BINTI ALIYEDAI KALAWITIWA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC ALIYEPITA SIMIYU

  Рет қаралды 15,335

Mbengo Tv

Mbengo Tv

7 күн бұрын

Пікірлер: 139
@javanjav8417
@javanjav8417 Күн бұрын
Hiki ni kisa chenye ujumbe na dhamira nyingi kutokana na wahusika waliopo katika hii kazi ya fasihi. Unaweza kuangazia nafasi ya jamii, wazazi, vyomba vya habari, serikali na taasisi zake, asasi za kiraia, wataalamu mbailmbali, wanafunzi, viongozi na Mungu pia kwa sababu ametajwa kwenye masimulizi.
@user-sv3sv4xd1q
@user-sv3sv4xd1q 4 күн бұрын
Mabinti wa chuo muache tamaa mnafumuliwa marinda mnaambukizwa na ukimwi Kwa tamaa za muda mfupi .
@winnesakara6957
@winnesakara6957 5 күн бұрын
Huyu bint hatar kuliko acid
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 22 сағат бұрын
Mwanga hasa tena kiongozi wa malaya
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 күн бұрын
Shida ya kutembea na vitoto vya 2000
@user-cw3vu8mu3k
@user-cw3vu8mu3k 4 күн бұрын
Uyu ni jini wanaume kaen mbali naye kuliko ukimwiii
@d15355
@d15355 4 күн бұрын
hamna kesi hapo huyu binti anaonekana ni changudoa tu halafu kashatimiza miaka18 hamna kesi hapo sema amefanikiwa tu kumchafua jamaa na kumgharimu nafasi yake ilakwa kesi kama anavyodhania atamkomoa jamaa anajidanganya
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 күн бұрын
Huyu mama alishiliki kumpeleka moto wake kuzimu binti huna nafsi watafute waking gwajima irudi
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 күн бұрын
Yaan wamama laana ya watoto mnahusika nayo binti analaaniwa unapokea.hela nyie watu dhambi hizi tunajiletea.laana ndani ya familia
@givensimkwai9466
@givensimkwai9466 2 күн бұрын
Tamaa tuu, mtoto mdogo unaharakia wapi???
@martinkamgisha37
@martinkamgisha37 4 күн бұрын
Huyu binti ni mdangaji tu hamna ukweli wowote hapo
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Dada ni mjinga fulani hivi
@Selemlaki132
@Selemlaki132 2 күн бұрын
Binti anachagua la kusema mengi ya uongo machache ya ukweli
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 4 күн бұрын
Hao police 🚓 ingekua dar kesi ingeshaisha sikuiyoiyo hongereni sana police wa simiyu
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 күн бұрын
Malaya mbaya sana huu
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
acha kutetea mbakaji wewe
@musamsangi1610
@musamsangi1610 4 күн бұрын
Na wewe Kwa nini uende huko wakati unajua ni mwanafunzi ? Ulitakiwa ukiitwa na mtu usie mjua usiende ungepunguza matatizo yote.Sasa kumbe kulikuwa na kaurafiki.
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 5 күн бұрын
Uuuuuuuuwii dunia simama nishuke ,ww mwana we kwanza pole sanaaa, eeeeeeeehhh kumbe ulifunguka kuhusu dd kusaidiwa kazi , alijua umeshatangaza labda ndiyo maana kama kweli basi aliamua kufanya ukatilihuo ,lakini kama ulikataa uliamua kwenda kufanya nn?tena binti au ulikwenda kusilikilizia ahadi ya dd kusaidiwa kazi?samahani lakini kuna jambo la kujifunza kwa kweli ,ubakaji huo naaliza tu ulifanyikia wapi ?ambapo msaada ulikosekana ,jamani kama mtakumbuka habari ya tyson na binti yule aliyesema alibakwa ,lakini kama sikosei ,ooooohh napita tu maana huruma ya mungu inatakikana ,mungu tunaomba dhambi ikakome ktk maisha ya watu
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
W mtngzj pnguz rohooo mbaya et umr mdogo 21 na alishaliwa na kijana,mkuu n wpili,w kwnza alokula bkr y nyuma ndoo akamatwe binti una zambi kuharibu maisha ya mtu kakulipa m 10lkn una zid haya w kwnza mbona humtaji una tumiw kisiasa ww je ungeliw na bodaboda te bure bila hata sent na kibano,ungepata, zambi hio kakulipa m 10 ogopa MUNGU
@zahorokasentisenti6761
@zahorokasentisenti6761 4 күн бұрын
Huyo dada ni muongo anaonekana
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Күн бұрын
Uongo wake uko wapi kwenye maelezo yake, tufafanulie
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
anachokisema binti ni ukweli kwanini RC Alhaji Yahaya Nadawa amuonge mama yake pesa afute kesi why?? kwanini mnamtetea mbakaji
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 3 күн бұрын
Huyo bint nimalaya mzoefuu na mbona inaonekana katumwa huyo mungu akulaani we binti
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
alaaniwe mbakaji Alhaji Yahya Nandawa sio aliyebakwa acheni wazimu wenu kumtetea mbakaji
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 күн бұрын
Kwenye nchi inayofuata Sheria hakuna mkubwz mwenye madaraka akavunja sheria ni lazima ashtakiwe.
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 күн бұрын
Dah ukiwa na Mtoto wa aina hii unatabu mbaya aisee
@annanasoro3007
@annanasoro3007 20 сағат бұрын
Hacha kujidharirisha we mtoto bado mdogo hautafika mbali kila sekita inakuona uoni watu wanafukunyura na ya nyuma hii dhambi haitakuacha salamà
@eliabbanyikwa8716
@eliabbanyikwa8716 Күн бұрын
Kalikuwa kahuni kumbe mapema!!! hapo kuna jambo anatengeneza tu
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 4 күн бұрын
Huyo kataka mwenyewe kufilwa
@d15355
@d15355 4 күн бұрын
mim nilisema hyu binti ni hatari sana sababhili si tukio lake la kwanza ina maana hawa na mamake wanauzoefu wa kutengenezea kesi watu kama unavyoona ni wahaya inawezekana pia aliwahi kuwa changudoa huyu mamake
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 күн бұрын
Huyu mimi analeta hasira sana najikuta naiona familia na mama yake wamoja na wanamichezo hiyohiyo.
@d15355
@d15355 4 күн бұрын
@@cloudngoko.2679 amini nalosema bro huu ni mchezo na kama alifanyiwa hiyo haikuwa mara ya kwanza sema mara hii waliamua kumkomoa tu sababu hajawapa alichowaahidi
@fatmachief8127
@fatmachief8127 3 күн бұрын
Ndio ujue Kuna watu wengine wenye nguvu wapo nyuma pamoja na maaskari
@annanasoro3007
@annanasoro3007 20 сағат бұрын
Kumbe hapo nshajua nihela imepungua ndo maana umepeleka mahakamani we mjinga sana endelea kujitangaza
@adammjomba5814
@adammjomba5814 20 сағат бұрын
Kubakwa siomwisho wa kusoma hata kama alikubaliana na mpenzi wake mkuu wa mkoa wa simiwi kufanya Mapenzi sehemu Za kawaida Lakini mh akataka sehemu ya haja kubwa . Binte usikate tamaa songa mbele na masomo Lakini ukatubu na uache zinaa na mfate YESU ndio MFARIJI
@user-mf2jf6dp7z
@user-mf2jf6dp7z Күн бұрын
Kumbe yeye na mama yake wanayajua haya mambo na wameisha kula pesa za mwamba duuuh dada soma ukimaliza uame nchi la sivyo utaliwa sana jicho ilo moja
@annanasoro3007
@annanasoro3007 20 сағат бұрын
Kumbe mzoefu yeye nikubakwa tu kila wakati toka mdogo
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 21 сағат бұрын
Kani kunashida gani rc kuoata mpenzi huyo binti aache kumdharirisha rc yeye si alipenda kula cha rc wa nye aliwe😂
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
Mbona kijana alokula bkir ya nyuma alikupa nn ww hao police c MUNGU wal mahakama,mkuu kakulipa million 10 kijana alokula bkr ya nyuma,hujapata kitu huna utu,ww mama yako kakwmbia futa kesi hao tv wamekugeuza mradi kwnza boda boda hua waanakula bure hizo nyuma,kibano unapigwa,shukur m 10umepew
@onesmonkwabi1022
@onesmonkwabi1022 18 сағат бұрын
Huyu binti ametegenezwa kwa nini hukuomba msaada wakati unafanyiwa unyama hii. Huna maadili kabisa
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 4 күн бұрын
Sasa mbona mnaziba sura na pia mnaonesha 😂😂😂
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Kama kuna kitu kinanichafua no huyu binti Ngemela kuacha masomo anatenda kufanya ujinga kujidhalilisha,hakuwa na ndito.msimpambe mjinga huyo.
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 21 сағат бұрын
Hivi jamani alimlawitia bara barani ? Au alilawitiwa ktk mazingira yapi asipige makelele alikokua anapelekwa 😂
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 күн бұрын
Harafu mbona utafikili nimzoefu na mambo hayo unaongea kilahisilahisi
@user-hi1oh3vc8f
@user-hi1oh3vc8f 14 сағат бұрын
Radishen sasa pesa ya huyu boss mhuni ndio machaguz ya kamat zenu za uteuz mkuu wa mkoa kwel unamitindo hiyo na bado miaka ijayo top wa nchi atatuhumiwa kwa makosa kama hayo nchi ya komasavaaa hiyo
@RukiaBashiri
@RukiaBashiri 7 сағат бұрын
Jamani jamani wadada wa chuo 😢😢😢
@estakapufi7582
@estakapufi7582 4 күн бұрын
Huyu nimuongo maelezo yanajieleza kuwa ni kitu cha kutengenenza hbd hiyi uyo mkuu alimualika kama nani, maana anaongea uku anapandisha makamasi dalili za kuongea uongo, ila itajulikana tu yani mpeane namba alafu aongee kabisa na taka kinyume na maumbile kweli huyu mkuu alikuwa amechanganyikiwa na kama ndio kazi yako ya kuwapa kesi watu uongo hujitenga kabisaa binti na izo sms ukazionyeshe mahakamani ndio zitakusaidia ila kinyume cha apo.
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 4 күн бұрын
Huyu mtoto ni mbaya sn kama alisha mshitaki nyuma mtu mungine bs ni mzoefu kwa kuwatafutia kess watu yeye na mama yake kuwachafulia majina ya watu wacha kess iende mahakamani haki itapatikana huyu muongo tu
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Күн бұрын
Nikishasikiaga msichana au mvulana anaongea kwa style ya kulegeza ulimi huwa simuamini kabisa!
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 22 сағат бұрын
Akapimwe kwanza huo mkundu wake Jeee ni mara ya kwanza kufirwa? Maana huo mkundu kama unamazoea lazima utakuwa umeregea na unakuwa unamwagika mavi. Umezoea sasa umetaka kumchafua. Mtoto wa form 3 ni mtu mzima. Ilitongozwa, unajua nini kutongozwa na ulikubali ila mlipingana kwa dau au ulitumwa akakifire halafu umcjafue.
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 7 сағат бұрын
Na hawa nao viongozi wakubwa wamechaguliwa kuongoza mikoa sasa jamani hii kumbe ni balaa shetani yupo kazini nao wachukuliwe hatua uchafu uchafu inasikitisha sana watumishi wa mungu mpo wapi hao wakuu wanasali wapi
@annanasoro3007
@annanasoro3007 20 сағат бұрын
Anapaza sauti alafu mnamfunika inakuwaje kupaza sauti kwa kivuri alafu tumsime hacha kujidharirisha hao wanakuvua nguo hacha mambo hayo kaa kimya usikibari kuojiwa unapoteza usichana wako ulipofikia panatosha achia mahaka ifanye kazi yake
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 күн бұрын
Haka kakinipa Kuma hata bule sitombi. Kanaonekana kachawi
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 4 күн бұрын
Mibaba acheni tabia mbaya ya kuharibu watoto wadogo tulip I na ndoa zenu hamuwaoni machangu wakubwa.
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 7 сағат бұрын
Jamani msichana alitaka mwenyewe kufanya huo uchafu umalaya tu hivi kama mzazi angekuwa binti yako ungejisikiaje muongo huyo ndo tabia yake chafu kwenda kuhangaika jamani wazazi hebu tuwe hekima basi sasa huyu binti atamwoa nani usichafue watu yaani hii sodoma na gomora
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 күн бұрын
Wewe binti kaombewe nyota imechukuliwa
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 4 күн бұрын
Wewe bint ni malaya na ulifata maisha maxur kwa mkuu wamkoa sasa imekugeukia na tamaa zako wewe ni umetumwa kwa kujieleza kwako tu kwenyewe kumedhihirisha kua wewe nimalaya na ulifata maisha mazur kwa mkuu wamkoa la sihivyo bas ulitumwa ili umchafue sasa kungu atakuadhir na familia yako wewe ni malaya
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
sio malaya mkuu wa mkoa ndio malaya kuacha mke wake anatembea na binti mdogo
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 4 күн бұрын
Mnamficha nini wakati tushamjua??? Kwani mkimuonesha mnadhani ubaya gani wakati ni ukweli kafanyiwa ukatili?????
@adammjomba5814
@adammjomba5814 20 сағат бұрын
Huyu mtoto binte kama ameriport polisi kuwa amebakwa ( sio kubakwa ameshindwa kukubaliana na mpenzi wake aliekua mkuu wa mkoa wa simiwi , ktk kufanya Mapenzi sehemu Za haja kubwa walichokubaliana na mpenzi wake wafanye Mapenzi ya sehemu husika. Sasa kesi ilioyopo mezani .nikufanya Mapenzi sehemu ya haja kubwa .Sasa isikilizwe. TATIZO lipo wapi? Tusianze kuhoji kesha fanya Mapenzi. Ndio Mapenzi anafanya sehemu husika .Huyu NI mwanamke nilazima afanye Mapenzi kama Binadamu.. ( natayari ana over 18 years)
@roseyohana3500
@roseyohana3500 Күн бұрын
Zwachataamaa .mtu kashakuambia mara ya kwanza . Hicho kitu si una ogopa siemdi ugemwambia Niko dalasani Sasa hapo mwanangu si unajizalilisha.zaidi
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 2 күн бұрын
POLE SANA NA HONGERA THAT IS THE RIGHT WAY TO GO BE STRONG MY DOUGHTER YOU CAN RISE UP YOU DREAM WILL BE TRUE AND GREAT I AM HAPPY YOU ARE SO FAR STRONG KEEP IT UP
@SiaCollins
@SiaCollins 20 сағат бұрын
Kwani ulikuwa mtoto acha ujinga wewe kwani ni kipi Cha ajabu hapo unataka tu kujizalilisha kwenye mtandao,,umejikoaea Kwa ujinga wako
@monicashirima5003
@monicashirima5003 Күн бұрын
😮
@Tahiyajohn
@Tahiyajohn Күн бұрын
Bwana ee malaya huyu Ana muharibia kazi huyo kaka wa watu.ulikuwa na mahusiano nae kwenye gari yake alifuata nini tamaa mbaya binti wa kubakwabakwa shame on you. Assurance ipi ? Tapeli sana mtoto muongo sana
@monicashirima5003
@monicashirima5003 Күн бұрын
😮😮
@asteriashios1852
@asteriashios1852 10 сағат бұрын
Malaya huyu mnzoefu amemchafulia tuu R C wa watu katumwa huyo mhuni tuu umri huo unamsumbua sana ulaaniwe
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 2 күн бұрын
Dada apate kazi ,hujajiuliza yeye mwenyewe ana ndugu wangapi hawajaariwa?tatu na yeye ana ajira?.yaani unaombwa Mapenzi kinyume na maumbile Kwa mara ya kwanza then still unarudi?. Kama kawaida mialiko ya birthday na part kama njia kwarubuni watoto/wadada na ndugu zetu hawa. Mama usiogope mkubwa Mungu TU,.simama na Mungu na pambania haki Yako usiogope. Hapa siyo swlala la kisiasa au chama au nn bali ni tabia ya mtu na kitendo cha jinai kimefanywa na mtu na siyo chama nk. Dada huna rafiki(hao uko nao kama marafiki wanakipeleka kwenye pati,kutoa namba ya mama Kwa mmtuhumiwa) Yaani hzo pesa zote ni msharaha au ni au zinatoka oficn na mkuu wa mkoa(miradi nk)? Big up kituo cha polisi waliyokataa barua. Kwann mtuhumiwa alienda Wasadi wakati tuna vyombo vingi vya habari? Mwisho mdogo wangu ukacheki na afya.
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 Күн бұрын
Huyu bint ni mhuni,hiv kweli mkuu anakutongoza kwa Mara ya 1,akwambie nakupenda ila nataka kinyume cha maumbile hakuna mwanaume wa hivyo hayo huendelea chumbani,,pili km hukutaka hayo kwenye gari ulienda kufanya nn?
@margaretjoseph6501
@margaretjoseph6501 6 сағат бұрын
R na L ni shida mwanachuo anashindwa kupambanua 😂😂
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 4 күн бұрын
Tatizo ni pale unapokuwa huna msimamo. Uliandika barua ya kuondoa kesi . Wewe wanakuita kwa mara nyingine unaenda bila kwenda hata na rafiki yako au na wakili . Wanaenda na kukufanya uandike barua.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Acha kupiga umalaya😢
@josephineokama2200
@josephineokama2200 4 күн бұрын
haki itendeke mahakama wawe na hofu ya mungu kuangalia hii kesi imekaaje
@jacobmachibula5171
@jacobmachibula5171 23 сағат бұрын
Mtoto huyuu mmmh
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 5 күн бұрын
Rekebisha kauli hiyo mm yako sio maskini ,mbona unavuka mipaka heshima kwa mmyako,ww umesababisha mm tangu amekuwa labda hajawahi kupata changamoto kama hiyo ,
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 күн бұрын
# huyu binti kikubwa wanaume tuwajue hawa mabinti wa namna hii ni hatari kuliko Acid.
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 5 күн бұрын
Dada jasiri wewe watoto wengine hata laki mbili wangekubari yaishe
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Tamaa tu
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 2 күн бұрын
😳😳😳
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Күн бұрын
Jina lakenani huyu binti
@margaretjoseph6501
@margaretjoseph6501 7 сағат бұрын
Composite or compare 🤔 😂
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 2 күн бұрын
Mtu anapata div 1 lakn hajui compare na compensate
@lucialaizer5572
@lucialaizer5572 4 күн бұрын
Pole sana mdg wangu hayo ni ya dunia yanapita utazame msalaba utakua na amani ya moyo never give up nimesikiliza mpk mwisho mwanzon nilikua nakuona wewe ndyo mbaya ila mpk hapa nguvu ya madaraka ilitumika
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Күн бұрын
Kumbe hujui kuchambua ingawa umemsikiliza, yaani mpaka mama Kala mshiko? Halafu eti unatetea utumbo?huyo ni nguru bangi mchezo anaujua vzr tu sema katumwa ili amchafue mheshimiwa.
@simbahmsini
@simbahmsini 4 күн бұрын
Mi nauliza hivi Nawa alitumia kilainishi gani mpaka ikapita bila kizuizi Kwa huyo Binti au mlango ulikuwa wazi?
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 күн бұрын
Sasa ulikua kwenye mahusiano ulimfunga wa nimalaya siku moja tu ukaanza kumpa matatizo
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
malaya ni mkuu wa mkoa aliyeacha ndoa yake na kufanya umalaya na binti mdogo
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 4 күн бұрын
Mi najiuliza mpaka mkuu aennde mtaroni kwani njia kuu imeharibika?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
W umelipw m 10 hao police w takulipann ww una zambi mbona humtaji alokula bkr y nyuma nae umfunge ww rohooo mbaya
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Күн бұрын
Mpumbavu sana huyu binti. Yaani hata mtoto anaelewa kwamba ni muongo kuliko maelezo. Binti huyu ni changu doa tena mzoevu sana gwiji yaani kwenye umalaya. Katumwa ili kujipatia kipato lkn laana itamfikia tu, Mungu si Athmani. Halafu hata kabila lake hataji ila ni muhaya huyu msichana.
@d15355
@d15355 4 күн бұрын
huyu binti ni muhaya halafu angalia anavyoongea ni wazi kuwa ana ndoto ya kuwa superstar hii ni moja kati ya kiki, ila inamchafua yeye zaidi kuliko RC,
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 3 күн бұрын
Kama hamjui msilopoke.hii habari Hadi taarifa ya habari I T V.walisema.hawezi kudanganya
@danielmgomo717
@danielmgomo717 3 күн бұрын
Kuropoka maana yake nini ? ITV wao ni nani hadi waseme binti hawezi kudanganya, ni kweli alilawitiwa hadharani kwenye gari kwa hiari yake.Umalaya wake ndio uliosababisha aliwe hadharani.Ni kosa la jinai kufanya mapenzi hadharani kwa hiyo wote wawili wanasitahili kuadhibiwa.
@d15355
@d15355 2 күн бұрын
@@jareengeorge5478 ITV wao ni nani? si waandishi tu wakawaida,huu ni mtego huyu ni malaya hana maadili yeyote kama anavyotaka sisi tuamwamini hivyo,huwezi ukawa na mapenzi na mwanaume nje ya ndoa miezi zaidi ya 6 kama alivyosema na mamake karidhia halafu baadae uje utuambie eti nyie ni watu wa maadili ni uwongo, mi nahisi haya ni majibu tu ya machangudoa kwa wakuu wa mikoa wanaoendesha operation dhidi yao kama vile DSM n.k itakuwa wameamua kujibu kupitia njia hii ili kujilipiza
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 Күн бұрын
Iachie mahakama itatupa majibu!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
Ameingiliwa nyuma n mtu w kwanza mbona humtaji mkuu n wpili habar mnauza media amelipw million 10 yule w kwnza yuko wp alimpa nn wanachuo hua wanaliwa nyuma w sipate mimba,ee kijana alikula,umr mdogo aliachw huy sahiv umr mkbw ndio imauma acheni ubaya,
@DahHodges777
@DahHodges777 Күн бұрын
Wale wote wanaomkejeli binti huyu na kumbeza nawaombea na nyie yaje yawatokee katika familia zenu!! Maana chizi anachekesha akiwa atokei kwenye familia yenu!!
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir Күн бұрын
Ovyo kabisa unamtetea malaya?
@luckyrayyan0013
@luckyrayyan0013 4 күн бұрын
Siku ya kwanza tu una uombea kazi ndugu yako looo Tamaaa nyingi sana wana chuo
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
kuomba kazi ni jambo la kawaida haimaanishi ndio utumie madaraka yake kubaka
@mohamedomari6129
@mohamedomari6129 6 сағат бұрын
Kumbe wakuu wa Mikoa wanaajiri, Ama ni Rushwa alitaka kutoa​@@hamisimuhunzi7916
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
Tamaa tu Aibu hata kwenda media kujitangaza zaidi apate soko zaidi
@stanastana3199
@stanastana3199 21 сағат бұрын
Mbona wanawake wa Tanzania wengi wanapenda nyuma
@d15355
@d15355 16 сағат бұрын
hawataki mimba hasa hasa wanafunzi ndio wenye michezo hiyo
@stanastana3199
@stanastana3199 16 сағат бұрын
@@d15355 ok sawa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 күн бұрын
She is more than 21years if age siyo mtoto.Biashara anaipenda ili mradi alipwe mamilioni Alienda mwenyewe kwake.alijipeleka Mjinga sana😮
@dearmama7865
@dearmama7865 4 күн бұрын
mtoeni hicho kivuli tunamjua
@ShabaniNsase
@ShabaniNsase 4 күн бұрын
Huyo ni Malaya t km Malaya wengine
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
malaya ni RC Alhaji Yahya Namdawa aliyeacha mkewe na kulimbiza na binti ya shule
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele Күн бұрын
Hakuna ukatil alienda kusoma alienda kufanya umalaya, shenz kabisa wazazi hakuna kitu mnafundisha nin jamii hiv vyana chuo hovyo kabisa
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
Malaya ni alhaji Yahya Nandawa aliyeacha mkewe na kwenda kulala na binti mdogo wa shule
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Күн бұрын
Huyu muongo
@winnesakara6957
@winnesakara6957 4 күн бұрын
Mjinga huyu angalia mdomo anavyouganya
@d15355
@d15355 4 күн бұрын
Umeonaaee anavyoongea anaongea ki superstar saana huyu bint ni hatari saana,ila hii kesi hashindi kwa uzoefu wangu wa kisheria na itamdhoofisha sana huyu binti akiona hajapata analolitaka lakini kisheria hawampati na hatia RC ila wamefanikiwa kumchafua hilo halipingiki
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 күн бұрын
Huyu ni malaya Kama wengine
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
malaya ni RC Alhaji Yahya Nandawa
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 4 күн бұрын
Rais sikia kilio hiki
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 4 күн бұрын
Muongo kuma mamako ww
@neemamboya99
@neemamboya99 5 күн бұрын
Sjui niseme nini😞. Ila naomba likes 👍
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 4 күн бұрын
Story yote yabuongo imepikwa
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 күн бұрын
..malaya mkubwa
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
malaya ni Alhaji Yahya Nandawa mtu mzima aliyeacha familia na kuvamia binti mdogo
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 2 күн бұрын
Nakuombea mdogo wangu. Somo Kwa wadada kuweni makini na marafiki zenu,muache kukurupukia sherehe zisizo na kichwa wala mkia. Wadada mahusiano siyo pesa au cheo Mwisho mumtangulize Mungu na elekeza akiki Yako katika masomo,biashara nk na kaza usimwogoepe mtu maana haki umezaliwa nayo ila hupewi pambana ukifanyiwa hovyo
@Nghomano
@Nghomano Күн бұрын
Unafunika uso nini malaya
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
malaya ni alhaji yahya nandawa mtu mzima mwenye familia anatembea na mtt mdogo anayeweza kuwa sawa na mwanae
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 күн бұрын
Muache tamaa shenzi
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
mwy tamaa ni alhaji Yahya Nandawa kubaka binti anaweza kuwa sawa na mwanae
@hassankhalid2465
@hassankhalid2465 Күн бұрын
WABABA KUWENI MAKINI NA VIBINT VYA CHUO,MKIPISHANA KANAPANGA JINS YA KUKUDHALILISHA AU KUKUCHAFUA.
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 4 күн бұрын
Malaya mkubwa wewe
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Күн бұрын
Malaya ni Alhaji Yahaya Nandawa aliyeacha familia kwenda kulala na binti wa shule
@danielmgomo717
@danielmgomo717 3 күн бұрын
Aliitwa baada ya kutumiwa nauli na alipofika aliingia ndani ya gari, baada ya hapo alianza kuombwa kufanya mapenzi na alikubali kwa kuhama siti ya mbele na kwenda siti ya nyuma ambako alilala na kuanza kuingiliwa huku akifurahia.Haiwezekani aingie tu kwenye gari mkuu wa mkoa amwanbie anataka kumfira.Kitendo hicho kinaanzia kwanza mbele na ndivyo mkuu alivyofanya na baadae akahamia nyuma.Tatizo hapa linaonekana eidha baada ya kufirwa alikasirika kwa sababu hata huko nyuma aliwahi kufanyiwa hivyo hadi akachukia na kutengana kwa muda na mkuu huyo.Siku hiyo alipoitwa alidhani anakuja kuombwa msamaha kwa kosa la kufirwa huko nyuma.Lakini kumbe jamaa yeye anapendelea nyuma na alipomlaza chini kwa hiari yeye alidhani hatafirwa kumbe kufumba na kufumbua jamaa akawa amemaliza kazi na kumzawadia hela ambazo alizisusa na kuondoka kwenda kushitaki.Kwa ujumla huyu binti ni malaya ndio maana alikubali haraka kuhama siti ya mbele na kwende kulala mwenyewe kwa hiari siti za nyuma.Mkuu wa mkoa nae ni malaya na muhuni kwa sababu kwa hadhi yake hastahili kufanya mapenzi hadharani. Hawa wote ni WAZINZI na ni kosa la jinai kufanya mapenzi HADHARANI. Kama binti anaona atapata haki na faida mahakamani zaidi ya zile hela nyingi alizopewa za kufuta kesi aangalie mahakama makini inaweza kumgeuzia kibao kwa kumwadhibu kwa kosa la kufanya mapenzi HADHARANI , adhabu ambayo na mkuu wa mkoa anaweza kupewa.Binti anajidharaulisha kwa kiwango cha juu huku tayari akiwa amemchafua mpenzi wake kwa kiwango cha kurisha.Katika hali ya kawaida this lady is not NORMAL.
@roseyohana3500
@roseyohana3500 Күн бұрын
Huku baba kwani hana mke jamani hivi vitu kweli vitaisha.hapa kwetu kama ni kweli lol akini inaonekana nikweli sas. Mpoka. Mama ..kapewa pesa . Si hatali hiyo na mtoto. Kapewa pesa umezichukulia. Nini hizo pesa za watu j mwanangu tayali ushakosea
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 18 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 113 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 13 МЛН
Aeleza walichozungumza saa chache kabla ya kutoweka mchumba wake
4:41
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,4 М.
WEWE SIO BOSS STEVE (PART1)
11:57
Steve Mweusi
Рет қаралды 55 М.
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15