Uchambuzi wa Bajeti ya 2024/25. Serikali Kujifunga Goli Kwa Tozo ya Gesi? | Mtazamo wa Pili (Ep3)

  Рет қаралды 1,251

The Chanzo

The Chanzo

Ай бұрын

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amewasilisha leo Juni 13,2024 bajeti ya Trilioni 43.5, tumefanya uchambuzi wa bajeti hii:
Uchambuzi wa Bajeti 2024/25:
Kikokotoo shangwe baada ya kuongezwa kufikia asilimia 40 kwa asilimia 35
Kamari, vileo, urembo, na vinywaji baridi kugharamikia bima kwa ajili ya watu wasio na uwezo, katika mpango wa bima ya afya kwa wote;
Watengeneza maudhui kukatwa asilimia 10 ya mapato yao; yaani mtandao husika kuzuia asilimia 5, na mtengeneza maudhui kuwasilisha asilimia 5
Serikali imeamua kujifunga goli kwenye gesi na mafuta?
*Gesi kwenye magari kuwekewa tozo ya shilingi 382
*Serikali kutaka kupata 'faida' kwenye kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 7
@hubman6780
@hubman6780 Ай бұрын
Shida ya budget miaka yote ni kupandisha gharama za maisha.Sababu kuu serikali huweka Kodi na tozo Kwa presha ya mikopo inayokopwa kutoka nje kama deni la taifa.Mikopo hii ndio shida kuu inayofanya Kodi kuwa sio nafuu.Hii mikopo iwe inakaguliwa ziliko Hela na kuona inalipwaje kuliko TU kusikia deni la taifa limefikia 91Trilioni
@chrisdot9914
@chrisdot9914 Ай бұрын
JPM aliwahisena debt servicing ni Bio 750 kila mwezi
@sir_richard_dk
@sir_richard_dk Ай бұрын
Serikali isiyojali kabisa maisha ya watu wake
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
Mchambuzi ana mengi ya kutuambia ila amepewa muda mchache! Anachambua vizuri sana ila muda mchache
@hubman6780
@hubman6780 Ай бұрын
Mifano mwengine ni kwanini uwekezaji ktk Mali asili haitupi unafuu wa maisha kulikoni kuweka na Kila anachoingiza mwananchi ndio mapato Kila kitu? Kodi zikiwa nyingi mwananchi anakuwa hana anachomiliki Bure au Hata Kwa unafuu.Fikiria Kodi ya PAYE na Hela hiyo ikienda bank inakutana na Kodi za miamala.Unanunua uwanja una Kodi,umeme na maji Kuna Kodi.Bidhaa zote muhimu Kwa ajili ya maisha Zina Kodi(Maji na umeme) Unasomesha mtoto Kwa gharama akifika elimu ya juu anakutana na mkopo kabla ya ajira.
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Ай бұрын
Bado wapigania haki waendelee kikokotoo hakikubaliki
@Musa-wr8vk
@Musa-wr8vk Ай бұрын
👏👏👏
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 15 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 2 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 553 М.
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 152 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 15 МЛН