USHUHUDA WA MTANZANIA ALIYEOLEWA KENYA WAMKALISHA NABII MKUU CHINI - GeorDavie TV

  Рет қаралды 213,874

GeorDavie TV

GeorDavie TV

3 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎Facebook: / geordavietv
▶︎Instagram: / geordavietv
▶︎ ‪@geordaviemaarifa9994‬

Пікірлер: 442
@mamalisa3773
@mamalisa3773 3 жыл бұрын
Hapo atumie jina la Yesu wala damu ya Yesu Mungu atusaidie maana fikra zetu zimekamatwa sana
@octavianmwamnyanyi8063
@octavianmwamnyanyi8063 2 ай бұрын
Mungu wasaidie WATANZANIA wanaodanganywa waijue kweli ya Injili ya KRISTO YESU uliyemtuma. Ninasikitika sana ninapoona watu wanadanganywa na hawa wanaojiita Manabii Wakuu
@risperkubai8431
@risperkubai8431 3 жыл бұрын
Nakubaliana na huyu dada... Mungu atulinde hapa Kenya
@christinenthambi4028
@christinenthambi4028 3 жыл бұрын
Ukqeli kwetu Kenya hakuna pastor wa kawaida ! Ni wagaga hahaha
@nancykenya4007
@nancykenya4007 3 жыл бұрын
Ni wewe uko na shida wala si kenya
@rosekatunge8416
@rosekatunge8416 3 жыл бұрын
Siku hizi mapastor ni wanganga tu wamejificha kwa neno la Mungu. Lkn ashukuriwe Mungu anajua jinsi ya kuwalinda walio wake
@mwendamitheu8954
@mwendamitheu8954 3 жыл бұрын
We sio yule risper kubai mmoja mwenye najua in north Eastern omba kwanza mungu akusamehe
@bafaello2619
@bafaello2619 3 жыл бұрын
Haha
@davidkainonge8153
@davidkainonge8153 Жыл бұрын
Utukufu Kwa mungu Kila wakati baba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SuzanaJorge-ji8bw
@SuzanaJorge-ji8bw 4 ай бұрын
bwana yesu asifiwe Mimi ninaomba unifanyie maombi Kwa mungu itali langu niil nizae watoto mapacha
@chrispinmagayane9046
@chrispinmagayane9046 3 жыл бұрын
Jamani siongei mengi ila ndani ya kusoma neno kuna kumjua Mungu zaidi,imani ikiwekwa juu ya manabii na mitume basi nyakati za mwisho zimefika,kanisa la Mungu nalifunguliwe macho
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
Kwanza jifunze Nabii ni mtu gani kwanza ili upumbavu wa kidini ukutoke then uje hapa na busara.
@chrispinmagayane9046
@chrispinmagayane9046 3 жыл бұрын
Yesu alisema hakuna aliye mkuu ila Mungu,then mwanzo mpaka ufunuo hakuna nabii yeyote aliyewahi kujitwalia utukufu namna hii na ikiwa Mungu hagawani utukufu wake hata na malaika si zaidi nabii,ila biblia ninayoijua inanieleza kuhusu nyakati za mwisho itakavyokuwa,
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
@@chrispinmagayane9046 wewe waujua huo mwisho angali hata mwana mwenyewe wa Adam hajui....wapo waliohubiri mwisho umekaribia miaka na mikaka...badala yke wameondoka bado dunia hii inaendelea...enyi mafarisayo WA nyakati hiz mtazid kujikwaa zaidi ktk hili jiwe kama mababa wenu wa kale
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
@@chrispinmagayane9046 kwani ofisi hiyo imesema yeye ni MUNGU mkuu au level ya uanadamu katika ofisi ya kinabii yeye ni Nabii mkuu nchini Tanzania...pia umejiuliza huo ukuu Una maana gani au mnakimbilia jukumu?
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
@@chrispinmagayane9046 Mara malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango, akatokwa na roho. Matendo ya Mitume 12:23 na hivyo usemavyo MUNGU agawani utukufu na mwanadamu nimekuwekea Neno kumhusu herode na kilichompata sasa huyu ni Nani Hadi leo achwe hai akidunda tuu come on piga chini u-much know
@user-xc6bb9nn6d
@user-xc6bb9nn6d 9 ай бұрын
Baba unanifurahishaga sana napata Raha kukuangalia unavyo ongeaga na watu Kwa furaha Hadi mgonjwa anapata Imani ya kupona ama kwakweli mungu ana kusudi kubwa na Tanzania kumuweka baba wa amani
@lilianbitutu1072
@lilianbitutu1072 3 жыл бұрын
Mungu ww ndo number yangu ya siri naomba u nifundishe kunyamaza uishie mbinguni katikati ya miungu none like you tuokoe bwana tusije kamezwa na dunia
@paulinemathenge514
@paulinemathenge514 3 жыл бұрын
God of Geodavis I thank you. IN JESUS MIGHTY NAME AMEN
@eneslunyungu5727
@eneslunyungu5727 3 жыл бұрын
God is my only key to open in every success
@mamalisa3773
@mamalisa3773 3 жыл бұрын
Tusome alama za nyakati wapendwa anaye abudiwa hapo ni nabii siyo Yesu kabisa
@yasintathomas8553
@yasintathomas8553 3 жыл бұрын
Asante mungu joadevi
@deodatusrweyongeza6747
@deodatusrweyongeza6747 3 жыл бұрын
Nilikuja hapa kama kinyago aseee🤗🤗🤗🤣🤣🤣🤣
@davidkainonge8153
@davidkainonge8153 Жыл бұрын
I love God for the grace
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
Amina open my doors oh Lord
@edwinkisienya4818
@edwinkisienya4818 3 жыл бұрын
Mbinguni Ni mbali.wachungaji someni ole za mafarisayo mtajua tu.hapa Kuna shida yaani mama utazani huyu mchungaji Ni Mungu badala mkumbuke Mungu wamkumbuka mchungaji looo
@janetkaingu7038
@janetkaingu7038 3 жыл бұрын
Napokea baraka Baba amina
@DanyEnto
@DanyEnto Ай бұрын
Katika umri wangu huu mdogo nimeona manabii na wachungaji wengi ila huyu kawazidi wote awe wa mungu au wadunia ila kawashinda wote
@pastorpraisehappiness2157
@pastorpraisehappiness2157 2 жыл бұрын
Kenya bado kuna watumishi wa Mungu,na ndio wameshikilia hili taifa letu..
@rapttortom4826
@rapttortom4826 Жыл бұрын
You are Blessed to have this Great Man of GOD He is so Special I'm looking forward to meet Him as well
@arwaphey1333
@arwaphey1333 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie wakenya
@eugenmswena6508
@eugenmswena6508 3 жыл бұрын
Dah hongera mchaga
@Paulo-jy2fn
@Paulo-jy2fn 8 ай бұрын
Mmmmmh hapan hii ni uwongo mungu ni mungu hawezi kubadilika
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 жыл бұрын
Mmh Mungu atusaidie
@dorikasikivuyo1347
@dorikasikivuyo1347 2 жыл бұрын
Mungu bariki tz yetu mungu was jodiv funguwa malango yetu yote tunapitishwa wengi
@faredamobilo3678
@faredamobilo3678 3 жыл бұрын
NABII KERP IT UP ,YANI AM BLESSED TO HERE YOUR GOSPEL NA SHUHUDA MINGI HUWA NI FUNZO KWA MAISHA YANGU BADO NIKIWA HUKU SAUDIA LAXIMU NITASHUKA huko Tz KWA IMANI l will visit you!
@ayshaayoosh7608
@ayshaayoosh7608 3 жыл бұрын
Nashukuru kuzaliwa mwislam
@fahmiwaummy4293
@fahmiwaummy4293 3 жыл бұрын
Nami nakupenda ukibak kua muislam
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 3 жыл бұрын
Isa ataporudi utamuambia nini!
@nellechotachi494
@nellechotachi494 2 жыл бұрын
Mungu si wa geordave inafata na kiwango chako Cha kumtafuta mungu na kumtolea mungu mungu si athumani dada tia maombi mtafute mungu
@naimawambui2822
@naimawambui2822 3 жыл бұрын
Proud Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Zoea kujiombea acha upuzi Hii ni ile sarakasi ya Mwende na Njoroge🤣🤣🤣🤣🤣
@teresiamutua4487
@teresiamutua4487 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@wangariann6044
@wangariann6044 3 жыл бұрын
True
@argentinawangui6325
@argentinawangui6325 3 жыл бұрын
Aisey
@sibukuleatayi8370
@sibukuleatayi8370 3 жыл бұрын
Well said Naima wambui( kenya hoe) wacha tusonge mbele
@lisamoha1436
@lisamoha1436 2 жыл бұрын
Anaaanguka na anavuta nguo 🤣🤣🤣ulisikia wapi aki Mungu atusaidie
@dannyboytz2116
@dannyboytz2116 3 жыл бұрын
Mungu apewe utukufu
@davidkainonge8153
@davidkainonge8153 Жыл бұрын
Glory be to God again
@lawrencetosh6885
@lawrencetosh6885 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@AHERACYANE
@AHERACYANE 2 жыл бұрын
Wamu pasteur weeee Imana yomwijuru yazakunyoboyeho nanjye ukanyerekwa koko ndayisabye
@gabrielsilvani
@gabrielsilvani Жыл бұрын
Mungu naomba unikutanishe na mtumishi wako uliomtuma hapa duniani na shida zangu zitakwisha Alina
@ziyadabasca4840
@ziyadabasca4840 Жыл бұрын
Amena mena Mungu nimwema
@divalee6682
@divalee6682 3 жыл бұрын
Amen saaa Baba natamani sikumoja nihongeye na wewe
@saliimubajorabajora6373
@saliimubajorabajora6373 Жыл бұрын
Nabii umeufungua moyo wangu kupitia mtandao mungu akuzidishie neema nanguvu
@tantinemwemendi8790
@tantinemwemendi8790 3 жыл бұрын
Mmmm uhongo mtupu mungu atusamee
@winniealbert5530
@winniealbert5530 3 жыл бұрын
Halleluja Halleluja Halleluja. Daddy I miss NGURUMO ya UPAKO. DADDY NAOMBA UNIBARIKI HATA NIKO MBALI, Naamini unaweza. Mimi binti yako Winnie, NIKO SWEDEN 🙏
@magrethkongolo5844
@magrethkongolo5844 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie maana hatujui tulitendalo
@jullylawrance143
@jullylawrance143 3 жыл бұрын
Jaman huyu Baba Nampenda Sana Mungu Ambariki
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Mtatapeliwa mpaka mfe wapuuz nyinyi na akili zenu
@marychris1457
@marychris1457 3 жыл бұрын
Jamani kila mtu na ushuhuda wake
@nuruanafisoo4220
@nuruanafisoo4220 2 жыл бұрын
Mungu awasaidie watu wake
@user-jq9xr7nz6t
@user-jq9xr7nz6t 5 ай бұрын
Mtumishi wa mungu mimi naitwa adam kwileka nipo kahama shinyanga ninajishugulisha na ufundi ujenzi nimekuwa nikifatilia mahubili yako mda mrefu sana mm ninaombi kwako baba unisaidiye hela niweze kufuguwa duka la vida vya ujenzi kwani mungu wako atakuzidishia ulipotowa kwan sina mafanikio yoyote kabisa naomba muniokowee
@jaysilgangtz2583
@jaysilgangtz2583 Жыл бұрын
Mungu awasaidie sana tumuamini mungu natusi muabudu mwanadam
@maryalfredkatila3495
@maryalfredkatila3495 3 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwakukosa mahalifa
@maggieshi690
@maggieshi690 3 жыл бұрын
Kila nchi ina matapeli wake......Mungu tu atuongoze kupitia roho mtakatifu
@hellenagati9498
@hellenagati9498 Жыл бұрын
Watu hawana roho mtakatifu hawaelewi mambo ya mungu
@hellenagati9498
@hellenagati9498 Жыл бұрын
Biblia inasema mnapotea Kwa kukosa maarifa
@scolamwanisasu8499
@scolamwanisasu8499 3 жыл бұрын
Amina baba
@benybenedict8170
@benybenedict8170 3 жыл бұрын
AMEN 🙏
@miriam7186
@miriam7186 2 жыл бұрын
Kenya tuna jivunia pastor, ezekiel
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 3 жыл бұрын
Mungu asaidie watu wake tayari wameshatekwa na manabii wa.......tuhurumie yesu wetu
@R.Dickon
@R.Dickon 3 жыл бұрын
Hakika anakuhurumia uliye kipofu mkosefu wa maarifa
@barakawilliam3641
@barakawilliam3641 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@rmmedia3288
@rmmedia3288 3 жыл бұрын
Baba yetu bhana raha sana hakuna kuwaza ni mwendo wa kumrudishia Mungu Utukufu!
@luisadayo330
@luisadayo330 3 жыл бұрын
Naomba nisaidie namba za huduma mbeya samahani ndugu ukipata nitumie hapa 0620531115
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@luisadayo330 huduma ya nini
@agustinotesha5446
@agustinotesha5446 3 жыл бұрын
Nice
@geraldgodsontv7982
@geraldgodsontv7982 3 жыл бұрын
Hivi geordave TV haipo kwenye kingamuz cha Dstv
@mrsnzilomgisha2687
@mrsnzilomgisha2687 3 жыл бұрын
I connect baraka
@mahinditv342
@mahinditv342 2 жыл бұрын
Niombee nami nami Mungu anikumbuke
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 2 жыл бұрын
Nice movie
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
Watu wengi siku hizi wanatafuta miujiza badala ya kumtafuta Mungu
@mathsmeme-tv6576
@mathsmeme-tv6576 3 жыл бұрын
Like this
@benjaminpatrick6364
@benjaminpatrick6364 2 жыл бұрын
Dada akiliiiii ndg
@marthasimon1004
@marthasimon1004 2 жыл бұрын
Baba natamani cku ifike japo unitolee unabii kuhusu maisha yangu baba
@maxlove2668
@maxlove2668 3 жыл бұрын
Kenya ytu ,it’s ur heart and your bible only
@patrickmsack3093
@patrickmsack3093 3 жыл бұрын
Amina
@victoriakategela5256
@victoriakategela5256 2 жыл бұрын
Love papaaaa
@PURITY-799
@PURITY-799 3 жыл бұрын
Mungu wangu nimecheka yangu yote 😂😂😂😂😂 aki mungu akumbuke watumishi wetu kenya 🤣🤣🤣🤣🤣
@olgahhope3550
@olgahhope3550 3 жыл бұрын
Ameburn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...watumishi wakenya
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Hatahapo unadanganywa.
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Nimeona kuwa nimtumishi wa kweli kwenye ndoto sasa nitaomba tena mungu anizibitishie mafunuo yake
@alicewambui5480
@alicewambui5480 3 жыл бұрын
Zoea kumsujudu Mungu sio nabii
@gracepiniel1283
@gracepiniel1283 Жыл бұрын
Jaman dah
@glaury9938
@glaury9938 Жыл бұрын
Ushuuda mkubwa kweli watu hawakuamini kisa hutaji jina la yesu mimi naamini unalitaja ukiwa unaomba silini
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
Wallah nimecheka Sana ,,Mungu ni mwema
@mamajunior6450
@mamajunior6450 3 жыл бұрын
😅😃😅😃😅
@mamajunior6450
@mamajunior6450 3 жыл бұрын
Natamani niruke arusha nije nibarikiwe na mimi
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
@@mamajunior6450 mama ake Mimi ubarikiwe
@joykwamby7586
@joykwamby7586 3 жыл бұрын
Amen
@andrewshuma3297
@andrewshuma3297 3 жыл бұрын
Be blessed dady with all ur great works 🤲
@maurinechebet1742
@maurinechebet1742 3 жыл бұрын
Funny it's obvious ...sifa niza nabii si yesu🤷‍♀️
@aminangumba3139
@aminangumba3139 3 жыл бұрын
Eti nabii mmelogwa nyie
@dottodohar1222
@dottodohar1222 3 жыл бұрын
Upuuuuuuuuuiziiiiiii shiiiiiiiiit nilijua kuna LA maaaana wote mlioko hapo suburini kuachwa maataaaa. Hahaha
@peninapenina4498
@peninapenina4498 3 жыл бұрын
Naomba unisaidie babanikonashida
@cocuijukwarweyemamu942
@cocuijukwarweyemamu942 3 жыл бұрын
Wew mchaga wew Mungu anakuona achen maigizo
@lightnesslema4607
@lightnesslema4607 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙌🏻
@kingsdramakorea6673
@kingsdramakorea6673 3 жыл бұрын
Hakuna cha utapeli ninyi mlio sema matapeli mungu awasamehe sanaaa kwani hamjui nguvu ya mungu ubalikiwe mch #Geordavie mungu atatu pigania na wasio na imani na bwana
@rehemadaudi742
@rehemadaudi742 3 жыл бұрын
Samahani kaka sio mungu ni Mungu.
@kingsdramakorea6673
@kingsdramakorea6673 3 жыл бұрын
@@rehemadaudi742 sjakuelewa
@florahsangah1672
@florahsangah1672 3 жыл бұрын
🙏🙏
@Swahili37
@Swahili37 2 жыл бұрын
Ni Mungu tu hubariki
@SaimonMguna
@SaimonMguna 6 ай бұрын
Naomba nikuone
@alesnema9596
@alesnema9596 3 жыл бұрын
Uyu mama kweli kashikishwa adabu uko kenya mungu mukubwa
@kassimmossi3638
@kassimmossi3638 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😁😁😂😂sijui alikunywaa ninii kabla yakwenda Church
@sibukuleatayi8370
@sibukuleatayi8370 3 жыл бұрын
😂😂 hii ni redio tu
@SubiraLuhanga
@SubiraLuhanga 18 күн бұрын
Unapatikana wapimtumishi wa Mungu jamani na mimi nisaidie
@eliarichard9218
@eliarichard9218 3 жыл бұрын
Jesus is good ooh Tanzania.
@paulojoely3376
@paulojoely3376 3 жыл бұрын
Da yuko vzur
@steventogolai3865
@steventogolai3865 2 жыл бұрын
Ameni
@Aminamohamad255
@Aminamohamad255 3 жыл бұрын
Mungu nifundishe kunyamaza hata kenya kuna waombaji
@lucaslyimo2118
@lucaslyimo2118 2 жыл бұрын
Tambua katika taifa lolote Mungu anao watu alio jisazia wenye misuli ya imani,,,,,
@nasrasway7143
@nasrasway7143 3 жыл бұрын
So painful
@victoriavictory8605
@victoriavictory8605 3 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 Mama umenichekesha kweli. This is a true man of God.
@vicentgeorge6089
@vicentgeorge6089 3 жыл бұрын
Mmmh
@josephkimoli6730
@josephkimoli6730 3 жыл бұрын
Comedi nzuli sana
@geraddavid7123
@geraddavid7123 Жыл бұрын
mungu ni mkubwa Kwani mungu akipanga kwako nani anaweza zuia
@sarahnanjala2494
@sarahnanjala2494 3 жыл бұрын
Oooo God
@reginaryenock1724
@reginaryenock1724 2 жыл бұрын
bwana yesu asifiwe navi mkuu nashida kuwasiliana na wew
@pastorpraisehappiness2157
@pastorpraisehappiness2157 2 жыл бұрын
Dada nataka uelewe kwamba,kenya sio pastors wote wabaya.Mungu yuko na mabaki yake watumishi wanaohubiri wakiwa na hofu ya Mungu..na mimi ni Mchungaji kati ya hao walio mabaki ya Mungu.
@sarahngige1589
@sarahngige1589 3 жыл бұрын
Yaani mimi😀
@juliuskyamakalinae
@juliuskyamakalinae 3 жыл бұрын
Nakuamini sana wewe ni nabii wa ukweli, tuombee sisi wakenya sana tupate nabii wa ukweli kama wewe baba
@estherpassaris4912
@estherpassaris4912 3 жыл бұрын
Nabii naomba uniombee nipate mzee wa ukweli. Nimeteseka sana. Nimeiishi kindanganywa. Yule niko nayeye kwa saaii ameanzia kuhanya. Plz na hitaji maombi🙏🙏
@irenemoraa8818
@irenemoraa8818 3 жыл бұрын
Wewe unadanganya
@hakizimanapierre6040
@hakizimanapierre6040 3 жыл бұрын
@@irenemoraa8818 naomba,kama,una,wenza,kufika,hapa,Rwanda,ninahamu,sana,lakini,sina,namna,nakuomba
@hakizimanapierre6040
@hakizimanapierre6040 3 жыл бұрын
Sikiye,kiliyo,changu,Mimi,na,mmke,wangu
@hakizimanapierre6040
@hakizimanapierre6040 3 жыл бұрын
Basi,nipe,nambari,yako,kwakuwa,sinanjisi
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Ameen..........................................
@harunakikali8336
@harunakikali8336 3 жыл бұрын
Jaman kanisa lipo sehem gan Nataman kufika
@sarahmgaya9853
@sarahmgaya9853 3 жыл бұрын
😂😂😂 pole my haki nimechekaa
@sharonondondo5156
@sharonondondo5156 3 жыл бұрын
You can clearly see how this was stage managed.
@aishahemedi8452
@aishahemedi8452 3 жыл бұрын
No it wasn't!
@annettewamalwa9898
@annettewamalwa9898 3 жыл бұрын
Yes mpka akishaanguka yuavuta skati Gaye asee
@sharonondondo5156
@sharonondondo5156 3 жыл бұрын
@@annettewamalwa9898 wefwe wabhone 😁😁😁😁
@evalunajohannes2382
@evalunajohannes2382 3 жыл бұрын
Kabisaa, u can tell.
@mayombirichard5778
@mayombirichard5778 3 жыл бұрын
Huyu nabii anaponya kwa nguvu za nani maana sisikii hata jina la YESU,
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 3 жыл бұрын
@Mayombi Richard Mungu wa Geordavie
@nellyflo9736
@nellyflo9736 3 жыл бұрын
😂😂😂
@mayombirichard5778
@mayombirichard5778 3 жыл бұрын
@@nellyflo9736 ndo Mungu wawapi nae
@mayombirichard5778
@mayombirichard5778 3 жыл бұрын
@@edwinalexander1170 naye ni Mungu wawapi huyo simjuag mimi
@nellyflo9736
@nellyflo9736 3 жыл бұрын
@@mayombirichard5778 hakuna Mungu hapo dear.. Hawa n matapeli
@josphinejackson7278
@josphinejackson7278 3 жыл бұрын
How does she know if the spirit were not coming out, spirit are unseen.
@kemalswaleh9527
@kemalswaleh9527 3 жыл бұрын
Watching from kenya Cecilia huyu dada amenifurahisha sana yani anaongea ukweli kabisa na bila uoga simakanisa yote ya nao mcha mungu 😂😂😂😂😂😂
@user-gw6vp5tz7v
@user-gw6vp5tz7v 3 жыл бұрын
Nimecheka nikiwa mombasani
@susannegygax4754
@susannegygax4754 3 жыл бұрын
@@user-gw6vp5tz7v usituaribie kenya inalingana na Imani yako
@happypa2027
@happypa2027 3 жыл бұрын
@@susannegygax4754 amesha haribu
@arwaphey1333
@arwaphey1333 2 жыл бұрын
Amesema ukweli
@jacinterwambulwa9792
@jacinterwambulwa9792 2 жыл бұрын
Mimi naomba tu namba ya huyu Nabii plz
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 42 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 17 МЛН
GEOR-DAVIE AWATUKANA MANABII VIJANA. AWAITA WAJINGA NA UJINGA UJINGA
39:09
TAZAMA JINSI NABII HUYU ALIVYOFUNGUA VIFUNGO VYA WATU HAWA
13:24
COVENANT HOME TV
Рет қаралды 7 М.
MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
12:39
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 100 М.