Wakili Mimi nimekuelewa sana, kwamba huyo nimteja wako 😂😂😂 tetea ugali wako bana, maana nyie hamshindwi kutetea hata muuajiaji aliye ua ukishuhudia wewe mwenyewe, akiJa kwako utatetea nakusema hajauaa😂😂😂😂
@chiefmajai93454 ай бұрын
Siasa ndani ya sheria na sheria ndani ya siasa hatua ya mwisho amri
@OdriaKabati3 ай бұрын
Kama unasumbuliwa nanjaa fanyakazi upatepesa utapeli utakupeleka pabaya sana mheshimiwa waziri silaa kazi nzuri sana endelea kutetea haki zabinadam hakiza wanyongwe
@elizabethmakaranga2184 ай бұрын
Ukiuwa kwa upanga nawe utakufa kwa upanga mungu atusaidie jamani ,aridhi yenyewe inakuja kutubana wanadamu mwisho wa maisha amina huruma yako mungu inahitajika
@IddyZohan4 ай бұрын
Huyu hana lolote tapeli tu maneno matupu 😂😂😂
@user-fv4zw5ki3x4 ай бұрын
Waziri yuko good sana
@omarimwande64684 ай бұрын
Muda wa kuwazulumu wanyonge umeisha njsa inakusumbus wanaotoa hati ndo wamebomos acha janjajanja
@Tzn2552 ай бұрын
mzee wangu ogopa sana neno linaitwa haki ni zaidi ya sheria.
@shaamemchauru13654 ай бұрын
NENDA MAHAKAMANI WEWE,USIONGEE MTANDAONI 😅😅😅😅😅
@charlesmakuri7924 ай бұрын
Hakuna ukweli huu utajulikana uzuri sira nae mkubwa Acha vitisho tunampenda waziri tena bomoa tenana
@NesphorycharlesMalando-dq2qc4 ай бұрын
We kalale hyo imeenda!!
@Serenawilson114 ай бұрын
Huyu nae kashatumwa ndio walewale wa kuwaibia wanyonge
@eliaschipanda20064 ай бұрын
Nini maana ya mahakama?Au nchi imekosa taratibu za kuongoza nchi. Waziri si yo mahakama.
@Lordmartin4 ай бұрын
Somo muhimu hapa ni hati.. Jina lako lisome kama mmiliki wa kipande cha ardhi kwenye kazi data za wizara.. Ukipoteza hati haimaanishi kuwa sio mmiliki, unafata taratibu kuomba nyingine...
@JumaAbdalla-xm9pb4 ай бұрын
Waziri uko vizuri
@angonzamujunangoma87754 ай бұрын
Ikumbukwe Waziri awezi kukurupuka kuvunja nyumba ya mtu pasipo kuwa na uhilisia wa jambo.Kajipande upya bwana Wakili
@JERRYHAMISIАй бұрын
Wazir yupo saw
@JumaAbdalla-xm9pb4 ай бұрын
Katika watu ovyo ni nyinyi mawakili coz mtu anauwa ila nyinyi mnamtetea kwa ajili ya matumbo yenu
@daudimchileg3074 ай бұрын
Nakuonea huruma, unaweza kuwa na siku chache za kuishi, kesi zipo nyingi saana achana na hiyo, unaowashitaki ndiyo waendesha mashitaka.
@MohammedJaizan-yf5yt4 ай бұрын
Wacha vitisho kwenye mitandaoni nenda mahakamani
@JERRYHAMISIАй бұрын
Nenda mahakaman wew
@eppiemodest4 ай бұрын
Hata asiyemwelewa ataelewa kuwa plots za watu hawajengelewi na wasiohusika.
@IgerekeRamson2 ай бұрын
Njaaaa inakusumbua
@issaramadhaniathuman4 ай бұрын
Sasa hapo Naomi aliingiaje maana mmiliki wakwanza alikuwa kampun flan ana wpili2 alikuwa mjeda mustaafu na wtatu alikuwa huyu jonson vp Hawa owote hawakuwa na hati nao kuacha w sasa na jeeh hapa Naomi alimiliki wakati upi maana hapa kwenye maelezo YAKO unedili ana mjeshi kampuni na jonson vp Naomi unae muongelea alimiliki wapi sasa ?
@IdanIsack-ko6ye4 ай бұрын
Waziri anakurupuka umarufu auji kwa utiana asala atenguliwe na alipe jenge la watu
@sundaystanley53224 ай бұрын
Wewe ndio unakurupuka kukoment kwenye swala usilolijua
@ElirehemaMbise-zm3pm4 ай бұрын
Acheni kudhulumu watu wanyonge ata upige mbiu uwezi sikika mana huna ukweli wowote unao taka kutuambia zaidi tu ya kutudanganya
@eppiemodest4 ай бұрын
Huwezi kujenga juu ya plot ya mtu. Sheria zinakataa.
@ShabaniHaruna-ul6yu4 ай бұрын
Ttz sio juu ya mtu shida Ipo kwenye Sheria nani anatambulika na Sheria za mahakama
@JumaAbdalla-xm9pb4 ай бұрын
Wakili ushakula hela ya mteja wko lakini kwa hili umechemka
Acha kelele wewe wananchi tumeshamjua pateli huyo anaonea wanyonge. Mnahongwa ili kumkandamiza Naomi na hvi mneona ni mwananke basi tena na sasa ameumbuka, na bado wiziri usitishike tusaidie masikini❤❤❤
@daudintandu70383 ай бұрын
Commissioner wa ardhi alimnyima hati,kama ambavyo wakili anaeleza,je alianzaje kujenga hilo jengo?au utapewaje kibali Cha kunza ujenzi kabla ya kupata hati kiewnja?? Hapo Kuna jambo ambalo halijakaa sawa
@othmanshahib11154 ай бұрын
Hata kama sijui sheria ila kwa hiki amekiuka wajibu wake kwanini asingepewa kisheria hiyo gorofa anaedai mahakama ndiyo inaweza toa kibali sibora hata wangengeuza NHC wampe hela huyo mama
@Shabani-ke6mi3 ай бұрын
Nimesoma komenti nimegundua Tanzania watuwake wanashida tena sio ndogo shida kubwa sana
@user-oc5lb8lk4y2 ай бұрын
Ni hasara kumbwa sana. Pia wanao tulundisha nyuma ni wakirili wanamdaganya watu walitakiwa wasaidie lakini wanakuwa na tamaa wengine wanafanya kazi vizuri laki lundi wanahalibu kila kitu wanalundisha Tanzania nyuma. Kwa sababu wame hapisho kusema hukweli lakini wana alibu kila kitu nigeomba serekari kuwagalia vizuri au mawakiri ni hasara sana 😂😂
@michaelkisesa39593 ай бұрын
Wakili anatetea ugali na ndio kazi yake, waziri ni taasisi na ndio maana alienda na mkuu wa wilaya na kamishina wa ardhi alikuwepo hivyo waziri hawezi kumuonea mtu.
@user-tc5vt1om5t3 ай бұрын
Mawakili hawataingia mbinguni.
@AmaniMuhomi-uz2lk4 ай бұрын
Wakili hapo unamlia mteja wako hela bure,siku hizi mnashirikiana na matapeli kudhulumu watu haki zao hasa ukijua hana uwezo wa kujiteteta. Mm ninao ushahidi mawakili mnashirikiana na mahakimu kudhulumu watu
@rynerlinuma84844 ай бұрын
Mbona tarehe na Siku unazoraja sio sawa?
@nainahcharles86584 ай бұрын
Waziri angeita pande zote 2 wakiwa na vielelezo vyao kabla ya ubomoaji.
@chrisekonga90924 ай бұрын
Kabisa yaaani
@shaamemchauru13654 ай бұрын
WAZIRI KUNA JAMBO ANALIJUA!SIO MJINGA KABISA...WE UTAONA ITAKAVYO KUWA...
@peterbalyagati78344 ай бұрын
Uhondo Tv, kama unataka kubalace hii habari, tunaomba mtafute Naomi Muulize alipataje hati, na alingiaje kwenye hiki kiwanja. Kama wasikilizaji tuweze kujua vizuri
@OdriaKabati3 ай бұрын
Lekebisha kaulizako wewe kwan ww umiongoni mwawale matapeli ambao mhe waziri silaa anawa umbuwa mlizoweya kuwatapeli wanyonge wasioweza kujitetea kutokana na umaskin wao na kuwapa haki matajili sasa mmepata kiboko yenu unasamin pesa kuliko utu
@chrisekonga90924 ай бұрын
Katika Maisha tunatakiwa kujifunza kusikiliza pande mbili ili kupata sululisho sahihi,
@belak9994 ай бұрын
Huyu Johnson acha avune alichopanda, naamini alichofanya ni sahihi aliwahi nitapeli simu yangu ya milion 1.2 mwaka 2009.
@pendoyese44524 ай бұрын
Duuu kumbe ndiyo tabia yake siyo
@alphoncewilliam43254 ай бұрын
Njaaa mbaya
@mohameddikaluka31624 ай бұрын
Wewe umeongea bado waziri atujamsikiliza msema peka ushinda,
@malkavoice25704 ай бұрын
Hao ndio ccm bhana. Ukisikia maamuzi yao dhidi ya haki ye yote lazima yawe na harufu ya rushwa,undugu,kujuana,urafiki,udini na userikali ndani yake usipokuwa kati yao huna chako. Hapa ni wazi kwama Kamishna anakula Naomi na Angel so hapa Jonson anamigogoro na mademu ya mmiliki wa ardhi ya bongo
@ushindimbwilo13984 ай бұрын
Hakuna kesi hapo posho zinawasumbua watu.. njaa hizi
@user-lt1bi5nr1x4 ай бұрын
Unaongea unanjaa wakili feki. Sasa mwenye kiwanja chake nae awake wakili. Acha njaa
MATAPELI NYIE MAWAKILI FEKI ATA MTU AMEUA MNATETEAGA TU HUYO MTEJA WAKO NI TAPELI MWENZIO KWA MJIBU WA WAWAZIRI
@aggreyprince39834 ай бұрын
Huo ni ujeuli wa cheo hajui kama walio kwepo kabla yake walipita naye atapita Msiwe na shaka.
@ClementinaHabineza4 ай бұрын
Huwezi kudhurimu mtu cyake ukaka namani kbx arifanya poa
@estheroscar65204 ай бұрын
Mimi cku nikikuona nakuweka mgongoni kama Mtoto wazili slaa safi
@kadaskarim50814 ай бұрын
Rais unasikiliza history ebu weka uchunguzi basi usikae kimya kwann jerry anaonea watu
@user-pc3bn3ei4o4 ай бұрын
Kamishana atatoaje hati ya kiwanja chenye migogoro?
@jtheophil54994 ай бұрын
Wakili kanjanja unamlia pesa mteja wako.Hauna huruma wala aibu.Unamtia gharama mara mbili .Kilichokuweka hapo unachumia tumbo ili ulipwe tu.Jifunze kumwambia mteja ukweli.Nyie ndo mawakili mnawadanganya watu wakati ukweli uko wazi.
@user-nh9pj3ts1q3 ай бұрын
Mmezoea kinyanganya nyie
@lydiadaudi40764 ай бұрын
Mtu anawezaje kufungua kesi kata kisha mahakama kuu bila kupita mahakama ya wilaya, mbona hueleweki mzee wakili
@neemanyagawa34384 ай бұрын
som vizur sheri na jurisdinction kwenye mamb ya ardhi
@user-fv4zw5ki3x4 ай бұрын
Silva mungu akubariki sanaaaa
@evancykashaga65764 ай бұрын
Uhuni tu mtu anazurumu mnasema mahakama bomowa
@OdriaKabati3 ай бұрын
Tena ushindwe naulengee katka jinala yesu tapeli mkubwa wewe
@peterbalyagati78344 ай бұрын
Vile vile angalia maneno ya kuzungumza, uwezi kushauli raisi amtengue, wewe simamia upande wa sheria tu
@wanguwangu344 ай бұрын
Viongozi wasiojua mambo wanamdhalilisha Dada yetu Rais Samia
Mambo wanayofanya Slaa na Makonda ni hatari kwa usalama na ustawi wa nchi,kitendo cha kudharau amri ya mahakama wazi wazi,ni cha hatari sana,mimi kama mwananchi ninaejitambua namwomba Rais aingilie kati swala hili,maana linachuki binafsi ndani yake na ni very sensitive,lazima serikali iifanye mahakama iaminike vinginevyo inchi itaharibika,na wananchi tuache ushabiki wa kijinga.Tushabikie haki sio mtu,kwa mfano mtu anatengeza vioo chini ya Suma Jkt leo Slaaa anasema alikuwa anajificha anasakwa sasa huo si uongo wa waziri?wananchi tusilete umaskini wetu kwenye haki,kutaka kila mwenye kauwezo asipate haki nae awe maskini,hiyo chuki dhidi ya matajiri imeshaenda zake.
@eppiemodest4 ай бұрын
We sema tu hutafanikiwa.
@samsonkatigiri23444 ай бұрын
@@eppiemodest Mimmi nishafanikiwa wewe ndo hutafanikiwa kwa kwa wivu wako wa kutaka kila mtu awe maskini kama wewe.
@JumaaRamadhani-ip6kr3 ай бұрын
Mahakama nayo ndoizoizo wanatete matajiri
@samsonkatigiri23443 ай бұрын
@@eppiemodest Hahahahaaaaa
@peterbalyagati78344 ай бұрын
Kijana wakili usikate tamaa, tuweze kujuwa ukweli, na imeshakuwa public inaweza kukuinua au kukuangusha, simamia ukweli unaohamini.
@user-mt9wn9zv3j4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@chichahamis6354 ай бұрын
Wewe ni wakili au mwizi tu
@mpefu_49364 ай бұрын
Rushwa watu wamewezeshwa
@user-lt1bi5nr1x4 ай бұрын
Sisikilizi upumbavu. Kiwanja cha watu icho
@AloisMosha-uv2fu4 ай бұрын
Dawa sasahivi kuwaloga tuu
@ndogoroedson1994 ай бұрын
Mtegoni wap? Acheni uchochezi wa kijinga muda wa wanyonge kudhulumiwa haki zao umekwisha mambwa ninyi
@sapikiwanga61544 ай бұрын
Mtu Hana Hati si umwambie ukweli tu,unataka kura pesa yake Bure kabisa.
@emmanuelkiwango66384 ай бұрын
Kvango umesikiliza kweli?
@frankremishoy57784 ай бұрын
Waziri siyo malaika anaweza kukosea.waziri kaamuwa bila pande nyingine bila kujidhiriisha na kubomowa ni hatuwa ya mwisho kabisa.tufatilie huenda waziri kaamuwa kimuamko
@user-fw1ku3od7r3 ай бұрын
Waziri yuko sawa shida wakili wanatetea yoyote anaetoa hela