Utamupa wewe pesa hebu muacheni aje atafute pesa bwana maana mziki ndiyo kazi yake na ndiyo kipaji chake
@aishambise65294 жыл бұрын
@@halunamaneno9986 💋❤
@maymunahomar50164 жыл бұрын
Umeongea vizuri Mzee Yussuf. Ingelipendeza zaidi ungetumia neno la 'In Shaa Allah' katika maongezi yako. Shukraan sana. Allah (SWT) akuongoze kwenye jambo jema. Aamin.
@nasibuabdul45804 жыл бұрын
Aiwaa
@fadhiliswalehe92864 жыл бұрын
Mtu wa kwanza kuandika kiufupi alikatwa mukono.andika Allah subhaanahu wataa'la sio (SWT) pia Mtume Swalla Allaahu A'layhi wassalam sio (S.A.W) haifai
@saidikembea91583 жыл бұрын
Muombee hidaya huyo ALLAH amuongoze huyo
@aminasalum19544 жыл бұрын
Hawez rud kwahayo maneno yakwanza tuu hapo inadhihirisha kbs kua yupo naiman yadini kbs hawez kurudia upuuz kbs mzee Yusufu minakuaminia unakuja nalakheir nasio music,,in shaa ALLAH Mungu akujaalie kheir namwisho mwema
@maryamobo95343 жыл бұрын
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatuh, tusijaji mtu, tumuombeeni kheri mwenzetu, shari amuondolee, sisi waja twapenda kuropokwa kupita kuasi, hakuna mswafi kiumbe aliyekamilika ni mwenyezi mungu. In sha Allah mungu atuongoze kwenye kheri sote. Ameen yaraby.
@maryamsalim35234 жыл бұрын
Absolutely mzee Yusuf wambie munguu tuu ndie muwamuzi wanguu jema na baya sii nyinyii binadamu
@allyhamza84104 жыл бұрын
Sawa baba rudi mjini watuu bado tunakukumbuka sana yaan katika utendaji kazi yako
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah aya mzee yusuf kila mtu atabeba mzingo wke rundi kasalama Allah akucmamie na ramdani iyo apo yaja nawaombea kwa Allah itufikie salama amen
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Siri 🥰
@sarahmohamed3374 жыл бұрын
M.mungu Akuondoshee fikra za mziki.
@hassanmwanya90924 жыл бұрын
Mwenyeazi mungu naomba tuondolee janga hatari LA corona vr eee mwenyez yarabi
@Smartboy-wt1es4 жыл бұрын
Usijeukarudi kwenye music tafadhali nakuomba na nimekuomba sana, Inshaalah
@salimabdallah74094 жыл бұрын
Kumbuka ulishaa tubu mzee mungu akuongoze
@mimakau44904 жыл бұрын
Mmh Allah akuongoze asirud kuimba
@carlhence44144 жыл бұрын
Mzee Yusuf hatuna uhakika mpka Sasa unarudi mjini kwa kurusha roho wala nini. But km Nia yako ni kurusha roho. Mungu ndie mjuzi zaidi but sio picha mzuri hyo km muislamu na mungu atakujalia baya uliepuke.
@aasdfghrehema72044 жыл бұрын
As ww vip wakuaceee bwana wutupe raraha tunakiwi from burundi penda sana mayichoclety💋💋💋❤❤💙
@ashurar27214 жыл бұрын
Allahi mzee ukirudia mxiki huowoni ufarme WA mungu
@AfRICA04044 жыл бұрын
Wew nan adi asione unajikuta mung we ndio mtoa ukumu
@mohammedseif48744 жыл бұрын
Nikweli ulio yaongea ila ushauri tu usirudi tena katika mziki tulia ulipo pata ndio riski yako miziki nikuipotosha jamii na maasi mengi sana hufanyika nnjoo na jambo jema ambalo litakulinda kwa allah shukran
@hassanshemndoa50624 жыл бұрын
Innaa lillaahi wainaa ilaihi raajighuun. mzee katamka msilazimishane katika dini,kwaiyo muacheni ni yeye na Allah mtukufu.Sawa,ila pia sheikhul Al-islaam Muhammad bnu Abdulwahhaab amesema miongoni mwa vitenguzi vya uislam bas ni pale unapo leta mzaha kwa yale aliyo teremshiwa mtume wetu swallallaahu alaihi wassallam kwetu sisi. ALLAH ATUKUBALI
@gespardanil20094 жыл бұрын
Tatizo binadamu huwa tunahukum, mtu mapema xana kwani kusema naludi mjini ni dhambi, Yeye hajatamka kama anarudia taarabu, Jamani hebu tusubilie tuone mwisho wake,
@adammobile70064 жыл бұрын
Aliishiwa mashair ndio maana akatangaza kuacha nasasa kajipanga anarud tena mzee ww ni mnafik allah achezew kwa mikono
@amedeusmodestikimey98884 жыл бұрын
Njaaa iyoooo njooo HUKU YERUSALEM📖🙏
@ghaidaabdul88622 жыл бұрын
Shika adab yako uislam sio njaaa
@HassanMalik-cd9yz4 жыл бұрын
Tatizo letu watu wengi mnapenda kuropoka na kuanza kujaji ila kwa tunaomjua Mzee Yusuph hajamanisha kurudi kwenye Music achen hizo mambo Allaah anajua kila jambo la mja
@wandisha60974 жыл бұрын
Kwani kuna tatizo gani kwa mziki wa taarabu
@HassanMalik-cd9yz4 жыл бұрын
@@wandisha6097 Mzik kama Mzik ni haramu iwe singel ,iwe taarbu , iwe bongo flevar iwe hipohop but kauli yangu nimesema tusiwe wenye kujaji na kuhukumu muacheni yeye kama yeye ndo ataweka wazi nini anafanya kwani post nyingi mnasema Astaghfirullaah mara subhanallaah wala hamjajua nini anafanya mshaanza kudhania ubaya na Dini yetu inakataza dhwanna
@wandisha60974 жыл бұрын
@@HassanMalik-cd9yz ndio Mimi nashindwa pia watu wanamkashifu sana na hizo nyimbo ndio zinachezwa kwa maharusi yote ya kiiislamu
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
😀😀😀 mzee katumia akili ya mbali saaaana. Hapo lazima watu wasubscribe chanel yake sana. Alafu ataachia QASWIDA zahatariiii
Mjini uku habari COVID 19 asa sheikh wangu labda uje na dawa yake
@abdallahamad46824 жыл бұрын
Allah akulinde brother ktk hili..! rudi kwa ujio mwema, twakuomba broh.
@lovenessfelix58413 жыл бұрын
Weee njooo bwana"huko mbingun hapalazimishwi!!!utaingia kwa rehema na neema ya mola!
@fatmakanizyok98314 жыл бұрын
Manshaallah
@seifmpizi76024 жыл бұрын
Noo
@suleyswaleh53814 жыл бұрын
Imeisha iyoooo. Kasherud Kwenye mzikii
@shabanimussa48624 жыл бұрын
Allah akusimamie kurud kwako kuwe Katika njia Ya Kheri.... Life is too short to do something wrong by ur own decisions!
@marrymadaha2064 жыл бұрын
Poa
@marrymadaha2064 жыл бұрын
Poa
@CyimSky4 жыл бұрын
nilipelekwa mochali usiku wa manane kufanya mapenzi na maiti ili nipate utajili. usisahau subscribe ili kupata vipande vinavyofuata. kzbin.info/www/bejne/oHimm4F6mtiLhbc
@tbr24viral4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qnLOeq2Npt59n80
@suleimansalim71942 жыл бұрын
Pole Sana,Dini sio Mchezo
@almosul16214 жыл бұрын
Haiya....Rudi.... follow your heart......in Shaa Allah
Sisi wazee wa kubeti kwa hili tunatia mzigo wa maaana kabisa..hapa game ni rahisi sana..mzee analeta jambo la kumsifu na kumtukuza mwenyezi mungu..kaeni mkidhani tu kuwa anakuja kuirudsha taarab mapema mmeliwa
@rachelevarist704 жыл бұрын
Mwenye kuelewa kashaelewa huyo anarudi kwenye mziki hamna kaswida apo chezea njaa wewe Mungu hachezewi na mungu anatujua mungu kama kupangia mwisho mbaya hakuna wakuzuia huwezi kuongelea mziki naikiwa ulishatemananao acha kutufumba werudi imba hakuna wakukuzuia mwenyezimungu humuongoza amtakae swiraata mustaqimaa
@ntopangonyani69644 жыл бұрын
Mzee Yusuph nimekuulewa, yaani unarudi kwenye mziki ndugu yangu. Akhfu llaah ndugu yangu.
@evasaimon21014 жыл бұрын
Mzee atia huruma Sana Mungu akusamehe ulikurupuka Sana kwenda hija wewe Bado kijana pole sana
@rahmaahmed4184 жыл бұрын
Kweli dini yetu imetukamilisha,kwa mazingira yoyote maisha yetu Ni Yale Yale,kujieafisha tumezoea,kuzika punde tu mtu anapokufa tumezoea,kuziba pua mdomo,kichwa n mambo ya kawaida kwetu
@almasymusa67364 жыл бұрын
Allah akupe mwisho mwema
@alimakame92154 жыл бұрын
Mh wew yusufu
@khatimabdallah81434 жыл бұрын
Alllaah asikirudishe na mziki allaah akuongoze njia ya khery
@abdulkadirmwalim244 жыл бұрын
Kwa kweli kaka yangu kama ni kweli lengo lako kurudi kwenye mziki unapotea na pia kuna watu nyuma yako utawapoteza njia isio faa katika maisha ya waislamu.
@abubakarmajata67144 жыл бұрын
Mungu syo baba yako ndguu sasa ww endelea na upuuz wko tuu ndgu yang, umetubu vzr na ulikaaa vzr lkn naona wataka kurud ktk upuuuz wko ndgu muogope Allah!!!!
@bakarikhery83764 жыл бұрын
ALLAH AKUSIMAMIE SHEKHE WANGU 🙏🙏🙏
@mohamedjuma18784 жыл бұрын
Nitasikitika Sana kama utarudi kwenye miziki ntasikitika kwa kweli
@saadamohd79764 жыл бұрын
Hasbiyya Allah waniimal wakil. Allah akuongoze ndugu yetu. Maana mtihani hizo corona ndugu yng njoo mjini na singel kisha utaona.
@zulyfadhil35584 жыл бұрын
saada moh'd duuu
@aishaapewe12254 жыл бұрын
Mungu hachezew wewe mzee.... Achana na minanda haifai.... Muogope mungu achana natarabu
@hjhj62304 жыл бұрын
INNALLAHA MASWABIRIINA 🙇
@bossmum11123 жыл бұрын
Karibuuu sanaaaa 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@sabraali99413 жыл бұрын
Siku nyingine ukome kumdanganya mwenyezi mungu kama bado ujamaliza ujana😏😏😏😭😭
@iliyasabakari4 жыл бұрын
Wanaamini kisha wanakufuru, alafu wanazidisha kukufuru, Mungu hatowasamehe na hatowaweka kwenye njia sahihi
@yusraikram22144 жыл бұрын
Njoooo mzeee naona unahamu na mke wa pili
@aishatundaaishatunda18544 жыл бұрын
Hahahahaha
@yaumirakateni99274 жыл бұрын
Kwani km huna nia yakufanya machafu kwanini usikatae mojakwamoja kuwa mimi siimbi mziki nasitaimba. Kama kweli huna hiyo nia kunashida gani yakukataa welikatae2 hilo swala, lakin unazungukA zungukaaa. Inaonyesha unatamaa ya kimaisha mungu hachezewi
@sofiaahmed88804 жыл бұрын
Kila mmoja yuko huru kuishi kijijini au mjini!! Karibu ndugu Yusuf! Mjini upoo nyumbani!!
@MohamedMohamed-sc5oe4 жыл бұрын
Sisi tuna shida na mungu mungu hana shida na sisi... Hata kama atarudi hasara kwake sio kwa mungu wala kwa uislamu...
@joromimwanga32744 жыл бұрын
nafurahi sana akirudia kuimba kwenye taarabu
@user-gy8lk8te8d4 жыл бұрын
Nakuombea sana kakangu ubaki katika njia ya Allah,duniani ishi hata kwenye kibanda uza hata mkaa ila iwe inamridhisha Allah,starehe ni kesho milele na milele na vile vile adhabu,tumepewa njia mbili, so watu wasikughuri.
@magnifiqueicoyangeneye38514 жыл бұрын
ALLAH akujaliye toba isiyo rudi nyuma na akupe mwisho mwema
@brothersalim53594 жыл бұрын
Maa shaa Allah mzee yusufff welcome back Mombass kistarabu zaidii
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
💞💞 USIKOSEEEE! Tizama filamu hii haraka sana kisha SUBSCRIBE chanel hii haraka👇 kzbin.info/www/bejne/gZi9pXh4npuKf5I
@mwanakhamisrashid5094 жыл бұрын
mie sitegemei kama atarudi kwenye mziki, Mungu amuongoe yeye pamoja na sie inshas Allah
@aliamirbakar55804 жыл бұрын
Mzee yousuf nakbuka ulilia kwa madhambi uloyafanya sai umesahau yote duni tambara bovu umechukua hatua kubwa sasa warudi tena kwenye uchafu Allah atakupiga kiboko hutaamini maishani mwako innalilahi wainna ileyhi rajuun
@ahmedkhamishaji83144 жыл бұрын
Na kunyenyekea Yaa Allah nakuomba usimjaalie mzee Yussug kurud katika Taarabu wala Aina yoyote ya mziki wa kidunia hakika itakuwa nimcba haswa kwake, Natumai atarudi mjini kwamema Inshallah
@kivubicomedy59144 жыл бұрын
Safi sana mzee
@khairiyyaonline36164 жыл бұрын
Mzee mm nimeshakuelewa unatafuta kiki ya qaswida kali Allah AKUPE subra
@siyamunadhir36694 жыл бұрын
😯kuna watu walianza vizuri wakamaliza vibaya na kuna watu walianza vibaya na wakamaliza kwa uzuri chamsingi ni kumuomba Allah atujalie sote mwisho mwema Aameen 🤲 wsh u Gudluck in whatever you wheeling to do wth yur life
@jamalaggrey50324 жыл бұрын
Kbssa swabrina mungu ndie ajuae. Nmeipkea ujumbe wko. +974
@siyamunadhir36694 жыл бұрын
Shukrn my kaka@@jamalaggrey5032
@mazagambogo61844 жыл бұрын
Pole sana kakaa kiukwelii
@cholomsury15484 жыл бұрын
Mistake kubwa alofanya ni baada ya kuacha taarab akaingia kwenye laghwi za kaswida. Sasa kaswida za vinanda na ngoma ni sawa kabisa na nyimbo nyengine za kidunia
@iddijumaali71924 жыл бұрын
Swadakta
@fatmaaly30564 жыл бұрын
Mlevi hawezi kuachapombe mojakwamjoja
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Dahhhhhhhh kwahyo angefanyajee
@iddijumaali71924 жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052 kichwa cha habar chasema jinni aonekana live hapo mwangapwani yuko wapi huyo jini alieonekana live hapo
@iddijumaali71924 жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052 ingeachana na kaswida biashara ziko tele za halali
@husseinvuai19744 жыл бұрын
Acha arudi mjini kwanza
@salemjamal67624 жыл бұрын
Ushatubu vizuri unarudi tena kwenye mziki mungu unamfanya kma wa kutaniwa eeh
@aminamwangile40204 жыл бұрын
Kuwa na subira utamgundua anacho maanisha hapo atakudondoshea kaswida utampigia saruti....!!!
@ibrahimaziz71584 жыл бұрын
Mjomba rudi mjini lakini usisahau kurudi kaburini pia
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Watu na mapovu yaoo,,,me naamin kuna jambo la kheir ataka kufanya ila watu wanalichukulia vby,..let's see🙄
@hamiyhamadi26134 жыл бұрын
Nani amesikia neh
@sankaratony36724 жыл бұрын
Masha Allah
@karemhkaremh44514 жыл бұрын
Unanifurahisha mzee kwani hapo upo shamba inshaa allah kheir usirud kwenye mziki ninaimani umejipanga kwa ajili ya mwezii mtukufu wa ramadhan biidhn llah
@babymansouth11644 жыл бұрын
+254 Inshaallah khery rrejea Mujini Inshaallah khery Allah akufanyie wepesi tunasubili khery Najuauwezi kurejea kuwa shetanii Allah akusimamie🙏🙏🙏
@evanslawrence77644 жыл бұрын
kennedy wanjara wanjara who is allah to you?
@evanslawrence77644 жыл бұрын
kennedy wanjara wanjara who is allah to you?
@khamisconvoy67984 жыл бұрын
Ukirud tu kwenye muzik nisawa Na ilio ritad Na itakuwa ume ukana uslam wako
@tbr24viral4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qnLOeq2Npt59n80
@josephmahali21664 жыл бұрын
mungu atusaidie
@muzdnalyaly84 жыл бұрын
Mpumbavu t uyoo
@nyamuraomary99394 жыл бұрын
Dah Allah akulinde usiimbe music
@magejuliani52934 жыл бұрын
Kwa kweli mwisho wa siku maisha ni yako na familia yako!
@nikitamarley39334 жыл бұрын
WALAI MADAMU ULIAPA HUTORUDI KWA NYIMBO. WALAI ALLAH HATOKURUDISHA YUSUF....KETI UTULIE...INSHAALLAH...
@lukizapetro20424 жыл бұрын
Yaan ayo TV mko vizuri mno ata nje ya nchi mnasaka habari muhim mno,
@canoksancomprehensivelearn71824 жыл бұрын
Umar ibn Alkhattwaab R.A amesema "Allah katukuza sisi kwa uislam, na atakayeutafuta utukufu nje ya uislam Basi Allah atamdhalilisha" kwa hiyo mzee jitahidi kuliangalia Hilo ukiwa njiani kuingia mjini na huo ndio muongozo. Na tukumbuke tumbo halitakuja lishibe kamwe Ila kwa udongo (Litakapofukiwa kaburini)
@hamadamabali28954 жыл бұрын
Kua na Subra mzee Allah akuongoze na rizika na unachokipata cha halali
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Mungu akuepushe usirud kwamzic
@omarjafaromar12133 жыл бұрын
hauna chako mjini kama utarudi mjini kuimba tarabu Allah akupemadhira haji mzima itakua ushenzi kabisa
Sasa kama atakuja na qaswida fatuma nyoro, father mauji aliowataja wataimba qaswida? Me nahisi itakuwa taarab lkn atabadilisha jina
@saidiyusuphu85714 жыл бұрын
Wallahi unamtania mungu wew ulishatubu alafu unarud katika maaswi Allah hataniwi inaliilah wa innalilah rajiun msiba huu
@abdulrahman2824 жыл бұрын
Kalaaaniwa!!
@naamohamed99644 жыл бұрын
Vido hiyo asalam aleikum ulivyo itamka kama shekh fran😃😃
@arkammuslekh65824 жыл бұрын
Good
@alkindy20114 жыл бұрын
Msipate shida sana ya kujiuliza narudi mjini ya mzee yussuf inamaanisha nini, hiyo ni filamu/tamthilia ya yenye maudhui ya kiimani. Jina la filamu/tamthilia hiyo ni "Narudi mjini" ataact mzee Yusuf na hao wengine ambao aliowataja nao atawashirikisha.
@rahmarashid37194 жыл бұрын
Nakukubali ww unajitambua achana na wanaokuhukumu mi nakuelewaga
@muniramtika36144 жыл бұрын
Allah akuongoze inshaAllah
@ameenahzenjbar74254 жыл бұрын
Mzee yusuf bwan uimbeee
@ibrahimharuna98214 жыл бұрын
Ayo tv NAWAKUBALI SANA
@abdallahmakame21474 жыл бұрын
Kurudi kwa mzee mjini maana yake anakuja kuambia kuwa hata hizo kasweda pia ni muziki hataki kabisa sababu watu wametoa copy na hana muda wa kwenda basata ni mkulima mzuri tu na alhadulilah mwaka huu futari kutoka shambani kwake mtaiona mfano kuna unga chapa noga mchere miogo package ndio maana anawashanga wanamuziki bado wanapoteza muda subili muone mzee super maket yake ndio mtafaham nini an ama a nisha anarudi mjini mungu akufanyie wepesi alhajji
@zawadibakar46534 жыл бұрын
Unarudi mjini au Unarudi motoni Allah akuhifadhi ucrudi ulikotoka
@mkamambusi13194 жыл бұрын
Tunakusubili kwa hamu ziwe zur tu kama awar na kitu kingine hatuishi kwa kuangalia huyu kama sema hili tutaagalia mbele hakuna kulund nyumbn mzee yusuph uko vizur sema ambaye anaona kipele muache mwishowe ataona kitu mafanikio
@salimashur96784 жыл бұрын
Mzee Yusuf na RAMADHAN hii naona ametega QASWIDAH In Sha Allah iwe kheir...4 now STAY HOME #CORONA BADO IPOOOOOOOOOO
@tifumunguatamlipaaliendewa49273 жыл бұрын
Bora ya shetani kiliko ww
@aminamwangile40204 жыл бұрын
Imani yangu kwako kwa sasa nasubiri mikaswida yako mzee kijana.....!!!!
@rashidkalabi82124 жыл бұрын
Amewaambia msimkatishe kauli Sasa nini mnamsemea jmn....kelele nyiinngi wakt hmjui mjini anakujaje...labda analeta biashara ya miogo
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Au mpunga😂😂
@dadaagnes44834 жыл бұрын
😀😀😀
@tafuspare24474 жыл бұрын
Hata mafenesiiii😁😁😁
@zainabsaid89834 жыл бұрын
Asee kweli maana watu wanaongea hawajui nn anataka