Рет қаралды 579
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dakta Samia Suluhu Hassan amempa maagizo Waziri mpya wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mheshimiwa Seleman Jafo.
Mheshimiwa Rais Dakta Samia amezungumza hayo leo julai 5,2024 katika ikulu ya Tunguu Zanzibar wakati akiwaapisha viongozi wateule ambapo ameanza na Mheshimiwa waziri Jafo.