MKE WA KAINI ALITOKA WAPI? Je kulikuwa na watu kabla ya Adamu na Hawa? Na Mwl: Vincent Mwakisyala

  Рет қаралды 51,304

Hazina ya Kanisa

Hazina ya Kanisa

Күн бұрын

Пікірлер: 210
@magoladisibone3410
@magoladisibone3410 3 ай бұрын
Asante Sana Mungu akubariki; hapo umenena yaliyokweli
@rhodamaha1637
@rhodamaha1637 5 ай бұрын
nashukuru sana hili neno lilikuwa linanizumbua sana kuhubili
@TamashaChigwie
@TamashaChigwie 2 ай бұрын
Adam na Eva Si watu wa kwanza kuumbwa
@MilachemTanzania
@MilachemTanzania 24 күн бұрын
Ya ubarikiwe mtumishi,,Mwz.5:4 Inasema wana wengi na wake wengi ,,.unajua watu wanapotosha sababu awasomi maandiko.
@zinzendorfdavid8776
@zinzendorfdavid8776 20 күн бұрын
Fundisha neno bila kudhani unajua kuliko wengine. Ila uko sawa
@stephenkimanga2007
@stephenkimanga2007 6 ай бұрын
Asante kwa maarifa
@petermaalim137
@petermaalim137 Ай бұрын
Waongo nyinyi tuamini senza ama tumwani mungu hebu nitolee senza kwenye bibilia Acha gueswirk
@jastinemwambi2307
@jastinemwambi2307 2 ай бұрын
Congratulations Mtu wa Mungu
@AntonnyRitte
@AntonnyRitte 6 ай бұрын
Ka some vizuli auna elimu yakutosha kwenye mambo ya mungu
@ErikiSuleiman
@ErikiSuleiman 2 ай бұрын
Nimekuerew sanaaa
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Ай бұрын
Hilo ni kweli kabisa
@WilliamSomela
@WilliamSomela 6 ай бұрын
Barikiwa sana
@CuthbertHarrison
@CuthbertHarrison Ай бұрын
Mmmh!!! Mungu asimame maan tunapoelekea ni fumbo.....
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 6 ай бұрын
Upo sahihi kabisa, hakuna ubishi kuhusu hilo.
@JpMbonye
@JpMbonye 6 ай бұрын
Wapi yuko sahihi ? Iwedje musichana asiye n'a d'hambi aende n'a mlaaniwa?
@EnockVitusi
@EnockVitusi 6 ай бұрын
Balikiwa sana mtumishi
@BarakaAsukile-ok1mo
@BarakaAsukile-ok1mo 3 ай бұрын
Hebu kaisome vizuri Mwanzo we jamaa utajua tuu unachokizungumza hukijui na je umepata wapi huo uthibitisho wa kua kaini aliondoka na dada ake na biblia haijasema???
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 21 күн бұрын
Bibilia imetungwa na muingereza
@BarajaMagunila
@BarajaMagunila 16 күн бұрын
Hili nipumbavu tuu halijui linacho ongea linajitungia tuu.
@papangomaitala7690
@papangomaitala7690 4 ай бұрын
Ww,mwenyewe nimuongo sana,kutoka mbeya
@DyeVee
@DyeVee 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@JacksonMwakibwili
@JacksonMwakibwili 4 ай бұрын
Hapo wazungu ndo walipotudanganya zaid,et wanawake walikua hawaesabiki ili tupotezee Kwaiyo mungu ni mbaguzi sana mbaka awabague wanawake
@HomeBoy-t5d
@HomeBoy-t5d Ай бұрын
Mkuu sawa
@ReubenMapambano
@ReubenMapambano 5 ай бұрын
Kumbukeni Kuna Dhambi Moja isiyosameheka iyo ni mizaha michafu Dhidi ya neno la Mungu enti watu mnao comment uchafu na kudhihaki dhidi ya neno la Mungu munabudi kukutana Nae siku zako zitakapoisha hapa Duniani atakuangalia huenda jicho lake litakuwa likitoa moto Tubuni na kuomba Toba kwa Yesu kirsto kabla nafsi yako au yangu haijaondolewa
@WilliamJacob-x1l
@WilliamJacob-x1l 20 күн бұрын
Na hiyo sensa ilikuwa inatoka kwa watu gani
@abooaboo-rs4uw
@abooaboo-rs4uw 6 ай бұрын
Acheni upuzi.vita vya mini.unamjua mungu,?mungu anajeshi kubwa sans Hana haja na Bunge zenu.anazo silaha Tele za kuwanyamazisha,ya mwisho kifo.sasa bado upo?amini mungu Yuko tosha
@AnyelwisyeKalesi
@AnyelwisyeKalesi Ай бұрын
Chonde chonde wana wa MUNGU, Tusiwe wavivu wa kusoma neno. Tusome neno na kulielewa, tupate muda wa kutafakari neno. Tumuombe ROHO MTAKATIFU atufundishe. Pia tuna wachungaji watumishi wa MUNGU waaminifu. Pia simama kwa miguu yako mwenyewe, jiponye nafsi yako,litazame neno, upepo usikupeperushe huku na ku le. MUNGU akulinde.
@LoyceHubertine
@LoyceHubertine Ай бұрын
Kain alioa dadake binti wa Adam na Hawa hiyo ni kweli kuhusu wanawake hawakuhesa biwa. Hapo zamani.
@awilly482
@awilly482 4 күн бұрын
Sensa gan hyo na hamna watu miaka hyo
@petermutuku1289
@petermutuku1289 6 ай бұрын
Ni kweli mwalimu,kwanza mwakilembe ndiye hupotosha kwa hili.
@njemmabula7833
@njemmabula7833 6 ай бұрын
Mwakilembe ndio anaongea ukweri na sio huyu
@JpMbonye
@JpMbonye 6 ай бұрын
Iweje mlaaniwa aende n'a mtunasiye mulaaniwa? Kaini alipo muuwa nduguyake dadake alikuwepo? Mutumiye akili kwakujuwa n'a ku elewa
@BarakaAsukile-ok1mo
@BarakaAsukile-ok1mo 3 ай бұрын
​@@JpMbonyepoint kubwa Sana tatizo watu wanataka walishwe kila kitu hawataki kuumiza kichwa. Biblia haijaongea kuhusu anachokizungumza Sasa sijui anatuaminisha kwa maneno yake ya mdomoni
@nasororashidi7051
@nasororashidi7051 6 ай бұрын
Eti hapakua na usawa wa kijinsia! Hadi Adam hakujua usawa wa kijinsia!
@PeterSimoni-th2re
@PeterSimoni-th2re 3 ай бұрын
Hata Mimi nimefurahii sana kupata mwogonzo najibu wahili swali
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 18 күн бұрын
Mambo ya Mungu ni fumbo gumu. Hakuna atakaeweza kulifumbua. Aya yooote ni mafundisho ya wazungu tu. Dini zote ni za wazungu na waarabu. Waafrika ya kwenu ni hipi??
@bignewscity4927
@bignewscity4927 23 күн бұрын
Biblia sio kitabu chamungu kitabu ncha wagiriki wemwenyewe hujui chochote , sensa ya watuwazamani wapi sensa imekuja lini enzi zaa adamu ulinganishe na filamu ya yesu wapi na wapi hujui lolote
@kulwamaginya6916
@kulwamaginya6916 6 ай бұрын
Yani kuna watu wanavichwa vigumu kuelewa jamn ebu tujifunze kuuliza maswali pia tuhoji majibu aya tujibu bc ile arama je aliekewa asiuliwe n watu gni mke wangu au! Alf mtu anakuja anasema barikiwa san mtumishi kwa lipi hiv huoni wewe nd mpotoshaji
@donaldmwanamenda2171
@donaldmwanamenda2171 6 ай бұрын
Mwakilembe hapotoshi yupo sahihi. Ila nyinyi ndo hamjuwi kwa vile aliewafundisha alitaka msijuwe ukweli
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 ай бұрын
Eleza wewe Ukweli unaoujua tukusikie
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 6 ай бұрын
Acha uongo wako enzi Adamu hakuwepo na sensa, jua wazi sensa hufanywa na serikali kabla ya ujio wa serikali hakuwepo na sensa. Shetani wewe unaharibu maandiko ya Mungu
@magoladisibone3410
@magoladisibone3410 3 ай бұрын
Kasome vzr, sensa ilikuwepo hata kipindi Yesu anazaliwa
@HassanhaidaryKamana
@HassanhaidaryKamana 22 күн бұрын
Acha ujinga serekali zimeiga kwenye dini sensa IPO Tangu wakati Wa Nuhu mpaka leo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 6 ай бұрын
Nakubariana na wewe kabisa Mwalimu huongezi wala hupunguzi neno: wewe ndiyo Mwalimu wa kweli acha hao wanaookoteza khadith za kutupitosha!! BIBLIA IKINYAMAZA NA WEWE NYAMAZA!! KUMBU KUMBU 29: 29
@francechaka-z9g
@francechaka-z9g Ай бұрын
sawa lakini nikuulize kama wanawake walikua hawaesabiki je biblia inasema nini kuhusu wanawake kua viongozi
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Ай бұрын
soma mwanzo 1:27-28
@HappyNdikumwami
@HappyNdikumwami 5 ай бұрын
Bishaneni tu mm niko pale lkn mmesahau kutufundisha Adam alikuwa mzungu mhindi mwarabu au mchina au ngozi nyeusi kama mm😅😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Wee umenishinda tabia 😂😂😂😂😂😂😂😂
@HaruniGhasper
@HaruniGhasper 6 ай бұрын
Nakusikia Mwalimu.
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana Haruni
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 6 ай бұрын
Nikweli kabisa wanawake awatajui. Ata Masaini mwanaume akiulizwa una watoto wangapi atasema wanne ni pamoja na mke wake kua naye ni mtoto.
@PaulKihinga
@PaulKihinga 3 ай бұрын
Sisi Watu weusi tulitokana na Adam maana aliumbwa kwa asili zote za Watu duniani rangi zote
@Charitémapendo-c3j
@Charitémapendo-c3j Ай бұрын
Mchungaji naku penda sana maana ufafa nuzi huu unaonesha shairi zote.
@KelvinAmosCharles
@KelvinAmosCharles 2 ай бұрын
Genesis | Mwanzo Swahili 4:16 Kaini akatoka mbele za uso wa BWANA, akakaa katika nchi ya Nodi, mbele ya Edeni. 4:17 Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe. Nafikiri bible haijasema kaini alpata wapi mke......... labda ulete andiko linalosema kaini katoa wap mke
@KelvinAmosCharles
@KelvinAmosCharles 2 ай бұрын
Lazma ujue sio kla ktu kiliwekwa kwenye bible maana hata waandsh wanakuambia kama tungeweka isingetosha...... ivyo pia kuna umuhmu wa kuchunguza vzur uktaka kufundsha kuptia bible bas hakksha unatoa na ushahidi kutoka kwenye bible na sio maneno
@DanielDaud-uh3qq
@DanielDaud-uh3qq 5 ай бұрын
Tatizokubwa la hiimada ni wachangiaji kutoka imani zisizo amini kitabu cha Biblia hao hawawezi kujua chochote kilichomo humo unanajua shida itakuwa pale utakapo fundisha kitu kinacho husu imani unayo iamini kwa mtu asiye iamini hiyo imani kwavyovyote vile atakuping au hatakuunga mkono sasabasi mwalimu wasomohili wewe endelela kutoa elimu ya kitabu cha imani yako unayo iamini nawao wakiona unawapotosha watu wa imaniyao watoe masomo ya kuwafundisha watu wao haposasa maneeno hayooo.
@AbegaLarge-tk3rc
@AbegaLarge-tk3rc 4 ай бұрын
Tuambie na wewe iyi unasema Adam alikuwa na watoto.wengi ulihitowa wapi
@LeonardSinkala-ez8sp
@LeonardSinkala-ez8sp 20 күн бұрын
Acha uongo blooo Rudia kusoma.
@BelimoMasoka
@BelimoMasoka 5 ай бұрын
Ulisema aliumbwa Adam na awa Adam na awa wali zaha kain na abeli hao watu wa sensa walitoka wapi?
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 5 ай бұрын
MUNGU aendelee kukulinda Kaka yang
@victorvictor3064
@victorvictor3064 4 ай бұрын
Dina hakuhesabiwa kwakuwa kimaandiko mwanaume ndio anayetengeneza Taifa.Taita linatoka kwa Baba.
@petermwahove7333
@petermwahove7333 2 ай бұрын
Hata kama wanawake walikuwa hawahesabiwi kwenye matukio walikuwa wanatajwa wapi biblia inasema aliondoka na dada yake na je huko nodi ina maana yeye ndie alikuwa wa kwanza kuishi huko?
@EliasElias-x7z
@EliasElias-x7z 14 күн бұрын
Biblia haifichi kitu hata kimoja, kwahiyo neno hilo lingali limefichwa.
@tambatambamangala
@tambatambamangala 6 ай бұрын
Soma kwanza kitabu cha mwanzo 1:27-28 kisha soma kitabu cha mwanzo 2:21-22,kitabu kimoja kinasema kwamba mwanaume na mwanamuke aliwaumba kingine kinasema alilaza adamu usingizi kisha mwanamuke akatoka ubavuni mwa adamu ,tupe tofauti ya andiko apo
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Mbona Simple tu, ni kwamba Adamu na Hawa waliumbwa siku moja, Hawa ndani ya Adamu. So alipoumbwa Adamu Hawa aliumbwa ndani yake
@tambatambamangala
@tambatambamangala 6 ай бұрын
@@mwlvincentmwakisyala apana maandiko yako tofauti sana apo,soma andiko vizuri tu sehemu moja waliumbwa wote sehemu nyingine hawa alitoka ubavuni kwa adam
@theofridmtulima3666
@theofridmtulima3666 4 ай бұрын
Sawa basi tujuze wewe unaejua mke wa kaini alitoka wapi?
@ramadhanikuhanga3324
@ramadhanikuhanga3324 2 ай бұрын
Duh kaka lakn kwenye BIBLIA haijasema kama aliondoka na dada yake hilo andiko umelitoa wapi??
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 3 ай бұрын
Wanawake walikua hawahesabiwi hiyo ni kwel hiyo kitu ilikuja mpaka Karne ya 18
@mosesmuyamwangi7905
@mosesmuyamwangi7905 6 ай бұрын
Wewe pia huelewi
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 3 ай бұрын
Lilith aliumbwa na Mwenyezi Mungu kutoka kwenye udingo uleule uliomuumba Adam lakini Lilith alikuwa jeuri hakutaka kumtii Adam. Kain alienda kutoa huko alikooa kwakuwa kulikuwa na watu wengine walioishi huko swali linalikuja je Hawa watu walitoka wapi? Ndiyo maana watafiti wa Kiimani wakakijuta kitabu Cha Henoko kikieleza taarifa za uwepo wa Lilith na uzao wake ambao haumo kwenye hii BIBLIA TAKATIFU. Ubishi ni mzuri lakini ni vyema ukasililiza wenzako katika IMANI. Kujifunza ni kuzuri kuliko kuwa na msimamo mmoja ambao hauna utafiti nao
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 4 күн бұрын
Nakukaribisha tena katika somo jipya la kitabu cha Henoko, tumekichambua vizuri na video ipo tayari. Karibu uongeze maarifa.
@ignatiomatimba3554
@ignatiomatimba3554 6 ай бұрын
Soma Biblia vizuri Biblia inaonyesha kabisa pale Adam baada ya kulazwa usingizi mzito na kutoleea ubavu wake na kuumbwa Eva (Hawa) Àdam alisema kuwa "Sasa huyu ataitwa mwanamke kwakuwa ametoka kwenye ubavu wangu) sentensi hiyo kifasihi inadhihirisha wazi kuwa Adam alikuwa ana mke mwingine kabla ya Hawa. Kuna kitabubcha Henoko kimeandika vizuri zaidi. Biblia ni kitabubkilicho chaoishwa baada ya kutafsuri maandimo ya Kiyunani Kuna vitabu vingi ambayo havijaingizwa kwenye Biblia. Biblia ya kikatoliki ni tofauti na Biblia ya Kiprotestanti pamoja na Biblia ya Orthodox king'ang'ania maandiko ya Biblia ya dhehebu moja hakuongezi ujuzi wa kimjua Mwenyezi Mungu Bali hudumaza akili na kurudisha Nyuma ufahamu
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Kwa hiyo akisema nyama katika nyama zangu mfupa katika mfupa wangu ndiyo kasema hawa ni mke wa pili?? Hebu lete reference kutoka katika maandiko mengine basi maana uwezi ongelea kitabu kilicho nje ya Biblia kitabu cha Henoko kwa kitu ambacho hakuwiani hata kidogo katika maandiko mengine. Maandiko yanatuambia Mungu anachukia kuachana afu amuachanishe Adamu na Lilith? Maandiko yanatuelezea Adamu na Hawa waliumbwa siku moja (Hawa ndani ya Adamu) Kitabu cha Enoko ni moja ya vitabu vya uwongo, na upotoshaji akiwezi kujumuhishwa kwenye maandiko. So hatuwezi kuikosoa Biblia kwa vitabu vya watu ambao wanatunga hadithi za kufikilika. Iweje Hawa aitwe mama wa wote wa walio hai ikiwa si wote waliotakana na yeye? Maandiko yapo wazi sana huu upotoshaji hautachukua nafasi kwa watu wenye kiu ya kumjua Mungu.
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 6 ай бұрын
Baibu aina ukweli je wewe ndiye utato ukweli uliwai kuona wapi msumulizi anaumri mrefu kuliko simulizi lenyewe ndiyo maana mwenyezi Mungu alileta Muhammed s.a.w.ili kupinga uongo wawatu kama nyinyi alijuwa amtolala usiku kwakufikilia kumpinga mwenyezi Mungu
@retiekadarling992
@retiekadarling992 4 ай бұрын
Naona umeshiba😅😅
@JpMbonye
@JpMbonye 6 ай бұрын
AO wew'unawadanganya waumini , mungu hakuwatenga adamu n'a Lilith ? Kwanini aliwatengabkwa muda hawa akiwa amenda kula tunda n'a badae kumuleteya Adam ili naye ale ? Watoto wakike hawakuhesabiwa Ila Léo wana esabi kwani mungu alijidanganya kutowahesabu Ila alipotoka ujingani âme anza hesabu wanawake? Mungu wenu wa biblia ni muongo mungu hutumuka Ila hatumukishwi , huyo dada aliendadje n'a mlaaniwa ijapo halaaniwi yéyé ? Hebu nidjibu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@faithmusyoka6439
@faithmusyoka6439 5 күн бұрын
Bibilia haijawai danganya
@musadaudi985
@musadaudi985 2 ай бұрын
1:Tupe andiko linalosema kuwa alioa dada yake. 2:tupe andiko linalosema yako alikuwa na watoto 13?
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo
@JoblessMillionaireMakolo-jb7xo Ай бұрын
We acha uongo ulikuwepo? Nyie watu weusi mmelishwa matango pori na Wazungu na waarabu
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 2 ай бұрын
Eti unakuja kutuhakikishia, we kenge uliviona? Kila unacho kijua umekisoma katika vitabu haujui nani kaviandika, hauna habari habo!
@tawalatamko
@tawalatamko 3 ай бұрын
uko sahihi mchungaji huo niukweli
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 2 ай бұрын
Andiko gani linaloonyesha KAINI alimchukua dada yake? Na huoni kwamba nijambo lisilo wezekana kwa muuwaji kumchukua dada yake! Kwani huyo dada yake hakuwa na akili timamu? Muuwaji anawezaje kumuoa mtu anayejmjua! tafadhali onyesha andiko, kama huonyeshi andiko unakuwa kama walewale wanaosema mke wa kwanza wa Adam ni Lilth
@judithnzisa-ii7kg
@judithnzisa-ii7kg Ай бұрын
Basi wewe tueleze na ututhibitishie ukweli tuamini
@samuelheri5430
@samuelheri5430 17 күн бұрын
Lij
@BakariFarijala
@BakariFarijala 2 ай бұрын
jinga kabisa ujui maandiko kabisa unatakiwa ujibu maswali kwa maandiko sio maneno ya kipuuzi hayo
@SimeonKambale-i1c
@SimeonKambale-i1c 22 күн бұрын
Kaini ali muuwa ngunguyeke abeli akiwa n'a umri wa myaka ngapi
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 6 ай бұрын
Sisi wailsamu ttunajua zaidi ..ni kwamba Adam na hawa walikua wakizaa mapacha wakike na kiume kila mimba ...kain alizaliwa na mwanamke ...na abili pia hivo hawa mapacha walikua haram kuoana kwahiyo pacha wa kaini aolewe na habir na wa habir aolewe na kaini ndio chanza cha ugomvi wao ulipo anzia hapo kwani kaini alikataa kumuoa pacha wa abir akidai sio mzuri hivo alitaka kumuoa pacha mwenzake ambae ni haram kwake bifi lao lilianzia hapo mpaka kufikia kutakiwa kutoa kafqra chanzo ni mwanake ....... mwenyezi mungu anajua zaidi
@ConfusedChicken-ze9fz
@ConfusedChicken-ze9fz 6 ай бұрын
Nyie waislam ndio amjui chochote kuhusu uumbaji nyie waislam mmedanganywa na nyie mnataka kudanganya watu awaamini uo upuzi kwenu. Hakuna ukweli wowote nje ya Biblia Takatifu maandiko yaliyomo ndani ya Biblia yanatimia siku baada ya siku,hakuna kitabu chochote hapa duniani chenye nguvu yakubadilisha maisha na tabia za watu zaidi ya Biblia labda kama ujayaaminia lakini ukiyaamini yanakubadilisha atakama umeshindikana na serikali yoyote duniani na hasa unapofikia point ya kumwamini Bwana Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako nakwambia ndugu yangu hapo umefaulu sana maana yeye ndiye njia na kweli na uzima.
@peterntandu1919
@peterntandu1919 6 ай бұрын
Tena huko Kwa waislamu ndio matope kabisaa ... Quran haijui hata jina la mke wa Adamu
@musapfute6608
@musapfute6608 6 ай бұрын
Hakuna anaejua zaid ya Mungu, akili ya Mungu kibiblia haichunguziki akili ya Mungu n zaid ya upeo wetu... Tena km nyie wabarakatu mngekaa tu kimya
@ABUNUWASICOMEDIAN
@ABUNUWASICOMEDIAN 6 ай бұрын
Vipi wee, abiri amoeje dadake mukubwa? Alafu kama Adam alikuwa akizaa mapacha basi pacha mmoja hukuwai kuolewa, kwa maana kazini limuua nduguye Abiri. Ivo ndo wamaanisha?
@nicksonmwinuka6850
@nicksonmwinuka6850 6 ай бұрын
Wavivu wa kufikiria
@LoytonWorldman
@LoytonWorldman 6 ай бұрын
Kwahyo bibilia ni sensa
@jameskilasa759
@jameskilasa759 6 ай бұрын
Hujui kitu ww soma maandiko vze
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 5 ай бұрын
Soma kitabu cha enock au the secret bk of Enoch,ichi kitabu kilitolewa ju knaelezea kilakitu kabisaa
@rosemerycharles
@rosemerycharles Ай бұрын
Kama MUNGU aliruhusu ndugu kuzaa pamoja kwanini tena sahivi akatae? Ikiwa anasema yeye ni MUNGU asiyebadilika...?
@Limbaboy4life
@Limbaboy4life 3 ай бұрын
Nani alikua nafanya hiyo sensa ?
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 4 ай бұрын
Ni kweri watoto warikuwa haandiki tangu mwanzo hadi ufunuo
@abduMuwinge-t3b
@abduMuwinge-t3b 20 күн бұрын
We muongo biblia ndio inayosema kua kain baada ya kukimbilia bodi huko alioa tena biblia pia inasema mungu aliwakataza watu wa nodi Wasimuue inasema aliwekwa alama usoni pake ikiwa ni ishara yakuwaambia watu kwamba wasimuue Biblia ndivyo inavyosema sasa kama kuna mchungaji au askofu anasema kinyume na biblia basi huyo sio mchungaji wa kondoo bali ni chui mlaji wa kondoo
@Janetmoraa-t8f
@Janetmoraa-t8f Ай бұрын
Sasa enyewe alitoka wapi nikama ni dada yake ndio alioa ndio ata yesu akuesabu wanawake na mbona Bibilia inatukanya kuoa ndamu yako na wakua wanaoana
@SMKF4
@SMKF4 Ай бұрын
Wewe umeyapata WP hayo
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd Ай бұрын
Maswali haya ndiyo chanzo Cha ubunifuu was hadithi ya Adam na Hawa. Yote haya ni kujaribu kujaza pengo la ufahamu. Hata wewe pia huna jipya. Yote unayosema unayatoa kwenye uzushi huohuo!. Nani ajuaye pasipo kuacha mashaka yoyote?! Ubunifuu/imagination.
@nickydeeguevara
@nickydeeguevara 3 ай бұрын
Hamna kitu humu
@reenymosha6133
@reenymosha6133 6 ай бұрын
Vp kuhusu watu ambao kaini aliomba mungu wasimuue baada ya kupewa ile laana na ivyo mungu akamuekea alama mtu akimwona asimuue ...hao watu wanatoka wapi
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Ndugu zake, Adamu na Hawa walikuwa na watoto wengi so kumuua ndugu yao ilikuwa ni hatari kwao na alilijua hilo ndiyo maana asingeweza kuendelea kuishi pale na watu wanaomchukia. Ikambidi akaanzishe mji wake huko Nodi akauita Enoko. Familia zilikuwepo na ukitaka kutambua hilo sikia Adamu anavyosema baada ya kumpata Kaini katika mwanzo 4 nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana akamwita jina lake kaini. Ni ukweli kwamba walikuwepo na wakike ila Kaini alikuwa wa Kwanza wa Kiume. Mwanzo 5:4 inaonesha Adamu alikuwa na wana wa kike na kuume. Asante.
@AbegaLarge-tk3rc
@AbegaLarge-tk3rc 4 ай бұрын
Nawewe ulitowa wapi ayo kusema adam alikuwa na watoto wengi kama sio ivyo vitabu mtoto wa yakobo dina anajulikana kwani biblia inamtaja na wewe ayo ulitoa wapi kama sio ivyo vyenu vitabu nyie wote mnatumia kudanganya tu
@retiekadarling992
@retiekadarling992 4 ай бұрын
😂😂😂😂 kuna watu wana akili mbovu kama kainiii nyie mnao bisha kaini hakuoa dada akeeee ni kuku nimekaa pale njoeni mnipige
@gibranmwasi-kw8px
@gibranmwasi-kw8px Ай бұрын
Umrsema alimchukua dadake kwa hivyo walizaliwa mapacha
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 23 күн бұрын
Pumbavu wewe kama hujui Kaa kimya kasome MWANZO (27) pia malizia na mwanzo 2: 21 achakupotosha watu
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface Ай бұрын
Lakini andiko linalothibitisha Kaini kuoa dada yake ni lipi
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 5 ай бұрын
Adam na hawa walikaa bustanin masaa matano na nusu,wakamkosea MUNGU wakafukuzwa bustan.
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 2 ай бұрын
Ili uweze kujua soma vitabu vyote vya waislam na wakiristo kusoma sio dhambi ni kuongeza upeo wa fikra
@hildalyatuu2710
@hildalyatuu2710 2 ай бұрын
Umesahau kutuambia kuhusu WANEFILI. Biblia haikuandika kuhusu hawa watu?
@brightproperties6643
@brightproperties6643 6 ай бұрын
Brother Nipe ilo adiko la lilith?
@daudiazizi8495
@daudiazizi8495 4 ай бұрын
Ambae anasema huu sio mwarim ujue huo nimpagan
@laurentmichael1204
@laurentmichael1204 6 ай бұрын
Wapi katika bibilia panaposema kaini alidondoka na dada ake? Iyo inchi ya anod ilikuwa nayo utupu pasipo watu? Apo naona uongo ivi. Ebu jiulize kwa nini bibilia haikuweza wazi juu ya kuzaliwa kwa wanawake wakati ingetusaidia juu chimbuko la wanadamu dhidi ya kuijaza Dunia? Au tukubali labda kaini alioa jini/malaika ndo wakazaliwa wanefili?( Mwa 4:1-4). Apo sijakuelewa ata kidogo? Ebu pitia bibilia Tena uje majibu sahihi.
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Mwanzo 5:4 Siku za Adamu baada ya kumzaa Sethi zilikuwa miaka mia nane, akazaa wana, waume na wake. Jitahidini muwe mnasoma sana maandiko mtadanganya hata lini kwa kutafuniwa kila kitu pasi na kutafuta kuujua ukweli. Andiko lipo wazi kabisa Adamu na Hawa walikuwa na watoto wa kike na kiume.
@petermwahove7333
@petermwahove7333 2 ай бұрын
​@@mwlvincentmwakisyalahao wana wa adamu na hawa unaowazungumza ni baada ya laini kufukuzwa na ilikuwaje dada yake akubali kuondoka na mtu aliye laaniwa?
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd Ай бұрын
Vipande vyako havina muunganiko! Kama Adam aliishi Eden, hiyo nchi nyingine ilikuwa wapi? Acheni kuongopa. Hakuna binadamu ajuaye elimu ya mungu. Elimu zote ni zetu wanadamu. Elimu ya mungu tukiijua tutaweza kuumba. Hadithi ya kuwa Fulani aliongea na mungu ni uongo mtupu! Dunia ya Leo Ina majanga makubwa kuliko ya zamani. Mungu angekuwa anaongea na watu angewakataza Zionists kuwaangamiza Wapalestina. Najua ulivyologwa utasema Zionists ni watu mungu mwenyewe kabisa!.Mungu angemkataza rubani asilipue atomic bomb Japan, angemkataza Kibwetere kuchoma mamia ya watu, angezuia fascism ya Adolf Hitler, angetueleza tupate dawa ya ukimwi. Acheni kupumbaza watu.
@ReubenMapambano
@ReubenMapambano 5 ай бұрын
Nisahihi Yakobo alikuwa na watoto 13 ila Biblia inasema 12 . Umeelezea sahihi ila kumbukeni kaini alioa dada yake, Kujiadhali sana na mafundisho yaliyoije ya Biblia kwa sababu ni upotovu ni kukutenga na Mungu (umilele)
@elihakimnzava2849
@elihakimnzava2849 5 ай бұрын
Usihisi Soma Biblia ambayo ni neno la Mungu mwenyewe.
@petermwahove7333
@petermwahove7333 2 ай бұрын
Alioa dada yake tupe maandiko
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 6 ай бұрын
Adam na hawa walipotoshwa na shetani na sio Lilith kama anavyodai Benson.
@tambatambamangala
@tambatambamangala 6 ай бұрын
Kwanini ndani ya kitabo cha ayubu 42 wanataja tu watoto wa 3 wakike wa ayubu tu?
@mwlvincentmwakisyala
@mwlvincentmwakisyala 6 ай бұрын
Siyo Ayubu tu hata kitabu cha Mwanzo kimemtaja binti wa Yakobo pia, Dina.
@tambatambamangala
@tambatambamangala 6 ай бұрын
Ujanijibu bado
@amrijuma6621
@amrijuma6621 6 ай бұрын
Wewe ndio unajua ukweli acha uongo
@abelmbega3707
@abelmbega3707 2 ай бұрын
Mungo kama....
@petermwahove7333
@petermwahove7333 2 ай бұрын
Hapa wazungu walitupiga
@Rivuzimanajeanpaul
@Rivuzimanajeanpaul 5 ай бұрын
Ikubaliani na wewe juu Kama kwl kulibwa wawili tu je weusi tulitoka wapi muchina akatoka wapi umewahi kusikia pahali muzungu ameowa muzungu wakazaa mweusi au muchina?
@FaustinaBoniface
@FaustinaBoniface Ай бұрын
Kwa hiyo Biblia iliruhusu mtu kumuoa dada wa damu?
@ZakateKatemi
@ZakateKatemi 4 ай бұрын
Lete andiko linalosema kaini kaoa dada ake.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 127 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 7 МЛН
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 10 М.
THE STORY BOOK : Yamepotelea Wapi Mawe ya Amri 10 za Mungu ?
24:55
Wasafi Media
Рет қаралды 900 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 328 М.
MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
12:39
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 107 М.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 158 М.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 127 МЛН