Рет қаралды 42
SIMULIZI ZA SAUTI
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) ni miongoni mwa taasisi zilizochukua hatua madhubuti kujikinga na ugonjwa wa Covid-19. Mkurugenzi Mkuu wa TGNP Lilian Liundi anazungumzia kuhusu hatua hizo ikiwemo chanjo.