MCHUNGAJI APIGWA MASWALI MAZITO NA RC MAKONDA, ONA ALIVYO JIBU KISOMI

  Рет қаралды 198,316

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Ай бұрын

Пікірлер: 250
@naomimushi-ze4ct
@naomimushi-ze4ct 22 күн бұрын
Yaani Makonda ni one of kiongozi bora sana!Mungu azidi kumtunza hakika!
@mpelienock
@mpelienock 20 күн бұрын
Be blessed Paul Makonda for instant resolving social conflicts. May God be with you.
@WariamboraMbise
@WariamboraMbise Ай бұрын
Makonda mungu akulinde maana nisshida Kila sekta ungewezza kusikiliza Kila mtu machozi ni mengi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
kwaumati huuu razima watu wanune wasipo kukubali hazarani watakili hata kwenye miyo yao rais samia Namzee kikwete aliekupa ukuu wawi laya ya hapa kinondoni watusaidie2 uwe rais tukupunguze machungu ya kufiwa Na rais wetu magufuli
@Samwelmagita-jb1so
@Samwelmagita-jb1so Ай бұрын
Kwel mkuu umenena
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Majirani tupo we are watching keenly
@abrahninah2837
@abrahninah2837 Ай бұрын
mkuu wa wilaya hana point hajui chochote inavyoonekana cheki wananchi wanavyomzomea mla rushwa et amefungia huduma pande zote mbili wakati mchungaji anasema ni kanisa lake tu limefungiwa mkuu wa wilaya hauna muda kwenye hiyo cheo unafungiaje kanisa la mchungaji mwenye ameanzisha kanisa lake 1990 mpaka saiv mkuu wa wilaya ni vile mkuu wa mkoa hawez kukupig spana ila mungu atakupiga jeki
@RonicaKolimba-ne3zh
@RonicaKolimba-ne3zh Ай бұрын
Oo Lomo me o Looomo Oo O L P
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 27 күн бұрын
Jeki tena umetisha
@PhilipoPanga
@PhilipoPanga Ай бұрын
Mkuu wa mkoa Paulo makonda mungu akutie nguvu
@apostolmikasharoni3281
@apostolmikasharoni3281 20 күн бұрын
Mheshimiwa mkuu wamkoa mungu akulinde tunakuombe
@kapeilazaro9389
@kapeilazaro9389 Ай бұрын
Makonda kiongozi mzur kweli
@LassonDominick
@LassonDominick 11 күн бұрын
NI MWENDO WA SPANA!! Kazi iendeleeee🎉
@user-wv8ec6ls2e
@user-wv8ec6ls2e Ай бұрын
Wana Arusha niambieni mlishawahi kukusanyika hivyo mwaka Gani?? Makonda ni kiboko ya wana Arusha.
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e Ай бұрын
Siku ya kumuaga Aly dangote
@ineahsteve5785
@ineahsteve5785 Ай бұрын
Mchungaji Babu Yona Mungu akutetee mtumishi wa Mungu😊
@BertaAtanasio
@BertaAtanasio 25 күн бұрын
Kweli jaman
@chihiro5828
@chihiro5828 Ай бұрын
Mchungaji Yona akiwa na waumini wa Ebenezer Baraa walijenga Kanisa kwa kutumia udongo kichwani, kisha kwa matofali ya kinzani na hakuna Mchungaji wa FPCT aliyetaka Kanisa, sasa watu wa Baraa walijenga Kanisa kubwa na zuri na Wachungaji wa FPCT wanataka kuliteka. ...Mungu anawatazama na kuwahukumu.
@fredyedward192
@fredyedward192 Ай бұрын
Kasome katiba ya FPCT mm n mshirika wa FPCT uwezi hama na maliya kanisa hata siku moja
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Ай бұрын
huyu mchungaji upo sahihi walio mnyang'anya kanisa wamrudishir alinunua kiwanja tangu zamani
@BlackJesusRasta
@BlackJesusRasta 20 күн бұрын
Anzisha kanisa sehemu nyingine,mungu atawasaidia.
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa ameshughulikia vzuri sana hii issue
@EliaAthanas
@EliaAthanas 22 күн бұрын
Asante mch
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤kumbe makonda ni mchungaji kabisa leo ndio nimejua akiiombea arusha
@machakuroger7068
@machakuroger7068 Ай бұрын
Hadi amenena kwa lugha
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Ай бұрын
Baba Mch. Yona ulinihudumia katika wakati mgumu na wewe Mungu atakutetea!!
@deodathamnunduma832
@deodathamnunduma832 Ай бұрын
Tuonane kwa Lugha kwanza😄😄 Makonda Mungu akuinue
@davidmwambope3684
@davidmwambope3684 Ай бұрын
Naamini ipo Siku utakuwa kiongozi wa Nchi Mungu akulinde na akubariki unagusa maisha ya watu napendezwa na utendaji wako
@JanetJonathan-bm4tl
@JanetJonathan-bm4tl 23 күн бұрын
Makonda baba fanya Kaz Yako kikamirif mungu akuongoze😊😊😊😊
@user-vl5xv2xd6e
@user-vl5xv2xd6e Ай бұрын
Mh tenda mema Mungu atakupa kibali tuuu usiogope mimi natamani sana nitakaporudi nyumbani Tanzania nitakutafuta nakuombea kwa Mungu akushike mkono katika safari hii ya huduma mimi mama yako niko Bahren
@SimbaBoy-ij9pm
@SimbaBoy-ij9pm Ай бұрын
Timu makondo tujuane apa
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Aise umechambua hadi raha hahahahahahaah jmn Makonda una kazi kwelikweli, Mungu akufunike aiseeee love you sana
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Ай бұрын
🎉mpaka aibu jamani mimi naogopa mimi jamani hata aibu hatuoni.
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Pastor uliuziwa kiwanja , kama uliuziwa inamaana kanisa ni lako ,sio la waumini ,sio la mungu . Ok Tuzungumzie mgogoro wa kufungiwa
@thomasorembo9830
@thomasorembo9830 24 күн бұрын
Huyu pastor uko Na ukweli wamfungulie kanisa
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g Ай бұрын
Hongera sana mh. Makonda
@in-africastay9520
@in-africastay9520 Ай бұрын
Honestly mimi mwenyewe nimemwelewa mkuu wa wilaya
@AnnaSadala
@AnnaSadala Ай бұрын
Makonda MUNGU akulinde
@EmmanuelSago-go6pb
@EmmanuelSago-go6pb Ай бұрын
Kiukwel wana-Arusha wanakukubari...songa mbele majaribu ni mtaji...hata me pia nakukubari sanaaa...
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Ай бұрын
Tukipata kinamakonda 7 tz itanyooka
@denisyohana8104
@denisyohana8104 Ай бұрын
NATAMANI MAMA aniteuwe ,tukapige spana ,kuna raia ni wazembe sana
@davidkorduni6176
@davidkorduni6176 Ай бұрын
Wewe Mkuu wa Wilaya haufai Arusha kabisaaa, Mama Samia tunaombatuondolee huyu mkuu wa Wilaya hapa Arusha
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
alafu anacheka kama ngedere simpendi huyu
@williammollel97
@williammollel97 Ай бұрын
Mi namweelewa mkuu wa wilaya na makonda mchungaji ni ni mmm
@EmmaSerubhibhi
@EmmaSerubhibhi Ай бұрын
Mungu akubariki sana paul nakupenda
@user-rr8cw8yl5o
@user-rr8cw8yl5o Ай бұрын
Duh arusha mmenishinda tabia yan mgogoro hadi kwenye nyumba za ibada
@joycezawadi1952
@joycezawadi1952 Ай бұрын
Ni huzuni
@MushagalusaLeonard-zw8rr
@MushagalusaLeonard-zw8rr Ай бұрын
Waliyo na YESU kristo Ni watu weye hekima na akili kubwa Sna Sifa Kwa Yesu
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 Ай бұрын
Magufuli mwengine uyu apa makonda
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya mkatoli saf Vp tena kwenye hii mitego yaajabu,
@annosteven1535
@annosteven1535 Ай бұрын
Haha
@LukasLaiza-zl3qs
@LukasLaiza-zl3qs Ай бұрын
Nikwel mweshimiwa mkuu wa mkoa hakika wewe mungu anakuongoza uko vizir sana
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 Ай бұрын
umati mkubwa kama mkutano wa Rais
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Ай бұрын
Kuna tatizo kubwa kwenye makanisa ya pentecostal mchungaji akinunua kiwanja ghafla anataka kwenda kanisa jingine na mali za awali na hayo matatizo ni mengi nchi nzima kwa sababu ya akili zao
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 Ай бұрын
Kununua kiwanja kwa jina la dhehebu haimaanishi ni cha dhehebu aliye saini manunuzi ndiye mmiliki Mali ya dhehebu wanunuzi ni bodi ya wadhamini sivinginevyo
@albertsindato731
@albertsindato731 Ай бұрын
Mkuu wa Wilaya alikuwa na uhakika na KAZI yake ndipo alipoamuru kufungwa Kwa jengo. Mpaka mgogoro uishe HAHUFUNGA KANISA nyo sababu mliendelea kuabudu
@user-pd4om6qc1m
@user-pd4om6qc1m Ай бұрын
Mkuu wa wilaya yuko sahihi
@tabarokaijage3257
@tabarokaijage3257 26 күн бұрын
I think in 1992 it was not introduction of multiparty system rather it was re-introduction of multipartism because in 1950s to 1960s there was yet multipartism ( TANU, AMNUT, ANC and UTP).
@saidiwitika1517
@saidiwitika1517 26 күн бұрын
Those were not political parties,those parties were established to unit citizens of Tanganyika against colonial rule including TAA
@samsonmsyete-ek3fd
@samsonmsyete-ek3fd Ай бұрын
Kijana pambana wanyonge wako kibao hakuna wa kuwasemea unajitahodi sana komaa nao tu
@aishakasian
@aishakasian 25 күн бұрын
Mungu akulinde Makonda
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 Ай бұрын
Makonda akikaza but na akaenda na msimamo huo namuona akiwa kiongozi mkuu wa taifa hili Kama siyo makam wa Rais au bas Mungu mwema
@Mrauto12679
@Mrauto12679 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa umelichambua vizuri hawa wachungaji wa siku hizi noma😅
@user-fe6gj1hg9r
@user-fe6gj1hg9r Ай бұрын
Ukiangalia kwa makini huyu mchungaji ndo ana shida
@shammhagama2527
@shammhagama2527 Ай бұрын
Wachungaji kama hao tunao hata huku ni ving'ang'anizi kweli, mkuu wa wilaya yuko sahihi
@machakuroger7068
@machakuroger7068 Ай бұрын
Maaskofu wanastaafu lakini wanang'ang'ania madaraka, wakilazimishwa wanasajili kanisa lingine hapo hapo.
@MoijoJoseph
@MoijoJoseph 13 күн бұрын
❤ Usajili wa yanga Rendio isitafirika rendio
@johnmutuli7887
@johnmutuli7887 8 күн бұрын
Let's learn something over this
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Tatizo la walokole ni waroho wa sadaka hasasa piganeni.
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Ай бұрын
😢😢
@chihiro5828
@chihiro5828 Ай бұрын
tatizo na wivu wa waliojenga kitu, muulize Mchungaji Godson na kundi lake walilipia kiwanja na wana hati? Je, walitumia kiasi gani kujenga Kanisa? Ni rahisi kula chakula baada ya kupikwa.
@AbrahamuSareyo
@AbrahamuSareyo Ай бұрын
📖📖📖📖
@josaphatlukwaro2378
@josaphatlukwaro2378 Ай бұрын
Makonda 2030 tunakupa nchi
@EsthaWashikala-jz6hp
@EsthaWashikala-jz6hp 14 күн бұрын
Huyo poster ana haki yoyote.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Haya makanisà yamejaa utapelitu wachungaji wanagombania sadakatu maana ukristo nibiashara zawatu binafsitu haiwezekani kilamtu amiliki kanisa kama maliake nawakati nyumba zaibada zinatakiwa ziwe mali ya mungu lakini sikuhizi watu wamebadilisha wamezifanya kama viwanda vyao tena yanafanya kusajiliwa kabisa kama kampuni binafsi mungu saidia wajawako waijue dini yakweli 🙏🙏
@josephatmahango3869
@josephatmahango3869 Ай бұрын
Uislamu ni biashara pi ya waarabubwalitumia mbinu hiyo kuchkua watumwa Africa
@kutailass6671
@kutailass6671 Ай бұрын
Hapo uislam umeingiaje we kafi ​@@josephatmahango3869
@stevenlazaro9176
@stevenlazaro9176 Ай бұрын
Makonda akili kubwa
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Ай бұрын
Hapa kuna figisu figisu waitwe na upande wa pili Huyo mkuu wa wilaya hafai mjanja mjanja anaongea bila point
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Waumini wanahamia kwa mchungaji Yona
@eliaorgenes676
@eliaorgenes676 26 күн бұрын
Watanzania wana, penda kusikia story hata kama hazibadilishi maisha yao na utendaji. Ili mradi tu ifurahishe ziwe gumzo inatosha kwao.
@williamsamwel7603
@williamsamwel7603 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya yuko sahihi kabisaaaa
@zainabumohamedy6988
@zainabumohamedy6988 10 күн бұрын
Safi Sana makonda
@NyumbaniHabariMedia
@NyumbaniHabariMedia Ай бұрын
Duh!
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw Ай бұрын
Mh,nmeamini makonda ni kichwa co kwa maswali haya tena ghafla hii ni levo nyingne ya kipawa
@user-jm9og2wh5o
@user-jm9og2wh5o 23 күн бұрын
Mngu akupe maisha mrefu mkuuu
@Kanyawela
@Kanyawela Ай бұрын
Mgogoro huu Mch.anataka kufanya Kanisa kama kioski kumbe Kanisa ni taasisi
@chihiro5828
@chihiro5828 Ай бұрын
Mkuu wa Mkoa Makonda ni Mwanasiasa mwenye akili sana na mwadilifu, atakuwa Rais wa Tanzania soon..
@Swaleheadamu-gz4vm
@Swaleheadamu-gz4vm Ай бұрын
Poleni sana waumini kwa mapito magumu
@AbrahamuSareyo
@AbrahamuSareyo Ай бұрын
Mungu ni wa milele
@user-yb6ut9in5c
@user-yb6ut9in5c 18 күн бұрын
Mimi naomba wachungaji wanapohama zibki tu kua mali za tasisi huska hata kama kuna ujanja wa viongozi husika mungu atafanya makubwa
@GraceSanga-jg5er
@GraceSanga-jg5er 28 күн бұрын
Hhawa niwanasiasa kama wanasiasa wengene. Hawamjui mungu.
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 Ай бұрын
Mchungaji ana tamaa huyo tamaaa ya kuendelea kua kiongozi nahio tabia ipo wachungaji wengi wanayo
@kristopapaapaulo811
@kristopapaapaulo811 18 күн бұрын
Sio wachungaji tu, hata Elijah na Eliya
@bensonokwaro9225
@bensonokwaro9225 Ай бұрын
ingekuwa rahisi makonda ilifaa uiongoze Tanzania baba
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya uko sahihi kabisa
@donestamlacky4672
@donestamlacky4672 Ай бұрын
Ningekuwa na uwezo ningekufanya kuwa rais kwani hata hali isingekuwa mbaya hivi
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
duh huu mkutano kama wa rais magufuli hili jamaaa linapendwa sana
@lukasjelamisanana6770
@lukasjelamisanana6770 Ай бұрын
Yaan jamaa anawatu kwel
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
ndio mana mda mwingne chadema Nawaona wahuni2 wanamsema vibaya ila sisi watu wa dar Salam tunajua makonda Nimagufuli mdog ndio mana unaona kila sem akienda anaondoka Nakijiji
@user-kd5xr4ii4q
@user-kd5xr4ii4q Ай бұрын
Wachungaji wengi siku hizi wanajichanganya mara huku mara Kule hawana msimamo utafikiri wanasiasa huyu Yesu awezaji kukuweka mahali ukahama hama hata wale walioko nje ya imani hii ukiwaeleza habari njema za Yesu Hakuna ushuhuda Kwa migogoro ya wachungaji
@leonardmulimila1632
@leonardmulimila1632 Ай бұрын
Kama huna D mbili huwezi kuelewa
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Mkuu wa wilaya haibu tupu makoti muvae mkiwa waungwana siyo matapeli wa akili zawatu yan huyu mkuu wa wilaya awez ata kuongea😂😂
@MoviesCentreTz
@MoviesCentreTz Ай бұрын
Kwa movie kali njoo huku
@gilbertalkado8105
@gilbertalkado8105 Ай бұрын
Hakika uumwadilifu na Mungu akupe siku nyingi ktk USO wa nchi hii yenye Maskini wenye,njaa kiu baridi nabila msaada Toka kwa watangulizi wako wewe,ni,chakula,maji,na joto kwa baridi,Yao wasaidie maskini hao kesho watakupandisha Keene Mnara mrefu na kua mkuu,wao hata ukamilifu wa hitaji lao
@JanetJonathan-bm4tl
@JanetJonathan-bm4tl 23 күн бұрын
Arudishiwe kanisan lake chap😚😚😚😚
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Ай бұрын
nakuelew sana mh makonda chapa kazi kaka yangu
@ayubustefano
@ayubustefano Ай бұрын
Duuuuu poleni munguu kawaonekania
@tinaminja5500
@tinaminja5500 Ай бұрын
😂😂😂 sikiliza basii😂😂😂😂😂
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 29 күн бұрын
Walokole ila kawaida yao kugombannia makanisa
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Ай бұрын
Ina maana bira makonda hakuna viongozi mkoa wa Arusha, Kuna shida Tanzania ya viongozi.
@HashimKihunga
@HashimKihunga Ай бұрын
Makonda umehukumu ipasavyo,ila huyo mchungaji anaonekana ni mjanjamjanja anataka jengo na mali za taasisi ili ziwe zake
@gm7045
@gm7045 Ай бұрын
Mku wa mkowa uchunguze vizuri huo mkuu wa wilaya hastahili kuwa kiongozi Mwenye alinunua kitambo ni haki yake Mwe kipwa pesa ndie anajua mwenye kununua shamba hilo
@eliaorgenes676
@eliaorgenes676 26 күн бұрын
Kisheria mali una avhia hata kama ulijenga. Mali niya kanisa la usajili. Usajili was kanisa ndio sheria na sio mtu ninafsi. Hapo ni kutoka na, watu na kuanza upya kwa mujibu was, sheria
@jenipharraphael8312
@jenipharraphael8312 29 күн бұрын
Kweli jaman
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 25 күн бұрын
Inauma.sana.inamana.waumini.ni wawachungaji.muangalie.mbele hukumu ipo
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 Ай бұрын
Koka lini Makonda kawa hakimu? Kesi ya madai Mkuu wa Wilaya kawa hakimu poleni mchungaji
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Ай бұрын
Hapo wanagombea matumbo yao tu. ; Sikuhizi kumpata mkweli NI kazi kweli kweli ( Njala mbaya)
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Kwani kanisa linajengwa kwa sadaka au nikama kiwanda tu mtu anaanzisha kwa malengo kama uwekezaji ?
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 Ай бұрын
Wapi mtumishi wa Mungu anastafu wakina mathoyo adi wamezeeka acha maneno eti amestafu
@stellalumenyera8324
@stellalumenyera8324 27 күн бұрын
Mkuu wa wilaya mbona anaonyesha kupendelea upande mmoja
@sisterblessed-my9jd
@sisterblessed-my9jd Ай бұрын
Arusha siwaelewi hv...!
@khadija5761
@khadija5761 Ай бұрын
Mkuu wa wilaya hafai kabsa
@Mrauto12679
@Mrauto12679 Ай бұрын
Anafaa amani Tanzania itawale
@JoelHuge-kl2df
@JoelHuge-kl2df Ай бұрын
Kwa nini ? Mbona anasema kweli
@noelmusa3502
@noelmusa3502 Ай бұрын
Makonda kweli ni kiongoz
@yunuskizundu4707
@yunuskizundu4707 Ай бұрын
hhhh laiya awapoi
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 26 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 74 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН