KIBOKO YA WACHAWI MTOTO WA MALAYA MKUU ) MAMA WA MAKAHABA EV PASCHAL

  Рет қаралды 5,656

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

10 күн бұрын

#0766998994 #call0688199370 #

Пікірлер: 61
@DanielNasibu
@DanielNasibu 4 күн бұрын
Paschal Cassian mungu aendelee kukupigania kwamafundisho yako
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 8 күн бұрын
Hakika Mungu ndo anae sitahili cheo hicho make duuuuu wanamchafuwa Sana MUNGU 😭😭 paschal paza sauti Mungu yupo na wewe na wenye kuokoka tutaokoka ❤❤❤❤🙏💖
@LizongaSaid
@LizongaSaid 6 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananigusa kwakwelii
@Saidi1581
@Saidi1581 8 күн бұрын
Mahubiri yako Paschal Cassian uwaga niya ukweli usikate tamaa endelea na kazi mtumishi wa bwana ubarikiwe sana Amen 🇨🇩🙏
@AmaniYosia
@AmaniYosia 3 күн бұрын
Kaaa mungu atusaidie Sana,asa nawewe unahalibu acha tutume sadaka ,asa unafanya kudai Tena aaaah
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 8 күн бұрын
Mutumishi kazi yako injili unayoyitowa ninyundo kwa wasiyo mujuwa Mungu vumiliya na uwendeleye kusonga mbere tunakuombeya na Mungu akupe nguvu zingine❤❤❤
@mdendamono3311
@mdendamono3311 3 күн бұрын
Nabii namba 1.kiboko ya wachawi
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 8 күн бұрын
Amen Amen Mtumishi 🙏 ubarikiwe sana kwa kusimama kusema kweli na kujulisha wengi waliofumbwa macho na shetani... Mungu akutie nguvu na kutembea nawe nyakati zote. Walio na maskio watafunguliwa na kufuata njia ya kweli. Mungu akuepushe na kila ubaya Mtumishi na akujengee ukuta usioweza kuvunjwa na adui. Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; Nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo. Na wakati ndio huu kweli sio wachungaji, sio waumini awasikii wala hawaoni washapatana na mwanamke kahaba wote wamekataa kweli ya kristo. Kanisa liko topeni Endelea kupasa sauti Mtumishi watakaosikia wataokolewa nyakati hizi.
@charlesstephen3306
@charlesstephen3306 2 күн бұрын
Utapata tabu sana kupambana kuwashusha ambao wameshapandishwa !!!
@Shalom2018
@Shalom2018 5 күн бұрын
Mungu awafungue ufahamu hao waumini
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 7 күн бұрын
❤hii ndio injili ninayoipenda kabisa
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 7 күн бұрын
Kweli hizi ni siku za mwisho na tunaangamia kwa kukosa maarifa. Mtu anawaambia ukweli wake bado wamenga'nga'nia humo kaisani. Mungu atusaidie.
@Esteriajoseph-yk8bq
@Esteriajoseph-yk8bq 8 күн бұрын
Biblia Ina sema watu wangu wanapotea kwa kukosa marifa .mungu nipe hekima na marifa nisije nukajutenda 😢😢😢😢
@georgekyando885
@georgekyando885 3 күн бұрын
Hivi wachanga wa imani tuelimishwe je hivi ni kweli Kiboko ya wachawi ni mtumishi wa Mungu kweli?
@user-cr6fc7nt8k
@user-cr6fc7nt8k 8 күн бұрын
M2 akitaka kutuma pesa naweza kutuma vipi..niko kenya naweza kutuma vipi kitazania ama mpaka ifike Tanzania 🇹🇿
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 3 күн бұрын
Tulaga milimo ya Ng'waseba ong'wise, tulihamo nang'ho abaja ng'wigulu.
@DezChaz
@DezChaz 7 күн бұрын
Amein ubarikiwe
@Pendopasilika
@Pendopasilika 6 күн бұрын
Haaah kumbe hao washirika Ni kina chuma ulete yeye anataka pesa jamani!!! mmmh MUNGU wangu MUNGU wangu Paschal MUNGU akutunze sana uishi mpaka mwisho wa hadari
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 3 күн бұрын
Halafu anajua kabisa mpaka njia ovu za upatikanaji wa sadaka hizo. Mungu anakataa sadaka chafu ndugu. Anaisoma Bibilia lakini haielewi. Kumbukumbu la Torati 23:18 Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya Bwana, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako, yote mawili.
@Madina-u5g
@Madina-u5g 3 күн бұрын
Mbon ameva kanzu ya kislam😅
@sandrangoma-jn9qw
@sandrangoma-jn9qw 22 сағат бұрын
ongelea pia mazuri wake mbona ameshasaidia watu sana tu Ebu acha ww
@vladimirputn1809
@vladimirputn1809 8 күн бұрын
Nahaya mapumbavu yake yanasema ame
@justinamis8675
@justinamis8675 8 күн бұрын
Amn San a
@tagcdcchurch6031
@tagcdcchurch6031 7 күн бұрын
Pepo mchafu kabisa huyu, Mungu atusaidie.
@UpendoChurch-u6c
@UpendoChurch-u6c 8 күн бұрын
Truth kabisa Na wasikuzuie
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 8 күн бұрын
Udanganyifu wa nyakat za mwisho ni mkubwa kuliko wa kwanza kwa maana shetani anajua mda wake ni mchache, haachi hata mabaki, yaani nikusagwa tiktik, BALI SISI TUEJENGWA JUU YA MISINGI YA MITUME NA MANABII WALA MALANGO YA KUZIMU HAYATATUSHINDA, NENO ni UPANGA... ktk ulimwengu wa sasa usimwamini mtu bali neno la Mungu.
@Saidmathayo-uv4gj
@Saidmathayo-uv4gj 8 күн бұрын
Freemason wamekutoa akil
@GislaMushi
@GislaMushi 8 күн бұрын
🎉
@ameenaameena422
@ameenaameena422 8 күн бұрын
😂😂kazi ipo
@Saidmathayo-uv4gj
@Saidmathayo-uv4gj 8 күн бұрын
Hubir habar ya yesu sio habar za watu ww Pasco unavuta bangi injul gan una hubir unawapa umaarufu San
@user-zo1ct5xr7i
@user-zo1ct5xr7i 2 күн бұрын
onya baba onya we umethubutu wambie watu km nyinyi jasiri wanaosimamia kweli Ujira wako uko mbinguni,mi nakupongeza mnooooo waoga wataoneana uoga,SEMA uokeoe roho zinazopotea maana si akili zso wameshakamatika kutoka huko ni kazi kubwa
@EditingTrial01
@EditingTrial01 8 күн бұрын
Piga kaz
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 8 күн бұрын
Nimekusikia mtumishi wa Bwana naisi nafsi yangu inaniabii nibadilishe mvazi yangu
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 8 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 8 күн бұрын
Tafsiri yako inaeleweka kisawa sawa. Mienendo ya kikristo haipo tena, ni machafuko ya kila namna. Kwa mapenzi yako Mungu, kupitia kwa mwanao Yesu kristo, niokoe na kanisa kahaba ili niweze kukutumikia wewe kikamilifu na kulijua neno lako zaidi.
@roselyimo3676
@roselyimo3676 8 күн бұрын
Lakini vazi la mwanaume unalielewa?? Mwanaume ni Mungu pekee wengine ni bi harusi Sasa maana ushajua. Suruali hazikuwepo enzi biblia inaandikwa
@anethachengula1258
@anethachengula1258 8 күн бұрын
Wewe una matatizo makubwa. Kwa nini unashambulia kila kanisa.
@LizongaSaid
@LizongaSaid 6 күн бұрын
Kuliko kiboko ya wachawi ????
@EsterNgasa-vq5zx
@EsterNgasa-vq5zx 8 күн бұрын
Duuh EEE MUNGU aturehemu mafuta maji vyote Ni shetani tu yaani kwenye mavazi hasa suluali kanisan Ni dhambi lakn wanavaa kwa kukosa mafundisho sahihi
@renatus5687
@renatus5687 8 күн бұрын
Utaacha umbea wa kiusema wengine lin huku ukituomba sadaka si ufanye kazi
@enockgeorge8336
@enockgeorge8336 7 күн бұрын
Kama huna cha kucoment bora ukae kimya sio kucoment ujinga kutoa sadaka ni moyo na sio kulazimishwa hata usipotoa ww kuna wengine Mungu atawatumia
@renatus5687
@renatus5687 7 күн бұрын
@@enockgeorge8336 hata wew ni Yale Yale tu ya kushinda yanaongea ya wengine yakwao yanawashinda
@essaumwampamba3330
@essaumwampamba3330 8 күн бұрын
Hii inaweza kufundishwa na wachache waliotayari kwenda mbinguni, barikiwa sana mtu wa Mungu, Naongeza pointi kuu: ni kanisa kahaba lililobadili ibada ya jumamosi kwenda jumapili mnamo tarehe 07/03/321. Nia kanisa linaloabudu watu badala ya Mungu. Ev. Mungu akubariki.
@essaumwampamba3330
@essaumwampamba3330 8 күн бұрын
Karibu sana SDA church Ev. Utakuwa na nafasi kubwa sana ya kuufunua ukweli wote bila kuacha kitu.
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤barikiwa
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 8 күн бұрын
Aaaamen amen❤❤❤
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 8 күн бұрын
Sasa na wewe kubana shati kwenye mikono, unataka watu waone kuwa una misuli mikubwa MNYANYUA VYUMA??? Afu unaomba michango kiivyo, eti vyombo, kwani hapo watu hawaoni??? Sema wewe umeona njia ya kukosoa ndio unapatia chochote kitu. Nasi acha tukukosoe, maana wewe kila siku ni kukosoa watu tuuuuu. SEMA HAINA SHIDA BHANA. Mnisamehe sana, kama nimekosea 🙏🙏🙏🙏🙏
@yusufubin-akilimali7478
@yusufubin-akilimali7478 8 күн бұрын
Hata wewe kuvaa kwako mwalimu ni mbaya kiuchungani, maana hiyo T-shirt yako mbaya kusimama nayo mbele ya watu tafazali.
@user-ku8js6um3k
@user-ku8js6um3k 8 күн бұрын
Hiyo sharti ni bidhaa ya shetani
@LizongaSaid
@LizongaSaid 6 күн бұрын
Mbna hajavaa t-shirt au huifaham t-shirt wewe
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 8 күн бұрын
Wewe Pasco mbona unapotosha watu kiasi hicho kwani nyie munasoma Biblia gani ambayo YESU KRISTO alikataa miujiza? Nawakati alikuwa anaifanya? Na akasema sisi tunao mwamini tutaifanya tena zaidi yake yeye Casiano wewe una amini nini? Tunasoma Biblia takatifu hatukuelewi nawafuasi wako unaowadanganya nyie munasoma Biblia gani inawaruhusu kupiga vita watumishi wa MUNGU nakuwahukumu ? Hata kama wangekuwa siyo wa MUNGU wewe huna haki ya kuwahukumu isipokuwa unatakiwa kujiangalia usianguke siyo kuwahukumu kwamba hawafai eti wewe ndo unafaa nawakati huna nguvu yakuponya mafua. Acha kuwa wakala wa shetani jifunzeni kwa Mwakasege na Mosses korola hawajawahi piga vita huduma ya mtu wewe unani wakutukana watu wa MUNGU et ni Mamalaya? Ko wewe Roho mtakatifu ndo amekuagiza uwatukane et ni Mamalaya he!! danganya haohao siyo mimi hukuna kitu hapoo. Ni roho mtaka fujo.
@sadickmagesa
@sadickmagesa 8 күн бұрын
wew ni mpumbavu kabisa dah unatia hasira hivi unajua wew ni wakala wa shetani......Tunaijua biblia huyu kijana yuko sahihi kabisa na kazi yake ni kubwa maana anaponya wengi sio kuamini hao wajinga kiboko ya wachawi.....kumbuka amekuwepo free mason anazijua hizi siri......kwa neema aliyonipa Mungu naungana na wengi kusapoti hiki anachozungumza
@barikimaluli6107
@barikimaluli6107 7 күн бұрын
Hivi mtu anakwambia sikemei dhambi alafu wewe unaungana nae huyoo neno la bwana limesimama lenye muhuri ii Bwana awajua walio wake na kila alitajae jina la bwana shart auache uovu
@yuzzob
@yuzzob 7 күн бұрын
Okoka
@JacklineRoberth
@JacklineRoberth 5 күн бұрын
It true man of God
@bulengedimathias6756
@bulengedimathias6756 3 күн бұрын
Mimi ninamuelewa saana. Jisemee kibinafsi ndugu.
CASSIAN AMKEMEA SHEHE SURE  MAJINI ANAPOTISHA EV PASCHAL
1:29:51
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,9 М.
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 21 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
CASSIAN AWAPA ONYO MKUU WAMKOA NA MWAMPOSA KUUNGANA KUPOTOSHA EV PAACHAL CASSIAN
1:13:37
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 17 М.
KEKI YA UPAKO NIKAFARA YA MWAMPOSA UKWELI WAWEKWA WAZI EV PASCHAL CASSIAN
1:06:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,5 М.
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 34 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 60 М.
БАЧОК ПОТИК
0:22
KINO KAIF
Рет қаралды 4 МЛН