MWAKINYO BAADA YA KUSHUHUDIA KO YA IBRA "HATUKUTEGEMEA ALAN PINA ANGEWEZA KUMCHALENJI VILE"

  Рет қаралды 161,044

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Bondia Mtanzania Ibra Classic amefaninikiwa kumpiga kwa KO Bondia wa Mexico Alan Pina katika round ya 9 ya pambano la round 12 lisilokuwa la Ubingwa ambalo limefanyika Jijini Dar es salaam.

Пікірлер: 151
@iteefmedia4485
@iteefmedia4485 Жыл бұрын
Nafuatilia Ngumi Saiv Sababu ya Mandonga ✋🤣
@bakarikilango4888
@bakarikilango4888 Жыл бұрын
Tuko weng
@reginaldsangawe8808
@reginaldsangawe8808 Жыл бұрын
Mtu aliyenimotivatee nianze kuangalia mchezo wa Ngum wa kwanz ni Mwakinyo 🔥
@ambakisyemwanjemba5787
@ambakisyemwanjemba5787 Жыл бұрын
Ulifeli Sana kwenye pambano Bora Sana kwako usirudie ujinga ulioufanya uingereza.
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 Жыл бұрын
Kila mtu anapanga lipi afanye na wakati upi muache
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 Жыл бұрын
Unaongea hivyo kama nani ? Fanya mambo yako ya mwakinyo muachie yeye mwenyewe
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Tafuta ela Kwa nafasi yako ndugu Mwakinyo kachukua mzigo kapita ivi nyie mnabaki namaneno
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Mwakinyo mm nakukubali bro Ila naona wanzania wengi washakua wanakubonda Sana Ila usikate tamaa penye😜riziki hapakosi fitina kasa ipo cku wataelewa 2
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 Жыл бұрын
Mzee wa kuuza game kwa tamaa ya pesa. Bwege wew
@marineusmutongore
@marineusmutongore Жыл бұрын
Safi Mwakinyo. I also seconded your Zanzibar compliment
@othmanmuhammad5609
@othmanmuhammad5609 Жыл бұрын
Nakkuubali kwasababu ww sio nafk Zanzibar oyeeeee
@othmanmuhammad5609
@othmanmuhammad5609 Жыл бұрын
Hassani mwakinyo
@yohanamchekwa1803
@yohanamchekwa1803 Жыл бұрын
apa kwa uyu akuna bondia tumepigwa
@geja8708
@geja8708 Жыл бұрын
Huyu ndio yule kijana wa hovyooo
@jacksonkaale.
@jacksonkaale. Жыл бұрын
Hajui ngumi huyo kashazeeka
@holytv.
@holytv. Жыл бұрын
being a fighter is one thing but being a wise fighter is another thing
@princebockson5299
@princebockson5299 Жыл бұрын
Vipikzbin.info/www/bejne/b37UkIRvYrGIpJI
@kibokoyaotz4509
@kibokoyaotz4509 Жыл бұрын
Kwa hyo unapigana nao ww ndio wako tough tu....ila wakipigwa na wenzako ni wa kawaida!!! Kijamaa kina husda sana
@HD_mark
@HD_mark Жыл бұрын
Kisenge hiki
@maidaamie648
@maidaamie648 Жыл бұрын
Kinamajivuno ya kike sijui kinajikutaga nani
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
Kinajifany kinajua sana ndiomn alimkumbia kiduku
@aminangombe8815
@aminangombe8815 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@denisnicolas8166
@denisnicolas8166 Жыл бұрын
Kazi hiko poa kbs
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 Жыл бұрын
DEFINELY Yeh
@meddy_upette9511
@meddy_upette9511 Жыл бұрын
Wewe kama ulikaa darasani ni wewe wenzako wamejifunza Lugha baada yakuona they're going Professional. Itakuwa ngumu sana kwao kuzungumza fluent nahawatoacha kwasbb mistake is the best teacher.
@princebockson5299
@princebockson5299 Жыл бұрын
Tafsiri ya RUMBA za lingala kwa kiswahili kzbin.info/www/bejne/b37UkIRvYrGIpJI
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Kaza mwanangu hata kingereza utakuja kuwa bingwa Tanzania pia usiogope but ni definitely sio derenaly
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Safi
@alexjoel5724
@alexjoel5724 Жыл бұрын
Tatizo umekuwa bishooo sana ndo maana umepoteza mvuto
@lunyatheprodigy
@lunyatheprodigy Жыл бұрын
Mwakinyo tulia kabisa....huna haki ya kuongelea kazi za wanaume....wewe uliuza nchi na sasa rohi inakuuma...pesa is nothing bro wothout respect!
@abdallahathman8306
@abdallahathman8306 Жыл бұрын
Bro aliuza nchi kwan nchi ilimfanyia nn....?
@lunyatheprodigy
@lunyatheprodigy Жыл бұрын
@@abdallahathman8306 nikisema nchi kaka namaanisha alituuza mashabiki zake....tukustahili kufanyiwa vile
@husnamiraj9252
@husnamiraj9252 Жыл бұрын
Ungekua ww mwakinyo ungepigwa vibaya kwa ss auna ishu mla urojo
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Hatutaki michezo ya makafir
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 Жыл бұрын
We unapenda nini ili tukujibu
@dottoathumani8962
@dottoathumani8962 Жыл бұрын
Bro..usiwe unaweka njaa mbele unatudharirisha wa tz
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 Жыл бұрын
Mandonga to the moon
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 Жыл бұрын
Wewe mwakinyo naaaanii bwn weee, kapigane na Twaha
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Usiludie ujinga uleee,
@shabanikitula645
@shabanikitula645 Жыл бұрын
Uchawi tu michezo ya Tanzania inatumia uchawi sana tutawasanua wazungu.
@naimaally6719
@naimaally6719 Жыл бұрын
Mzee wa enka, a.k.a mipasho ya kitanga
@dilipdab3714
@dilipdab3714 Жыл бұрын
Mwakinyoo.zanzibar.hatutaki.ngumi.toka.zako.kapingane.enland.viatu.vinakufinya
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Pengine hautaki wewe sasa usizungumzie na wengine
@Saidkhel
@Saidkhel Жыл бұрын
@@Mpakauseme umeona eeh mie napenda
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Kwani wewe ni nani?
@jacksonkaale.
@jacksonkaale. Жыл бұрын
Alisingizia viatu
@tosh7671
@tosh7671 Жыл бұрын
We mwakinyo ni mngese tu uliuza mechi umetututia aibu wabongo tunaonekana wababaishaji
@timothsanga3086
@timothsanga3086 Жыл бұрын
Mwakinyo mshamba sana, mbwa huyo akafie huko
@beberurafiki1273
@beberurafiki1273 Жыл бұрын
Wanaleta mabondia wanaokuwa wanajua kukwepa 2 lakini punch zao ni ndogo sana hata wangepata target, hawana madhara, Maboxer wa hovyo.
@salim02tv24
@salim02tv24 Жыл бұрын
Kapande ww jukwani
@mohamedabubakar4694
@mohamedabubakar4694 Жыл бұрын
Katuletee wewe
@benikayange2605
@benikayange2605 Жыл бұрын
Ngoja siku ujichanganye kwa kiduku utaona kazi
@jovinlasway7526
@jovinlasway7526 Жыл бұрын
Hawezi fanya huo ujinga. Ana akili nzuri sana Mwakinyo. Kupigana na Kiduku ni kutojitambua. Huwezi fika form six afu ukaenda kufanya mtihani na mtoto wa la saba, eti unamwonyesha uwezo. Huo ni upunguani.
@djtiffa9664
@djtiffa9664 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bpbPlaKwdrqfgKM DAWA YA KUACHISHA MTU POMBE NA UZINIFU.,.,*# kzbin.info/www/bejne/bpbPlaKwdrqfgKM
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 Жыл бұрын
Uyu hamna kitu
@ayubusalim4113
@ayubusalim4113 Жыл бұрын
Definely yes 😅😅
@yangaomary4940
@yangaomary4940 Жыл бұрын
😁😁😁😁wabongo noma
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Njoo tukudunde yakheeee 😊😜🙈
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 Жыл бұрын
Yes huyu ndo chaMpez duniani amebaki yeye tu
@evaristamos4537
@evaristamos4537 Жыл бұрын
Viatu kavipata subirin arud Uingereza mtamkoma
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Huyo nae amna kitu
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
We ndo unayo sio
@jacksonkaale.
@jacksonkaale. Жыл бұрын
Naasithubutu kurudia na Yule jamaa kabisa
@twofivefive906
@twofivefive906 Жыл бұрын
Kweli kabisa kamukubwa
@princebockson5299
@princebockson5299 Жыл бұрын
Tafsiri ya RUMBA za lingala kwa kiswahili kzbin.info/www/bejne/b37UkIRvYrGIpJI
@Bkbarbershop593
@Bkbarbershop593 Жыл бұрын
Definery 😅
@ibrahimmwansasu1044
@ibrahimmwansasu1044 Жыл бұрын
Mzee wa begi
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 Жыл бұрын
Huyu Jamaa tangu azingue Uingereza nilimuona hajijui thamani halisi ya ubora wake...DEFINELY Yeh
@salehsenkondo5399
@salehsenkondo5399 Жыл бұрын
Exactly kaka.
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
Nakubaliana na ww
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Amekosea wapi?
@giftyjohn3852
@giftyjohn3852 Жыл бұрын
Nakukubali Sana mwakinyo
@princebockson5299
@princebockson5299 Жыл бұрын
Tafsiri ya RUMBA za lingala kwa kiswahili kzbin.info/www/bejne/b37UkIRvYrGIpJI
@Victorjacoo
@Victorjacoo Жыл бұрын
Uyu c alipigwa uyu akasema viatu😂
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
ss kwani uongo?
@akidajulius8397
@akidajulius8397 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😭
@pauljohn6393
@pauljohn6393 Жыл бұрын
Definaly😂 definitely ✅
@samwelicleophacemutabuzi5762
@samwelicleophacemutabuzi5762 Жыл бұрын
Difenere
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM Жыл бұрын
We jamaa una masikio kama nini!
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 Жыл бұрын
Oya mengine tuyaache yapite tu mfupa hauna ulimi.
@christopherdavid8635
@christopherdavid8635 Жыл бұрын
Nikajua nimesikia peke angu hahah
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 Жыл бұрын
Hahaha
@meedyshow8807
@meedyshow8807 Жыл бұрын
Hahaha kigoti uyoooo ...et bondia ...unajifanya unashauli watu wakati we unauza mechi .....yaan hahahahah ..
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
Ww kwasasa sio bondia mkubwa tanzania 🇹🇿 Definery yeah...🤣🤣🤣
@revocatusbarnaba1491
@revocatusbarnaba1491 Жыл бұрын
Kwa hiyo unataka kusemaje, kwamba Ibra kafeli au. Ndezi wewe
@Josh_1194
@Josh_1194 Жыл бұрын
Rank za juu wapi nyinyi 😂😂sijuzi tuu kauza mechi
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 Жыл бұрын
Hata sie hatukutegemea km wewe ungejisalimisha KWA smith😄😄
@mohamedkhalfan3553
@mohamedkhalfan3553 Жыл бұрын
Tanzani tunapenda kufanya vitu feki haya mapambano yote sio ya kweli hawa wanaokuja wote ni mabondia wadogo sana
@jadensakila4152
@jadensakila4152 Жыл бұрын
Kapigane wewe😂
@dayanamsuya6516
@dayanamsuya6516 Жыл бұрын
Kwa hiyo we mabondia wenu wakubwa kuliko waliokuja
@jadensakila4152
@jadensakila4152 Жыл бұрын
@@dayanamsuya6516 Ni desturi tu ya kawaida kwa wabongo kutokubali vya kwao... Wakienda kupigwa huko wanatukanwa..... Wakienda kushinda utasikia alipigana na ganda la ndizi😂
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
Wabongo kiukweli akili zetu,,,yaani ni watu wakuponda2,hatuna jema,,,poor mind set
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
Mimi nakubaliana na wewe ila haimaanishi kuwa class sio bondia mzur
@ramadhanmushi4791
@ramadhanmushi4791 Жыл бұрын
Tunaomba ukatest mitambo Zenj na Kiduku
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
😂😂😂😂 au basi
@khalfani_ally
@khalfani_ally Жыл бұрын
Astaghfiru Allah, michezo hiii hatutaki sisi wazanzibahi😭😭
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Жыл бұрын
Ushasema mchezo kwahiyo wewe sio mwanamichezo
@silvermedia6067
@silvermedia6067 Жыл бұрын
Hama
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@silvermedia6067 Prado
@delicesuley6108
@delicesuley6108 Жыл бұрын
Sasa umefata nini huku kama wewe kausha na uzanzibari wako
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@delicesuley6108 🤣🤣🤣
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Tanzania one champenz
@peterkimingo3607
@peterkimingo3607 Жыл бұрын
mpumbavu kama wengine wewe,watu tulikesha kwa ajili yako halafu ukaleta ujinga kwendaaaaaaaaa, umeuza pambano mpuuzi wewe,
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Kwan ulilazimishwa um betie yeye🤣🤣🤣🤣
@omarkapayer1412
@omarkapayer1412 Жыл бұрын
Hakusahau begi na viatu havikumfinya,
@korg4638
@korg4638 Жыл бұрын
Huyu jamaa hana chakutuambia. Mna mpqje mic a crying loser.
@maalimrajabu8942
@maalimrajabu8942 Жыл бұрын
Mwakinyo utatuambia nini wewe acha unafiki
@johnnytravo
@johnnytravo Жыл бұрын
Wanawake wana ushawishi mno kzbin.info/www/bejne/n4rNmp2ci5KMiNk
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Жыл бұрын
BONDIA Wangu ni mandonga tu
@jonasynyasika6391
@jonasynyasika6391 Жыл бұрын
Mpaka wamuue
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 Жыл бұрын
Mtu kazi
@smoothienation2786
@smoothienation2786 Жыл бұрын
@@jonasynyasika6391 sure kabisa tupo nae
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
Yani mpk afie ulingoni
@ramadhanimahiga8389
@ramadhanimahiga8389 Жыл бұрын
😃😃😃
@Markhomestz
@Markhomestz Жыл бұрын
Unafeli sana yaan et kumshauri mtu tu et team yake inajua nn cha kufanya 😮
@princebockson5299
@princebockson5299 Жыл бұрын
Tafsiri ya RUMBA za lingala kwa kiswahili kzbin.info/www/bejne/b37UkIRvYrGIpJI
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Mwakinyo ana jikuta yeye nani
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
Boxer pekee ambae ameshawahi kuwa namba moja Africa,,,,
@abubakarmkude5247
@abubakarmkude5247 Жыл бұрын
@@yussufritzy7684 hv unahisi labda mwakinyo anauwezo mzur wakupigana kumzidi kiduku au dullah mbabe?? Au anasimamiwa na viongozi makini?? Na kumtengenezea bland Mm nimzalendo sana ila huyu jamaa anajikuta sana ananyodo kama demu
@yussufritzy7684
@yussufritzy7684 Жыл бұрын
@@abubakarmkude5247 Hayo ni maono yako ww,,, na unaweza kuwa na dhana uute ile. juu yake.... kwangu ni bondia anaeweza kuwatandika vyema t wote wawili hao.. hata mkisema apigane nao ulingoni kwa wakati mmoja...
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
Babaako wa kambo
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 Жыл бұрын
@@abubakarmkude5247 nakumbuka alimualika aende kwenye spar pale tanga na sikuona majibu ya kiduku kama mwanaume fuatilia vizur bro acha roho mbaya ngumi zina sheria huwez okota bondia chokoraa ukampambanisha na top ranked boxer najua huwez kuelewa hata ukieleweshwa
@sadamramadhan9887
@sadamramadhan9887 Жыл бұрын
Haya kapigane na kiduku bure zanziba hahahahahahaaaaaaaaaa
@sirizawa3360
@sirizawa3360 Жыл бұрын
Sisi tuli tegemea hukutegemea wewe
@ijambonyaryo6373
@ijambonyaryo6373 Жыл бұрын
Dore Ibimenyetso 12 byakwerekako akuryarya 🙊🤦👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/i5PFhpibf9CpaZI
@djtiffa9664
@djtiffa9664 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bpbPlaKwdrqfgKM DAWA YA KUACHISHA MTU POMBE NA UZINIFU.,.,*# kzbin.info/www/bejne/bpbPlaKwdrqfgKM
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Жыл бұрын
uzinifu unatuhasi au mh
Cute Barbie gadgets 🩷💛
01:00
TheSoul Music Family
Рет қаралды 10 МЛН
ISSEI funny story😂😂😂Strange World | Magic Lips💋
00:36
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 166 МЛН
I PEELED OFF THE CARDBOARD WATERMELON!#asmr
00:56
HAYATAKU はやたく
Рет қаралды 36 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
Dande Tv
Рет қаралды 22 М.
MAKALA YA MIRINDIMO
6:51
KTN News Kenya
Рет қаралды 29 М.
MWAKINYO AMPIGA MUARGENTINA TKO, REFA AMUOKOA AMALIZA PAMBANO
7:03