KWANINI WALOKOLE WENGINE BADO WANAPITIA SHIDA MATESO NA VIFUNGO WAKATI YESU ALISHAWAWEKA HURU?!

  Рет қаралды 16,912

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 41
@nellymutune4982
@nellymutune4982 4 ай бұрын
Mimi ni wa yesu shetani shidwa katika jina la Yesu Christo. At the name of Jesus Christ,every knee shall bow and every tongue confess Jesus is Lord.
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 4 ай бұрын
Amen mungu akubarki san mtumishi kwa mafundisho mazuri
@KefaPaschal
@KefaPaschal 3 ай бұрын
😊😊nimefurahi mtumishi kwa kazi yako njema itokayo kwa MUNGU
@fredmariita8930
@fredmariita8930 4 ай бұрын
MUNGU mkuu Mwenye rehema kuu unilinde mm mwanao kila jambo nipitiaro.usiniaje MUNGU wangu,kwa sababu mm pia sitakuaje kukufuuta Mungu wangu,🙏🙏🙏🙏
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey 3 ай бұрын
Aminaaa 🎉🎉❤
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 4 ай бұрын
Hapo kwa mazebahu ya babu ni really kuna family ambayo babu yao alikuwa chief ,saa hii akuna mwanaume wote wamefariki ,sasa imeaza sasa na vituuku sasa akuna mwanaume akinuka tuu anakufa akieleweki 😢😢😢
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 ай бұрын
Waingie kwenye maombi watashinda kwa jina la Yesu Kristo kama Mtumishi wa Mungu anavyoelekeza
@BerylSeer1
@BerylSeer1 4 ай бұрын
Mungu Mkuu anibebe siku ya leo. Kwa Jina la Yesu Christo wa Nazareth
@justicemwakikung876
@justicemwakikung876 4 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@justicemwakikung876
@justicemwakikung876 4 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 4 ай бұрын
Ameen and ameen shetani nipishe mm simwanachama wako mm niwa yesu be blessed pastor
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 4 ай бұрын
Amen Barikiwa sana mtumishi wa Mungu zidi kuinuliwa
@DonisiaMusa-xv1fu
@DonisiaMusa-xv1fu 2 ай бұрын
Yaaai
@nellymutune4982
@nellymutune4982 4 ай бұрын
Praise God, Pastor asante. Mimi niliresgn after hayo umesema ilikuwa inafanika kwangu kwenye office nilikuwa branch manager.
@rerisamba
@rerisamba 4 ай бұрын
Pole sana
@ritharuambano7780
@ritharuambano7780 4 ай бұрын
Weeh shetani, nipishe mimi siyo wenu ni wa Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 4 ай бұрын
Ameeeeeeeeen
@user-ey8ug1hg2j
@user-ey8ug1hg2j 4 ай бұрын
Acha kabisa mtumishi Mimi niliolewa na mwanaume ananena kwa lugha lakin kipigo hicho ndg acha
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Hakuwa na Roho Mtakatifu,sio wote wanaonena kwa Lugha Wanaroho mtakatifu,mapepo pia yana Lugha zao
@RahimaShujaa
@RahimaShujaa 4 ай бұрын
AMEN
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 4 ай бұрын
Ameen
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 4 ай бұрын
Barikiwa sana
@user-xw9dq2dn8c
@user-xw9dq2dn8c 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 3 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mtumishi.Naomba namba ya simu
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 4 ай бұрын
Mbwana asifiwe ,hayo mazebahu ni really, meeting every end yr ni really, wanachinja ni true, eti mbora tunasherekea kuzaliwa YESU wanabemba,wanaletea waliokosa kwenda,weeeh ,
@samoramussa5336
@samoramussa5336 4 ай бұрын
Nakuamini katekera vipi mawasiliano yako , msafiri namba za mchungaji utupe.
@eunicekithome1205
@eunicekithome1205 4 ай бұрын
Usiamini mchungaji mwamini YESU KRISTO wa Nazareth ❤
@samoramussa5336
@samoramussa5336 4 ай бұрын
Nikweli wakuaminiwa nakudum ni yesu pekee, ila tumepewa uwezo wa kizipima hizo roho zao kuwapima watumishi kisha tuwaamini mafundisho yao kua yametoka kwa Bwana, barikiwa mtumishi.
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 ай бұрын
​@@eunicekithome1205anamwamini mchungaji kama chombo cha Mungu kwa jina la Yesu Kristo
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 4 ай бұрын
Warumi 8 -1
@user-vd1vx1dc8p
@user-vd1vx1dc8p 4 ай бұрын
Mchungaji katekela ninaomba uje kwetu Bugarama kuleta semina au aliye na namba ya Mtumishi anisaidie
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 4 ай бұрын
Atatukikupa hauwezi mpata kupokea CM kazi mie imepiga mpaka nimeacha
@user-vd1vx1dc8p
@user-vd1vx1dc8p 4 ай бұрын
@@marthaadammakatobemwakatob4246 Aise kumbe hivyo tena! Basi ninashukuru angalau kwa taarifa hii
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 4 ай бұрын
​@@marthaadammakatobemwakatob4246wewe mpe tu mwenzio asipopokea basi
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 ай бұрын
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 ай бұрын
​mbona mm alinipokelea sku1@@marthaadammakatobemwakatob4246
@gibsonmnun887
@gibsonmnun887 4 ай бұрын
Naomba unisaidie mtumishi,. Hawa kamchape uku kigoma wana makusudi gan?
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Ni mazingaombwe tu,mchawi anaumbua mchawi anaemzidi 😂😂😂 na usiku wanakutana kama kawaida Vikaoni
@LogisticsRadiokwizera
@LogisticsRadiokwizera 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 ай бұрын
​@@myself4128😂
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 46 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 12 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 18 МЛН
MCH.KATEKELA:UKOMBOZI WA NYOTA ILIYOIBIWA
53:22
PROMOVER TV
Рет қаралды 2,9 М.
KUFUNGULIWA NA KUTOLEWA KATIKA VIFUNGO NA MADHABAHU
1:26:54
MGMN TV
Рет қаралды 21 М.
HATUA 7 ZA KULIHUSISHA NENO LA MUNGU KATIKA KILE UNACHOKIPITIA|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 30/05/2024
1:45:00
SODOMA NA GOMORA ILIKUWEPO SEHEMU ILIYOPO BAHARI YA CHUMVI LEO HII
20:51
Hazina ya Kanisa
Рет қаралды 2,2 М.
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 46 МЛН