge
@karebukaminyoge 20 күн бұрын
Mambo unatakiwa ufikirie mara mbili acha ujinga
@tinosimon595
@tinosimon595 3 ай бұрын
Kwanza Mungu akija hawezi kuja kukuongelesha kwa masaa yote. Dada Mungu ajakuambia sasa nani atakua mkuu wa mkoa wa Arusha. 😅😮😢
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
TUTAONA MENGI SANA HII MIAKA MUNGU TUNUSULU NA HILI TAIFA LETU HATUWEZI KATAA UNABII WA WATU WAKO MWENYE KUJUA NI WWE?
@user-mr1rg1jw6u
@user-mr1rg1jw6u 28 күн бұрын
Mungu anasema sisi hatujuwi dhamira yake ?????!!! Mama we mwehu
@peterkasonso3169
@peterkasonso3169 2 ай бұрын
Uliabza vizuri ila kukiita wew maraika hapo mama,sio sawa kwa msingi wa maandiko matakatifu
@ChidiMapenziBoy
@ChidiMapenziBoy 11 күн бұрын
Ntawalindaa mtokapoo namuendapoo
@rechomlay5420
@rechomlay5420 10 күн бұрын
Mungu atusaidie
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 3 ай бұрын
Watu wanaofanya meditation Kuna wakati wanameditate wanaletewa maono na shetani ila kama angesema amefunga na kuomba kwa muda flani na akaletewa maono ingekua sawa. Ila ngoja tuone kama ungekuja na ujumbe wa kuiponya Tanzania kiroho ingekua sawa lakini Mungu anazungumzia wizara
@user-od2mc4mj4e
@user-od2mc4mj4e 3 ай бұрын
Kwani meditate n kufanyaje nisaidien mnao jua tafafhal ila watu wengne bwana aa h nayo kubwa
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 3 ай бұрын
Mungu akaache kuchukizwa na kugeuzana jambo ambalo alighalakisha umma akakasilishwe na mimea mama akatumwa apeleke upepo kwa watu watakiwawo na watu wake tuwache kumchezea Mungu jamani.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Hebu wacha wazimu wewe Bibi. Mungu atakuaibisha wewe kwa karibu na Ulimwengu utashuhudiya. Zanzibar kila miaka mitano inamwqgika damu na hakuna kichaa yoyote alitumwa na Mungu kusema maneno kama unayo yasema wewe. Na unasema uwongo pia Mungu atakuonesha very soon.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Nyiye wa Tanzania Bara Hamwishi vituko. Lakini mnawafurahisha walonuna 😂😂😂 na story zenu.
@stevensosipita
@stevensosipita 3 ай бұрын
IFIE IMANI YAKO ACHANA NA IMANI YA WATU WENGINE USHAURI TU😢😢
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 3 ай бұрын
Kwa Makonda usiguse kabisaaaaaaa
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 ай бұрын
mimi wa 1 nakwambia nakaidi huo ujumbe wa mungu. Kwasababu mungu wako ni shetani. Na wewe tunajua kama unawashwa
@fkirumba1463
@fkirumba1463 3 ай бұрын
Nimekusikiliza sana mama nimegundua kwamba maneno hayo yanatoka kingine hata wewe unajua kwamba yanatoka kungine
@SamweliMwamulima
@SamweliMwamulima 12 күн бұрын
Leo mtamuita chizi mama yetu ila ipo siku yatatimia na mtayasibitisha tuendelee kuliombea taifa tu
@SelemanMasau
@SelemanMasau 19 күн бұрын
Tumekusikia malaika
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 21 күн бұрын
Ok Jifunze kwa mjumbe wa agano utimilike katika cheo cha ukamilifu wa kristo,
@dayanikitambi2085
@dayanikitambi2085 23 күн бұрын
Sawa mama acha Mungu akutumie
@rayyahinay-hp7jf
@rayyahinay-hp7jf 10 күн бұрын
Wacha uongo hakuna alio muona Mungu, hatamitume hajamuona!!!
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 3 ай бұрын
Mungu amemtaja na makamba😂😂😂😂😂😂😂😂 huyu mama jaman apimwe akili haraka sana Ebu tuwambie mungu kuhusu chadema 😂
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 3 ай бұрын
AMEN MUNGU ATUSAIDIE
@omaryissa1821
@omaryissa1821 14 күн бұрын
Leo yametimia
@simongwandu7392
@simongwandu7392 25 күн бұрын
Dunia inamchezea Mungu Mungu anatumika vibaya manabii wameongezeka sasa wamama nao wamejiingiza
@user-po9wi5lh1o
@user-po9wi5lh1o 3 ай бұрын
Katumwa na vibaraka umeona wapi selikali ikakubalika na watu wote mungu hayupo kwenye selikali zisizo na dini Tanzania hatutaki viongozi vibaraka wapinzani wote hao vibaraka
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 ай бұрын
Nimeelewa leo kwann magufuli alibana midomo ya watu wenye midomo mirefu ka ma hii yan kama magufuli angekuepo huyu mama angekua ardhin chini ya udongo
@user-qj7xp7wo1v
@user-qj7xp7wo1v 2 ай бұрын
Sio kila anae vuta bangi ni mwendawazimu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 3 ай бұрын
Huyu mama ingefaa apigwe fimbo hadharani maana anachezea ujumbe wa Mungu ameota ndoto za mchana
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 17 күн бұрын
Yametimiaa maono ya huyu mama🎉
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 25 күн бұрын
MAMA MUNGU AKUBARIKI NINAYAJALI NA. KUYAKUBALI MANENO. YAKO ILA MUNGU NI MUWEZA YA YOTE. TUBAKI KUMTUMAINI.
@user-fj4mj5gh3i
@user-fj4mj5gh3i 3 ай бұрын
Ww mama jitambuwe usimchezee mungu umetumwa na shetani .kwani makonda alichaguliwa na wananchi si aliteuliwa na raisi .kikwete je mama je. Mawaziri wake vipi .kikwete je.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 ай бұрын
Hahahahaha ,ni kwa nini watu wanakuwa na mawazo ya ajabu duniani hapa .
@emmosilver6039
@emmosilver6039 3 ай бұрын
Unashangaa NI siku za mwisho shetani anawachanganya watu.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 3 ай бұрын
Wewe tahila upo wapi?
@jeremiahmsangi8215
@jeremiahmsangi8215 3 ай бұрын
Siku za mwisho,tuzipime Roho.Ufunuo WA YOHANA.Maono ya Geography kabisa haya
@peterkibiriti5601
@peterkibiriti5601 22 күн бұрын
Wewe utakuwa mkristo tu ndy mnamwazo ya ajabu ajabu
@christophermwatendela9500
@christophermwatendela9500 13 күн бұрын
Waliobeza mbona yametokea ?
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x 3 ай бұрын
Wewe sio maraika hakuna maraika anaitwa Jamila Mungu anasema magufuli aliyemua ni Nani
@edwardpiniel9925
@edwardpiniel9925 3 ай бұрын
Hii ndio tanzani sasa kwrli kila mtu yupo anajuwa mungu sana ila kivyangu mimi sisrmi kitu ilaa mmmh hii kama vile watu bana
@khatibameir9784
@khatibameir9784 16 күн бұрын
Ah akatafute sembe ale na watoto uko , mungu gani mpumbavu akampe umalaika mtu kama yeye ? Kina yesu na Muhammad hawakupewa umalaika akapewe yy na familia yake ! Aache kuvuta bangi mamaa
Alicho kisema Prophet edmound kuhusu UCHAGUZI 2025 | KUHUSU MAKUNDI MATATU
9:34
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 148 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 40 М.
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 18 М.
UNABII NAONA DAMU YA WATANZANIA KUELEKEA 2025 - NABII DEO NJENI
4:37
Prophet DL Njeni Mwasambamba
Рет қаралды 12 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 384 М.