Serikali yaingilia kati mgogoro wa familia ya bilionea Msuya

  Рет қаралды 56,530

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameimngilia kati mgogoro unaofukuta kwenye familia ya mfanyabiashara Msuya aliyeuawa mwaka 2013 huku kukitajwa kuwepo mvutano unaohusiana na mgawanyo wa mali zilizoachwa na marehemu.

Пікірлер: 61
@mohamedkongoroka4708
@mohamedkongoroka4708 4 жыл бұрын
kiuikweli hata Mimi nimeshangazwa sana kwanza mheshimiwa muro hongera sana kwa hilo ukiangalia hapo hao ndugu utagundua kitu angalia wanavyojikanyakanyaga mheshimiwa utagundua wazi kua hao ndugu hasi bibi na babu kuna wanalo lijua kutaka kuwazurumu watoto mali zao,,huyo bibi sio povu linamtoka hata hana aibu kwa mali sio yake kwanini asigombanie mari ya mme wake hao watoto wanaweza wawauwe nao ili wabaki na hizo mali,,,cha msingi mheshimiwa na sekikali yetu ya magufuli mpiga kazi jiwe,,mtoe amli hao watoto mmojawapo akizulika au kuuwawa wakamateni hao bibi na huyo babu weka ndani pumbaphuuuuuuu,,,,ikitokea mmoja kati watoto hao ikifa muwakate hao na ndio wanajua sili yote ya vifo vyo waliotangulia,,
@joycekaje8755
@joycekaje8755 10 күн бұрын
Wakwe na mafifi jamani ogopeni, Mungu,,PESA NI NINI ,MTAKUFA MTAZIACHA
@fettykimaro3430
@fettykimaro3430 4 жыл бұрын
Jamani mama wawatu alioko magereza atolewe tu sio haki inavyoonyeshwa kesi itakuwa imetengenezwa
@sajithaoman4633
@sajithaoman4633 4 жыл бұрын
Inaonyesha ata yureh muke wamarehmu hiyo kesi alibabikizwa kwa kutaka mari
@sorenlandon7165
@sorenlandon7165 3 жыл бұрын
Pro trick : you can watch series on flixzone. Me and my gf have been using it for watching all kinds of movies recently.
@finnegandylan800
@finnegandylan800 3 жыл бұрын
@Soren Landon Definitely, I've been using Flixzone} for years myself :D
@alexzandernathaniel4451
@alexzandernathaniel4451 3 жыл бұрын
@Soren Landon yup, I have been watching on Flixzone} for since december myself :)
@user-oj7wi7ik5r
@user-oj7wi7ik5r 4 ай бұрын
Kweli nimeamini .Hali ya mtu haipotei ila inacheleweshwa tu..watu wamevuta mpunga Bado wanangu"ang"ana na Mali za marehemu.Ama kweli utu umekwisha imebaki unyama.Hatimae hali imetendeka..ushauri wangu Familia wawekewe ulinzi.
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 4 жыл бұрын
Najua wazazi wapate urithi vipi hawa dada zao nao urithi unakujaje?jamani haki ifatwe hata kama watoto wana kazi zao wapewe haki ya baba zao
@mlasinyongolo3256
@mlasinyongolo3256 4 жыл бұрын
Baba wa Yatima , uzidi kuwatetea Wanyonge.
@sarahmselle8562
@sarahmselle8562 4 ай бұрын
Huyu mama n kabila gan maana 😂😂😂 yuko vizuri ataki mchezo
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 4 ай бұрын
Yaan ningekuwa mimi msingepata ata shingi mia milioni mia 5 na kitu bado mnaidandama family na awo mashangazi wakatafute zao alfu waume zao. Wafe kama watatoa ulithi. Kwa wakwe
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 4 жыл бұрын
Yaaani Huyo Bibi,Babu na Mashangazi inaonyesha wanalo jambo Wahuni tuuu..
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Eeeeee hizo Mali hatari baba kauwawa Dada wa baba kauwawa hivi mtaenda nazo kaburini mbona hivyo aaa NCHI NA VYOTE VIUJAZAO ULIMWENGU NI MALI YA MUNGU baada ya mali kunamaisha mengine
@abellmainge1023
@abellmainge1023 4 жыл бұрын
Kwakwel rais magufuli usinyamaze kwa hili, watoto yatima wananyanyasika na wewe upo.?????
@frankmosha5854
@frankmosha5854 4 жыл бұрын
Mmmmmmm omba yasiikute familiar yako lakini pia namuona mama mzazi WA msuya Hana mshahuri mzuri awezekani kufuta uzao wako kwa sababu ya mali mama kumbuka mungu anakusikia nasijui utaenda wapi kutubu hio Dhambi Mali Kweli ipoteze uzao wako kanakwamba una maumivu yeyote juuu ya kifo cha mwanao muongope mungu
@gitu4me
@gitu4me 4 жыл бұрын
Intelligensia chunguzeni huyu baba msuya na mama msuya mawasiliano Yao toka mwaka mwezi WA pili mwaka 2012 Tena huyu mama anaonekana ni muuaji na katili Kweli wajukuu zako Hawa a thamani wewe unatizama pesa mbele. Huenda mkahusika kumuua mtoto wenu msuya ili mpate mali
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 4 жыл бұрын
Nyie wazee katafuteni nanyie Mali zenu acheni kuwadhulumu watoto.kwanin hamridhiki na hicho mlichopewa? Pumbavu sana Mimi ningekua huyo kijana tungefikishana mbali na msingepata senti mojaa
@revolutionmovementchannel9957
@revolutionmovementchannel9957 4 жыл бұрын
Washenzi kweli hawa
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 4 жыл бұрын
Wewe bibi mzee pumbavu nawe utakufa tu waachie watt mali yao huna akili ww na mzee mwenzio yaani mungu awalaani kabisa" Jerry naomba uamue
@jeremiahmollel5583
@jeremiahmollel5583 4 жыл бұрын
Yaani huyu mama utadhani hajazaa kweli nidhambi sana kuwadhulumu yatima Ee Mungu fanya njia kwa hawa watoto na mama yao Ee baba wa mbingu na nchi
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 жыл бұрын
Chikamoo arachuga linapofikia swala la coins
@zuhurambonde7599
@zuhurambonde7599 4 жыл бұрын
Mzazi akifariki hasa mwanaume familia zinagombea Mali kama ajaacha watoto bora ufe maskini maana Mali inaleta shida
@amnaalshabani2777
@amnaalshabani2777 4 жыл бұрын
Kazaneni vijana mrithi haki zenu baba shangazi wabaya sana kwa mali
@emanuelmushi6878
@emanuelmushi6878 4 жыл бұрын
Sjawaisikia eti Mali za kaka zigawiwa familia nzima!labda kama mhusika alishaekekeza ivo kabla'alaf uyo bibi anataka kusimamia Mali za wajukuu kwa nguvu kwani mama atakaa magereza milele?
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 4 жыл бұрын
Damu ya yesu iwalinde
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 4 жыл бұрын
Hata aibu hawana.laana ya ndugu yao itawatafuna maisha yao yote
@andrewaneriko3103
@andrewaneriko3103 4 жыл бұрын
Hivi hao ndugu wanamatatizo gani siwatafte zakwao.alitafta kwa manufaa ya watoto wake jamani nini hii sasa jamani
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Kifo cha Maskini huwezi kuona haya.
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 5 ай бұрын
Dah ndoa na vifo mitihani
@monicamandai3875
@monicamandai3875 5 ай бұрын
Ila uyu firstborn Mungu Amtumze Wasije muua
@katalayshemndolwa3146
@katalayshemndolwa3146 4 жыл бұрын
inawezekana chanzo chamalihizo ni za zulma ndomaana dulma huwenda kwa zulma
@mwaminimashaallahalhabibsh7992
@mwaminimashaallahalhabibsh7992 4 жыл бұрын
Hapana si dhuruma marehem alikuwa mchimba madin
@geraldpallangyo7726
@geraldpallangyo7726 4 жыл бұрын
Watu na mali za marehemu
@missmoona4497
@missmoona4497 4 жыл бұрын
Wachaga shikamooo vinawatoa roho mali za watt mwenyewe alitafuta kwaajir ya watt wake sasa bib babu madada vimekuwa vyenu mnawasahau watt loooh achen tamaa nanyi mtaziacha kama alivyoziacha marehemu erasto msuya
@rodasanga1312
@rodasanga1312 4 жыл бұрын
miss moona hawa ni wapare wachaga wana akili
@allydisi3656
@allydisi3656 4 жыл бұрын
Laana ya sharifu inawatafuna hawa wajinqa ubaya wa dhulma ni hapa hapa duniani wanamalizana wawo kwa waw ASANTE MUNGU
@fransiscamatemu987
@fransiscamatemu987 4 жыл бұрын
Ally Disi mmmh
@cyrilkimaro4728
@cyrilkimaro4728 4 жыл бұрын
Wapewe kipaumbele watoto au walikuwa wanaomba hicho kifo ili wawanyase watoto? .
@lameckchunda5763
@lameckchunda5763 4 жыл бұрын
Ņguvu ya baba ni thawabu ya watoto ci wazazi kivip watake
@ladysalimkabora9952
@ladysalimkabora9952 4 жыл бұрын
Na bado hawatosheki
@neemabakari7061
@neemabakari7061 4 жыл бұрын
Jamani daaah!!!
@philipoelias4262
@philipoelias4262 4 жыл бұрын
HUYU DOGO (MTOTO)WA BILLIONAIRE MSUYA AMESHACHOMWA NA JUA, NDIYO MAANA ANAWEZA KUJIEELEZEA BILA HATA KUOGOPA MBELE YA SERIKALI
@agnestemba8079
@agnestemba8079 4 жыл бұрын
Ni muda wa kuwafundisha watoto kazi na kujitegemea, na kuwapa elimu basi
@Gemjvisualmedia
@Gemjvisualmedia 4 жыл бұрын
unafikiri hao watoto hawana elimu na hawajitegemei? Ni kwamba haki ya mtu ipo pale pale kama urithi wao wapewe
@safiamasoud1328
@safiamasoud1328 4 жыл бұрын
Mali ya baba yao ni haki yao hata km wanamiliki mamilion na wanakazi
@joseygaudence1886
@joseygaudence1886 4 жыл бұрын
Hao ndugu wazulumati kwanin wasitafute vyao
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
Mishangazi mibayaaa
@nshomamayungu2326
@nshomamayungu2326 4 жыл бұрын
Nimelia machozi
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Mali zinawatoa Roho
@maidahassani1377
@maidahassani1377 4 жыл бұрын
Mungu nisaidie nipate pesa ya kula tu hata watoto watajitafutia zakwao loh
@alikhamis4055
@alikhamis4055 4 жыл бұрын
Mali ya baba inatutowa roho bora nikae pembeniiiiiii
@saumushabani1628
@saumushabani1628 4 жыл бұрын
Umeona
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 жыл бұрын
Ndugu wana sehemu gani katika urithi? Maana kwa uelewa wangu urithi ni kwa mke, watoto na wengine endapo marehemu atakuwa aliwapendekeza ! Sasa hapo babu na bibi washakula 200 M kila mmoja, na hao wadada 75 M kila mmoja, lakini bado wanataka vingine, mweee !!
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 4 жыл бұрын
kutafuta atafute mwingne,,nyie mfalakane,,,,,,,, ndugu mnaboa sana ,,,,,ndugu acheni kuingilia family ,pambanen Na Hali zeni,,,et kaka hooo mwanang
@aishajumaa3430
@aishajumaa3430 4 жыл бұрын
at a haibu hawana loo
@allyomari680
@allyomari680 4 жыл бұрын
huyu dogo mjinga nakama hamuamini mtakujaona baadae huyu nimjinga anasema bibi na Babu watuache na familia yetu alivyokua mjinga hajui kama familia yao ni ya bibi na Babu yake yaani angekua naakili angeegemea upande wabibi na babu
@sarafinasinkonde9651
@sarafinasinkonde9651 4 жыл бұрын
Aegamie kivipi wakati hao bibi zake ndo chanzo cha mama yao kufugwa na pia Bibi aliwatamkia kuwa kawatoa kwenye kitovu chake sio ndugu zake,kwani mama na Bibi yupi bora ni hari sana tu kumsimamia mama ake nani kama mama jaman
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 4 ай бұрын
Sara kweli unaona mama yako anadhuriwa Mari. Uengemee upandea wa bibi. Na bibi na babu wangekuwa wanahakili. Wasingewaujum wajukuu. Na kujari mathirai. Yao
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 4 жыл бұрын
Duh mama na wanawe awataki wakwe waguse pale Sasa kama wosia iliandikwa na marehemu na akasema na wazazi wapate basi inabidi wapate wanachositaili najua mke wake marehemu itakuwa apendi ao wazazi wapate mgao aya ni mambo ya kukaa chini na kuyamaliza Ila na nyie wazee mtulie ii mali sio yenu mate mnachositaili izo mali azitawafikisha popote mtakufa mtaacha
@sarahmselle8562
@sarahmselle8562 4 ай бұрын
Mke wa marehem ata hakuwepo alikuwa jela,wakwe walivyoona hivyo ndo wakaanza mchakato wao,wakafunga nyumban hiyo unayoiyona na mali zingine kama mashamba...
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
MALI ZA MAREHEMU ERASTO MSUYA WANAFAMILIA WA KABIDHISHWA
11:16
Kismaty Tv
Рет қаралды 15 М.