KIMENUKAAAA...Lissu na FATMA KARUME Wagombana VIBAYAAA!!!

  Рет қаралды 32,320

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

20 күн бұрын

Пікірлер: 132
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 18 күн бұрын
Huyu tundu lissu ni mkombozi wa hii nchi maana mazwazwa wamejaa bungeni wezi wa kodi tu..
@AbubakarKibenga
@AbubakarKibenga 12 күн бұрын
Huwezi kombolewa na choko
@devamaiza8214
@devamaiza8214 18 күн бұрын
Lissu piga kazi mzee upo sawa
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 18 күн бұрын
Sasa hapo Tundu amekosea nini mbona yupo sawa .. hawa wabunge na mawaziri ni machawa et??? Mbona tundu lissu yupo sahihi... ,,kosa lipo wapi???
@magawakombo
@magawakombo 14 күн бұрын
brooo usimuunge mkono huyooo kuna kitu anitafutia hii tanzania
@wahidabakar
@wahidabakar 17 күн бұрын
kwaio yeye unamtoa sio mtanzania
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 12 күн бұрын
Hii ya kuwafukuza wamasai toka makazi Yao ya asili na kuwahashia pengine sio sawa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 18 күн бұрын
Wafungueni watanzania wapate akili
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 18 күн бұрын
Ccm 2025 wataisoma namba washenzi sana ,huyo muungano ni batili huo ni ujinga mkubwa sana
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 17 күн бұрын
Ccm kuitoa ufunge zikaze
@Allybinamour
@Allybinamour 13 күн бұрын
ndo mana tunasema zanzibar hatuutaki muungano huu,yaani nyinyi watanganyika mnajisahau sana,hapo hatuangalii ukubwa au udogo wa nchi,kabla ya muungano hizi zilikua ni nchi mbili huru, mimi kama mzanzibar naungana na fatma karume tundu lissu umeongea maneno yakibaguzi.alichokifanya rais samia kimefanywa na watanganyika wote walomtangulia mbona mmenyamaza?
@bifukobaharanyi8820
@bifukobaharanyi8820 16 күн бұрын
A very dangerous and unacceptable statements from an individual who is fighting for the top position in Tanzania.
@BonaBonala-bp5qm
@BonaBonala-bp5qm 13 күн бұрын
Wewe lissu sio mmbaguzi mmbaguzi ni huyo muuza bandari za bara tuuu uripo tupo nawewe
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 17 күн бұрын
Kwa mantiki hiyo, Rwanda inayozidiwa ukubwa na Tabora,haipaswi kuwa na Mawaziri, Bunge n.k;yatosha tu kuwa na wakuu wa wilaya. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC kwa manufaa yao,lakini chini ya Rais mtanganyika ikawazuia.hapo napo ilikuwaje?
@zezeshort
@zezeshort 16 күн бұрын
Haya unayo sema anaongea Tundulisu ingekuwa ibaguzi
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 16 күн бұрын
@@zezeshort : ndiyo uone kwamba ni maneno ya kibaguzi, kwa sababu mi nimefanya kubadilisha majina tu;mahala aliposema Zanzibar mi nimeweka "Rwanda",(wapiga kura laki 8),mahala aliposema Tanganyika/Dodoma,mi nimeweka Tabora. Pia, mahala aliposema maamuzi ya Rais mzazibar kuathiri maslahi ya Tanganyika, mi nikatoa mfano wa maamuzi ya Rais mtanganyika kuathiri matakwa ya zanzibar.kisha nikaweka swali,kuwa hilo nalo litasemwaje?
@sanzengwengwe
@sanzengwengwe 12 күн бұрын
KAMA HUJAWAHI KUFIKA RWANDA ULIZA USIJE UKAILINGANISHA RWANDA NA TANZANIA RWANDA WAMETUACHA MBALI SANA KATIKA MAENEO MENGI SANA. WALE WATU WA RWANDA NA RAIS WAO WAKO SMART SANA. MFANO BARABARANI HUKUTI ASKARI AKICHUKUA RUSHWA ABANI ASIRANI WAO WAMEWEKA CAMERA NDIZO ZINAZOONGOZA BARABARANI NA HATA BODABODA WANAFUATA SHERIA KAMA WANAVYOFUATA WA MAGARI HUKUTI BODABODA AKIWA HANA HELMENT AU BODABODA AKAPAKIA MISHKAKI HATA MARA MOJA
@samwelmachaka936
@samwelmachaka936 17 күн бұрын
Anaongea tu akipata madalaka bawwzi kufanya yote anayoongea hakuna anayeingia na pesa zake uongozi nimgumu sana kuongea nilahisi sana
@sizamazongera5610
@sizamazongera5610 17 күн бұрын
mwehuuu kweli huyu
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 17 күн бұрын
Kwahili lisuu nakupa Tano
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 13 күн бұрын
Mmewaona waarabu, wale mashoga mbona huwataji?
@user-xt3pq4hb2r
@user-xt3pq4hb2r 18 күн бұрын
Huu sasa ni ubaquzi unyanyasaji wa hali juu hadharani kwa kauli hizi kwakweli zinakera kama zanzibar ndio imejipendeza kwa tanqanyika kumbe laa hasha tundulisu historia tunaamini unaijuwa vizuri lakini hapa umekosea sio mahala pake kabisa bora unqeonqea historia yenyewe chimbuko lenyewe la kweli bila kupepesa macho labda tunqeliamini kuliko hili
@abuubakarmzee
@abuubakarmzee 14 күн бұрын
Usilete ubaguzi wako Zanzibar iwache
@user-es5hj7dj5i
@user-es5hj7dj5i 13 күн бұрын
Tundu sasa nimekuelewa kuumbe unachokisema unamaanisha kwa mjibu wa katiba yao sasa wanalalama nini?!!
@ElipokeaNassary-ub1yq
@ElipokeaNassary-ub1yq 13 күн бұрын
Tuna kukubali mwenyekiti wetu
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 16 күн бұрын
Ubaguzi,ameuza nini hiyo Kodi inayopatika inaungiwa mfuko gani
@J4UPro
@J4UPro 14 күн бұрын
Yupo sawa
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 13 күн бұрын
Huna mana yoyote mjinga Mkubwa wewe unaleta uchochezi Hufai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi
@AhmedIssah-rz1nz
@AhmedIssah-rz1nz 18 күн бұрын
Siamini kma maneno hayo umeongea wewe chadema sahau kuhusu zanzibar ushaiiyua kbsa kwa kuwabagua wazanzibar wazi wazi
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 17 күн бұрын
Lisu uko vizuri sana tatizo uko pekeyako inatakiwa kuwepo aina ya akina Tundu Lisu miambili
@sylvestermitanda3502
@sylvestermitanda3502 12 күн бұрын
Hiyo ni kuwavurugia utamaduni wao
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 17 күн бұрын
We can't trust fatuma karume let we Tanzania dimand our Tanganyika nape nauye l think is has got no idea what is trying to say
@fabiaonamiva3430
@fabiaonamiva3430 17 күн бұрын
Chadema na tundulisu wanaeneza será za ubaguzi hatuwataki mna agenda za magharibi
@StephenChama-nh2vr
@StephenChama-nh2vr 17 күн бұрын
Kwanini mzanzibari atutawale sisi watanzania mtanganyika mbona hajawai kuitawala zanzibar.ka zanzibar ni ka nchi kadogo kwanini watulani sisi.nikadogo kama kamkoa ka kilimanjaro
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 17 күн бұрын
Kiswahili chako kibovu...
@StephenChama-nh2vr
@StephenChama-nh2vr 17 күн бұрын
Lisu is right
@wahidabakar
@wahidabakar 17 күн бұрын
hatukupi urais utakuja kutubagua wewe hatutaki kubaguliwa tunataka utanzania wetu
@abuubakarmzee
@abuubakarmzee 14 күн бұрын
Muongo mkubwa watanganyika wangapi wanamiliki ardhi Zanzibar?
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 17 күн бұрын
Kwani Zanzibar imeingia Muungano wa baina Nchi mbili au Nchi moja na Jimbo lengine. Hili la kuwa Katiba ya Jamhuri haitaji Tanganyika ni makosa ya Baba wa Taifa sio Wazanzibari
@magawakombo
@magawakombo 14 күн бұрын
uzalendo nchi iwe na amani mbn kwenye maandamano hamuendi na familia zenu watanzania kumbukuni LISSU kwake kwa sasa ni UBELGIJI SO UYO NI MTUMWA AMBAE ANATAFUTE NCHI IWE NA MIGOGORO AMSHE I LOVE YOU TANZANIA song TANZANIA TANZANIA
@MuhammadShariff-ji9ye
@MuhammadShariff-ji9ye 14 күн бұрын
Sasa wakulaumiwa ni Nyerere au Samia kuwamkuli unapo zungumza Wacha ukabila unajaribu kugawanya watu ikiwa watafuta uraisi unganisha watu
@khalidmhina67
@khalidmhina67 13 күн бұрын
Sasa ikiwa znz inawapiga kura wachache ukilinganisha na Dom mbona kwanini kipindi cha uchaguzi wanapelekwa wanajeshi na silaha kali za kivita kama roketi renja hawapelekwi Dom kwenye wapiga kura wengi fafanua niniwoga wenu
@IbrahimMwakasembe-mu5fv
@IbrahimMwakasembe-mu5fv 13 күн бұрын
Waulize ccm, sio lissu
@hanifhassan183
@hanifhassan183 13 күн бұрын
Hivi hizi ni siasa au ni uchonganishi wa watu. Mungu illness Tanzania na watu hawa tudumu na muungano wetu huu ni uchuro.
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 18 күн бұрын
We baba kwa zn ni wapi lkn
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy
@AlfredAsanwisyemwankotwa-dl2zy 18 күн бұрын
Kwanini mtanzania bara hawi raisi wa Zanzibar???
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 17 күн бұрын
Kwn mwinyi ni nani
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 17 күн бұрын
Tafuta Hera siasa achana nayo
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 17 күн бұрын
Mbona wameshatawala wote ni wabara ispokuwa idrissa tu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 17 күн бұрын
​@@stevenkatani3047hera ndio nini
@solomonadams6337
@solomonadams6337 17 күн бұрын
Kwa sababu sio Mzanzibar huu Muun'gano ni haram kwa sababu raia wa nchi mbili sio waliokubali bali vilikua ni vitisho vya Nyerere kwa Sheikh Abeid Amani Karume ,Nyerere alilazimisha Muun'gano Raia wa Zanzibar walikua hawataki Muun'gano sawa.thanks
@user-kw5pb9dd7p
@user-kw5pb9dd7p 18 күн бұрын
Mhuuuuuuu
@AhmadAbdalla-mq3dp
@AhmadAbdalla-mq3dp 12 күн бұрын
Ww umefeli kisiasa lisu huna jipyaaa
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 15 күн бұрын
Tundu Lisu hakupigwa Risasi na Samia, lakini analia na Samia kuwa ni Mzanzibar, Jee huyu Samia sio Mtanzania. Tupunguze upuuzi wa watu wabovu kama kina Tundu Lisu. Hawa ndio Wasiojua jina laTanganyika limetokea wapi? Hata Nyerere hayajui hayo.
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 17 күн бұрын
Ni katiba inamruhusu na washauri wake ni watanganyika. Wamasai na wanyaturu wamejaa Zanzibar tena wamechukua vitambulisho vya Zanzibar wanamiliki Properties kubwa tu.
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 14 күн бұрын
Wewe kenge kweli sasa kwanini mnaungàngània huo muungano kama hamtaki mzanzibar awe rais wa Tanzania
@jakalwambemanyalla6287
@jakalwambemanyalla6287 13 күн бұрын
Kwa Mkuu Chadema ndio wapo Madarakani
@hassanadam2708
@hassanadam2708 13 күн бұрын
Huwa napata khofu sana kuhusu huyu mwanasiasa huwa ananitia wasiwasi sana
@halfanmohamed8644
@halfanmohamed8644 17 күн бұрын
Siku chadema wakishika hii nchi waislam na wazanzibari watagu pakwenda😂😂😂😂
@abuubakarmzee
@abuubakarmzee 14 күн бұрын
Tunataka Zanzibar yetu
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 17 күн бұрын
Vikosi vyote vya Jamhuri vilioko Zanzibar ni watanganyika watupu
@humuodkindi4926
@humuodkindi4926 17 күн бұрын
Kwa sababu ya kuidhibiti Zanzibar vyama vililazimishwa viwe vya Muungano sasa kwa hali hii mripuko wako, Zanzibar huna kura na Chadema haiwezi kupata Urais kikatiba.
@user-rr4dw3ii8d
@user-rr4dw3ii8d 16 күн бұрын
Na magufuli na yeye alikua mzanzibari ndio akataka kuku dhuru
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 17 күн бұрын
Mmh! Muungano na fursa zake! Time will tell....
@majutoChengula
@majutoChengula 16 күн бұрын
Bila shaka hapa panahitaji kupevuka akili
@BrayronCharless
@BrayronCharless 18 күн бұрын
😢zanzib nindog hain haridhi kubwa ndiomaan mtanzania harusiwi kumiliki haridhi huk
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 18 күн бұрын
Yuo ni ujinga
@emanuelnisetas7510
@emanuelnisetas7510 17 күн бұрын
Weniboya kwel hatutaki huo mungano
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 16 күн бұрын
Huyu tundu Anaongea bila taiming kuna kujua muda gani uongee nn na muda gani uongee nn, yy anaonekana anavurumisha maneno tuu, huyu ni mwanaharakati c mwanasiasa 😅
@alisuleiman303
@alisuleiman303 17 күн бұрын
Lisu ndani ya muungano hakuna mzanzibar wala mtanganyika maneno ya baba wa taifa
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 17 күн бұрын
Umeambiwa katiba ya Zanzibar inasema hayo sikiliza kwa makini?
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 17 күн бұрын
​@@frankhoffa8356Tatizo watu si hawasomi katib entewe ya tanzania hatujui sembuse tutajua Zenji unakatiba yake , Unajua ss wabongo hatuskulizagi kitu tukafanya research tumekalia ubishi tu kila mtu Anajua Ukweli tunaukataa ,uongo tunakubali , Au tunakubali ukweli uongo tunaukataa Yani tupo tupo tu Hatusomi hata majarida vitabu kujua nchi yetu Walobahatika kusoma wakiongea sis nikupinga badala tutafute ukweli 😏😏😏 Hakuna aliekamilika TUTAFUTENI UKWELI TUSIBISHE VITU TISIVYOJUA WALA KUKUBALI TUSIVYOJUA
@IbrahimMwakasembe-mu5fv
@IbrahimMwakasembe-mu5fv 13 күн бұрын
Who is bb wa Taifa asipingwe.??
@alliymohammed4227
@alliymohammed4227 17 күн бұрын
Uyu jamaa sumu zarisasi zmempanda kichwan nn? Wazanzbr hakuna kumpa ata kura1 uyu iblisi
@SalimAli-wz3mi
@SalimAli-wz3mi 18 күн бұрын
Tanganyika mlibadilisha jina mkaita tanzania
@alinasor8553
@alinasor8553 13 күн бұрын
Nazani umefahm ww msanii
@JosephJonas-to9ny
@JosephJonas-to9ny 17 күн бұрын
Tatzo lako tundu lissu,,unamwongelea magufuri achasiasi mufu magufuri sisi watanzania hatuwezi kumusahau kwa meme aliyofanya,,kwanini wewe kilamahali magufuri nimbaya ?hapo ndounachemka!!5y,.kosoa serikali iliyopo hai madarakani achanana magufuri mwache apumzike,,au ndokusema huna hoja??444
@SalimAli-wz3mi
@SalimAli-wz3mi 18 күн бұрын
Tanganyika mllifuta wenyewe
@user-fo9jw2gb2h
@user-fo9jw2gb2h 17 күн бұрын
We Una udini
@sinahajakhamisjuma
@sinahajakhamisjuma 17 күн бұрын
Kwani tatizo likowap sivunjenitu muungano mstutukane
@PeterKyariga
@PeterKyariga 16 күн бұрын
Umenena point
@afandehassan1
@afandehassan1 18 күн бұрын
Hapa Ka Lisu Ameanguka Mtihani. Asahau Urais
@user-ky8ux9yu7f
@user-ky8ux9yu7f 17 күн бұрын
Huyo bodgurd ni ndugu yake makonda au?
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 17 күн бұрын
Ukapimwe Tena mkojo mzee
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 18 күн бұрын
Lisu uko sawa kabisa nimesoma comment humu kuna watu wanaongea ujinga but kwa sisi tunaojielewa tunakusoma vizuri na unastahili kua Raisi wa Tanzania
@user-dg5cv4lq4j
@user-dg5cv4lq4j 17 күн бұрын
Hanakosea nyamaza hujui kitu
@abuuabdirrahmaan4132
@abuuabdirrahmaan4132 17 күн бұрын
HAWA WAKATOLIKI WA CHADEMA WANA TABU SANA KAMA WAKITAWALA HAWA MH SIJUI
@alisuleiman303
@alisuleiman303 17 күн бұрын
Wewe ni mbaguzi tu siku zote sisi tumekuelewa usijifanye wewe akili sana kwani hakuna maneno mengine ungetumia watu wasingejua kama rais katoka wapi wewe umeuza migodi mbona huongei
@Nedjadist
@Nedjadist 17 күн бұрын
Ila kwa Lisu kusema maneno haya jukwaani ameiharibia CHADEMA. Kuna Watanzania chungu nzima tangu walipozaliwa waliona Muungano tu. Ni kweli Muungano una shortcomings zake, lakini hizi zizungumzwe ki technical kuzitatua, siyo katika majukwaa na wasikilizaji ambao wengi wao hata hawana habari ya matatizo. Huo ni uchochezi na kupanda mbegu za mfarakano. Kama halijui ili, basi hasara kubwa kwa CHADEMA maana suala la Muungano linaungwa mkono na Watanzania wengi, hata wale wanaoamini una matatizo.
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 17 күн бұрын
Akili yako wewe haipo sawa aisee, comment ndefuu alafu umeandika ujinga tutolee upuzi wako hapa.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 18 күн бұрын
Tundu Lisu kweli wewe ni NYOKA, Una Roho MBAYA SANA. Hivi unajisikiliza kweli, ina maana 2025 utapogombea Urais utazikataa kura za Wazanzibar, ama kweli degree is just a piece of paper.
@yassindeffu88
@yassindeffu88 17 күн бұрын
Kwanini sizungumzie utu anazungumzia uzanzibar
@geofreymatengo9746
@geofreymatengo9746 17 күн бұрын
Hujaelewa some, anaongelea katiba
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 17 күн бұрын
Nimeelewa Sana Sana, naona wewe ndio hujamuelewa kama kuhusu katiba hapo Uzanzibari unakujaje? Kiswahili ni lugha mama na ya taifa kwenye mtihani unapata ZERO !!!!!
@SamuwelSindato
@SamuwelSindato 17 күн бұрын
🙋❤️✌️
@slemanMbwana
@slemanMbwana 17 күн бұрын
Hutu no muongo Manama huku Zanzibar watanyika ndio wanao Maliki hats fursa ajira Hugo no mbaguzi anataka kuufitini muungano tu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 17 күн бұрын
This explanation under Tanzania constitution lnfometion minister nape nauye has got no capacity aguimemt with the tundundulisu vary far distance sametime better keep quyert lf you have got no resech agui with tundundulisu because tundundulisu has resech when speaks something has difence explanation now nape nauye crush into tundundulisu crush now this explanation from tundundulisu is ashemed to lnfometion minister nape nauye and fatuma karume also as well
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 17 күн бұрын
Kwani kuna tanganyika lisu?
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 17 күн бұрын
Huyu ajali yake ipo karibu
@johnmbatta9872
@johnmbatta9872 17 күн бұрын
Tundu Lissu yuko sahihi.
@NuruBomba
@NuruBomba 18 күн бұрын
Kivuruge 😂😂😂
@user-rw7ww2yd7i
@user-rw7ww2yd7i 18 күн бұрын
Alafu wewe ndio uwe rais wa Tanzania hakika nahama nchi
@mutakagoza4759
@mutakagoza4759 17 күн бұрын
Kafilia mbali bas
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 17 күн бұрын
We ongea2 ila nchi hiii hatukupi ccm tupo imara cku ya kupga kura utaona moto
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 17 күн бұрын
Huyu risu ni nyang,aaumkubwa Sana magufuri ndio ilikuwa dawa yake sasa siasa Gani hizi Anazo ongea hana shukirani😮😮
@zakariamalembela3974
@zakariamalembela3974 17 күн бұрын
Unaongea upuuzi gani sasa hapo unajijua kweli?
@user-vi4wx7oi7o
@user-vi4wx7oi7o 18 күн бұрын
Piga kelele ukae ukijuwa urais hutoukalia mpaka kufa kwako.
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 18 күн бұрын
Wewe nani panya au paka au makalio mwizii mkubwaa mwishoo utafika 2 na wewe sio m zt wewe maana aujitambuii mbw coco
@Ahdall
@Ahdall 17 күн бұрын
Rubbish
@2003hintay
@2003hintay 18 күн бұрын
Lisu una matatizo kidogo
@ahmedburhan5104
@ahmedburhan5104 17 күн бұрын
Lisu sijui sahuv umekuwaje. Yaan huelewek we huon hizo siasaunazofanya zimehaa chuki na udin? Ndio kinachokusumbuwa.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 17 күн бұрын
Fatma karume alichoongea alikuwa sahihi kabisa. Tusibaguane sote watanzania.
@Nedjadist
@Nedjadist 17 күн бұрын
Hizi nchi lazima ziungane kabisa kuwa na nchi moja tu. Nyerere ameacha kizaazaa. Eti hakutaka Tanganyika kuimeza Zanzibar! No. Alijua Watanganyika wapole na mbumbumbu. Kaa angefanya serikali moja, Wallahi asingekaa madarakani miaka 20 na ushee. Wazanzibari wasingemwacha. Hiyo ndiyo sababu.
@wahidabakar
@wahidabakar 17 күн бұрын
na usije kuomba kura zanzibar uishie huko huko
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 17 күн бұрын
Watanzania wenye akili hawawezi kumpatia madaraka mtu anaetumia jukwaa kuwagawa watu badala ya kueleza sera za chama chake.
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 13 күн бұрын
Tundu unajivunjia heshima yako mjinga wewe wamasai hawajafukuzwa hapa nchini Bali wamehamishwa kufukuzwa maana yake ni kufukuzwa nchi
@ShabiruIssa-go4ft
@ShabiruIssa-go4ft 18 күн бұрын
..h.
@SalimAli-wz3mi
@SalimAli-wz3mi 18 күн бұрын
SAMIA NI MTANZANIA KAMA WEWE
@user-tw9jk8ow1r
@user-tw9jk8ow1r 18 күн бұрын
tundu unawelekeza wapi watanzania hayo ni maneno tu ya kujiingiza mahali unapotaka na ukipata tu yote utayasahau ndio siasa hizo
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 18 күн бұрын
Ww bado unatatizo ktk ubongo wako kibaya Zaidi hata hawo wenzako wote ovyo hamna sera za kuwambia wafuasi wenu Zaidi kuwasema watu na kuleta udini na ukabira na kuwabagua watu hii itawahukumu na wajinga hamna mashiko Zaidi ya unafiki na ujinga
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 17 күн бұрын
Utakua rais wa familia yako labda
@athumanmapunda
@athumanmapunda 18 күн бұрын
Mpumbaviu msenge shoga utakufa muda sio mrefu Kuma ya mama yako
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 17 күн бұрын
Kumamayo chawa wa ccm ww Kuma la mama yako nikopo kwa kumzaa mtoto mupuuzi mupumbavu umbwa ww ccm wanakupa nn
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 17 күн бұрын
Na ww ulizaliwa kwenye nn au ww mama yako ana Kuma ya nyani pumbavu ww na ma CCM wezio
@user-uk3eg3uo7s
@user-uk3eg3uo7s 18 күн бұрын
Sisi wahanga wa maisha magumu na tunaoteswa na mifumuko ya bei na matibabu tunashindwa kumudu gharama tunamuelewa sana tundu lisu.
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 17 күн бұрын
Kwahili lisuu nakupa Tano
Warioba na Lissu WAKUBALIANA Kuhusu MUUNGANO!!!
40:54
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 23 М.
ШЕЛБИЛАР | bayGUYS
24:45
bayGUYS
Рет қаралды 632 М.
where is the ball to play this?😳⚽
00:13
LOL
Рет қаралды 13 МЛН
ALOO!!...Lissu AJILIPUA, Amchana SAMIA Vibaya!!!!
56:06
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 7 М.
Mtikila ALIVYOUKATAA MUUNGANO live bila CHENGAAAAA!
12:13
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 10 М.
Lissu AONGEA NA WANANCHI, Kila mtu ANAANGALIA!!!!!!
16:53
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 2,1 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 43 М.
Оплатил в кофейне сыном @super.brodyagi
0:25
Супер Бродяги - Семейство бродяг
Рет қаралды 2,6 МЛН
Достаточно экстремально? 😆
0:23
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 2,9 МЛН
Невеста бросила жениха ради спасения собаки
0:29
when I am sneezing
0:10
HiFunnie
Рет қаралды 11 МЛН
He Threw A Banana Peel At A Child🍌🙈😿
0:27
Giggle Jiggle
Рет қаралды 9 МЛН