WAZIRI MKUU AKASIRISHWA AMWASHIA MOTO MTUMISHI, "MMEJENGAJE MILIONI 11 HII NYUMBA, SITOWAVUMILIA"

  Рет қаралды 127,481

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 321
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 2 жыл бұрын
ANAETAKA WAZIRI MKUU MAJARIWA AWE RAIS 2025 -2030 GONGA LIKES KWA MAJARIWA
@athanacnicholauc3555
@athanacnicholauc3555 2 жыл бұрын
Umeongea pointi mwamba, huyu jamaa anatakiwa ashike urahisi na ataupata
@FreeGod368
@FreeGod368 2 жыл бұрын
huyu alitakiwa kuwa rais
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Alitakiwa na nani? KATIBA? Yaani mazezeta mna shida😅 Halafu si ndio nyinyi mnaosema hamna haja ya katiba mpya!!! Sasa huyo mnaemtaka awe raisi atakuwa rais kupitia utaratibu upi!!! Pumbavu zenu..
@kazikazini1042
@kazikazini1042 11 ай бұрын
Endeleeni kumchoresha
@JumaRashidi-qu6nv
@JumaRashidi-qu6nv 2 жыл бұрын
Hongera Sana muheshimiewa na nakuona uendelee hivyo hivyo,usipoe hata kidogo kwa maana ndio tunataka viongozi wa Aina yako,mungu akulinde baba Kasimu Majaliwa
@sophiaalexandersophia8610
@sophiaalexandersophia8610 2 жыл бұрын
Kwa Mara yakwanza tangu afe magu Leo ndo namuona waziri yupo kazini kweri huu moto mngeufanya kila siku ingependeza sana tembelea baba na kwenye mahospitali na mahofsi baadhi ni shida
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Leo waziri Mkuu umenifurahisha Sana, Huo moto muuwashe hata kwenye mfumuko wa bei
@azizahharoun1236
@azizahharoun1236 2 жыл бұрын
That man has Magufuri's spirit in him 🥺🥺
@abdulatiftu9836
@abdulatiftu9836 2 жыл бұрын
Kabisa our next president
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
Hamna Dada kuna watu wanapiga mabilion y hela n hawaguswi uyo anaonewa kw sababu n papa Mdogo sana
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 2 жыл бұрын
Nyokooo
@ramadhanisanze3631
@ramadhanisanze3631 2 жыл бұрын
Rais alibaki tz ambaye anaweza
@abedomar5183
@abedomar5183 2 жыл бұрын
RIP John Magufuli, daima tutakumbuka kwa uongozi wako
@stefanomwanzarubi6216
@stefanomwanzarubi6216 2 жыл бұрын
Hadinimemkumbuka magufuli
@bubelesatanzanialogistics3948
@bubelesatanzanialogistics3948 2 жыл бұрын
Mh kasimu majaliawa apongezwe na tumchague awee raisi kwa maswalia ya nguvu
@fadhilimanjeka3729
@fadhilimanjeka3729 2 жыл бұрын
Hawa watu hawajawah kuisha, hata wakat wake mambo yalikuwa haya haya, kikubwa hatuna wazalendo katika nchi yetu.
@mahmoudabdallah4533
@mahmoudabdallah4533 2 жыл бұрын
Duh
@antonychristian1369
@antonychristian1369 2 жыл бұрын
Huyo nae alikuw na madudu yake,,, Mambo haya yalikuwepo,, why alibana uwazi,, ripoti ya mkaguzi na mdhibit w hesabu za serkar ilitolewa baada ya yeye kufarki,,, tulion hasara kubwa haikuwah kutokea Huw mnanikera kumaanish jamaa aliyatenda mema sana
@evarimdecoration4256
@evarimdecoration4256 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana watanzania asilimia 99 sijui unaelewa! Mungu akulunde sana tunakuombea piga kazi RIP JPM WETU!
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 2 жыл бұрын
Yaan kama nauona uraisi 2025 mikononi mwako mzee....yaan kama umepatwa na furaha kama mm jinsi anavyohoji like hapa twende sawa na mkuu wetu💪💪💪👍👍👍
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 2 жыл бұрын
Asante kiongezi wangu waziri mkuu mngu akulinde katika kazi yako mtetezi wa malizetu uliye baki ww ndo jicho la matumain yetu ya kesho
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Kasim Majaliwa tunaomba urudishe utendaji wako km zamani, tunajua ni ngumu kufanya Kazi ukamzidi mama yako Samia atajua unataka kumpindua ila watanzania wengi tulikuelewa kipindi Cha uwaziri wako na Magufuli.Safi sana waziri
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Mungu Akulinde Baba🙏.
@ramadhanhemedi1554
@ramadhanhemedi1554 2 жыл бұрын
Uko sahihi muheshimiwa hongera
@jamesjeremiah9416
@jamesjeremiah9416 2 жыл бұрын
Nmependa Hii...Asante Baba Endeleza Moto .. Mungu Akulinde. na Charamila Kagera..Moto unaonekana
@laurenciakamata
@laurenciakamata 11 ай бұрын
Maamuzi maziri waziri Mungu akutie nguvu kazi iendelee
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Upigaj mdogo sanaa huo,wadogo mnwakamataa wez wakubwa mnawaacha
@richardchijana9665
@richardchijana9665 2 жыл бұрын
Toka mzee leo nimeona anae fanana nae piga kazi waziri mkuu
@Really-football
@Really-football 2 жыл бұрын
mkuu piga bangili wote walioshiriki huo ujenzi maana wanasababisha serikali ikope pesa nyingi bila sababu.Mwisho wa siku nchi iwe kama sri-lanka
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 жыл бұрын
Nashindwa kuelewa, yaani mpaka PM aje kugundua madudu; ... RC, DC, DED, PCCB, n.k. wapo tuu! Wajibisha wote utakuta hao hao ndiyo hushinikiza na kuwa-corrupt watumishi wao wa chini.
@sk-wj9or
@sk-wj9or 2 жыл бұрын
Ndio maana nimeona comrade Majaliwa hakufika mbali. Labda tutasikia wengine wamewajibishwa of which they should be. Asipo fanya hivyo nitamuona wa Ajabu. Nazidi kudhibitisha moyoni kwanini kwa miaka yote hii tangu uhuru kwanini mkoa ulio toa uhuru haiendelei. Wazawa tuna kazi kubwa ya kujiuliza na kuwa wakweli katika mioyo yetu
@ruthsawida8507
@ruthsawida8507 2 жыл бұрын
Watu tunalala na njaa huku alafu mpuuzi mmoja tuu kajenga Banda la milioni kumi na Moja injinia huyo ni noma na nusu kwakweli
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 жыл бұрын
Tukiwaambia mama hajui hesabu mnatubishia ,huwezi kuongoza jahazi bila kuwahold watu,Leo hii mama yetu akifika anapongeza watu wanajipigia pesa tu ,wananchi wanakamuliwa tozo ,Mungu simama na Taifa lako ,mama yamkini ana nia njema lakini hawa watendaji wanamhujumu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
elimu na ufahamu ni muhimu kuweza kuongoza tiafa na mama enu hana hata kimoja. kila kitu aandikiwe na watumishi wake akipanda jukwaani asome
@mudihb1820
@mudihb1820 2 жыл бұрын
Acha usenge elimu mamako anayo acha kudharau wazazi wa wengine. Msh. Samia ana diploma na kasomea chuo kikuu cha manchester babako hajafika hata dodoma punda we. Mxxx
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
acha matusi weee , bibi yenu hana elimu , na hajui chochote , diploma haina mpango wowote , cheti tuu hata kichaa anaweza pata , nipo na diploma na nilichukiua kwa miezi mitatu tuu , labda diploma ni elimu kubwa kwenu Zanzibar tuu
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
@@mudihb1820 we kishoga unamtetea samia ili iweje?kuma la mama ako we choko mkubwa kuma vaba mkundu kunuka weeeee!!samia kasoma nin mbwa mwenzako tu yule na wote mnafirwa mikunduni had midomon msenge weeee!!Vitu vimepanda bei kila kitu hadi mama ako mzaz aliyekuzalia kupitia mkundu wake naye analalamika kupanda bei kwa vitu alafu unamtetea samia c ndio?we sio bure itakuwa unatombwa na mbwa wa samia
@emmanuelaloyce932
@emmanuelaloyce932 2 жыл бұрын
Afu wanatufanya hadi tunabanwa kwa tozo 🤕🤕🤕.majaliwa rais mtarajiwa ,mungu mlete huyu ,anatufaa wa tanzania
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 2 жыл бұрын
Unadhani ccm itampa huyo nafasi ndani ya chama kugombea urais..
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
CCM wanahitaji poyoyo ili wapate kulamba asali. Huyu Majaliwa hawawezi kumpa na ujue wote aliyekuwa na sauti ya kusikilizwa mzee Mkapa walimtanguliza ahera. Leo hii hakuna wa kusimamia hilo. Walamba ASALI wanaojiita wao ndio wenye CCM wapo. Angalia Humphrey Polepole yuko wapi.
@hamismabula9934
@hamismabula9934 2 жыл бұрын
Majaliwa ungekuwa Rais tu!
@venancengunda3879
@venancengunda3879 2 жыл бұрын
Pumbavu Sana asee nchii hii inaitaji ukatilii watu wanakula hela zetu tyu jmn kweliii asee ngoja niwe kiongozi asee wataniita dictator tyuu
@egonemmanuelkudaba4945
@egonemmanuelkudaba4945 Жыл бұрын
Tunahitaji uzalendo
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 2 жыл бұрын
Nikimuonaga waziri mkuu napata moyo sana Mungu akutunze
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
😂😂nchi Ina vimbwanga hii umasikini hautakwisha 🤣
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
ni ndio maana miaka nende miaka rudi taifa halina mabadiliko ya makubwa ya kimsingi kimaendeleo , matatizo ni hayo hayo kila mwaka na raisi yupo , makamo wake yupo , mawaziri wapo
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Mingepitisha sheria ya kunyonga wezi hao hawana hata aibu
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 kaka utaitwa dikteta kwa hilo , watu hayo ndio maisha yao kuiba serekalini tuu
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 жыл бұрын
Zidi sana katika uchunguzi upigaji mwingi mno tz wachache mliobaki saidia inchi isizame
@imaninjau9135
@imaninjau9135 2 жыл бұрын
Safi sana waziri . Endelea hivyohivyo usipoe.
@queenlizzyplatnumz4942
@queenlizzyplatnumz4942 2 жыл бұрын
The only leader we have remained with😥😥😥 Mungu akubariki
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde mkuu tokea afe magufuli wizi ndio umezaliwa.upyaa halafu. Viongozi waliokuwa bora wanaosilmamia vizuri mambo yaserikali ndio huko juu anawatumbua iliwrzi waibetu
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Here is the future of Tanzania, corruption and public funds misuses is becoming rampant again. Kudos Majaliwa. We are in it for a very big surprise, the hyaenas are back!
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 2 жыл бұрын
Mi sihitaji hata kukupongeza mh kwa hatua hii uliyoichukua.maan ht ninyi huko mnaupiga mwingi ten hadi unamwagikia naona km umewaonea ungeanza na mapapa ndio urudi kwa dagaa hawo wamechukua hela ya kulipia ada watoto wao tu maan shule ndio zimefunguliwa
@lovesallu5292
@lovesallu5292 2 жыл бұрын
Siku moja Mungu akuinuee uwe Raisi wa hili taifa
@ummyjoel4308
@ummyjoel4308 2 жыл бұрын
Hongera sana wazir mkuu
@bonywahab9565
@bonywahab9565 2 жыл бұрын
Mmmh... mlikua mnawachekea saana watu... baada ya JPM kufa, sasa mnaona wanachokifanya....
@maryamaliy8509
@maryamaliy8509 2 жыл бұрын
Kwani wakati wa magufuli walikua hawafanyi
@sk-wj9or
@sk-wj9or 2 жыл бұрын
Funga pumbavu hao. Kisha wana Tabora tunalalamika hakuna marndeleo Majungu tu ndio sifa yatu. Hata huyo mkuu wa wilaya na watendaji mkurugenzi tupilia ndani .SUKUMA NDANI ARUDISHWE TBR
@gapablessgadison6863
@gapablessgadison6863 2 жыл бұрын
MH MAJALIWA 💪🏼 🇹🇿,,Tumbua Tumbua tu
@jumambarale699
@jumambarale699 2 жыл бұрын
Engineer anaharisha apoo....
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
Fanya Kazi mh, Waziri wetu mkuu
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 2 жыл бұрын
Waziri Mkuu wangu. Shikamoo. Kumbuka na nukuuu kwa mama yetu Samia alisema kila mtu atakula urefu wa kamba yake. Hao mabwana ujenzi wameamua kula urefu wa kamba nazawengine
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 жыл бұрын
Ahsante mh,sawa sawa kabisa Peleka ndan Watoe pesa zetuu
@wakalimediatz
@wakalimediatz 2 жыл бұрын
Mungu akuweke Mh. Waziri mkuu
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 2 жыл бұрын
JPM tutakukumbuka daima aiseeee
@erickwilliam6610
@erickwilliam6610 2 жыл бұрын
Ila ukweli huna nguvu kwa sasa lazima utulie tu aliyeko juu hawezi kujusaidia
@jamessimbaire3016
@jamessimbaire3016 Жыл бұрын
Kweli kazi iendelee kasimu majaliwaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Wewe ndiyo ulifaa kuwa Rais ndugu majaliwa
@hosea7919
@hosea7919 2 жыл бұрын
Hongera waziri mkuu kwa kazi nzuri sio kila kitu asimamie Rais
@chinjochwayaa7250
@chinjochwayaa7250 2 жыл бұрын
Hii safi wengine wanaporojo tu chuki basi
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
Mhuuuuuuuuuuuu! Comments nyingi watu wanapenda msimamo wa Waziri Mkuu, lkn Bahati mbaya sana yupo katikati ya walamba asali, hawawezi kumuwazia hata siku moja kwenye Urais. Walamba ASALI wataka mtu lege lege ili wasikose debe za ASALI. Pole sana wa Tanzania. Mungu alimwondoa jemedari Simba wa Yuda, aliyebatizwa kwa jina la DIKITETA.
@erickwilliam6610
@erickwilliam6610 2 жыл бұрын
Unaweza mkuu
@mrndundugurushi9782
@mrndundugurushi9782 2 жыл бұрын
Mheshimiwa majaliwa yupo vizuri Siku zote mfumo umebadilika ndio maana hatumsikii huyu ni roho ya Magufuli aiseee tunakuombea sanaaa muheshimiwaa piga kaziii
@bahatiamnon7579
@bahatiamnon7579 2 жыл бұрын
Hongera sana kiongozi kwa ufuatiliaji huo mungu akulinde
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 жыл бұрын
Majaliwa wafaa mno fanya kazi
@floraleonard9095
@floraleonard9095 2 жыл бұрын
Mdomo nyamaza!!, Mungu tunaomba kibali kutoka kwako utupatie viongozi sahihi kama hawa.
@sarahsimon8060
@sarahsimon8060 2 жыл бұрын
Huyu ndo anatakiwa kuwa raisi wetu Tanzania ana uchungu na pesa za wananchi wengine wanafoji vyeo
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 жыл бұрын
Dah kibanda million 11 eti huko 1 wa cement inatoa tofali 25 hamna ni tofali 35 hadi 40 hao waizi jamani nipeni mm kazi 2jenge taifa nitafanya budget hili tujenge taifa ye2
@benjaminkiteleke8458
@benjaminkiteleke8458 2 жыл бұрын
Majengo ya serikali ni tofali 22 hadi 25 mwisho
@diamondgeyser7987
@diamondgeyser7987 2 жыл бұрын
Big up PM
@jerelkhondwani7165
@jerelkhondwani7165 2 жыл бұрын
Watanzania haya ni maigizo tuu. Watu wanapiga mamilioni mbona hawasemi, huu ni unafiki tuu, siungi mkono upumbavu kama huu, watuambie wanaoiba mamilioni wamechukua hatua gani???
@jumahassan273
@jumahassan273 2 жыл бұрын
Mh mnayaona ayo ya ujenzi ila yenu ya tozo za simu na kodi za luku kila mwezi ila muizi akibiwa na muiz mwenzie ukasirika
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 2 жыл бұрын
Daah MUNGU anaona Tozo tutozwe sisi arafu watu wanapiga pesa kirahisi namna hii😥😥😥Inauma arafu tukiongea mnasema sisi sio wachumi kweli kwenye kiband km hiki million 11... Hata 9 wamepiga hapo ni million 3 au 4.
@emmanuelerasti2405
@emmanuelerasti2405 2 жыл бұрын
Bebaaaa
@theuniversetv2870
@theuniversetv2870 2 жыл бұрын
Watakaompa kura huyu jamaa akisimamishwa 2025 like hapa
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 2 жыл бұрын
Waziri mkuu mh kasimu majaliwa mungu akutie nguvu tunaitaji na Tanzania ya kesho
@suleamberforreal7401
@suleamberforreal7401 2 жыл бұрын
The real replacement of JPM 😥
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 2 жыл бұрын
Asanteeeeeeeeeee We sambaani tunakuita taaateeeeee Baba lao Endeleza ukali sisi bila ukali hatuendi tunakula pesa had mwisho
@ulafim2719
@ulafim2719 2 жыл бұрын
Love 💕 Ep Is Out Now kzbin.info/aero/PLbFrAz29154WDEtvrThiA_fqUz0jUtKVd
@saidgoryo999
@saidgoryo999 2 жыл бұрын
Duuuh hesabu kali hzo😄😄😄
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Waziri nchi ilikuwa imepoaa Sana tokea chuma kiingie kutu- yaan "JPM mzalendo",pia ulianza kuonyesha kazi huko Mwanza kwenye meli,wakorea walipotaka kusepa🤔😩
@sherryeverest2522
@sherryeverest2522 2 жыл бұрын
Nimekumiss Magu wetu pesa zetu zinaliwa na wanaojiona wajanja wakati sis hata mlo mmoja tu unatusumbua
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 2 жыл бұрын
Yaani hawa Sukuma ndani,😭😭😭😭😭😭 tukimkumbuka Burudoza Tuacheni tu.
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 2 жыл бұрын
Kazi ienderee
@Catherine-u6g
@Catherine-u6g 2 жыл бұрын
Mungu akubark
@johnsolo6709
@johnsolo6709 Жыл бұрын
Piga Kasi baba tupo nyuma ako me/majaliwa ulifaa kuwa rais wa inchi hii mungu akutangulie kwa ufatiliaji walk mzuri ulio tukuka atujui atima ya miradi na rasilimali za taifa toka jpm atutoke uwajibikaji kwa Sasa umekuwa mwiba.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Mhe.Waziri Mkuu ongera sana,hicho kibanda wamekula fedha hapo,ela hizo nyingi sana sio kwa kibanda hicho.
@menovicmushy1032
@menovicmushy1032 2 жыл бұрын
Usichoke MKUU wananchi tuna macho,hata kama hatuna pa kusemea
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁 umenichekesha sana waziri wangu pole kwa kazi ngumu .ulikosea kurudisha wafanyakazi hewa
@respiciuskabigumila5246
@respiciuskabigumila5246 Жыл бұрын
Hapo hakuna muhandisi.hicho kibanda kinawezekana kufika huko kwenye 11m. msingi una blinding, footing, beams alafu useme mifuko 4.ujenge kuta ufunge beam upige plaster ujenge floor bado mifuko 4.duh!!
@directoridd5893
@directoridd5893 2 жыл бұрын
Mweshimiwa good tabora ni wezi kila sector fuatilia vizuri
@benjo_brighter
@benjo_brighter 2 жыл бұрын
Huyu Engineer alikuwa back bencher darasani 😂😂😂
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw 11 ай бұрын
majaliwa kasim majaliwa kiongozi mzalendo jasiri na shupavu safisha wote wasio waaminifu wenye kufaidisha matumbo yao
@japhetkimario2039
@japhetkimario2039 2 жыл бұрын
Coming president
@jacksonmkuye7739
@jacksonmkuye7739 2 жыл бұрын
Ao ndio wanatuvunja moyo ata kukatwa tozo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Nchi hii ni shida kubwa kwenye utumishi !! Sasa hapo hadi PM aseme !? Wengine wapo wapi??
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
YAANI HAO WANAMFANYA MAMA SAMIA KAMA HAJAENDA SHULE KABISAAAÁ.
@fadhilidini1181
@fadhilidini1181 2 жыл бұрын
mwamba wa uma tunakutegemea
@malachcomedy4788
@malachcomedy4788 2 жыл бұрын
Huyu ndo Rais ajae naiona Tanzania yangu
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
majaliwa mh .huyu mama ndo chanzo hajali na hajui watu wanaiba sana rushwa ndo kazi halfu wanamsifia anaweza urais kumbe majanja yanamoumbaza yapige pesa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
kweli kabisa watu wanampa sifa za uongo halafu huku yakiiba
@juliusjoseph4889
@juliusjoseph4889 2 жыл бұрын
Majaliwa ndio mtu sahihi kwa nchi yetu ya Tanzania
@erickwilliam6610
@erickwilliam6610 2 жыл бұрын
Pole baba
@donaldelias6689
@donaldelias6689 2 жыл бұрын
Sio kwel laki 6 boma zima haitoshi.mbona hampgiii hesabu za fundi?
@mathewmathayo212
@mathewmathayo212 2 жыл бұрын
Hicho kibanda chenye gharama ya millioni kumi na moja ingekuwa enzi ya jpm kilikuwa kinaondoka na mkuu wa mkoa hiyo ni lazima angetumbuliwa ninavyomjua yule mzee tena jana hiyohiyo saa mbili usiku
@fredyemmanuel4303
@fredyemmanuel4303 2 жыл бұрын
Kalio la choo arobaini fanya laki duu kweli amewamulia
@alonhappy9906
@alonhappy9906 2 жыл бұрын
Honqera wazii mkuu wetu
@johngerald4677
@johngerald4677 2 жыл бұрын
Waacheni watu wanapiga mabilion mnawajua na humuwasemi mtu kapiga kidogo povu linawatoka
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 жыл бұрын
Aya Mambo mtayaona sehemu nyingi Sana kwasababu baada ya jpm kufariki watu wa kupiga dili ni wengi Sana tena nchi nzima.sisi uku mnatutesa na tozo.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
na sasa wameachiliwa na bii Konokono
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 racist
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
Kwani Ripoti ya CAG kipindi cha Magufuli inasemaje?
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 2 жыл бұрын
Mm sishangai maana viongozi wenyewe hamfatilii waache wapige tu
@fraviansweetbert2703
@fraviansweetbert2703 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Kila kher
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 2 жыл бұрын
Waziri mkuu wanatutania hao hakuna hicho ,Sheria ichukue mkondo wake
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 2 жыл бұрын
Tozo zetu hizo watu wanakula Kwa urahisi Bora ziondolewe zte
@mariamobedy9898
@mariamobedy9898 2 жыл бұрын
Daaaa kwa mtindo huu hatutaika kabisaaa
@norbertmuze8891
@norbertmuze8891 2 жыл бұрын
Lkn gharama mbona ni mulemule! Nyumba zinazotajwa kwa gharama chini ya mil 50 haziwezi kuwa na standard.
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 жыл бұрын
Shikamoo Pm ...unajua mpaka bei ya tiles
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 2 жыл бұрын
Tunakuaminia mh, waziri mkuu
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Tanzania kwa Sasa Ni ya wapigaji.
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 34 МЛН