Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

  Рет қаралды 85,745

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akizungumza masuala ya ujasiriamali na wananfunzi wa mwaka wa tatu wa ndakki ya Sayansi asilia na Hisabati kutoka chuo kikuu cha Dodoma UDOM.
Kishimba alikuwa akizungumza nao wakati wa Semina ya Ujasiriamali, Ajira na Kujiajiri iliyofanyika kwa wanafunzi hao ili kuwajengea uwezo wanavyokwenda mtaani wanapomaliza masomo yao.

Пікірлер: 157
@samuelmajule54
@samuelmajule54 Жыл бұрын
Muheshimiwa mzee Kishimba shikamo. I salute you in the name of the intelligence and common sense
@JaphetRingo
@JaphetRingo Жыл бұрын
This man's Brain is rational. Brilliant inspiration
@romastasenterprises4447
@romastasenterprises4447 Жыл бұрын
Hongera sana Mh. Kishimba. Ila hapa kwetu ukitaka kuanzisha kitu kwa kua unaanza kwa mtaji mdogo na uzoefu mdogo unaanza kusumbuliwa na Halmashauri, watu wa viwango na TRA bila hata kujua kamtaji ulichoanza nacho umepatawapi kwamba umekopa au umetoa wapi. Na hivyo vikwazo nilivyotaja ni vichache. Serikali haimsaidii mjasiriamali hata kidogo. Cha kushangaza Serikali inaweza hata ikamkopa mzabuni mdogo na inawezekana ndio anakua ameanza biashara isimlipe kwa kisingizio cha ukaguzi wa madeni hata kwa miaka 10. Huyu mzabuni anaweza hata akawa amekufa sii kibiashara tu hata uhai. Maendeleo ya wananchi ni mchakato. Shida inakua wachakataji ambao ni Serikali wako kisiasa saidi.
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Yani hawana akili kabisa
@tittomarwa4474
@tittomarwa4474 Жыл бұрын
Sawa Mzee kishiba ,Baba shida kuipokea sayansi naujima inchi yetu Mim Nafuatilia Sana Tangu kitambo Expatiation mathematics.yaani sayansi ifanye kazi kimatafa katika inchi.Asant
@husseinmsenuka6319
@husseinmsenuka6319 Жыл бұрын
Hongera Sana Mzee Kishimba na issue ya mabadiliko ya mtaala wa elimu unaoendana na mazingira ya sasa ya sayansi na teknolojia,dunia ni kama kijiji inatakiwa kuwe na mabadiliko ya haraka inayoambatana na Elimu Kwa vitendo.
@lucasndombele6033
@lucasndombele6033 Жыл бұрын
Professor Kishimba in action! Putting theories into reality.
@emmanuelpius5479
@emmanuelpius5479 Жыл бұрын
Hope healing, critical argument
@chrismukaja
@chrismukaja Жыл бұрын
God bless Mzee. Kishimba kwa Elimu maalum . Hakika were Ndola Profesa Wa kwetu
@venny2nyi162
@venny2nyi162 Жыл бұрын
Wasomi tunazidi kufundishwa. Kishimba atumike . Atatufaa sana watanzania
@twaliburajibi856
@twaliburajibi856 Жыл бұрын
Bora professor Kishimba hukuchagua kupita kwenye madarasa rasmi. School is an enermy of true knowledge. Mfumo wa elimu yetu hautatui shida za watu. Wasomi wengi wamekuwa mizigo kwa familia na taifa kwa ujumla
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Жыл бұрын
namuunga sana mkono kishimba ,bonge ya mtu bongo,hii ,hebu heti fikiriakwani nikimaliza darasa la saba na nikahitimu ,kwani ni lazima neende form one(kidato cha kwanza) au ni kihitimu kidato cha nne ni la zima niende ,waka huo huo kidato cha tano ,kama mpango wangu ni elimu ya darasa la saba ,nisilazimishwe kwenda kidato cha kwanza mwaka huo huo ,naweza fanya mambo yangu na nikaamua kusoma tena kama ntahitaji
@OnkyMike-km3jk
@OnkyMike-km3jk Жыл бұрын
Asante sana Mh. Kishimba kwa nondo hizo
@musamaghati7733
@musamaghati7733 Жыл бұрын
Haloo.. kweli hizi ni nondo..
@teamfocusfunny966
@teamfocusfunny966 Жыл бұрын
Elimu ya Ng'ombe nzuri sana
@annemashiku-xf9fz
@annemashiku-xf9fz Жыл бұрын
Soseji sio nyama jaman,sawa. Asante Kwa madini Mh. Kishimba
@tengeru
@tengeru Жыл бұрын
Ni nn
@zedekiahjulius6
@zedekiahjulius6 Жыл бұрын
Kasema only20% ndo nyama
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
​@@tengeru kuna vitu ukiviona wakati wanatengeneza hutokula maisha labda kama anaetengeneza akuhurumie aweke vitu vizuri lasivyo ni majanga tu
@josephfaustine2636
@josephfaustine2636 Жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka mkubwa
@ysmasalu
@ysmasalu Жыл бұрын
Ni mawazo mazuri sana. Nashangaa vyuo vikuu vyetu vinawatunukia watu PhD ambao hata ukiwaangalia unaona hawana sifa. Kishimba anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari.
@isayandolomindolomi1853
@isayandolomindolomi1853 Жыл бұрын
Kishimba ni kiboko kweli wewe ni profesaa
@africayetutv329
@africayetutv329 Жыл бұрын
Kwanini kishimba asipewe kipindi chuo kikuu kufundisha biashara? Mimi nadhani itakuwa safi hata secondary pia hata kwa mwezi Mara moja tu kila chuo
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Hongera sana
@gabrielsawike7327
@gabrielsawike7327 Жыл бұрын
Kishimba mungu akulinde
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 Жыл бұрын
Kishimba genius 🔥🔥🔥🔥🔥
@fabianjames8920
@fabianjames8920 Жыл бұрын
Anastahili sana
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
Hongereni sana Wana udom kumleta profesa Kishimba. Hakika tumejifunza mengi sana
@DiscowKajojo-no2up
@DiscowKajojo-no2up Жыл бұрын
Good kishimba
@mathiasmahenge6047
@mathiasmahenge6047 Жыл бұрын
Mh. Kishimba anastahili kutunukiwa elimu ya juu na mamlaka zinazohusika.
@howardkingu6181
@howardkingu6181 Жыл бұрын
Hongera sana mheshimiwa kujiamini kwako na hekima Yako inatusaidia Watanzania
@masungajp1
@masungajp1 Жыл бұрын
This is what I call GENIUS.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Hakika
@howardkingu6181
@howardkingu6181 Жыл бұрын
We also have to adopt entrepreneurship education in all curricular.
@butungo1
@butungo1 Жыл бұрын
Mh. Kishimba, wewe ni mtu tofauti mno na wengi walioko serikalini
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 Жыл бұрын
Baba baba heshima kwako kwanini tanzania inaziba masikio baba huwe ukweli mungu ndio anao utaka wewe ni hazina duniani na mbinguni pia kwanini watu hawailewi neema mungu akulinde baba akupe maisha marefu amen
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Жыл бұрын
Nimemsikiliza kwa makini mheshimiwa, mimi pia ni mdau wa elimu na nna kasoro zangu nyingi tu kwenye mfumo wetu wa elimu na mengine mengi nayotaka niyatoe katika namna tofauti kama maandishi, documentary n.k. katika kusikiliza kwa makini nimegundua ukiachana na elimu wanafunzi wengi na binadamu wengi hawapendi kujifunza na kufanya exploration ili kupata exposure. Shule wanakupa kiasi kidogo ni kama wanakuwashia taa kumulika linabaki kuwa jukumu lako. If you just seat and hope for fortune unajidanya, ni lazima uwe na tamaa ya kui explore Dunia ndo uta achieve knowledge, hata Manka Mussa ali insist elimu kwasababu alitembea nchi nyingi katika safari yake ya Hijja Mecca, akajifunza vitu vingi ikiwemo ustaarabu wa watu wa mataifa tofauti. Mfalme aliyekuwepo kabla yake kwenye dola ya Mali alipotea kusikojulikana kwasababu alienda ku explore Dunia akajikuta amepotelea hukohuko. Mansa Mussa alivyorudi akaibadilisha Timbuktu ikawa kitivo cha elimu. Mtafuteni historia ya askofu mmoja hivi (alishafariki) alikuwa alikuwa anaitwa Aloysius Balina wa Jimbo la kahama enzi hizo ila alihudumu Geita na Shinyanga pia. Kwasababu ya exposure na kusoma nje alikuja akajenga shule nyingi, vituo vya afya, radio na vitu vingi tu. Somo hapa ni nini? Kusoma ni kitu cha kwanza ila kujieleimisha ni jambo lingine na ku explore dunia ni juu yako mfano rahisi angalia perfection ya doctorate ya mzee wa Singida na yule bwana aliyeitwa mganga wa kienyeji mwenye masters ya finance ya uingereza utagundua mganga yako deep sana kwasababu ana exposure ya elimu na maisha ndo maana kanisa katoliki linasomesha maaskofu wote nje na wanakuchagulia pa kwenda ili upate exposure ya elimu na maisha ukirudi ni jukumu lako kubadilisha vitu kwenda kwenye uhalisia. Hata kishimba mnamuona yako deep ila jamaa katembea, kakutana na misukosuko, kujifunza vitu vingi na kwa akili zetu akijiita la saba eti watu wanaamini, jamaa ana elimu kubwa ya maisha sema hana vyeti na kwavile sisi tunaabudu vyeti ndo anatu prove wrong kwamba vyeti havikupi uelewa kama hujataka kujifunza. Nyerere alichukuliwa kutoka kwao Butiama akapelekwa kusoma Tabora, baada ya hapo akapelekwa Uganda Makelele university akarudi kufundisha wakaona haitoshi wakampeleka Scotland kwenda kusoma elimu ya juu na wakamuwekea misingi thabiti (chini ya Father Richard Walsh) huyu ndo aliona kitu ndani yake, aligundua akifundishwa anafundishika na ana instinct za Uongozi kwenye damu yake kwa ukijua haikuwa bahati mbaya. Walimu Walimfundisha na wakampa perfect education (elewa maana ya perfect education), ndo maana alikuwa na uwezo mkubwa wa ku reason na ku deal na changamoto na kikubwa kabisa zamani watu walikuwa wanafundishwa falsafa hii iliwawezesha kuwa na uwezo mkubwa wa ku reason ndo maana hata kanisa katoliki mapadri wake lazima wasome falsafa. Hapa jiulize, Nyerere alikuwa chini ya Father R. Walsh kama mentor wake wewe upo chini ya nani? Wazazi wako hawataki unataka nini wanakulazimisha tu eti usome uajiliwe hapa ndipo ujinga unapoanzia, Kingine watoto wanasoma falsafa sahizi? Kuna watu wa kuwa mentor? Ndo maana mtoto akibatizwa anachaguliwa msimamizi zamani ilikuwa na maana siku hizi hewa. Kila mtu anakuwa mjinga, kila mtu anamtegemea mwingine afikiri kwa ni niaba yake na anayetegekewa analalamika tu. Tumezaa Dunia ya malalamiko hatujui tatizo mwisho tunakuwa obsessed na watu kama kina Kishimba, tunawaona exceptional kumbe ndo wote ilitakiwa tuwe hivi.
@AdamMemba-ij6xr
@AdamMemba-ij6xr Жыл бұрын
Mansa Kankan Musa. Co Manka.
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Жыл бұрын
@@AdamMemba-ij6xr with all that written words can't you figure out it might be an error? Au unahisi mimi sifahamu kama ni Mansa Mussa? Ok, thanks for your insight reading.
@matayhando6519
@matayhando6519 Жыл бұрын
Unataka tu umaarufu sijaona ulichocomment Bora ungekaa kimya.
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Жыл бұрын
@@matayhando6519 tafsiri ya ujinga ni watu kama nyie. Nitake umaarufu au nisitake wewe inakupunguzia nini mezani kwako? Fix matatizo yako siyo kuendekeza ego. Au comment na wewe ili u expose upumbavu ulionao kichwani mwako. Look for your type to mess with, hivi vitu huwezi ku digest kwa ufinyu wa akili ulionao ndio maana huelewi mhitimu wa vyuo vya maghorofani.
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Nimekuelewa vzr sana
@amosafrica2350
@amosafrica2350 Жыл бұрын
Hii akili ya Kishimba ni kubwa sana. Ni vile tu nchi yetu inapuuzaga sana hawa watu.
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Uyu Mzee inabid apewe nafas kubwaa zaid ana madini meng sana yakutusaidia waTz.... mzee anajua lengo la elim n kuja kuingiza ela... lakin sisi tunakuja kufndshwa kutafta thaman ya X ambayo ata atyjawai kuiona
@domycossan1395
@domycossan1395 Жыл бұрын
Huyu mzee nasikitika amezeeka haraka alipaswa kuwa katika 40's na apewe nafasi ya kusikilizwa na kufuatwa maelekezo yake. Ana akili sana sana.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atamleta mwingine maana Kila mambo hulipanga Kwa wakati
@mussamgonela
@mussamgonela Жыл бұрын
Ni kweli babuu huyu jamaa ni jinias hapo std 7 vp walau angepata form 4
@HabakukiMajogoro-uf1cy
@HabakukiMajogoro-uf1cy Жыл бұрын
Kwa kweli binafsi mh.ninakukubali,maana una mawazo yaliyojaa hekima,busara,na maarifa,.kweli wewe ni haki yako uitwe Profesa.
@davidngenda924
@davidngenda924 Жыл бұрын
Mh kishimba genius sana huyu jamaa daaa
@NelsonMinja-bm4hy
@NelsonMinja-bm4hy Жыл бұрын
Original mind
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Hongera sana Mzee wetu kishimba ,
@Sir_Kisesa
@Sir_Kisesa Жыл бұрын
Genius
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Жыл бұрын
Great entrepreneurs🔥
@givenngoko4528
@givenngoko4528 Жыл бұрын
Profesa Kishimba akiunganisha nadharia na vitendo kitu ambacho mfumo wa elimu umefeli. Live long Profesa.
@danielmuzanye181
@danielmuzanye181 Жыл бұрын
Ni Changamoto chanya anayoileta. Safi sana
@HassanMasoud-tb8uh
@HassanMasoud-tb8uh Жыл бұрын
Tungetumia mafunzo ya meeshimiwa akika tungekua mbali sana kimaendeleo
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Wa tz wanakariri maisha, bado tupo usingizini tukiamka tutajua nini cha kufanya. Madereva wanadiwa vyeti uzeeni vya daraja C na E utadhani daraja D (magari madogo), pikipiki na bajaji ajali hawahusiki nazo au wanaopata ajali wote hawana vyeti.
@medlucas5686
@medlucas5686 Жыл бұрын
Naona kunaumuhimu wa kupata elimu ya kujiajili kwa somo la mzee nchi haiwezi kuendelea Kama waliosoma wanategemea ajira
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Huyu mzee hakika kapita Cuba 🇨🇺 anamawazo makubwa sana
@newvoicetutorial2131
@newvoicetutorial2131 Жыл бұрын
Kunahaja kubwa watanzania kujivunia mzee huyu na kumuombea uzima,
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Жыл бұрын
Mwamba namkubali sana, ginius
@juliusi3012
@juliusi3012 Жыл бұрын
Hakika una wazo zuri 💯💯
@mwenem8130
@mwenem8130 Жыл бұрын
Prof Kishimba
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 Жыл бұрын
Mh. Prof. Dr. Kishimba PhD in action!
@rusanzurubigo1103
@rusanzurubigo1103 Жыл бұрын
Big brain
@DennisDidas
@DennisDidas Жыл бұрын
Kishimba anazungumzia Knowledge and invention, Knowledge provides the basis for invention, while invention expands and enriches knowledge. They are interconnected processes that drive progress, innovation, and the advancement of society.
@jameszephania3143
@jameszephania3143 Жыл бұрын
Watoto wamechezea Boom hapo wamekata Tamaa jamani.
@annemashiku-xf9fz
@annemashiku-xf9fz Жыл бұрын
Hahahahah,wamechoka sana
@bilid4128
@bilid4128 Жыл бұрын
😂😂😂 cha ajabu anachoongea Mheshimiwa hawaelewi kwa sababu hajaonja joto la mtaani wakajua likoje!! Hapa walipo hao wanachuo wana uhakika wa Bando,kula ,kuvaa na kulala ...lakini Hali itakuwa mbaya mara baada ya kumaliza chuo ...hata hela ya vocha itakuwa Kimbembe kupata 😢😢 ...
@African511
@African511 Жыл бұрын
Tatizo la watu weusi hatuthaminiani,huyu mzee angekua mzungu,sasa hivi angekua Prof kabisa.
@yohanamlowe704
@yohanamlowe704 Жыл бұрын
Asante mzee nimejifunza
@howardkingu6181
@howardkingu6181 Жыл бұрын
Kuna tekinojia nzuri ya india na china ya kutengeneza majiko ya kutumia kuni kidogo tu na kutoa moshi kwa nje kutumia chimney.
@jumamhagama7913
@jumamhagama7913 2 ай бұрын
Ninamuelewa sana huyu profesa hakika huyu ndio yule profesa niliekua ninamtafuta
@matiasmwalongo
@matiasmwalongo Жыл бұрын
Safi mkuuu
@hassanmshinda8575
@hassanmshinda8575 Жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Жыл бұрын
Kupanga mifumo serekari lazima ichunguze na wakulima watengenezewe kila mkoa soko kuu la uuzaji wazao.
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 Жыл бұрын
👍 👍
@abbasirovya6118
@abbasirovya6118 Жыл бұрын
Hakika mzee kamwaga nondo za kutosha. Ipo haja ya kujiuliza wapi tunakwama na kutafuta suluhisho ili twende mbele.
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Жыл бұрын
Wenye PhD ndo wanatuangusha sana hii nchi wana dharau sana maisha ya uhalisia
@princes6045
@princes6045 Жыл бұрын
Hakika Kishimba ni zaidi ya Profesa.Adumu
@innocentlongino5664
@innocentlongino5664 Жыл бұрын
Hiki chuma
@amansimba1429
@amansimba1429 Жыл бұрын
Madini ya huyu mzee tutayakumbuka kipindi akiwa hatupo nae duniani
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Safi sana kishimba bungeni ukisimama kuwaelezea vitu vyenyefaida katika nchi hii ili itusaidie wao huwa wanakugeuza wewe kama komedi wanacheka tu nakukuachia ushauli wako mwenyewe wao wanaendelea naupigaji wako afazali uleushauli uliyokuwa unawapa wapigaji geuzia kwahawa wanafunzi kidogo tutaona mabadiliko na maendeleo yanchi yetu kwasababu wao akilizao nyingi hazipo katika upigaji akilizao zipo kwenyemasomo tu hayapo kwenyeupigaji
@bestitz7633
@bestitz7633 Жыл бұрын
❤😊
@josephmayenga4615
@josephmayenga4615 Жыл бұрын
Kwannsa huyu mbuge asipewe nafasi za juu kusaidia Tanzania kwasababu maono yake ni ya maendeleo Mungu anasaidia sana
@charlesmapunda2002
@charlesmapunda2002 Жыл бұрын
Uyu Mzee ana akili sana
@jcmmassao
@jcmmassao Жыл бұрын
mawazo yako yataishi kama maisha ya watu
@ommyregga5829
@ommyregga5829 Жыл бұрын
Nakukubar san japo tumeishia la saba ila sisi tuna akiri kuliko waliosoma
@johnshauri3130
@johnshauri3130 Жыл бұрын
Nyie mna nguvu kuliko waliosoma maana waliosoma wanachimba mita kumi na msiosoma mita 40
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Ukipata nafasi kasome maana kusoma SI DHAMBI ni kujiongezea maarifa ,hapo kishimba ameshasoma mwenzio ata kama alichelewa ,
@bilid4128
@bilid4128 Жыл бұрын
Aliyeishia la Saba akili yake haina ukomo!! Akili yake inaweza kujaribu mambo mengi maana hajui Theory/sheria za nyingi nyingi za kufanya Mambo kama watu wa Chuo au A level hata O level ! Sheria hizo huwajengea wanafunzi ukomo wa kufikiri .Ndiyo maana mhitimu wa Chuo kikuu tena wa Biashara anatafuta pa kuajiriwa 😂😂😂 ili hali elimu ya biashara anayo .Hapo ndiyo tunakuwa na Mashaka na tunayofundishwa vyuo vikuu !!! Hayatekelezeki kwa Vitendo!!!
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Hakika hata hao vijana inabidi waweza na akili kukuelewa ,maana navyowaangalia ni kama wanawaza ,ila hawaeikilizi wanasikia tu hapo ,KAZI TUNAYO KUBWA SANA BADO KAMA TAIFA
@FanuelAloyce
@FanuelAloyce 4 ай бұрын
Wengine naona wamelala hawaelewi maana bado Wana mikopo ngoja wamalize wataamka tu
@edwindaniel7306
@edwindaniel7306 Жыл бұрын
Mzee kishimba ana maono ya kweli maana yeke iwepo elimu ya vitendo kuliko elimu ya kwenye vitabu maana dunian mambo yamebadilika tuache elimu ya kukopi tunazidi kuaangamia tanzania kielimu maana wasomi ni wengi na ajila hamna
@amiribakari2528
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Mama nakuomba sana mpe huyu mzee kakitu fulani hizi ili atumike kwenye hii nchi...tafadhali mama..
@karimchindema9823
@karimchindema9823 Жыл бұрын
Mawazo yake na nchi ni vitu viwili tofauti...hafai Ana akili kubwa... hii nchi inahitaji akili za kawaida tu kuiendesha
@charlesmwamlima3923
@charlesmwamlima3923 Жыл бұрын
Hawawezi mpa cheo si et kisa hana degree
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 Жыл бұрын
​@@karimchindema9823hahaaaa
@batulimwasisime886
@batulimwasisime886 Жыл бұрын
HUYU MZEE MHIMU SAANA KWENYE NCHI HII
@sifuabdallahmkamba6102
@sifuabdallahmkamba6102 5 ай бұрын
Huyu Mh ni madini sana ila akisha kufa ndiyo anapewa maua yake. akiwa anaongea Mjengoni huwa wanamuona kama comedy
@MathematicsInTZ
@MathematicsInTZ Жыл бұрын
Wanafunzi wenyewe naona hapo wanamwona kama qnapoteza muda
@emanuelsamwel5085
@emanuelsamwel5085 Жыл бұрын
🎉
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👍✌👊
@davidbahati3748
@davidbahati3748 Жыл бұрын
Kishimba as kishimba
@howardkingu6181
@howardkingu6181 Жыл бұрын
Missing link in our education is not "based on problem solving approach"
@elijahfresh5985
@elijahfresh5985 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi sana
@ladislausmasala7367
@ladislausmasala7367 Жыл бұрын
Apewe nchi huyu...
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Hiki ndio kilichotakiwa kwenye nchi yetu.Muwalete watu wenye mifano dhahiri
@GodfreyMwambwalo-ev9nh
@GodfreyMwambwalo-ev9nh Жыл бұрын
Huyu mwamba apewe nchi tutapata maendeleo makubwa sana ana akili kubwa sana
@rashidlwengo6940
@rashidlwengo6940 Жыл бұрын
Mimbumbu haijui kitu
@howardkingu6181
@howardkingu6181 Жыл бұрын
Nadhani hujamuelewa TU. Siku Moja utafunguka.
@DullaEster-u9t
@DullaEster-u9t 9 ай бұрын
hahahhahahaah lakn waheshimiwa mnashidwa kufundisha nn namna gan ss wanafunz tunafkisha mawazo yetu kwenu kwa maana hakuna nafas amby wanafunz tunaweza kufkisha mawazo yetu kwnu kwan tunayo mengi sana zaid ya haya yenu maana cc ndo waanga wa kipnd hki
@sundaymsenga9351
@sundaymsenga9351 3 ай бұрын
Watu wa CNMS wajinga sana mnalala wakati baba anazungumza mambo ya msingi😂 mbadilike mambo ya sap yakishamba sana
@davidbahati3748
@davidbahati3748 Жыл бұрын
Mzee wa nje ya boksi
@jumamakamba2212
@jumamakamba2212 Жыл бұрын
Olechiza ngosha
@ImaniSaid-m8u
@ImaniSaid-m8u 6 ай бұрын
Wasomi wetu nisist du na kaka du
@InnocentAlfred-ro1nx
@InnocentAlfred-ro1nx Жыл бұрын
Unapokoment ajenda kw fikra" neg au pos" kuhusu mantiki za phd; kishimba makinka mnooo kabla ujaanza kulopoka yey uandaa nondo kwa wigo mpana hvo kma unahsi utoeauti andaa zako nawe tuzchambue
@obbykambi98
@obbykambi98 Жыл бұрын
Cc tuna Akili lkn darasa la saba " Kishimba ana akili na Ueledi maskini hana cheti "
@ndetitave466
@ndetitave466 Жыл бұрын
Tunahitaji watu kama hawa
@mashaurimasolwa2601
@mashaurimasolwa2601 7 ай бұрын
huyu jamaaa anamadini sana
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Жыл бұрын
😅
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
wasomi hao hata kutengeneza kiberiti au saa ya mkononi hawawezi na masters zao
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 155 М.
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 261 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Tazama kisanga cha mzee aliyetishia kumletea nyuki Mkuu wa Mkoa Dodoma
14:47
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Mwanafunzi UDOM atetea PhD kwa Zoom Meeting
5:30
UDOM TV
Рет қаралды 13 М.
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН