Sijawai kumuona customer care mkolofi hata kama ungemwambia jambo gani uwa ni watu smat sana
@zachmaselle663525 күн бұрын
....Binti amejibu vizuri sana, lakini ukichambua alichofanya sidhani atamsaidia huyo Abdallah maana hakuchukua namba yake, hakuuliza stakabadhi ya Malipo, ambayo ingeonyesha ni lini alilipia na tatizo ni nini. Yote hayo yangekjitokeza kwenye kompyuta baada ya kweka jina au namba ya malipo. Haya mambo yalishafanywa na yanafanyika nchi zingine tukopi tu. Tatizo kubwa DDhiki ya wananchi ya maji, imekuwa miradi ya wenye nafsi kuumiza wanyonge. Tanazania hatutakiwi kuwa na tatizo la maji. Mungu ametubariki mno.
@hanifamziray27723 күн бұрын
Safiiiii ukijibiwa vzr raha sn.hongera waziri
@MOHAMEDSALEH-fl7kb25 күн бұрын
Hongera waziri
@delgalshan631818 күн бұрын
AUWSA ni jibu arusha tena baya kabisa wanaleta ankara wakati maji hawafungui wazembe sana
@emmanuelndahan981522 күн бұрын
Huyoo ni customer care, kikubwa watu wapate maji
@daltonpaul583824 күн бұрын
Watu wa huduma kwa wateja ni wakarimu mno kikubwa watu waungiwe maji kwa wakati