Hata sasa amani ya kweli haipo. Kwa sababu ukisimamia kweli wewe ndiye wanakuwinda
@Mathias-yi5bo22 күн бұрын
Amen Mungu akubariki kaka hakika tuilinde amani katika nchi tumuombe Mungu aiongoze vyema nchi yetu🇹🇿
@user-ii1qk9xn9z23 күн бұрын
Amen Amen 🙏 Mungu azidi kuitunza Amani ya Tanzania 🇹🇿 Taifa la kipekee duniani. Mungu Baba itunze Amani ya nchi yako ya Agano kwa uchanguzi ulio mbele yao. Ubarikiwe mtumishi Mungu akutunze kwa kazi nzuri unayofanya
@DominiqueKabila-ej9sq23 күн бұрын
Nyimbo nzuri apa 🇨🇩🇨🇩😭😭😭😭😭
@MakaliusNgua-vb5sb23 күн бұрын
Amani ndo kila kitu MUNGU atusimamie kujenga Amani
@Pendopasilika23 күн бұрын
Barikiwa mtumishi Amani ndo kila kitu ikikosekana amani hatutaweza hata kuabudu tuilinde amani yetu