BASHE BILA KUPEPESA MACHO AMJIBU MPINA BUNGENI "NI HATARI SANA, MTU AMESHAKUWA WAZIRI"

  Рет қаралды 50,585

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 173
@fabianmwinyimbegu2954
@fabianmwinyimbegu2954 2 жыл бұрын
Mh Bashe ni Waziri Mwavuli wa Serikali. Anafanya vzr sana pia ni mkweli. Hongera kwake
@lazaromaria5334
@lazaromaria5334 2 жыл бұрын
Kijana mdogo Akili elfu kumi, hofu ya Mungu iko juu, speech safi, unatembea na evidences yaani safi kabisa kwa hiyo hapo tunakuombea tuu ulinzi wa mwili na akili toka kwa Mungu na Mungu akujalie utekelezaji mwema kaka.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Huyu mwakani wanamweka pembeni kwasababu mama anataka wahuni tu
@richardbegga6679
@richardbegga6679 2 жыл бұрын
Huwezi kuza Kilimo kwa kudanganya Bunge hapo wakati sisi kama Taifa hata Mbegu ya Mahindi tu hatuzarishi
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 2 жыл бұрын
Mafanikio ya watu hutokana na ujinga wa wengine. Huyu hajui chochote juu ya kilimo. Wengi wasio na ufahamu wanampa sifa kama unavyofanya, kumbe yeye kisha piga 10% ya pikipiki za maafisa ugani, anavizia nyingine za mbolea.
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Waziri Bashe
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Mwenyeezi Mungu akulinde,Bashe bro wewe ni akili kubwa sanaa na unauzalendo wa hali ya juu,wengine wanataka kuleta siasa tu ili wapate kiki kwa wananchi.
@ApostleGodwin
@ApostleGodwin Жыл бұрын
Conguraduration Mheshimiwa You're Very funtastic and wonderful Man You differ from others..
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Kichwa Makin Iki Sio Wazir Wa Mchongo Hussein Bashe🙏
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 Жыл бұрын
Majibu yamejaa utaalamu mwingi,Hongera Mh. Bashe
@farajmanuar3589
@farajmanuar3589 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana hon.bashe ver intelligent man..
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 2 жыл бұрын
Uyu jamaa very integet bug IQ safi sana Bashe
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
si uandike kiswahili tu mjomba??
@shafiijafari3680
@shafiijafari3680 2 жыл бұрын
Fundisha bashe we nimwalim mzr ila ujue wengine hawaelewi na ukweli hawautaki nakumbuka maneno y tundulisu kunawatu wameokotwa majalalani ndy matatizo hayo wanajifanya hawaelewi na pia hakusitahili kuepo apo
@finiasmaengela2996
@finiasmaengela2996 2 жыл бұрын
Excellent hon. Bashe🔥🔥🔥👏👏👏
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 2 жыл бұрын
Hussein-very direct man
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 2 жыл бұрын
Nakupend bro bash nakukbl mno MashaAllah
@allyathumani1195
@allyathumani1195 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana huseni ,kiongozi mwenye hofu na mungu wapo wachache sana,kwenye mjengo huo.
@naturelle1097
@naturelle1097 2 жыл бұрын
Very danger indeed😛word on the ground wakulima wanalia sana. Tusiwe wapaza sauti bungeni with no fast implementation. Muda unazidi kwenda kila mwaka wakulima vilio ni pembejeo and their usual cries..pigeni hatua basi. You will not sit on those seats forever. Mnanimalizia bando
@fatumaibrahim8973
@fatumaibrahim8973 Жыл бұрын
Safi Sana waziri wa kilimo Husen bashe upo makin sana na wakulima
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
SIKU ZOTE BASHE MKWELI MNO!! HALAFU SI HASIDI!! WANGEFURAHI WAFANYA BIASHARA WAKUSSNYWE WOTE,HALAFU WACHOMWE KWENYE MOTO KWENYE TANURI!! UHASIDI TU!!
@ShinjeHamisi
@ShinjeHamisi 24 күн бұрын
Mungu akulinde mh
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Standard.. Speed and Accuracy (Msimamo ni asili yetu), Kumbuka wakulima wakivuka ni 60-70 percent ya watz wamevuka. MUNGU akupe Moyo thabiti, ulinzi na Akili zaidi.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Me sijasoma nielezeee vizuri hapo
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@rithadonatus8110
@kelvinbaha2005
@kelvinbaha2005 2 жыл бұрын
Very intelligent minister
@hildakimaro5529
@hildakimaro5529 2 жыл бұрын
Namkubali waziri wangu badge big up
@mwanaidiabbas1062
@mwanaidiabbas1062 2 жыл бұрын
Bashee Basheèe nakwita mara 2 Allah mpe hifadh yako kabisaa daaa mawaziri mko wapi hebu oneni huyu baba hii yote ni imani ya dhati ya wananchi wa nchi hiii Allah ampe kheir
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@jonasmasingija6530 wewe itakuwa sio mkulima na hujui chochote wewe unataka kujifanya unapita kwa wakulima ,Bashe ni mtoto was huko huko kwa wakulima,anazijua changamoto zote kuliko unavyofikiria wewe,wengine wapo kwa ajili ya siasa wapate kiki Bashe ni Waziri makini sanaa kwenye sekta ya kilimo kuwahi kutokea.
@farajisureman9925
@farajisureman9925 2 жыл бұрын
Kwa binafsi yangu nimeelewa. Kwwnza unamuitaje mtu mwizi nanhaijathibitika hivo
@lazarochiyega2131
@lazarochiyega2131 2 жыл бұрын
Bashe bashe,unapotupeleka bashe,ngoja tuone,hiyo ruzuku mbonahausemi itapunguza bei ya mbolea kwa sh.ngapi.
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 жыл бұрын
Wambie wananchi kwa kinyakiusa bro atujui kisukwambe
@husseinntarugera3930
@husseinntarugera3930 2 жыл бұрын
Allah pekee amuhifadhi
@sephania8085
@sephania8085 2 жыл бұрын
Bashee dah nakukubal Sana akil nying Sana boss
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 2 ай бұрын
Bashe, Mimi ni mfuasi wako mkubwa na ninakukubali kupindukia hasa unapompa Mpina ukweli kwa ushahidi wa data, Mpina ameaibika
@hanspmajany9982
@hanspmajany9982 2 жыл бұрын
Bashee🙌🙌
@anthonymwainyekule9271
@anthonymwainyekule9271 2 жыл бұрын
Sijamsikilza Mh Mpina , lakini naona Mh Bashe amejibu vzr, tangu akiwa kama mbunge mimi binafsi alikuwa ananifurahisha Sana kw hoja zake za akili
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Mpina kipindi chake alikua anapima samaki na Mikono, asitafute cheap popularity, aache blabla apeleke bei nzuri ya mbolea apewe tender yeye
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 2 жыл бұрын
Huyu Bashe ni balaa sana
@keffajacob8952
@keffajacob8952 2 жыл бұрын
Wewe msomali sasa unaanzakuacha njia...muda utaongea.. hodari sana wakuongea ww ila kuna kitu nyuma ya pazia
@MarickMatola
@MarickMatola 2 ай бұрын
Bashe wewe ni kiongozi mkweli,mchapakazi na mwadilifu sanaaaa
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Jambo lingine ambalo huyi bashe hajui ni kwamba wakulima na wasio wakulima wanategemeana, kuna wafanyakazi viwandani, wsttoto mashuleni, wafanyakazi kwenye taasisi mbalimbali, madaktarì ,walimu, wauguzi n.k , lazima walindwe dhidi ya mfumuko wa bei za vyakula manake hata wakulima wanaenda kupata huduma toka kwao hivvo wanategemeana
@hefintus
@hefintus Жыл бұрын
Kingereza kingi sana majibu hayaendani na maswali anayoulizwa,Jakaya alisema hoja haipigwi nyundo inajibiwa kwa hoja ,badala mtu atoe majibu ya maswali anayoulizwa anajibu kwa hisia zake binafsi,ila kwa watu wenye uelewa mdogo wa fikra hawawezi kumuelewa Mpina ila ukisikiliza vizuri jamaa kauliza very technical issues ila jamaa anaweka politics
@kalfanabasi4703
@kalfanabasi4703 2 жыл бұрын
Nakukubali sana bashe
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Bunge la tz nalo la hovyo tu manake mnamshsngilia waziri ambae badala ya kujibu hoja za msingi anabaki kubwatuka tu
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 жыл бұрын
Faida Waziri Bashe wakulima ndio wanaitambua, ila sisi hapa ni mijadala tu ila fika kweny uwanja uskie wakulima wanamzungumzia kivipi
@bensonsebasitian9458
@bensonsebasitian9458 2 жыл бұрын
Good
@cordunhylowassa5343
@cordunhylowassa5343 2 жыл бұрын
Huyu mpina atulie tu, zama zake zimeshapita akae kwa kutulia kwani yeye atakumbukwa kwa lipi kwa uwaziri wake,
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
BASHE HUYU MPINA WANA LAO JAMBO LAKINI HAWATAFANIKIWA WANAFAHAMIKA WOTE!! KINA WACHOMA CHOMA,WAPEWE ENO!!
@eddyjosephmagenge9446
@eddyjosephmagenge9446 2 жыл бұрын
Waziri mwenye akili sana
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Wananchi wote walindwe, mamlaka za uteuzi kuweni makini na kuteua mtu ilimradi tu anajuwa kulipuka bungeni
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 жыл бұрын
Uyu jamaaa namkubali sana
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Wabunge jitafakarini sana acheni ushabiki tafuteni njia za kumssidia au kuwasaidia wananchi
@calabash4221
@calabash4221 2 жыл бұрын
Iss very denja....
@mlembamo
@mlembamo 2 жыл бұрын
Bashe anajua kupanga na kupangua
@DoyasKissagas-yl7dd
@DoyasKissagas-yl7dd Жыл бұрын
Badge tuambie mbolea inayozalishwa Tanzania ndo bro unayoiongelea au inaongezeka zinazotoka nje
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
ongea kiswahili bhana kingereza chako peleka huko
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 Жыл бұрын
Mnacheza na akili zetu tu hakuna cha ruzuku ni kiini macho tu,mpina yuko sawa mnajua
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 2 жыл бұрын
Huyu ndie Waziri pekee ninayemwelewa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 жыл бұрын
amejitetea tu akaweka ukali ili amnyamazishe Mpina alichotakiwa ni amjibu Mpina na sio kumshambulia,tusiwe wanafiki Mpina anatetea wananchi sio kujikomba
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Huyu Bashe ni waziri wa pekee na ana hofu ya Mungu
@collethamponji2611
@collethamponji2611 2 жыл бұрын
Tunakutengemea asate baba tusaindie.tuna teseka sana wakulima
@gilbertrutayuga4676
@gilbertrutayuga4676 4 ай бұрын
Hv haiwezekani kwenye bunge letu tukatumia lugha yetu ya taifa ya kiswahili tu
@bokabecca5473
@bokabecca5473 2 жыл бұрын
#amenyooka
@jameskanyamakanyama1980
@jameskanyamakanyama1980 2 жыл бұрын
Kiwanda cha Choma cha Nkola (Manonga Ginnery) utakifufua lini mbona hujakitaja na kipo katika mkoa wako wa Tabora na jirani zako Wilaya ya Igunga.Goramali mbunge wa Manonga vipi mbona kimya
@froma3732
@froma3732 2 жыл бұрын
Wapee ukweli Serekali yote wizi
@tusumekashililika9448
@tusumekashililika9448 2 жыл бұрын
Ungea kiswahili
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
mbonaunatumia nguvu nyingi sana kuongea
@dhmraphael8484
@dhmraphael8484 18 күн бұрын
Mkimbiz
@anangisyejoseph925
@anangisyejoseph925 2 жыл бұрын
Wajumbe wanapiga tu makofi hawana noma
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Sikiliza Bashe jibu hoja ya Mpina kwanza Mimi sijakuelewa unajuwa wewe msomali
@thefoundationpianoclass5404
@thefoundationpianoclass5404 2 жыл бұрын
??? Ni mtanzania
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 жыл бұрын
Na ndo maana huwezi kumwelewa, alishajibu maswali yote labda wewe ukabila ndo unakuhangaisha tu, MPINA aje na ushahidi na yeye ili kueleweka, ima kufungua ushirika lazima serekali ihusike na Hili liko wazi
@ghost8641
@ghost8641 2 жыл бұрын
Wasukuma ndio zenu wabaguzi halafu wajinga wajinga. Na bado mama ataweka mpaka wazungu lazima muwe mataahira
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
Ritha wewe sio mtanzania kabisaaa na hujui chochote wewe umekalia uhasidi na ukanda na ukabila tu lakini watanzania walio wengi hawapo hivyo.
@mtanzaniamzalendo8288
@mtanzaniamzalendo8288 2 жыл бұрын
Uyu wazili yupo vzr toka kipindi na mzee
@ferozmohamed4117
@ferozmohamed4117 2 жыл бұрын
Mzee alikuwaga hachagui boko, akimlenga mtu ujue ni kifaa
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 жыл бұрын
Kingeleza sasaaa hicho atuelew
@mosesjackson_tz
@mosesjackson_tz 2 жыл бұрын
kichwa hiki.
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 2 жыл бұрын
Maneno ya kiswahili kutamkwa kizungu hata kama ni ya kijinga inaonekana yanamaana Sana, matajiri wanashilikiana kumkabili masikini kwa nn masikin tusishilikiane kumkabili tajiri! Hakuna kura mbegu, mjinga tu ndo anakura mbegu
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Mpina ndio kiongozi wa sukuma gang
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 2 жыл бұрын
Mpina ndio kiongoz mjinga kwa wasukuma hana tofauti mpina
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 жыл бұрын
@@raphaelkaswahili323 😀😀😀😀😀😀😀daaaaah
@ghost8641
@ghost8641 2 жыл бұрын
Na humu ndani kumejaa vimada na vichoko vya sukuma gang vibishi halafu vina chuki binafsi na serikali
@Worldunite
@Worldunite 5 ай бұрын
​Kwahiyo unatuambia sie wasukuma ni machoko😢 7:44 ?​@@ghost8641
@zubairzubair4375
@zubairzubair4375 2 жыл бұрын
tupe beya vanira bashe
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 2 жыл бұрын
Apewe ulinzi tafadhali
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Huyu mwakani wanamweka pembeni huyu bungeni kwa ajilu ya wahuni tu na wezi na mafisadi ndiyo mama anawataka kama bashe wanawekwa pembeni ... Mungu akusimamie
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 2 жыл бұрын
Huyu jamaa atakuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania one day
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Msomali huyu tatizo
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 kkkkkkkkkk
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Weeeeee😁😁😁😁 hapana watamuuua huyu ni wahuni tuuu😁😁😁
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Kuna gwajima nae wamoto kinoma
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Punguza kuongea kichina, Pia unaposhauriwa usiwakingie kifua wezi,, Serikali inapotoa ruzuku kwa wakulima mnashindwa usimamizi; mwisho wa siku wafanya biashara wakubwa ndio wanafaidika.
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 жыл бұрын
Shambulio binafsi hatutaki hawa wanachuki zao sisis watanzania tunataka suruhisho
@ghost8641
@ghost8641 2 жыл бұрын
Suruhisho ndio nini Sasa 😆 hebu rudi shule ujifunze kuandika kwanza. Wasukuma mnateseka sana na bado mama yuko kazini
@mtanzaniamzalendo8288
@mtanzaniamzalendo8288 2 жыл бұрын
Hapewe ulinzi uyu jamaa
@24seven78
@24seven78 2 жыл бұрын
Hakuna kitu kinakera kama mawaziri kuchanganya lugha mbili
@yahayamjenga1996
@yahayamjenga1996 2 жыл бұрын
Luhaga si Waziri now
@24seven78
@24seven78 2 жыл бұрын
@@yahayamjenga1996 Yah sio waziri but ndani nasema kuchanganya kingereza na kiswahili
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Jielimishe kujua lugha zaidi ya moja ya Kiswahili.. Mfano: kingereza, kiarabu, kichina, kifaransa. Hao tunaosema Wachina na lugha yao Sasa wanajifunza lugha Nyingi ikiwemo za Afrika..Kiswahili, kilingala na kiyoruba. Za kimataifa: Kingereza, Kifaransa, Spanish na lugha maarufu Kama Kijerumani, kireno.
@24seven78
@24seven78 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 Sina tatzo na kujua lugha Zaid ya Moja my concern ni kuchanganya kiswahili na kingereza ndani ya bunge and Kuna watanzania hawajui kingereza
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
@@24seven78 Kama vile wewe ulivyonichanganyia hapo "my concern" 😅😅. Ila kwa Sheria zetu lugha ya Bungeni au Mahakamani ni Kiswahili au Kingereza.. au zote mbili kwa pamoja. Mahakamani ndio kabisaa.. hukumu inaandikwa kwa Kingereza. Tunasema Kiswahili Kiswahili lkn ukweli uko hv, pambania ubawa wako. Huyu mwananchi unaemsemea anaetaka kutafuniwa mpaka lugha atakuwa 3rd class citizen. Tupambane tubaki 2nd kwenda 1st class citizen. Hata mgao wa keki unaanziaga meza za mbele. Ukipata ndio iende nyuma.. tafakari
@sampatrick308
@sampatrick308 2 жыл бұрын
Acha kingereza chako wewe
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 2 жыл бұрын
MAJIBU MAZURI SANA, LAKINI TATIZO MNAAMBIA WENYEWE TU, HICHO KINGEREZA NI KWA FAIDA YENU TU SIO WANANCHI MNAO WAAKILISHA! LAKINI MBONA MNAPO KUJA KUOMBA KURA HAMTIMII KINGEREZA, MNATUMIA KISWAHILI FASAHA,MKISHA CHAGULIWA MKAINGIA BUNGENI TAYARI KISWAHILI HAMKIJUWI, ACHENI UTUMWA NYINYI
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
hicho ndo kinachoniboaga na Bashe,kingereza kiiiiingi,hajui wakulima wengi hawajui kithungu...mbali na hapo,namkubali yuko makini sana..
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 жыл бұрын
Mimi nazani ukiongea na wakulima wengi ndo utajua faida Mw. BASHE
@thomasisdory1531
@thomasisdory1531 2 жыл бұрын
Nimegundua wewe wazili ni mbabaishaji uko kisiasa zaidi
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 2 жыл бұрын
Jifunze kwanza kuandika bwana Thomas Isdory. Unataka kuleta ujinga kwenye mambo muhimu? Acha waziri amwage nondo
@thomasisdory1531
@thomasisdory1531 2 жыл бұрын
@@mwikamwika4851 nondo gani ameleta zaidi ya majungu msikilize mpina Kisha uchanganue siyo unakurupu tu
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 жыл бұрын
Majibu yote ya mpina kajibiwa lakini nazani
@thomasisdory1531
@thomasisdory1531 2 жыл бұрын
Kikubwa hapa nikupigania wananchi mpina katoa hoja anatakiwa azipangue hoja siyo kumuattack binafsi
@thomasisdory1531
@thomasisdory1531 2 жыл бұрын
@@hasinauuwimana8405 hatakiwi kutoka kwenye reli apiganie wananchi km enzi za jomba nikijana tunamtegemea asiangalie tumbo lake
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 2 жыл бұрын
Hakuna kitu huyu mtu. Kelele tu na upigaji mwingi. Tunamjua Bashe na Rostam Aziz wake. Bashe anapotosha kabisa! Ameulizwa mambo mawili muhimu: 1. Benki ya ushirika na 2. Bei ya mbolea. Anaeleza bei ya mbolea kwa uchungu utadhani kweli ana niya njema, na kukwepa la benki ya ushirika. Ukweli ni huu; 1. Benki ya ushirika ni mipango yao wafanyabiashara ambao ndo sponsors wake ktk siasa. Hataki kueleza kwa nini anaachana na benki ya kilimo ambayo ipo, sasa anakimbilia ushirika. huu ni ujinga tu! 2. Mbolea ilipanda kabla ya vita ya ukraine. Hizo bei za mbolea anazotaja duniani siyo bei halisi maana hajaeleza ni bei kwa uzito gani. Bei zimeharibika mikononi mwake kwa kudekeza wafanyabiashara wake. 3. Historia ya miaka ya 90 anayosema kwamba yalikuwa maamuzi ya watanzania wote, huu ni ujinga pia! Ni serikali ndo hupeleka sera Bungeni na kulazimisha zipite. Sera nyingi hupita baada ya wafanyabiashara na wanufaika kuwahonga wanasiasa. Kwenye mafuta ilikuwa hivyo enzi za waziri Mkulo akaondoa kodi baada ya kuhongwa na wahindi wanaoagiza mafuta toka Malaysia!! RUBBISH!
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 2 жыл бұрын
Kelele tu huyu hamna kitu nimemdharau sana.
@josephjilala430
@josephjilala430 2 жыл бұрын
Rostam na bashe ni maji na samaki
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 жыл бұрын
Ukitumia akili yako vizur utaelewa nn anafanya
@ghost8641
@ghost8641 2 жыл бұрын
Misukuma bwana punguzeni makasiriko au kama vipi mezeni nyembe. Mtateseka sana mama yupo kazini 😆
@jamalahmed7057
@jamalahmed7057 2 жыл бұрын
Kwa kweli naheshimu maoni yako kwa sababu moja tu kaka itakuwa umefanya tafiti ukimskiliza bashe hoja zake pekee unaweza sema hoja zinamashiko mm nafikiri iwepo njia za kuwasikiliza wananchi na wakulima maoni yao halafu ipigwe kura ya maoni nchi nzima
@frankurio469
@frankurio469 Жыл бұрын
Wewe bashe una muattack mpina bure, wewe bashe ndiye chanzo cha mfumuko wa bei za vyakula kwa kisingizio cha kumlinda mkulima, hakuna mkulima anaelindwa hapa ila wanaolindwa ni wafanyabiashara walangiuzi, mafisadi na madalali, wananchi wote tunateseka sababu wizara ya kilimo kuongozwa na mtu asie makini na asiejielewa, hao wakulima wanaosemwa wanalindwa ndio haohao wanateseka na mfumuko wa bei za vyakula walicholima wenyewe, sisi tuko nao huku, wako hoi mbaya kabisa, dhibitini uuzaji holela wa chakula nje ya mipaka manake serikali hii inatutesa mno wananchi, mwaka huu huku manyara chakula hamna lakini serikali ndio kwanza imeruhusu wafanyabiashara haswa wakenya kuingia hadi mashambani, hii ni disaster kubwa na hayati Magufuli alifanikiwa hili eneo, hakuruhusu mfanyabiashara kuingia mashambani,, waliruhusiwa tu kuingia sokoni na nchi ilitulia sana, RIP Magufuli
@alphoncesamwel6973
@alphoncesamwel6973 2 жыл бұрын
Kumbe kingerezaa kina sound kwenye Uongo
@sayimaduhu8555
@sayimaduhu8555 2 жыл бұрын
Huko kwao somalia wameshindwa sembuse tz awe raiz,broo unataka boko Haram u na aunt baraka waingie
@alphoncesamwel6973
@alphoncesamwel6973 2 жыл бұрын
😂😂 enewei mara zotee mtu akizngumza kingerezaa kingi inaonekana anatenda kazi bila wizi Lakn angeongea kwa kiswahili hizo mambo alikuwa anasstiza angeonekana niwakawaida sana
@mkude
@mkude 2 жыл бұрын
@@sayimaduhu8555 uhasidi na roho mbaya na utakufa ukiwa na roho mbaya na uhasidi uliokuwa nao,unachuki kwenye moyo wako inaonesha unaroho chafu ilyojaa kutu,kakini haitokusaidia kitu wala kukuondolea umasikini ulio nao na utakufa na umasikini wako.
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 2 жыл бұрын
Nimelazimika kuitafuta hutuba ya Mhe Luhaga Mpina nimemsikiliza kwa makini na nimemsikiliza kwa makini Waziri Mh. Hussein Bashe nimegundua mambo mengi 1: Mh. Bashe yeye ndio anapotosha makusudi suala la mbolea sijui kwa maslahi ya nani, Mh Mpina amehoji kuhusu uamuzi wa Serikali wa kufuta mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja mwezi Julai 2021 na kueleza maamuzi hayo kwa kiasi kikubwa yameitumbukiza sekta ya mbolea kufika hapa ilipo leo, nimejiuliza KWANINI SUALA HILI HAKULIJIBU MH BASHE? akaamua kumshambulia Mh Mpina aliyesema kuna tatizo mahali ili urekebishe. 2: Mh Mpina amezungumza kuhusu bei ya mbolea kupanda na kuwaumiza wakulima, Mhe Bashe badala ya kueleza kwanini mbolea imepanda ameamua kum attack personal Mh Mpina mara sijui jimboni kwake wameua kitalu cha pamba kwa ajili ya siasa huku akijua hoja hiyo haikuwa sehemu ya mjadala. 3: Data alizotumia Mh Mpina ni kutoka kwenye hotuba ya Waziri wa Kilimo aliyoisoma mwenyewe sasa kosa ni la nani la Wewe Mh Bashe uliotumbia mbolea imepanda Soko la dunia au Mpina aliyekwambia ufuatilie kwa kina ili kujua ukweli kuhusu bei halisi ya mbolea 4: Mpina amezungunza kama Mbunge mwenye jukumu la kuisimamia Serikali kwa mujibu wa Katiba sasa hayo maneno yako kwamba sijui aliwahi kuwa Waziri kwenye Serikali ndio yatatatua matatizo ya kupanda kwa mbolea kulikochangiwa na kufutwa kwa mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja, suala la kwamba alikuwa Waziri limetoka wapi mbona wewe ulipokuwa Mbunge uliihoji kikamilifu Serikali na mawaziri walikuwa wakikujibu kwa hekima na heshima kwa nini wewe umejibu kwa hasira kiasi hicho. Nikukumbushe Mh Bashe ulikuwa ni moja kati ya mawaziri bora sana wa Serikali hii wanaofanya kazi vizuri unaokubalika sana na wananchi ukishindana na Waziri wa Maji Mh Juma Aweso kwa kuwajibika kutatua changamoto za wizara ila kwa hili suala la mbolea limekushusha sana kisiasa na kuacha maswali mengi bila majibu. Hukupaswa kumshambulia Mpina personal ulitakiwa uzi attack hoja zake zote kwa kuzijibu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, faida na hasara za kufutwa kwa mfumo ununuzi wa pamoja, sababu za kuanzisha Benki ya Ushirika wakati Benki ya Wakulima ipo.
@philjonez3324
@philjonez3324 2 жыл бұрын
kingereza kingi lakin hajajibu hoja yoyote ya MPINA..Hata hivyo nilikuwa na uhakika hatojibu hoja zaid tu atamuatack MPINA na kweli imekuwa vile vile nilikuwa nasubiri kwa hamu sababu nilijua yale maswali yalikuwa magumu..hajajibu swala la kuanzisha bank ya ushirika wakati bank zingine zipo na bado tuna struggle na hizo bank tulizozianzisha la pili ni la mbolea ambalo nalo ameshindwa kulijibu but all in all namkubali bashe sema hapa kwa mpina amegonga mwamba na mpina anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko bashe
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Sasa mpina si yupo? Si ajibu? Mimi sioni haja ya wewe kutumia akili yako na muda wako mwingi kuchambua , kwani muhusika yupo na kama kuna upotoshaji UPO si ajibu? Bashe kamshinda kwa hoja na yeye angepaswa kujibu
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 2 жыл бұрын
@@philjonez3324 Kingereza chenyewe kibovu kuliko darasa langu la tano.
@elibarikimwasha5947
@elibarikimwasha5947 2 жыл бұрын
Nimewasikiliza wote pia, nilichogundua ni kwamba mpina yuko so bitter na kutoteuliwa uwaziri, Bashe kamjibu vizuri sana tu.
@mlangiralameck9158
@mlangiralameck9158 2 жыл бұрын
Hakika , huko nikuji defend bila hoja ya msingi. Kuwa mtu aliyewahi kuwa waziri Hana mamlaka ya kutoa hoja zake. Ametumia nguvu kubwa Sana isiyo na tija hata kama hawana maelewano mazuri hakutakiwa kuwa personal kwenye public agenda kama hiyo.
@v.i.pmusicmanase8860
@v.i.pmusicmanase8860 2 жыл бұрын
mshaurini Bashe kizungu kinatukwaza😅😂😂😂😂
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Wale mamluki 19 waliowekwa hapo kisha wakatolewa kwenye baraza lao la CHADEMA mbona hatuwasikii? Nashauri km uchu wao ni posho, basi wapewe posho alf maamuzi ya viongoz wao yafuatwe. Pia mngetafuta spika mwenye hofu ya Mungu Samwel Sitta kaacha pengo kubwa lisilo zibika la uspika wa bunge Tanzania
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 4,2 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 96 МЛН
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 663 М.
Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu wizara ya fedha
12:48
Millard Ayo
Рет қаралды 255 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН