BUNGE ZIMA HOI KWA VICHEKO, MUSUKUMA AONGEA KINGEREZA KWA MARA YA KWANZA

  Рет қаралды 105,689

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

BUNGE ZIMA HOI KWA VICHEKO, MUSUKUMA AONGEA KINGEREZA KWA MARA YA KWANZA
#bungeni

Пікірлер: 156
@stephenkioko4366
@stephenkioko4366 2 жыл бұрын
Musukuma is very honest with himself,I think we need leaders of this character even here in Kenya,Stephen kioko from Kenya.
@abdulkaleemmbarak6670
@abdulkaleemmbarak6670 5 ай бұрын
Well done Msukuma umejaribu huyo aliye jibu swali pia ana kizungu cha kutetema hakija nyooka vizuri.
@mchanikamc1236
@mchanikamc1236 2 жыл бұрын
I proud to my mother tongue language, msukuma🙈
@WinfridaZakayo-mj7co
@WinfridaZakayo-mj7co 11 ай бұрын
Alivojibiwa kaelewa hapo😂😂😂😂
@cmongoah1804
@cmongoah1804 2 жыл бұрын
This country bwana, ndugu wananchi kajaribu big up Msukuma ,kwani si tunashuhudia wazungu wakiboronga na kukosea kiswahili mbona hatuwashangai na kuwacheka wala wao hawachekani kila kitu ni kujifunza tu?ila mtanzania mwenzetu huyu kapambana sana amejaribu.
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 2 жыл бұрын
Msukuma anajuwa ila kawazinguwa kawaona kama wanareta ukoroni bungeni
@eliasthomas8280
@eliasthomas8280 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣msukuma inatakiwa uje ucheze comedy
@tabbiewachira9334
@tabbiewachira9334 2 жыл бұрын
Keep up sir, we all learnt this language
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology 2 жыл бұрын
Msukuma.hongera.sisi.siyo.waingereza.tuabudu.lugha.yetu
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 2 жыл бұрын
Bunge la sasa ni Ze comed
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Senkiu madam spika for giv me zis chance 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kiongozi nae Did you hear his Question...... Kuna tofauti ya Ku HEAR na ku UNDERSTAND ku HEAR ame HEAR coz masikio anayo..... Hili Bunge lisiwe live maana ni ujinga tu na kudhalilisha taifa.... East Africa nzima Bunge live ni la Tz
@amirimbago8325
@amirimbago8325 2 жыл бұрын
hakuna Did you hear kwa wakati uliopo mtimilifu, present perfect tense...hapo alipaswa aseme Have you heard his question. kama jambo lingeulizwa kuanzia jana kurudi nyuma au masaa mengi yaliyopita ndo angetumia did bila kuweka past participle.
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 2 жыл бұрын
Kiingerezaa 🤣🤣🤣
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 2 жыл бұрын
@@amirimbago8325 hicho ndo kiingereza kizuri na ndo ukweli
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 2 жыл бұрын
Na wewe umepuyanga bro
@petronchalangi1033
@petronchalangi1033 2 жыл бұрын
Amir uko vizuri
@PendoAdam-q4k
@PendoAdam-q4k 12 күн бұрын
😂imeisha iyooo9o
@AndeNdutu-yz8cc
@AndeNdutu-yz8cc 6 ай бұрын
msukuma we n mkubwa waoo👏👏👏👏👍
@RobartMasali
@RobartMasali Жыл бұрын
Very good
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 жыл бұрын
Nimegundua,waafrika niwapuuzi sn, mzunguakikosea kiswahili mjanja,lkn mswahili akikosea kingereza,mshamba,dahhh,umasikini mbaya
@brianchitiavi8925
@brianchitiavi8925 2 жыл бұрын
Makn ni wew
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 2 жыл бұрын
Umaskini,ndiochanzo,
@emauf
@emauf 2 жыл бұрын
Nyiee, kigezo cha kusoma na kuandika kiangaliwe tena. Hawa ndo wanatutungia sheria
@RichardalfredynomboRichardalfr
@RichardalfredynomboRichardalfr 10 күн бұрын
Serikari hubomohe nyumba banana huku bunju street hindia
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv 11 ай бұрын
Thank you kashekuu
@brianmushi7004
@brianmushi7004 2 жыл бұрын
Mm msukuma nampendaga sanaaaaa
@isaacbakundukize
@isaacbakundukize 5 ай бұрын
It's every good and simple question but need someone who is intelligent
@PendoAdam-q4k
@PendoAdam-q4k 12 күн бұрын
🎉
@merkiller
@merkiller 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 ndugu zangu watanzania kiswahili kinawafaa zaidi. Tuachieni kizungu tafadhali
@paulhollela9493
@paulhollela9493 Жыл бұрын
Waachie wanaojua kuongea kizungu najua asilimia nyingi ya watanzania kiingereza hawawezi kuongea ila kuna wengine wanaongea utafikiri wametokea ulaya
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 2 жыл бұрын
ila mm nmempenda jaman😂😂😂😂
@SimeliMollel
@SimeliMollel 5 ай бұрын
Msukuma ni hatari sana 🤣🤣🤣🤣
@hidayamsomole8754
@hidayamsomole8754 2 жыл бұрын
Harafu mnasema watoto wasome kiswahili tunaomba kingereza wasiache jamani
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 жыл бұрын
Kingereza jmn ndo maana shishi anakomaaga
@salomerocky5196
@salomerocky5196 2 жыл бұрын
Aloooh presentation chuoni ni za muhimu tusizikimbie jamani☺😁
@samariahardware3751
@samariahardware3751 5 ай бұрын
ila msukuma nampenda sana
@danielimusa7601
@danielimusa7601 2 жыл бұрын
ingekua ni kiswahili angeweka maswali mengi kweli na marefu.lkn kwakua ni ngeri hahahaha msukuma kauliza kaswali kafupi alafu kakimbia mwenyewe kukaa wakati hua akubarigi kukaa mpaka kakarishwe na spika.
@ramadhaniiddi6912
@ramadhaniiddi6912 5 ай бұрын
safi msukuma
@piusdamian594
@piusdamian594 2 жыл бұрын
Bora waongee kiswahili
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 8 ай бұрын
Nakupenda msukuma
@brianchitiavi8925
@brianchitiavi8925 2 жыл бұрын
Tanzania Kuna maneno
@judithadhiambo551
@judithadhiambo551 2 жыл бұрын
Mukuje kenya jameni aibu Tanzania jameni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 Ай бұрын
Forgive me this chance Bora ungeongea kisukuma ungeonekana Bora je wananchi wako wanaelewa hiyo kama wewe mwenyewe hujui
@MatindeMatinde-mn8dc
@MatindeMatinde-mn8dc 5 ай бұрын
Jamani wabunge English
@rashidingole1588
@rashidingole1588 2 жыл бұрын
Kam wawakilishi wa nchi kingereza Kam hiki wache watoto wafeli SoMo hili🤣🤣🤣🤣, ......
@allymuhamed7295
@allymuhamed7295 2 жыл бұрын
Mh mskuma uliniambia una phd ulipataje😄 halafu uligombea Uspika wa bunge halafu wewe msukuma nouma sana😃😃
@lusatomichael7973
@lusatomichael7973 2 жыл бұрын
Kuna mawaziri wakiongea masuala ya nchi unaona nchi inaenda nenda kweny Jimbo lake unaweza ukalia macho ya damu wananchi hawana maji safi Barbara tatizo yaani wasomi wengi ni wabinafsi sana Wabunge naowajua kishimba na musukuma nendeni kweny majimbo Yao mukaone
@saraenoshi2648
@saraenoshi2648 2 жыл бұрын
Raha sanaa😅😅
@joaneruvenge2275
@joaneruvenge2275 2 жыл бұрын
Aliyeuliza na aliyejibu hamna tofauti!.
@EPALATA
@EPALATA 11 ай бұрын
Umeona
@joshuajackson3827
@joshuajackson3827 2 жыл бұрын
Bongo bana!!! 😂😂😂😂😂
@MollelSamuel
@MollelSamuel 7 ай бұрын
Kweli chara😂😂😂😂😂😂😂😂
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Five years sio faiv iyezi kumbe wabunge hamnaelimu
@daviechunga1929
@daviechunga1929 2 жыл бұрын
Msukuma yupo sahihi
@saidimkoka8888
@saidimkoka8888 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe presentation vyuon tusizkmbie sometimes znakua applicable ktk maisha
@ellytech9757
@ellytech9757 2 жыл бұрын
Unlike logarithms 😃🚶
@VedastorNyakyema
@VedastorNyakyema Ай бұрын
Wabunge mbn wote ni macomedian
@raystariqs9995
@raystariqs9995 2 жыл бұрын
Tanzania lugha mama ni kiswahili sasa kwahizi broken English je watanzania wanaosikiliza bunge ambao hawakusoma wanaelewa nn mbona nchi za wenzetu wanatumia lugha zao .
@mwinjumaganga2995
@mwinjumaganga2995 2 жыл бұрын
Musukuma ungekua kwenye Jimbo langu ningekupigia kura hata folen ingekua kupigia kura bro
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 5 ай бұрын
😂😂😂😋😋jaman
@dominicmwendwa42
@dominicmwendwa42 2 жыл бұрын
Kizungu achia wakenya🤣
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Жыл бұрын
Wakenya wanaosema headache akimaanisha akili
@anthonymgina2253
@anthonymgina2253 Жыл бұрын
Sikujua ni kwanini wanacheka sana hawa waeshimiwa hawapo serious, basi vikatuni tu vinaendelea.
@kilulumtunyungu9369
@kilulumtunyungu9369 2 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 2 жыл бұрын
Nchi yetu runga ya taifa ni kiswahili
@amehassanrehanirehani2775
@amehassanrehanirehani2775 2 жыл бұрын
Ni sw tukijue na kingereza ila kiswahil kipew kipaumbel san hii nchi ni ya swahil
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 2 жыл бұрын
A big hand honourable Musukuma!
@MapendanoKAwake
@MapendanoKAwake 5 ай бұрын
Naamini huyu Musukuma hata kama Hana masomo ila ana ujuzi na hekima ya uongozi
@hassansuleiman4139
@hassansuleiman4139 2 жыл бұрын
Unatisha kaka tunakukubali
@KISUKUMATV
@KISUKUMATV Жыл бұрын
😂😂😂Dhu...!?
@officialmaasai4602
@officialmaasai4602 2 жыл бұрын
Hawa wabunge wanajisahua Sana. Alafu huk duniani watatuchuliaje
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 2 жыл бұрын
Halafu anatokea mtu anasema tuhamie Zambia tuache raha hizi 😂😂😂
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@SamsoniPetro
@SamsoniPetro 6 ай бұрын
Jafari Chege
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
HUYO NDO MUSUKUMA
@simoncharles683
@simoncharles683 2 жыл бұрын
We have do yaani nikwamba hatujui kiingereza cha kufanya tuendeleee na kiswazi chetu tuuuu
@johnfaceluhigilo7129
@johnfaceluhigilo7129 2 жыл бұрын
Musukuma english kozi inakuhusu mhe.
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 2 жыл бұрын
Hacheni kuwazalilisha wabunge
@bobrona9765
@bobrona9765 2 жыл бұрын
sasa watu kama hao baadaye wakasaini mikataba ya watanzania milioni 64 kisa CCM jamani inabidi tuache UCCM maendeleo yatakuja kweli,kuna vijana wengi wanamaliza chuo hawana ajira kisa tu serikali ya CCM kupeana ajira kama hizo na sekta nyingine kwa kujuana..nomaaa aibu halafu mko live mnatutia aibu watanzania.....
@iddymvukuye2502
@iddymvukuye2502 2 жыл бұрын
Nchi hii inashida saana
@shaalimalangu89
@shaalimalangu89 2 жыл бұрын
Mliommezesha Msukuma hiyo sentensi mmemuonea sana
@jacksonsamson6261
@jacksonsamson6261 2 жыл бұрын
Did you hear or have you heard?
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Exactly brother! I second you
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 2 жыл бұрын
Huku hela za watanzania zinaenda kweli tunachezewa lugha ya taifa ndio hii???????tayari ubaguzi nauona kwa macho yangu
@emmanuelchilimo
@emmanuelchilimo 2 жыл бұрын
Kiingereza shida sana
@byelamemba5045
@byelamemba5045 2 жыл бұрын
Afrika mashariki kwanini tusitumie kiswahiri mnalazimisha vitu ambavyo havipo
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 2 жыл бұрын
Wengi hawajui kimombo duh tushapigwa za kichwa
@chucknose
@chucknose 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣rada safiii
@ndorondoro9019
@ndorondoro9019 2 жыл бұрын
Kizungu kizungumkuti tz
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅Mskuma hoyeeeeeeee la 7 hoyeeeeeee
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 2 жыл бұрын
LUGHA YA TAIFA ITUKUZWE MUONGOZA BUNGE TUKUMBUKE HUKU USWAHILINI WENYE BUNGE LETU TUNAUMIA KUONA MNAONGEA LUGHA NGENI BUNGENI TENA BUNGE LA WASWAHILI. UZALENDO MNAUCHEZEA NINYI WAKUBWA. SISI HUKU KISARAWE ATUJUI KINGEREZA. KWA HIYO TUTAACHA KUFATILIA BUNGE KWA SABABU YA LUGHA NGENI. RIP JULIUS NYERERE TRUE SON OF AFRIKA 🖤💚
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 жыл бұрын
We nawe acha ujinga we jisemee wewe usiseme eti huku kisarawe hatujui English
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Even Magufuli alikuwa anapenda Kiswahili kikuzwe, nadhani hawa Wana joke au ni nini hiki 😂😂😂
@saidimkoka8888
@saidimkoka8888 2 жыл бұрын
Bunge linaendeshw kiswahili mbn sem iyo section ilibd itumke iyo lugha coz ni EA
@jeremia8172
@jeremia8172 2 жыл бұрын
Hongela sana baba yangu Muskuma me nakukubali sana Mungu akup myaka mingi bungeni
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 2 жыл бұрын
Katiba ndivyo ilivyo hata Kama angekuwepo Nyerere,kiingereza lazima kitumike
@davidlusakha1
@davidlusakha1 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂kenyans tupitie
@brucerashfordke5102
@brucerashfordke5102 2 жыл бұрын
Mnajifanya na Kiswahili Kumbe king'eng'e ni shida hivo
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 жыл бұрын
Kiswahili ndo chakwetu, sasa wewe unataka ujue kila lugha?🤣🤣🤣🤣. ( Huwezi kusema mtu anajifanya kujua kiswahili " ambayo ni lugha yake", halafu unataka usifie kujua lugha ya kigeni.)
@jumaally7021
@jumaally7021 2 жыл бұрын
Tuna lugha yetu wapendwa ha ha jaaa
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 жыл бұрын
Ongea kiswahili manga'ti we
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 2 жыл бұрын
Lugha gongana😂😂
@michaelomondi7912
@michaelomondi7912 2 жыл бұрын
Which kind of English is this ,,,sounds funny 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MegaJonathan1969
@MegaJonathan1969 2 жыл бұрын
At first I thought its drama but when I saw the Hon Speaker, I knew its for real.... I love Tanzania just being practical and real... Naipenda nchi yangu Tanzania
@endeshyamat6773
@endeshyamat6773 2 жыл бұрын
👏👏
@lusatomichael7973
@lusatomichael7973 2 жыл бұрын
Nendeni kweny Jimbo la musukuma muone alivyopga kaz Kwa kuwaletea wananchi wake maendeleo hao wenye PHD hali mbaya siamini sana kweny lugha ya kigeni uhalisia R.I.P magufuli
@khadijanjama8721
@khadijanjama8721 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 2 жыл бұрын
Alisoma mwaka gani duh mtoto wa maskini uyo azimio la arusha hakupata yy
@tedyokachu5013
@tedyokachu5013 2 жыл бұрын
Msukumaaaaaaaa😆😆😆😆😆😆😆
@dancun217
@dancun217 2 жыл бұрын
Do for who?
@danielndohe
@danielndohe Ай бұрын
Mbona msukuma anaeleweka vzuri tu kwani maongezi yanahitaji kupimwa kwa grammar
@njiwapori8749
@njiwapori8749 2 жыл бұрын
Mm.hua nasem kila cku shida ni kiswahili kiswahil dunia ya sasa haisaidii mtu kwa sbb hakuna mtambo unaendeshwa kwa kiswahili umeona hyo et kiswahil ndo maana inteview nying wqtu wanafel kwa sbb ya lugha ya kingereza shida mtu spoken language ya dakika tano au kumi matatatizo
@johnsonkibadeni5053
@johnsonkibadeni5053 2 жыл бұрын
One member of the Kenya??
@MegaJonathan1969
@MegaJonathan1969 2 жыл бұрын
Laughing my lungs out... Kucheka mapafu yangu nje
@mbakijonas6792
@mbakijonas6792 2 жыл бұрын
What you have done for the past 5 yrs?
@emilygoho8915
@emilygoho8915 2 жыл бұрын
Kwisha mameno😅😅😅😅
@masakamgalla9273
@masakamgalla9273 2 жыл бұрын
Kaa kimya hiyo ni statement unailaźimisha question mark(?) Usikosoe wakati hujui kama mm.
@mbakijonas6792
@mbakijonas6792 2 жыл бұрын
@@masakamgalla9273 kuna sentence inaanzaga na "WHAT" na isimalizikie na question mar "?" We kumbe adi msukuma anakushinda afu unataka ujilinganishe na mimi😁😁😁😁😁😁
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
@@mbakijonas6792 Aisee bora msukuma.
@daviechunga1929
@daviechunga1929 2 жыл бұрын
The correct question is what did you do for the last five year msukuma was correct not what did you do for the past five years, that is wrong grammar
@shaalimalangu89
@shaalimalangu89 2 жыл бұрын
Na hayo majibu anayopewa anayaelewa lakini?
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanamisimtsumi2588
@mwanamisimtsumi2588 2 жыл бұрын
Better half loaf than none
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 2 жыл бұрын
last did you do for the past five years😂😂😂😂😂tupo sambamba mpaka ajue
@brianchitiavi8925
@brianchitiavi8925 2 жыл бұрын
Wht did u speak,,yeye na wew mko sem
@raykaby9139
@raykaby9139 2 жыл бұрын
Uyu mzee iyo mikono kama mwl wa kwaya 😂😂
@abdulrasulissa5063
@abdulrasulissa5063 Жыл бұрын
Mashuleni wanahimiza kiswahili bungeni wanataka kuongea English hivi nyinyi wabunge mnatupeleka wapi mnaacha kuongea mambo muhimu kuhusu maisha ya wa TZ mnafanya comedy ndani ya bunge hivi mnauchungu na wanaoteska na maisha ya mlo mmoja jamani tuna hitaji viongizi wa kutuwakilisha matatizo yetu wewe msukuma umepelekwa bungeni kuigiza comedy acheni hizo
@abassimussa7473
@abassimussa7473 2 жыл бұрын
Sasa huyu anafanya nn bunge😂😂😂😂 hi kizungu ni ya mtoto wa pp one Kenya
@jameskilasa759
@jameskilasa759 2 жыл бұрын
Hatuongoz nchi yetu kwa kiingereza bro huyo hata uend na inglish yako ya kenya kwenye hoja za msingi humuwez
@abassimussa7473
@abassimussa7473 2 жыл бұрын
@@jameskilasa759 we hujui tu kingereza kitamu ikija huku Kenya utakuwa bubu
@hesbonolunga5479
@hesbonolunga5479 2 жыл бұрын
Kisungu Tanzania ni shida🤣
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
KUFUKUZWA KAZI WATUMISHI DARASA LA SABA, MSUKUMA ALIAMSHA DUDE
5:00
Mwananchi Digital
Рет қаралды 683 М.
MBUNGE WA MBULU VIJIJINI ARUKA SARAKASI BUNGENI, AKIDAI BUNGENI.
10:48
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 115 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 59 МЛН