UKWELI WA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MWANDISHI WA MZEE KARUME (PART 3)

  Рет қаралды 5,485

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

11 ай бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 32
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 11 ай бұрын
Mashallah maneno yake ni mazuri sana subhanallah ❤❤❤❤
@seanmurray6516
@seanmurray6516 11 ай бұрын
Moja kati ya watu rare kabisa na mtu mkweli kati ya wazanzibari wa Karne hii reach in history you can't believe. SIWEZI KUSEMA NI SUNA KUMSIKILIZA LAKINI NASEMA NI MUHIMU SANA KUMSIKILIZA NA KUMUELEWA.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 11 ай бұрын
Kwa kweli zimebakia hadithi tu kwa sababu ya uongozi mbovuuùuù tulionao ..na watakwenda kujibu kwa Allah
@111dudi
@111dudi 2 ай бұрын
Nimemsikia sana huyu mzee, na machungu aliyo nayo kuhusu kuharibika kwa zanzibar. Ingawa hataki kusema, inaonesha maisha mazuri yalikuwa wakati wa utawala wa waarabu, watu ambao mnaowaona maadui wakubwa. Na laana zinazoipata znz ni kwa kuuwa waislam mchanganyiko yaani waarabu na waafrika mwaka 1964. Dhambi inawaandama.
@sulimanm6525
@sulimanm6525 11 ай бұрын
Hakika tunahitaji zanzibar yetu tume choka na muungano huu
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
Sie wenyewe wananchi tushaichoka hio serikali tangu wapindue wametuharibia nchi hadhi yetu dhiki tupu ya muungano. Tusichoke kuwaunga mkono viongozi wenye nia ya kuirejesha dola ya zanzibar yenye mamlaka kamili bi-idhnilah
@omarkhamys9818
@omarkhamys9818 10 ай бұрын
Mzee Enzi hakika uko vizr ingawa umechelewa!!! Kwnn hukuyasema haya mapema? Bila shaka nawe ulihof kupoteza!! Tumbo uliliweka mbele kuliko ardhi yako!! Kuliko utaifa wako!!
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 11 ай бұрын
Silaha ya Wazanzibar kwa Tanganyika ni Muungano wa Umoja wao tu ila wakiendelea kugawanyika sijui wapemba sijui Wazanzibari /Waunguja sijui Act sijui Cuf kila siku Zanzibari itaendelea kutawaliwa
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 11 ай бұрын
Tatizo ni muungano na kuondosha passport leo imekuwa kama unakwenda sokoni mmakuwa mdegereko wote wapo mmasai sasa hawindi tena leo kawa mke wa mtaliana
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 10 ай бұрын
WATU HAO MITAA YAO NA NYUMBA ZAO ZIPO KIKWAJUNI. GONGONI. KISIMAMAJONGOO. MWEMBETTANGA. ZIZINLA NGOMBE. BARASTE KIPANDE . MCHANGANI. RAHALEO. MIEMBENI. KWAALI NATO. KWAHANI. MWEMBELADU. MAKADARA. SIO WAMEWAHI KUFIKIA MWANZO NA KUJENGA SIO HAO WANAOKUJA LEO WANANKAA MTONI.KIJICHI.KINUNI MTOPEPO.KISAUNI DARAJA BOVU HAO NI WAGENI. LKN IKO SIKU HISTORIA ITAELEZA
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
Zanzinzibar ni majanga tu na haya yote yanasababishwa na ccm na mzee enzi unatafuna maneno sema ukweli kanisa ndio linalotusumbuwa kupitia Mungano
@nassorkhalfan-cl6pm
@nassorkhalfan-cl6pm 11 ай бұрын
Tunataka nchi yetu muungano wazazibar hatufai
@user-ze6bh9zv9s
@user-ze6bh9zv9s 11 ай бұрын
Hatuna umoja wazhar Leo pesa zinayoka Kwa wafadhili eo vinauzwa visiwa kimya beitlajaib kiladiku upembuzi hawishi people's Pele's inaanguka hata pesazikiletwa haijulani. Wapi zimekwenda Bwawani onatuuma rohoni kimya majumba mengi Hali ndio hiyo hiyo hapa nikuuza visiwa tmechoka ifufuke karume tushauzwa
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 10 ай бұрын
Baba there must be something somewhere wrong, ni mabadiliko tu ukoloni, wakoloni waliotangulia walikuwa ni waanzilishi na walikuwa na utamaduni wao tulioukubali lakini wakoloni wa wakati huu ni wavamizi wenye maadili tofauti na tulio yazoea, baada ya miaka 60 unaweza kuongea hayo kabla ya hapo ilikuwa hatia, ukofasaha na unaeleweka lakini ni vyema kumaliza maneno tumetawaliwa, zanzibar ni koloni la Tanganyika that is all about hilo ndo tatizo la msingi lugha nyengine ni kukwepa hatia au adhabu ya wenye mamlaka
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 11 ай бұрын
Niwazi zanzibar inahitaji drip maana uchafu ni mwing sana zanzibar sasa Allah subhana wataala atuhifazi na mabalaa haya
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm 11 ай бұрын
Mbona umechelewa kutofuta huyujama mkali sana zanziba vyetu imekwisha kabisa masi mengi viongozi wetu wanachangiaa wanalo litaka lisiwepo halifiki hata wiki linadhibitiwa
@hassanshamte1610
@hassanshamte1610 11 ай бұрын
Tatizo yiyi ccm mukiwa madarani munadhani kama yiyi ndio wadifu kushinda wengine munaweza hata kuuwa lakini hamtaki kusikiya suwala la mungano
@zeanamohamed4072
@zeanamohamed4072 2 ай бұрын
Turudisheni maadili ya zamani. Wazee tuelimishini taaraa tunaweza kuru kama zamani
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
Mzee anasema mpk leo maji tabu 😂 miundo mbinu mibovu hajui wanashindwa nini 😅 sasa Mzee wangu huyo unaemwambia kila siku anatusifia anatwambia Rais kafanya jambo la kihistoria maendeleo makubwa 😅😅😅
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 10 ай бұрын
Ni kweli sasa ma RPC ,Ocd OCS ,oc Cid wote kutoka Tanganyika hivi kweli basi Zanzibar hawapo?
@alijuma8009
@alijuma8009 11 ай бұрын
Regain Zanzibar
@rashidsuleimano
@rashidsuleimano 11 ай бұрын
Huyu mzee awezeshwe aandike kitabu
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 11 ай бұрын
Mfalme wa wakati huo majash alikua muislam na rasul s.a.w alimsalia aliposikia amesha fariki
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 10 ай бұрын
Mhh are sure? Jaribu kuangalia film the massage au arisala uongeze maarifa
@farhatfatma12
@farhatfatma12 11 ай бұрын
Balaa letu lilotufika ni CCM , wanachama wake ukiwemo wewe Mzee enzi na wenzenu. Haya unayoyazungumza leo wengeyazungumza wakati uki jana , una nguvu pamoja na kaka yako alipobirua matokeo ya uchaguzi.
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
😅😅 Balaa ni ccm
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 11 ай бұрын
Ndio maana mnaambiwa kuwa hata CCM wa Zanzibari wapo wanaojua kuwa Muungano unauumiza Zanzibari ila mfumo wa chama ndio Tatizo,So nini kifanyike Wazanzibari wote waungane bila ya kujali vyama vyao na kisha kuungana na Raisi aliepo sasa maana Raisi wa sasa ni msikivu so nikuelewana nae tu taratibu inawezekana akawashawishi CCM wa Wazanzibari na wakafanya kitu ila tatizo hao wapinzani wao wanataka madaraka tu kama wakipata serikali wataweza kuuvunja Muungano pekee yao.
@nailamohd7693
@nailamohd7693 11 ай бұрын
@@rajabmsinzia1715 wanaweza mana ndio sera yao na hao ccm wanajua km wanaweza ndio mana kila chaguzi wanakhiyari wauwe lkn sio kupewa mpinzani aloshinda.
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 11 ай бұрын
@@nailamohd7693 Wapinzani hawawezi kuuvunja Muungano narudia tena Hawawezi hayo maneno ni siasa tu ili waaminiwe na wana wa nchi
@hajiameir8688
@hajiameir8688 2 ай бұрын
Cha ajabu waliofanya mapinduzi baadhi yao wote wameshakufa huyo waliompinduwa sultan jemshid yuko hai Mungu amuhifadhi
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 9 ай бұрын
MZEE UMEONGEA VIZURI LAKINI KUNA HOJA ZA KUKUPINGA KWENYE BAADHI YA HOJA ZAKO NAKUJIBU MOJA TU KWA LEO ASILIMIA 90 YA WANZANZIBARI NI WENYE ASILI YA BARA KUHUSU FAIDA ZA MUUNGANO UPO KIUCHUMI WAZANZIBARI WENGI WAPO BARA NA MATAJIRI AKIWEMO BAKHRESA HAYO NI MACHACHE TU NITAENDELEA
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 235 М.
NILIENDA ZANZIBAR KUSAKA MZUNGU | NILIJIFANYA YATIMA | WAZUNGU WATAKUTUMIA WAKUACHIE UKIMWI
1:21:05
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
IsleBlogTv
Рет қаралды 20 М.
AMIR FARID AMWELEZA RAIS MWINYI IPI ARAFA SAHIHI
18:07
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 72 М.